KIBOKO YA DR SULLE AFICHUA UONGO WA PETE YA DR SULLE JINI LINALOMUENDESHA KUVAA NGUO NYEUSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 май 2024

Комментарии • 102

  • @user-em3uf8wz6r
    @user-em3uf8wz6r Месяц назад +6

    Acheni kugombanisha watu naona mnalazimisha kugombanisha

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 Месяц назад +4

    Ndugu mwandishi habari huyu kijana na Dr sule jaribu kuwakutanisha .

  • @user-nb2ql7zw3i
    @user-nb2ql7zw3i Месяц назад

    Allah niongoze ktk njia sahihi yarabi.🙏🙏🙏

  • @sharifuteacher5025
    @sharifuteacher5025 Месяц назад +3

    Umemkosoa shekeh sule na haopo hapo umetaja pete yako ina kadhaa wa kadhaa 😅

  • @user-wr8wv2dd3b
    @user-wr8wv2dd3b Месяц назад +1

    Mmmmh ila siku izi watu ni waongo jaman yani awa mashekh wanatudhalilishia dini yetu😢😢😢

  • @user-qm7rn2ov7r
    @user-qm7rn2ov7r Месяц назад

    Allah akbar

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 Месяц назад +4

    Dini ya uisilama naona wengi wamekua waganga siku izi

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Месяц назад

      Sio wengi woote mashekh woote ni waganga

    • @ibrahimwainaina3243
      @ibrahimwainaina3243 Месяц назад

      Sio kweli, ww unaona matapeli wawili watatu mitandaoni kisha unataka kujumuisha waislamu wote, inahusu kweli???

    • @ibrahimwainaina3243
      @ibrahimwainaina3243 Месяц назад

      Ameuliza kama huyo jinni shaks ni mzungu au mwarabu ameanza kutapatapa. Kisha antudanya eti ukitaka jinni uwe msafi!

  • @josephancety1019
    @josephancety1019 Месяц назад +1

    Yupo sahihi kabisa

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 Месяц назад +2

    Mtangazaj amekoomaa na shacks tu haelewi😂😂

  • @musajuma676
    @musajuma676 20 дней назад

    Ni kwa nini usiseme. Wewe ni kijana na ujiamini .

  • @user-dv8lm4ko5i
    @user-dv8lm4ko5i Месяц назад +1

    Wewe KIJINA TULIA HUNA UWEZO WA KUJUA KAMA DR. SULE SHENZI WW

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Месяц назад +5

    Sio kila mtu ana mizimu hatuna mizimu sisi tuna Allah

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Месяц назад

      Allah pia ni mzimu au hujui??

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Месяц назад

      Allah pia ni mzimu au hujui

    • @MryessNo-om9lv
      @MryessNo-om9lv Месяц назад

      Mtume mwenyewe anafundisha mizimu majini wanafunze wa mtume wanafundisha majini uchawi tujifunze mtume ndio alie leta sisi ni weusi sio weupe

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Месяц назад

      @jesusislord9190 mzimu ni wakiristo sawa Allah kakumba ww kafiri kaumba na mizimu kamumba na yesu na ww mkiristo kafiri umeshinda mzimu siku ya kiyama ndio utamjua Allah ni nani na yesu ni mtume tu wamungu na hatowatetea nyinyi wakiristo makafiri motoni milele nyinyi na lusifa wenu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Месяц назад

      @@MryessNo-om9lv ndio mtume s a w alifundisha bibadamu na majini namna ya kumuabudu Allah lakini nyinyi wakiristo na majini wakikiristo mukamkufuru Allah kwa hio motoni milele ngojea siku ile utakufa utakapo fufuliwa siku ya kiyama yesu hata kusaidia na chochote yesu mwenye atakwenda kwa mtume s a w

  • @user-xl1wx3mw9k
    @user-xl1wx3mw9k Месяц назад

    No zako sharif

  • @user-zq2be4xr1o
    @user-zq2be4xr1o 29 дней назад

    Unawafindisha watu wakayafanye wenyewe unaweka Jamii hatarini

  • @user-py8ol3zd2y
    @user-py8ol3zd2y 20 дней назад

    Hhh angalia usemaji wake tu basi sule anaelimu je elimu itkuaje

  • @user-zq2be4xr1o
    @user-zq2be4xr1o 29 дней назад

    Wengine mnafikiya kufufuwa alie kwisha fariki ,uwezo wapi na wapi na mungu?

  • @KinonoJuniorkinono
    @KinonoJuniorkinono Месяц назад

    Acheni kumshurikisha allah moto upo 😭😭

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 Месяц назад +1

    Mwisho wa maelezo ni kwamba haya mambo ya kujishughulisha na majini ni ushirikina .....ulitume likuambie utanipa nini mwisho siku kama ni kichinjo inakua sio kwa ajili ya mwenyezi mungu ni kwajili ya agano
    Allah atuweke mbali na shirk

    • @rockstarsamk9043
      @rockstarsamk9043 Месяц назад +1

      mwalimu mashekhe wengi washirikina zama zetu

    • @rockstarsamk9043
      @rockstarsamk9043 Месяц назад +3

      shekhe ameenza kufanyankazi ya dawa baadae anaanza tmaa za dunis

    • @saidmohammad3346
      @saidmohammad3346 Месяц назад

      ndio njia ya mwanzo wanayoitumia ya kuwapata wafuasi na hiyo ni kiki ya kuwafikisha wanapotaka.

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 Месяц назад

    We mwenyewe mshirikina kumbe nyote sawa ww nahuyo dr sule hakuna kuita viumbe ktk dini yetu yakiislamu nyinyi nimushrik, mapete yakishirikina hayo, mbona unafichaficha ivo unapohojiwa

  • @ibrahimmzungu3849
    @ibrahimmzungu3849 Месяц назад

    Huyu bongo touch anataka kugombanisha watu ajiangalie atashikiwa taa

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Месяц назад +1

    Huyu jamaa ni mkweli ninarafiki yangu ambae alipata utajili wa kichawi nilimdadisi sana anipe michongo kila nikimuuliza ananificha baadae yalipomshinda alipoanza kuumwa yalipomshinda nipo akaniita kumuombea kumponya na kadharika .. ndipo nilijua ukweli wake

    • @Crusher-jn
      @Crusher-jn 28 дней назад

      Una namba yake mimi nipo kenya nii connect anisaidie kwa swala ya biashara

  • @user-do2id6pp4g
    @user-do2id6pp4g Месяц назад

    Hawa wote na mwenzake sule wameghafilika na dunia tu wanahitaji dua..

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q Месяц назад

    Bdo sna bwana mdogo tafuta wa kucheza nae sio Dr. Sule ww bdo yule ni sheikh ndo maana anaweka wazi kila kitu Coz yy ni mwalimu na ndomana ata wachawi huenda kw waganga mganga ni km mwalimu ila Dr. Sule ni elimu,, elimu yyte ni fursa kusoma ila kuitumia sasa ndo apo

  • @saidmohammad3346
    @saidmohammad3346 Месяц назад

    Yani yeye anapima kwa asilimia tuuu😂

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 Месяц назад +1

    Waisilamu nyie mnatuonyesha nn tuwamini nyie ni wachawi

  • @hassanjalikazi6754
    @hassanjalikazi6754 Месяц назад

    Shehe unapatikana wapi

  • @user-zf2ty3ng6u
    @user-zf2ty3ng6u Месяц назад

    Na unasema miiko ya tiba ni kusema Uongo je sisi wote niwaongo sio kweli

  • @Adrianmellow
    @Adrianmellow Месяц назад

    Sasa dini yen mbn mnaidharilisha

  • @mamanabdoul4397
    @mamanabdoul4397 Месяц назад

    Wa cheh wako wapi?mbona nyote washirikina

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 Месяц назад

    Lakini anayoyasema huyu Sheikh ni taofuti na Alichosema Sule
    Maelezo ya Sheikh ni kama Dr Sule ana shahishiwa mtihanj ambao hajafanya
    Sule hajasema hayo mnayokosoa Sasa sijui mnaongelea nini

  • @user-zf2ty3ng6u
    @user-zf2ty3ng6u Месяц назад

    Tupe ushahidi kama kweli viumbe hawapendi mtu aseme ukweli

    • @rockstarsamk9043
      @rockstarsamk9043 Месяц назад

      wachwwi tu baba hawana lolote wamekua na elimu za majini ambiwa wanapata mali kupitia majin. ni sunna ya nani hii wnayoifata

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 Месяц назад +1

    Mashekh wa Tanzania nini tatizo lenu haswa? Wala mumerogwa ? Aca makafiri waseme Uislamu ni dini yamajini 😅😅😅

    • @user-wg2gd2nl6c
      @user-wg2gd2nl6c Месяц назад

      Ukome. Makafri ninyie mnaoshikiana na shetani. Hamna haya

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js Месяц назад

    Nikipata mdaa NTA mwiiitaaa mtangazajiii😂😂😂😂😂😂

  • @Putin331
    @Putin331 Месяц назад

    Huyo shee anafirwa yeye na majini yote anayoyatumia

  • @mobimbalongida
    @mobimbalongida Месяц назад

    uongo mtakatifu

  • @user-lp4jj6uu1r
    @user-lp4jj6uu1r Месяц назад

    Fata usiram unavosema usifate wasiramu wanavosema kwani mwanadamu nimwingi wakukosea

  • @hamisaali8103
    @hamisaali8103 27 дней назад

    Hahahahahahahahha unapinga alafu hujui hata unachozungumza

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 Месяц назад

    Meshack salum Alisha ongea mmempinga leo mnaongea wenyewe

    • @Nim68182
      @Nim68182 Месяц назад

      Yule mnyakigoma sio??

  • @hassanally446
    @hassanally446 Месяц назад +2

    Huyo kijana anatafuta, ajulikane tu kupitia doctor Sule, na huenda akawa ni mwanafunzi boda, kwa sababu anavyomzungumzia doc Sule na mwenyewe dr Sule ni vitu viwili tofauti

  • @user-zq2be4xr1o
    @user-zq2be4xr1o 29 дней назад

    Sasa huyu binladin unampinga Dr sule eti anatobowa siri, mbona wewe ndo unawaelekeza watu kabisa gisi yakufanya

  • @ibrahimwainaina3243
    @ibrahimwainaina3243 Месяц назад

    Kiarabu kinampa tabu na anaviojitia anakipata kumbe hayumo.

  • @Bashitetako
    @Bashitetako Месяц назад

    Nyie wote matapeli mafisi pori nyie

  • @mnipulamahahi9858
    @mnipulamahahi9858 Месяц назад

    Sasa huyu jamaa namshangaa mbona haongei mpaka aonge sule

  • @ibrahimwainaina3243
    @ibrahimwainaina3243 Месяц назад

    Huyu ni mpumbavu tu wa kawaida, mara hafai kutoa siri na Dr. Sule ametoa, mara yy tena ametoa. Hamna chochote hapo ni kutafuta tu umaarufu ili apate wateja wa kuwatepeli kisha anataka kunasibisha huo ujinga wake na dini.

  • @ibrahimmzungu3849
    @ibrahimmzungu3849 Месяц назад

    Sulle kasema anatumia NYOTA kama ulisikia na NYOTA sio shirk

  • @user-oj1yp1tt1t
    @user-oj1yp1tt1t Месяц назад +7

    Wanao mpenda sule nipeni like

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 Месяц назад

      Wote washirikina tu wacheni kuwasiliza,someni Quran surat Al jini

  • @user-zq2be4xr1o
    @user-zq2be4xr1o 29 дней назад

    Wakristo msiji kujishebeduwa kama nyie watakatifu , wanani ambawo wanaofanya maajabu Kati ya wakristo nawaislam? Nyie mnajiita ma ma nabii kama example tibi Joshua, wakina Ezekiel wa Kenya nawengineo, hiyo miujiza inatoka wapi kama sio uchawi, nyie ndo msisemi kabisa

  • @Officialmosiaccount-ks5yi
    @Officialmosiaccount-ks5yi Месяц назад +1

    Hata Mimi nimesoma dini kijana sio wew tu Kuna Aya inasema na zizungumzieni nema alizokupeni Allah. Sule professional huku muelewa sule anazungumza vile ILI VIJANA tuamke na tusikate tamaa utajiri unawezekana alafu wewe unakuja kueka kama bifu Sasa hata Mimi niwe tajiri Leo nitasema nimepata kwanjia hii ili NAWEWE ufanye maamuzi YAKO sijaona kosa Kwa sule mimi

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n Месяц назад

      Huyu jamaaa ni mpuuz san anajifanya anajua acha majungu bin laden fanya yako watu kam hawa ndio wale weny husda na neema za watu

    • @Fatma99-ve7ys
      @Fatma99-ve7ys Месяц назад

      Ila mm naona maelezo yako na yadockt sule hayana tofaut sana

    • @user-yd3me5rr2z
      @user-yd3me5rr2z Месяц назад

      Kijana amekosa kumuelewa sule, na huyu mwana habari n mgonganishi sana na ukimchunguza n kama anajaribu kuwagonganisha sule na huyu kijana

  • @allenluanda1353
    @allenluanda1353 Месяц назад

    Sasa kama mtu kageuza iPhone ili tuone macho 3 😅 huyu ni mtafuta kiki tu anataka kwenda mjini mm ni mkristu ila Sure,mazinge,waridi,shafi, n.k nawakubali huyu ni mtafuta kiki tu

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 Месяц назад

    Sasa simuongee Kama waganga na huache kuudhalikisha uislamu mbwa nyie

  • @ibrahimwainaina3243
    @ibrahimwainaina3243 Месяц назад

    Jina twahara lenyewe lampa tabu kulitaja!

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c Месяц назад

    Naaamini sana bible. Yesu alisema. Siku zamwisho. Yaligizani yote yatawekwa kwenye mwanga. Yote yataoneka..Sasa ndimjue keamba hii dini. Niyakishetani. Japo namakanisa yapo yakishetani. Ila kikubwa. Someni biblia. Na muiamini. Mtaishi kwa raha sana shetani atawakimbia

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j Месяц назад

    Fanyeni mambo yenyu watanzania Au mmekosa ya kufanya allah ndio mjuzi

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n Месяц назад

      Umeonaaaa yaan mtu anakaa kufatilia Pete za watu marq sijui utajir wa mtu vinawahusu nn? Kam.yy anakwenda kinyume na aliyemuumba bas atakapokufa hamuend wote atakwenda kujibu kwa molla wake yy kam yy wtz fanyen kaz achen majungu kuchunguzana Allah anasema ktk Quran na wala msichunguzanechunguzane unakaaa unamuongeleq mtuuuuu jmn kam na ww unataka huo utajir wa viumbe si umwite maimuna akupe pesa 😂😂😂😂😂😂😂😂wabongo bhn kwa majungu hamjambo

  • @fredrickmusire5610
    @fredrickmusire5610 Месяц назад

    Dr miti mingi husema anamiliki majini kumi na wana mpatia mbunga. Kwa kweli ukimuona anaeuzo. Je huyu sheikh anasemaje?

  • @kheiramour2973
    @kheiramour2973 Месяц назад

    Anatafuta upepo kupitia dr sule

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 Месяц назад

    Haka kajamaa nikama kanakunja hivi kanapoambiwa Kushindwa kimafanikio

  • @citygraphics6670
    @citygraphics6670 Месяц назад

    MBONA INATAJWA ELIMU TU , HAISEMWI ELIMU GANI? HIYO SIO ELIMU YA UISLAM NI ELIMU YA KICHAWI
    KUWENI WAWAZI

  • @NkunzimanaKevin-ck7lv
    @NkunzimanaKevin-ck7lv Месяц назад

    Hiyo ni uongo. Siyo wote hawasemi. Mbona kila mtu anajua wasani wa Marekani wanaabudu Lucifer pia wenyewe wanakiri hivo mu nyimbo zawo kwani wao siyo kuvunja masharti?

    • @SirBinLaden
      @SirBinLaden Месяц назад

      Hao wamarecan wameshawah kukuambia au ww unahisi tu😅😅😅

  • @Putin331
    @Putin331 Месяц назад

    Hawa wasenge wanatengeneza content 😂

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Месяц назад +3

    Dah uyu jamaa kasomea vzr na maelezo yake yamempita dr sule kwakweli endeleeni kumuhoji tupate vitu vipya

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 Месяц назад

    Nyote wewe na sule nyote washirikina unaasha ,ane tajirisha ALLAH PEKEE ,MBONA WEWE HUJAWA TAJIRI ,WAONGO WAKUBWA NYIE

  • @rockstarsamk9043
    @rockstarsamk9043 Месяц назад

    mashetani wataibuka kweli kweli yan mashekhe wengi washirikina

    • @SultanSaid-js9yj
      @SultanSaid-js9yj Месяц назад +1

      Acha kuchanganya shekhe na wa Ganga kuwa na adabu kaka

    • @rockstarsamk9043
      @rockstarsamk9043 Месяц назад

      @@SultanSaid-js9yj kak ni waganga tu ushawah kumsikia shkeh wa sunnaa akzungumzia uchawi kama huu

    • @user-wg2gd2nl6c
      @user-wg2gd2nl6c Месяц назад

      Mrikua hamjui. Kila kiongozi wakiislam. Wote lazima. Wawe hivyo. Njoooni kwa YESU

    • @rockstarsamk9043
      @rockstarsamk9043 Месяц назад

      @@user-wg2gd2nl6c mdgo wangu kama utakufa bila kumuamin Allah na muhammad utaAngamia nakusihufate uislamu

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv Месяц назад +2

    Ulingo wenu sisi wakristo tunakaa pembeni wazee wa majini

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 Месяц назад +1

      Sio kila muislam ana majini shekhe wangu

  • @mnipulamahahi9858
    @mnipulamahahi9858 Месяц назад

    Kwani useme amekosea umempa wewe

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud 17 дней назад

    Nyie ni wajinga

  • @user-dq1qs7nc4o
    @user-dq1qs7nc4o Месяц назад

    huyu ndo katika wale ambao erimu Yao ndogo tusi shangae

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 Месяц назад +2

    Niliwahi sikia pindi jini anaweka makazi ndani ya mwili wa binadamu moja kwa moja anakua amekufuru na kuwa shetani
    Sasa Sheikh anasema jini anaekeua mwilini na kukusaidia hii siwazi tayari makosa haya