Yesu alikuja duniani kwa ajili ya wenye dhambi na wenye dhambi wakapata Milki mpya kwa njia ya ukombozi. Na fungu la kumi ilikuwa ktk agano la kale. Jipya Ni matoleo au sadaka Ni zaidi ya fungu la kumi.ni kutoa kwa moyo wa kupenda bila sheria, yaani torati. Mungu tusaidie sana
Barikiwa sana mrumishi kwa ujumbe wako...naomba kuuliza ivi nikatenga zaka yangu ila sijaipeleka madhabahuni nikawapatia watu wenye shida katika jamii kama vile watoto yatima au watu wanaoishi katika mazingira magumu ni nitakua niko nimefanya sawa sawa.????
Hili fundisho linaua kanisa Na kuliweka kanisa kwenye laana ya TORATI Na hiyo kumbukumbu hajaimalizia maana haijaagiza kutoa hela Alafu hilo suala la hela kuwa jiwe na kujikwaa na kuwa kikwazo na wewe mtumishi unalo ndomaana unalifundisha
haha pastor unachekesha ila unasema kweli tupu ya MUNGU BABA ni kweli ukila fungu la MUNGU ni balaa,mimi namshukuru MUNGU natoa tena kamili,hata watoto wangu MUNGU aliotupa nawatolea zaka. kwa hapo jamani siyo mwizi kabisa.
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya wenye dhambi na wenye dhambi wakapata Milki mpya kwa njia ya ukombozi. Na fungu la kumi ilikuwa ktk agano la kale. Jipya Ni matoleo au sadaka Ni zaidi ya fungu la kumi.ni kutoa kwa moyo wa kupenda bila sheria, yaani torati. Mungu tusaidie sana
Sauti ingali ikinena asante yesu kwa zawadi hii
Barikiwa sana mrumishi kwa ujumbe wako...naomba kuuliza ivi nikatenga zaka yangu ila sijaipeleka madhabahuni nikawapatia watu wenye shida katika jamii kama vile watoto yatima au watu wanaoishi katika mazingira magumu ni nitakua niko nimefanya sawa sawa.????
Nime barikiwa sana kunzia leo natoa fungu la kumi
Asante Mtumishi kwa kutuwekea somo zuri, Barikiwa na BWANA
Nzur pasta
Somo zuri sana ZAKA
somo zuri
Hili fundisho linaua kanisa
Na kuliweka kanisa kwenye laana ya TORATI
Na hiyo kumbukumbu hajaimalizia maana haijaagiza kutoa hela
Alafu hilo suala la hela kuwa jiwe na kujikwaa na kuwa kikwazo na wewe mtumishi unalo ndomaana unalifundisha
Jiangalie ndugu
mtumishi naomba kuuliza ukiwa unafanya kazi utatoa fungu la kumi kwenye gross salary au ile net salary??
Waliobarikiwa na MUNGU mtu asiwaite mwizi
Aisee MUNGU tuokoe