BIBLIA INARUHUSU KUNYWA POMBE SIO DHAMBI KWA NINI TUNAKATAZWA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 48

  • @SuleymanMussa-k7m
    @SuleymanMussa-k7m 2 месяца назад

    Wewe mwalim nakukubali sana

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 2 месяца назад +1

    Hiki kipindi huwa nakifuatiliaga kila ijumaa,napata kujifunza sana,ahsante mwalimu Isaya,kazi yako ni njema mno. Nipo Dodoma,ubarikiwe wewe na mtangazaji

  • @RaphaelMichael-yx7xf
    @RaphaelMichael-yx7xf Месяц назад

    Amina

  • @RaphaelMichael-yx7xf
    @RaphaelMichael-yx7xf Месяц назад

    Nakuamini sana

  • @GideonNzige-k7i
    @GideonNzige-k7i 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana

  • @Georgekapiki
    @Georgekapiki 2 месяца назад +1

    Nakukubali sana Benson mafundisho

  • @markojames7855
    @markojames7855 2 месяца назад

    Duuh ya mfua vyuma yameisha leo tena pombe yaanni . Katika arus ya kana na Galilaya Bwana wetu Yesu alitengeneza nn. Naomba jibu isaya

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 месяца назад +1

    Kwa kweli bibilia imewaruhusu wakiristo wanywe walewe mpaka watapike hilo ni andiko lipo

  • @JackJohn-r4r
    @JackJohn-r4r 2 месяца назад +1

    Ww mwarim utahukumiwa

  • @Kablizasekanabo
    @Kablizasekanabo 2 месяца назад

    Methali 31:6. Umupe mutu anayekaribia kufa kinyaji kikali, uwape divai wala wenye huzuni tele.😊

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 месяца назад

      Bibilia imetungwa na wapagani ilikuwachanganya binadamu mmbahuohuo inaikubali pombe mdahuohuo inawakataza sasa hayakweli nimaneno ya mungu yakuchsnganya changanya wanadamu?? lazima wanadamu wafikirie kwamba bibilia sio kitabu chamungu bali niwajanjatu walikaa wakatunga maandiko Yao nakuchanya na maneno ya mungu ndani yake lakini wachungaji na mapasta wanajaribu kuyashebushebutu iliyaonekane niyakweli na bibilia isikataliwe lakini kukweli siyo maneno ya mungu ndiomaana wachungaji na mapasta wanaokotaokota hukunakule kumtafuta maana inayo lizisha 😂😂😂😂kama umegundua piga like tukisonga ndio maana unaona huyujamaa anatoa mifano kibao huu niujingatu

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 2 месяца назад +1

    KUNYWA NDIO ILA KWA KIASI, UKIZIDISHA UTALEWA, HIVYO NI KWA KIASI. KAMA HUWEZI KUNYWA KWA KIASI BASI ACHA KUNYWA KABISA

  • @LovenessSamwel-t5b
    @LovenessSamwel-t5b 2 месяца назад

    Naomba kuku uliza nuhu akiwa mtumishi wa mungu alikumywa nabado akapendwa na mungu je Mimi nitafite kupendwa na wewe au mungu

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 2 месяца назад

    Yesu alitengeneza pombe kwenye harus mjini kana.inaruhusiwa

  • @johnswai1231
    @johnswai1231 2 месяца назад +1

    Kila kitu Kwa kiasi brother usitupige na mistari ya mchongo

  • @bugingondo2349
    @bugingondo2349 2 месяца назад

    mskristo na wala ukristo haujui
    YESU hakuwahi kuingia KANISANI nawala kanisa halijui coz uhaiwa YESU kulikuwa na SINAGOGI(MSIKITI) NA HEKALU ambolo pia sio kanisa
    YESU alizikwa kwa sanda na kila mkristo huzikwa na mavazi
    MWALIM NIELEWESHE KUNA UKWELI GANI JUU YA HIILI🙏

    • @ngerejaboniface2596
      @ngerejaboniface2596 2 месяца назад

      Boss sinagogi sio msikti Bali ni hekalu! Bas ukitaka liwe msikiti basi waisilam wanapaswa kuishika sabato maana yesu hakuvunja sabato!

    • @bugingondo2349
      @bugingondo2349 2 месяца назад

      @ngerejaboniface2596 kasome tafsili rudia tena na tena maana ya sinagogi ni msikiti hekelu huwa ni hekalu tu

  • @AndondileKaliboti
    @AndondileKaliboti Месяц назад

    pombe hairuhusu kunyekwa

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 2 месяца назад

    Yani mimi nashenda kuwaelewa wachungaji na mapasta yani bibilia inasema kwanywapombe harafu wao wanakataa nakubadilisha maneno sasa tuamini bibilia namaandiko kama yalivyoandikwa au tukubali maneno yenu wachungaji maana sielewi ndio maana nasema bibilia sio kitabu chamungu wala sio neno la mungu baliniwapaganitu walikaachini wakaandika story zao kwajili ya kuitawala Dunia kupitia mungu

  • @MartineJoseph-u6i
    @MartineJoseph-u6i Месяц назад

    Kuhusu mathayo 11:18_19 inakuwaje?

  • @Benevolence2022
    @Benevolence2022 2 месяца назад

    Soma Kumb: 14:26

  • @paulchagonja
    @paulchagonja 2 месяца назад

    Pombe ni mama wa maovu

  • @obongobongo77
    @obongobongo77 2 месяца назад

    Aya maneno yasioaminika..kitabu cha enoki -malaika waliozaana na binadamu wamefungiwa sehemu ila yesu alizaliwa na binaadam. Kwanini hajafungiwa

  • @johnkiimbila6799
    @johnkiimbila6799 2 месяца назад

    Pombe ilitumika kama sadaka madhabauni.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 месяца назад +1

    Pombe imehalalishwa tena unywe ulewe mpaka utapike

  • @semwandambaza2184
    @semwandambaza2184 Месяц назад

    Hapana haiwezekani. Uwo ni uongo kwa sababu ukinywa pombe unaondoka fahamu za kawaida inayo kupelekea kutenda dhambi za aibu .ndio maana tunakatazwa kunywa pombe🥃🍺🍸🍷👎👎👎

  • @AndreaJoseph-fm9rf
    @AndreaJoseph-fm9rf 2 месяца назад

    mwalimu naomba kuuliza hiv samaki mtu yupo ?

  • @shortverses1604
    @shortverses1604 2 месяца назад

    We Benson sasa naona umeanza kutuchoka, unabadilika sasa unakuwa kama nabii tito. Mada zako skuiz hueleweki au cjui iluminat washakununua!

  • @nimrodadam5395
    @nimrodadam5395 2 месяца назад

    Mwalimu bwana asifiwe...naitwa Nimrod Adam nipo dodoma nilikua nauliza biblia ilikua inamaana gani kusema roho mbaya kutoka kwa Mungu alimuingia sauli? kipindi ambacho sauli alikua namuonea wivu Daudi.
    Inamaana yule roho mbaya alikua anamuingia sauli mara zote alitoka kwa Mungu au ilikua inamaanisha nini?

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 2 месяца назад

    Jamani huyu ni mtu ameajiriwa na shetani,acheni kumsikiliza hasa wewe usiejuwa maandiko, kama huju I kweli Yani NENO la mungu ambae ni kirsto mwenyewe huyu atakupoteza,ukitaka kumjua madam zake zote zinapingana na NENO la MUNGU

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 2 месяца назад

      Sasa ww unajua maandiko gani unakaliki tu najua hujui muujiza kwa kwanza wa yesu alitengeneza pombe

  • @TejonnNdile
    @TejonnNdile 2 месяца назад

    Paul alikuwa anaongea na watu wa Petro ikiwa katika nchi ya wayahud ambao wanakana ukuu wa kristo.
    Leo sisi ni wafrika, tunaingiaje hapo.

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 2 месяца назад

    Huyo mzee sio -----7?

  • @DulaJuma-g2w
    @DulaJuma-g2w 2 месяца назад +1

    Acha uongo acha ngonjera towa aya inayokataza kunywa pombe ndani ya bibilia?

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 2 месяца назад +1

    Huyu ni ajenti wa shetani wewe unaejifunza kwake,ole wako umepitea

  • @paulchagonja
    @paulchagonja 2 месяца назад

    Biblia inasema POMBE NI MAMA WA MAOVU......

  • @TejonnNdile
    @TejonnNdile 2 месяца назад

    Vipi kuhusu serikal ya Israel kutaka kuondoa alama ya msalaba kwenye kabur la mwanajeshi mkristo, ina maanisha nini
    Je sisi tunaita Israel taifa teule na tukiamin katika Kristo YESU na wao Israel hawaamin ukuu wa YESU, tunaungamanishwa vipi nao ????

  • @johnswai1231
    @johnswai1231 2 месяца назад +1

    Unapo jiita wewe kuwa mwalimu fundisha usiubiri maneno ya walokole fundisha neno kama Lili vyooo usilete siasa

  • @johnswai1231
    @johnswai1231 2 месяца назад +2

    Kaka kunywa pombe sio dhambi maandiko kibao Yana zungumzia pombe ila nyie walokole mna soma biblia Kwa maslai yako

  • @sergiokibala5459
    @sergiokibala5459 2 месяца назад

    Kwanini humkatazi rafiki yako putina asilewe?

  • @johnswai1231
    @johnswai1231 2 месяца назад

    Unajitetea wewe au unaitetea biblia sikia kaka Kila kitu kwa kiasi hakuna amri unayo vunja mtu akinywa pombe

  • @johnswai1231
    @johnswai1231 2 месяца назад

    Dhambi ni kosa la mtu kuvunja amri ya Mungu amri ziko kumi usinywe pombe ni amri ya ngapi? Acheni siasa za dini