SHEKHE MWENYE UWEZO ATOA ELIMU "UTAJIRI WA MREMBO ANAYEISHI NA NYOKA UKWELI ULIOJIFICHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 май 2024

Комментарии • 36

  • @josphinenduta2011
    @josphinenduta2011 28 дней назад +3

    Nimesoma kitu leo. "lazima umuasi Mungu pakubwa" Sasa naelewa hawa waasi waumini

  • @SalehRajab-ll7ng
    @SalehRajab-ll7ng 22 дня назад

    Shekhe haifai kufundisha elimu hiyo ya kuwaita majini ni zambi tumtegemee Allah (sw)

  • @ramazaniboggard8813
    @ramazaniboggard8813 26 дней назад

    Subhanallah 😳😳muokopeni Allah

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 День назад

    Mchawi!

  • @amanzuberi2138
    @amanzuberi2138 28 дней назад

    Sawa sawa saw sawa

  • @UmmuIsmail-of1nd
    @UmmuIsmail-of1nd 23 дня назад

    Ustadh n we watuambiaje kuhusu Pete ulovaa..!! Nayo niya bahati? Sory

  • @g_forcemusician4242
    @g_forcemusician4242 27 дней назад

    Sawa sawa nyiiiingi

  • @AkilidjumaMundu-ub9os
    @AkilidjumaMundu-ub9os 24 дня назад

    Mimi ninahitaji mali nahitwa Djuma Akili naptikana nchini Burundi Bujumbura napenda kujihunga nawewe

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 26 дней назад

    Ya nini Hayo yote eti utamke Maneno mara Elfu Moja 😅

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 26 дней назад

    Naungana na huyu kijana, yule dada ni kiki hakuna jini anayeonekana msituburuze sie, kila siku mna majambo mapya! Allah awasamehe bure.

  • @ashgothey
    @ashgothey 28 дней назад

    Sawasawa

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 28 дней назад +1

    Hii ni ukweli ama ni story tu za jaba

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 28 дней назад +3

    Majini wameweza this time uko bongo wana Kiki kuliko kina zuchu

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed 28 дней назад

    Hizi pesa ziko sawa kweli na wanzitoa wapi serikali iwachunguze

    • @berry4726
      @berry4726 27 дней назад

      Serikali wenyewe ni wachawi tu.Wamewaficha ukweli.

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 28 дней назад

    Siku hizi hata majini wanatafuta Kiki mara unasikia free mans 😮Sas hivi tunaona wanatumia Nyoka 😂kumbe. si akina Nasibu na harmonaz ,bongo fleva

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 27 дней назад

    Ukute hawa na manyoka yao ni watoto wa wafuga majoka kwahiyo walishazoea kucheza nayo hayo halafu wanatupandisha presha sisi mitandaoni

  • @user-bb8de4bl5n
    @user-bb8de4bl5n 27 дней назад

    Ni kiki ile sio kweli matangazo ya waganga ili mafala wapigwe

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 26 дней назад

    Hii story ni kick. Tumeona mama yake na baba yake ni vitu tofauti mama kfunguliwa biashara Kariakoo na ana gari. Baba anaishi maisha magumu mno shamba

  • @Putin331
    @Putin331 27 дней назад

    Huyo shee anafirwa mkunduni yeye na majini wake

  • @japhetnduti9102
    @japhetnduti9102 20 дней назад

    Wewe ni mganga mkweli.

  • @lovelableru
    @lovelableru 27 дней назад

    Na Ruhani ni nn haswa

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 27 дней назад

    Shehe wangu wewe muogope Allah maneno yako yatawalibu w2 mtaani

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 28 дней назад

    Rangi nyeusi inawakilisha mamlaka

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 27 дней назад

      Hayo maneno yote mawili maana yake moja

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 24 дня назад

    Yule sister du ni muongo anatafuta Kiki , History nyingi zimeelezwa kuhusu mali za ushirikina mfano kama chumba fulani mtu yeyote hasiingie pasi na mwenyewe, na ndimo ndani yake uishi jini katika umbile la nyoka au la kunakuwapo na misukule au misukule , story nyingi ufanana , sasa huyo dada wazi ni muongo mtupu

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 27 дней назад

    Mmemuelewa huyu majini ni mashetani walishakula kiapo kuwa lazima tuwaharibu hawa twende nao motoni waislam ondokeni huko hakuna Mungu