MITIMINGI # 365 SIRI ILIYOMO NDANI YA FUNGU LA KUMI (ZAKA)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Watu wengi sana wanatafuta kuombewa, Sabuni wamepewa, Mafuta wamepewa lakini hawajafanikiwa na magonjwa hayajatoka.
    Je? Kuna siri gani iliyomo ndani yake.
    Fungu la Kumi = Zaka ni Sehemu ya kumi ya mapato upatayo.
    By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

Комментарии • 57

  • @minanielikana
    @minanielikana 11 месяцев назад

    Jamani musitapeli watu. Matayo 23 :1-39nehemiya 13:1 endelea 14:8 eblania 5:1-14 eblania 7 :1-28 tunataka tujuwe zaka Ni nini.
    Mwanzo 13:13 -24 Ablahamu ilikuwa siyo Mali aliotafuta.
    Ache utapeli nagutapeliwa.
    Soma eblania 10 :1 -18.
    Tutaendelea

  • @RhianShauri-h8r
    @RhianShauri-h8r Месяц назад

    Uko juu mtu wa mungu

  • @sammykariuki-s2d
    @sammykariuki-s2d 7 месяцев назад +1

    Matajiri wengi mnaowaona hawatoi zaka utoa sandaka, zaka yakupima imani,

  • @saadahussein8777
    @saadahussein8777 6 лет назад +4

    napenda sana mafundisho yako ubarikiwe sana

  • @minanielikana
    @minanielikana 11 месяцев назад

    Yesu ndio aliejitowa kuwakikumi
    Mama yake zaka.

  • @jessenjiraine9851
    @jessenjiraine9851 9 месяцев назад

    We are no longer under the law we are under the grace,huu utapeli

  • @reveliusmuchruza7952
    @reveliusmuchruza7952 Год назад

    R.I.P Mtumisha wa mungu na akupokee ktk mikono yake

  • @jacksonngilu6097
    @jacksonngilu6097 2 года назад +1

    Vizuri sana. Washika wa Ministry ya Neema juu ya Neema wa Mzee wa Neema, ni vizuri pia wasikie mafundisho haya

  • @aishasasha350
    @aishasasha350 3 года назад

    Asante kwa hili somo nimeitafuta sana barikiwa

  • @marwajosephnyabasama7559
    @marwajosephnyabasama7559 6 лет назад +5

    Mchungaji je ukizidisha zaka pia ni kosa

    • @emmysam7938
      @emmysam7938 Год назад +1

      Me naona Bora uzidishe kuliko upunguze

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k Год назад

      Kama umezidishiwa, ni vizuri pia kuzidisha, ni ishara ya upendo wako na Mungu

    • @iddimngazija1957
      @iddimngazija1957 Год назад

      Kile kinacho zidi kitukua ni sadaka,kwaiyo utakua umetoa sadaka na zaka unapata malipo zaid

  • @frankevarist1928
    @frankevarist1928 6 лет назад +2

    Very Right Pastor

  • @nkombejonathan2858
    @nkombejonathan2858 2 года назад +3

    Fungu la kumi katika Agano Jipya ni wizi na uhuni wa wale wanaitwa Wachungaji kwa kuwa zaka au fungu la kumi liliwahusu kabila la Lawi, ambao ni miongoni mwa makabila ya wana wa Israeli.
    Paulo anasema :, Tulifanya kazi kwa mikono yetu ili tusimwelee mtu. 1 Wathesaalonije 2:7
    Hawa wa kisasa wanaelemea

  • @DanielOchieng-g1j
    @DanielOchieng-g1j Год назад

    Huu ni utapeli mkubwa,Mungu hatubariki kwa kuwa tunatoa zaka Bali kwa kuwa anatupenda

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 лет назад +2

    haha ati sabuni umepewa lakini wapi! barikiwa pastor

  • @frankevarist1928
    @frankevarist1928 6 лет назад +2

    Very True

  • @SALOMEWILIAS
    @SALOMEWILIAS 6 месяцев назад

    Amina

  • @minanielikana
    @minanielikana 11 месяцев назад

    Ndugu zanguni Mungu umupe kitu gani asicho nacho? Muache kuibiwa!!

  • @samveya9456
    @samveya9456 7 лет назад +2

    Good

  • @stevekweca8882
    @stevekweca8882 Год назад

    Amen

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 3 года назад

    Mafundisho mazuri kweli

  • @blendabenny271
    @blendabenny271 7 лет назад +1

    nice

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 3 года назад +1

    Vtrue

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Год назад

    Continue to Rest in peace Dr Mitimmingi😭😭🙏

  • @johncharleslufunga6451
    @johncharleslufunga6451 Год назад +1

    Hakika natoa ushuhuda nimeona nguvu ya zaka

    • @sammykariuki-s2d
      @sammykariuki-s2d 7 месяцев назад

      Nguvu ya zaka ni kutambua umebarikiwa, sandaka iliotimilifu na iliotosha yenye nguvu na yenyfe Baraka Yesu Kristo,,.... Malachi 3 haiongei na mkiristo,.... Fungu la kumi ni kiwango ya kumtolea Mungu, tena kutoa kwa hiari, kabla sheria Ibrahim akamtolea Mungu (melchizedek) kwa hiari not forced,.. Mungu ashakubariki tayari, Sasa omba kwa Imani, Mungu alinde Mali yako, ombea kila jambo,

  • @lavinealphoncebujiku9879
    @lavinealphoncebujiku9879 2 года назад

    Kweli kabisa

  • @fkam5095
    @fkam5095 7 лет назад +2

    amen

  • @graceful3684
    @graceful3684 4 года назад

    Amina.

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 лет назад +1

    naomba unijibu pastor je ni vema nikiwatolea watoto wangu zaka baada ya kuwafundisha umuhimu wa kutoa zaka? bado ni wanafunzi hawana kazi, jibu naomba

    • @mitimingionlinetv9896
      @mitimingionlinetv9896  5 лет назад +2

      Judith Njunwa Bwana Yesu asifiwe. Yes ni vyema na ni sahihi kuwafundisha kutoa zaka wangali bado wadogo. Unawafundisha kwa vitendo. Hauwatolei wewe lkn unapaswa uwape na kuwaambia hii ni zaka. Kadri wanavyokuwa unaendelea kuwafundisha Zaka ni nini. Wakikuwa wazima lkn wanapewa pocket money - unawaambia na kuwafundisha katika hii elf 10 uliyopewa unapaswa kutoa zaka kiasi fulani. Hapo ndio utawaacha wao waweze kujisimamia wenyewe.
      MITIMINGI p. +255 713 18 39 39

    • @judithnjunwa6668
      @judithnjunwa6668 5 лет назад +1

      naomba jibu pastor nimekuuliza swali

    • @judithnjunwa6668
      @judithnjunwa6668 5 лет назад +1

      @@mitimingionlinetv9896 asante kwa jibu zuri pastor,MUNGU BABA azidi kukupa ufahamu wake ili tupone na familia zetu. nimekupenda bure

    • @geofreypila6385
      @geofreypila6385 4 года назад +1

      Samahan,naomba nijibu walau Biblia siifahamu vizuri naomba tusome katika kitabu Cha Ayubu 1:5 Basi Ayubu alikuwa akiwatolea zaka watoto wake alisema yamkini watoto wake huwenda wamefanya dhambi

    • @anithakihwaga760
      @anithakihwaga760 2 года назад +1

      Ni mhimu SANA kuwapa zaka wakatowe watoto wako,na ukiwafundisha,IlI hata wakikua wawe na uwezo wa kujisimamia wenyewe,na watakuwa wepesi hata kuwasaidia wengine

  • @yusuphkiduko2641
    @yusuphkiduko2641 2 года назад +2

    Je ?? Nikiongeza kiwango cha Hela kwenye zaka nikosa

  • @georgefesto8455
    @georgefesto8455 11 месяцев назад

    Utapeli mtupu

  • @emmanuelathuman896
    @emmanuelathuman896 Год назад

    Ungesema Nani anatakiwa apokee fungu la kumi na Nani anatakiwa ale Hilo fungu

  • @jessenjiraine9851
    @jessenjiraine9851 9 месяцев назад +1

    Kumbe hata wewe miti mingi ni tapeli?

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 10 месяцев назад

    Wrong all belongs to God

  • @yeremianiyonzima3461
    @yeremianiyonzima3461 7 лет назад +1

    Good

  • @josemagasha5158
    @josemagasha5158 6 лет назад

    amen