MITIMINGI # 379 UKITAKA KUFANIKIWA JIBORESHE WEWE MWENYEWE KWA KUJIENDELEZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Watu wengi sana wanataka wafanikiwe kibiashara, kihuduma au kimkakati mwingine wowote lkn hawajiboreshi wao wenyewe kwa kujiendeleza.
    Wanataka biashara zao ziwe za kimataifa lkn kiingereza hawajui. Kanuni ya kufanikiwa inasema ukitaka kufanikiwa jiboreshe wewe mwenyewe kwa kujiendeleza.
    SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA
    By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

Комментарии • 5