MAFUNZO YA UWEKEZAJI KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI KWA KAMATI YA PIC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • ​Benki Kuu ya Tanzania ikiongozwa na Naibu Gavana, Dkt. Bernard Kibesse, imekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na kutoa elimu kwa wajumbe wa kamati hio kuhusu namna ya kuwekeza katika Dhamana na Serikali za muda mfupi na muda mrefu jijini Dodoma.

Комментарии • 6