FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 20) FINAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии •

  • @kicheche1570
    @kicheche1570  9 месяцев назад +2085

    ASANTENI KWA WOTE MLIO NISAPOT KWAANZI MWANZO MPAKA MWISHO WA TAMTHILIA YETU PENDWA SINA LAKUSEMA ZAIDI YA KUWAAMBIA NAWAPENDA SANA❤ NAITWA MAKOTI 🙏

    • @gbwaycentralzone5231
      @gbwaycentralzone5231 9 месяцев назад +67

      Tuandalie nyingine mkuu sisi tupo na wewe 😊

    • @jeanneo473
      @jeanneo473 9 месяцев назад +61

      nami nakupenda, sema endeleza pesa na matatizo

    • @Salhiya96
      @Salhiya96 9 месяцев назад +23

      Tuandalie nyengn mkuu 😢😢😢

    • @RadhackMaestro-g8z
      @RadhackMaestro-g8z 9 месяцев назад +26

      mmbwa wewe umetisha sana 🦁♥️♥️🔥🔥

    • @Monystar01
      @Monystar01 9 месяцев назад +19

      Lete mzigo mwingine mbwa ww😂😂

  • @NdayishimiyePacifique-xo7ry
    @NdayishimiyePacifique-xo7ry 9 месяцев назад +72

    Kicheche karibu tena Burundi
    Wewe ni Simba
    Mungu Akupe maisha malefu

  • @Nkurunzizaidrissa
    @Nkurunzizaidrissa 9 месяцев назад +403

    Niliwaza mimi niwakwanza kutoka burundi kumbe
    Mnipeni japo like5

    • @vallesndayishimiye2396
      @vallesndayishimiye2396 9 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @KoarsKoars0-uz9mb
      @KoarsKoars0-uz9mb 9 месяцев назад +2

      Haki Burundi 😂😂😂😂😂😂 kwetu pametoka mapacha turagukunda natwe

    • @Nkurunzizaidrissa
      @Nkurunzizaidrissa 9 месяцев назад +1

      @@KoarsKoars0-uz9mb amaboko hejuru ✋️✋️✋️✋️

    • @paragraphcomedy
      @paragraphcomedy 9 месяцев назад

      ruclips.net/video/ggMS3bcn23I/видео.htmlsi=vpYbt--jKeb_4DXi

    • @RebeccaMuhimba-be1pj
      @RebeccaMuhimba-be1pj 9 месяцев назад

      natwe turakomeye

  • @Marcus92378
    @Marcus92378 9 месяцев назад +56

    Sisi waliyo anza mwanzo Adi mwisho naomba like zenu from RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kicheche ni noma😂😂

    • @JosephinaUrbain-q7l
      @JosephinaUrbain-q7l 9 месяцев назад

      ❤❤❤

    • @SarahMheranyi
      @SarahMheranyi 7 месяцев назад

      Kwa upande wangu nawashukuruni ndugu zanguni tuliofatilia familia ya mzee kicheche mwanzo mwisho nna imani tumejifunza k2 2ko pamoja sana😊😊❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 9 месяцев назад +31

    Mwisho wa filamu yetu hii pendwa ndo mwanzo wa filamu nzr nyengn tunakukubali sana kicheche mbwa ww Pamoja na timu yako mmetisha sana❤❤❤🎉🎉🎉

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 9 месяцев назад +93

    Katika muvi yote nilikua napakubali Sana kwa chief malangalila tulowakubal mwanz wakaz ad mwsho tujuane kwa like apa pamoja Sana Kaz nzuli tupo tayar kwa mext❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 9 месяцев назад +46

    Wenye tulianza mwanzo hadi mwisho piga kelele kwa bwana kicheche AkA makoti❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aishahabibu814
    @aishahabibu814 9 месяцев назад +12

    Asee hongera kwa kazi nzul umetufunza vitu vingi mzee kicheche kutoka kwa kicheche mwenyewe tunasubili pesa na matatizo umalizie

  • @LinnahGervasy
    @LinnahGervasy 9 месяцев назад +10

    Daaaaa ndo mwixho kumbe jamn aaah kicheche so haki bhn fanya kitu tena♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @georgebaitu6356
    @georgebaitu6356 9 месяцев назад +22

    Daaa mm sjawah omba kbsa like jman naombeni leo bac kw final

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 9 месяцев назад +154

    Kwel mapenz hayachagui mtu ni moyo tunaona Amin nguvu ya mapenz katika maisha ya binadam gonga like

  • @MosesGodwinMabanga
    @MosesGodwinMabanga 9 месяцев назад +10

    Hongera sana bwana kicheche mungu akuzidishie,ila tu kumbuka kumwabudu yeye aliye kuumba wew

  • @rostamkombanila9329
    @rostamkombanila9329 9 месяцев назад +42

    mi wa kwanza jamni mnaotamani fmlia ya mzee kicheche isiishe tujuane kwa lke❤❤

  • @neemabaraka3800
    @neemabaraka3800 9 месяцев назад +7

    Chapombe,Manyanya,Maua,vai, Tomboy,Dibwe,mke mkubwa wa chif na watatu,bibi mchawi na yule mkenya hongereni sana Mungu awabariki

  • @SONGA_TZ
    @SONGA_TZ 9 месяцев назад +15

    Tuletee mwendelezo wa PESA NA MATATIZO mbwa kicheche amrishipull chizi upwiru❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @princekillian3640
    @princekillian3640 9 месяцев назад +42

    wakwanza leo from kenya 🇰🇪 much love ❤️

  • @mikadogod1825
    @mikadogod1825 9 месяцев назад +17

    Hongera sana mzee kicheche iyi ni hit huku congo DRC 🇨🇩 goma

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 9 месяцев назад +30

    Dibwe nimempenda sana kachukua mamuzi mazuri sana

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 9 месяцев назад +17

    Dibwela kabeba uhusika na mamb ya vijana yoteee saf san , ombi uendelee kuwa na kicheche. , itakuwa unyama sana , na mashaili. Ni ushindi sana

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 9 месяцев назад +7

    Kicheche hongera sana unaiwakilisha vyema industry hii ya Sanaa ya maigizo.

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany5902 9 месяцев назад +21

    Asante sana nyote mlioshiriki kwenye filamu hii mmeitendea haki sana hongereni sana na mungu aendelee kuwabariki❤❤

  • @Nextboy001
    @Nextboy001 9 месяцев назад +30

    😢jamaa hizi like ni za nini aki jamani ❤hii tamthilia ilikua nzur sana naona hii ndio best ya mwaka kicheche bro uko juu sana pongezi sna shida kumaliza movie fanya kazi kw Hilo ❤❤❤penda sna kutoka Kenya

  • @EliasiNguya
    @EliasiNguya 9 месяцев назад +31

    Leo da wa kwanza aisee sjawahi ata sku moja

  • @TheresiaTemu-ye1lm
    @TheresiaTemu-ye1lm 9 месяцев назад +4

    Asanteni sana timu nzima ya mzee kocheche kwa kweli mmenifiraisha sana sana mmetoa muvi nzur inaelimisha jamii hongereni sanaaa

  • @ChristopheKaongo
    @ChristopheKaongo 9 месяцев назад +4

    Kutoka Lubumbashi drc nawashukuru sana Yani ni mewafafa Tanguy mwanzo mpaka mwisho que dieu vous bénisse veuillez nous apporter des meilleures

  • @PascalWaprince-ww1du
    @PascalWaprince-ww1du 9 месяцев назад +63

    Mimi watatu leo jamini nipeni like zangu, kicheche wewe noma sana from Congo 🇨🇩 hapa yaani kazi zenu nzuri sana boss 🎉

  • @EzekielDebora-cd2ib
    @EzekielDebora-cd2ib 9 месяцев назад +14

    Dibweeee nimempenda sanaaa kumuoa Tom boy wetu

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 9 месяцев назад +17

    Jamani nimewapnd wote waliogiza kw hii movie mko poa san.kicheche safi San mung akuzidishie inshaallah.tunasbr nyngne sasa❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @grtv3727
    @grtv3727 9 месяцев назад +5

    umetisha saana kicheche mzee wa makoti sasa ni wakati wa kutulia na kuandika story nzuri kuliko hii na itakayo zifunika kibenten na hii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @eloungoy1118
    @eloungoy1118 9 месяцев назад +4

    Toka Congo RDC nafurahi saaaaaaaaana kabisa je suis très contente yani furaha ya kupita asantini.

  • @Festomakheja-i9z
    @Festomakheja-i9z 9 месяцев назад +32

    Kicheche ni noma,, baada ya hiii nini inafata

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 9 месяцев назад +22

    Safi sana natumai kuna kizuri zaidi kinakujaaaaà InshaAllah 🙏🎬❤️

  • @azaliasigirukwishaka4540
    @azaliasigirukwishaka4540 9 месяцев назад +55

    Leo nataka like kwasababu wakwanza sijachelewa I love you❤❤❤❤❤❤

  • @ramadhanpeter
    @ramadhanpeter 9 месяцев назад +30

    Kam ww ni mpnz wa kicheche like apa ( kicheche apewe mauwa yke🌹🌹

  • @TuzoMtuku-ju6id
    @TuzoMtuku-ju6id 9 месяцев назад +9

    😢😢 familia ya mzee kicheche imekuwa tamu sana kwann imeisha mapema hvo kama umeangalia toka mwanzo like hapo 😊😊😊😊😊

  • @SebastianDeusSebastian
    @SebastianDeusSebastian 9 месяцев назад +276

    Mie jamn sijawah kupat hat like hat Moja naomben hat 3 tu

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 9 месяцев назад +538

    Km ukiangalia family ya kicheche toka mwanzo adi final like apa😂♥️♥️💞💞💞🇰🇪🇸🇦🥵❤️

  • @SamsonNzababa
    @SamsonNzababa 9 месяцев назад +14

    Mzee kicheche nimekufatilia kutoka mwanzo hadi leo nakesho kazi yako naipenda sana nikiwa Kenya ❤❤❤❤❤

  • @MasuGawe
    @MasuGawe 11 дней назад +1

    Bagosha na bamayo nashilaga utajua ujui😂😂😂😂😂😂

  • @Rutholka
    @Rutholka 9 месяцев назад +5

    Kicheche tunasubiri mwendelezo wa kibenten baba makoti. Kenya tunakuthamini mno..

  • @AROMAA-KING_KENYA
    @AROMAA-KING_KENYA 9 месяцев назад +58

    Chifu malangalilaa kaingia cha kike😂😂 wangapi wanakubaliana na mimi👍

    • @NanzariuAwadhi-jp3qw
      @NanzariuAwadhi-jp3qw 9 месяцев назад +1

      Ivi hii ina kuw lini mpaka lini ??

    • @EverhHope
      @EverhHope 9 месяцев назад

      Ishaisha mamaa ndio ivo​@@NanzariuAwadhi-jp3qw

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 9 месяцев назад +25

    Wa kwanza kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda kicheche champion 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 RDC

  • @Peggybanga
    @Peggybanga 9 месяцев назад +11

    Nawa pongeza sana team yenyu nyinyi nawa kubali sana, manyanya vipi msomi mwenzangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @evelynoscar5104
    @evelynoscar5104 9 месяцев назад +3

    Manyanya umetisha sn tom boy hongera kwako kaka mlevi huna bayaaaaaa

  • @patricksumaili
    @patricksumaili 9 месяцев назад +3

    Pongezi sana kwa kazi nzuri umeifanya bro

  • @KyaloMboya-qg1dv
    @KyaloMboya-qg1dv 9 месяцев назад +47

    Nipeni likes kutoka Kenya 🇰🇪 n mm wa kwanza kuwarch

    • @KyaloMboya-qg1dv
      @KyaloMboya-qg1dv 9 месяцев назад

      Asanten nifuaten kwa tiktok augastine kyaloo nawapenda nyote ata kicheche naomba unifuate n mm kutoka 🇰🇪

  • @SarahAntony-dv2co
    @SarahAntony-dv2co 9 месяцев назад +85

    Chapombe katoa hisia zake leo kama unakubaliana na mm gonga like

    • @pastoribrahimonlinetv
      @pastoribrahimonlinetv 9 месяцев назад +1

      Pa Chapombe movie ilikua inataka kuanza upya sema ndio vile final😂😂😂

  • @Dogokingo
    @Dogokingo 9 месяцев назад +7

    Tuta hikumbuka sana hiii pacha 🎉🎉🎉🎉🎉 manyanya alimuhowa vahi ahu

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 9 месяцев назад +8

    Dibwela next level talent 😅😅😅

  • @nancyatandi-s6y
    @nancyatandi-s6y 9 месяцев назад +3

    Hongera sana tumejifunza mengi tangia mwanzo mpaka mwisho lililo wika mjini limerudi kiwete jogoo lashamba🎉😂🎉🎉🎉🎉

  • @LeonSimba-ut9wo
    @LeonSimba-ut9wo 9 месяцев назад +10

    Wa kwanza kutoka USA Thanks Sana Kicheche

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 9 месяцев назад +38

    Namba moja kutoka mwisho naombeni like wapendwa wangu from🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @delvojr5034
    @delvojr5034 9 месяцев назад +16

    Hhahah nakuwa wakwaza leo naomba mauwa yagu

  • @ericanduye5876
    @ericanduye5876 9 месяцев назад +3

    Kwakweli Mimi nimefatilia mwanzo mwisho yaani Iko vizuri, inafundisha inachekesha, inahuzunisha hongera kwako Uliye andaa hii tamthilia

  • @Moisemurongani
    @Moisemurongani 8 месяцев назад +1

    Nimeipenda saaaana mzeeee kicheche❤❤❤❤😂😂😂una vituko weweeee

  • @nadhifahashim
    @nadhifahashim 9 месяцев назад +17

    🔥🔥🔥nimeifatilia mwanzo mwisho nzurii Sanaa nimejifunza v2 ving❤❤

    • @bonifacehamis4088
      @bonifacehamis4088 9 месяцев назад

      Vingi mno
      Tamaa
      Uvumilivu
      Mapenzi ushirikina
      .......
      .........

  • @LakingBoy
    @LakingBoy 9 месяцев назад +6

    Nikicece wallaah man nakupenda san mapaca from Burundi buyenzi kwel🇧🇮🇧🇮

  • @KasimuIbadi-z6r
    @KasimuIbadi-z6r 9 месяцев назад +19

    Watatu Leo sijachelewa sana

  • @fredrickwebiro3605
    @fredrickwebiro3605 9 месяцев назад +2

    bro safi sana jitahi kutunga tena nyingi maana kuna watu wanaishi kwa sababu ya movie GOOD JOB

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 9 месяцев назад +3

    Kicheche the best movie kali sapoti bro🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @NeemaJulliet
    @NeemaJulliet 9 месяцев назад +14

    Woyooooo wa kwanza mie

  • @MakanyilaTeam-e1f
    @MakanyilaTeam-e1f 9 месяцев назад +12

    Eeeh AHMADA UMELEWA kafunguka😂😂😂

  • @Miriamsanga-wf9si
    @Miriamsanga-wf9si 9 месяцев назад +22

    Tunawapenda familia ya kicheche 🎉🎉

  • @BilaliSaidi-j6z
    @BilaliSaidi-j6z 9 месяцев назад +5

    Love kwa Mr kicheche like zakutosha kwa anae mkubali kicheche 💯🤝

  • @BonithNimpagaritse
    @BonithNimpagaritse 9 месяцев назад +5

    Ndaje kandi ndabakunda , burundi tupo nawe kicheche haswa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Itawon_Genus_Cleaning
    @Itawon_Genus_Cleaning 9 месяцев назад +45

    From Kenya 🇰🇪 I'm watching ❤
    gather here fellow Kenyans

  • @yussbreezy918
    @yussbreezy918 9 месяцев назад +22

    Umetisha san hii tamthilia , waigizaji wameplay vzr shout out kwa Manyanya, Mlevi,mzee wa mashairi ,Tom boy ,Vai ,Dada wakujipaka 💄😂 wametisha sana✊

  • @FatumaRashidi-d8g
    @FatumaRashidi-d8g 9 месяцев назад +95

    Jamani Leo nimewai namie nionje utamu like🎉❤❤

  • @ashurarashidi6196
    @ashurarashidi6196 8 месяцев назад +1

    Sisbgalii sana bongo movie ila hawa watu nawakubali sana 👉kichw he🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
    Clam
    Steve Vs Ndaro daah mnajua bna 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @sadikiraphaeleca1452
    @sadikiraphaeleca1452 9 месяцев назад +2

    Kitu kimeisha vizuri sana Big up kicheche ❤

  • @emanueljoshua-s2r
    @emanueljoshua-s2r 9 месяцев назад +9

    Leo uhakika wanaopenda series ziwe zinatoka mapema hvo niwaone kwa ♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @AbdillahOomar
    @AbdillahOomar 9 месяцев назад +7

    Katika iyo filam nimemkubali sana mzeee wa bia kacheza vziri sanaaaaa hongera mzeee wa bia

  • @Wizybwoy98
    @Wizybwoy98 9 месяцев назад +7

    Filamu nzuri shida mwachelewa sna kuitoa Sisi mashabki ndio twaumia

  • @AngelinaKinuthia
    @AngelinaKinuthia 9 месяцев назад +2

    Heri kungekuwa Na wanaume kama mzee kicheche wakipatia mtu mimba wanakubali Hao watoto hongera Sana familia ya mzee kicheche ❤❤❤

  • @JustineJohn-ow9yz
    @JustineJohn-ow9yz 9 месяцев назад +2

    Uhakika ww mwamba good job nakubal sana so funny and talented

  • @YEGOMedia76
    @YEGOMedia76 9 месяцев назад +26

    Wakwanza 🎉

  • @phanmasaai2861
    @phanmasaai2861 9 месяцев назад +74

    Wapi likes zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @barakatzdesign
    @barakatzdesign 9 месяцев назад +14

    Asante kwa kazi. I love kicheche. Zaidi sana vailet

  • @2baleögofficial1
    @2baleögofficial1 9 месяцев назад +6

    Cha pombe uliwaii kuaza kwani baba hakuowi😂 baba anapenda wenye mitulinga😂😂😂 wamitulinga nipe link tuone wenye nawo

  • @IvonaNdibalema-p8m
    @IvonaNdibalema-p8m 9 месяцев назад +3

    Asante KWA burudani nzuri yenye mafunzo mazuri ❤❤❤❤mungu awatie nguvu nyote ili mpike kitu kingine kipya kizuri na kifupi
    Likes from Tz

  • @alfreddaud-lb7kv
    @alfreddaud-lb7kv 9 месяцев назад +25

    Nimekuwa wa kwanza naombeni like 100

  • @musabivan2918
    @musabivan2918 9 месяцев назад +142

    Wa kwanza kutoka Kenya nikiwa Saudi Arabia kwa sasa,naomba likes zangu

    • @saumu7760
      @saumu7760 9 месяцев назад +2

      Kwakazi gani ulofanya

    • @musabivan2918
      @musabivan2918 9 месяцев назад

      Nko Riyadh matembezi tu

    • @KADIRILIPIPA
      @KADIRILIPIPA 9 месяцев назад

      ​@@saumu7760ausii

  • @AngelinaAgustino
    @AngelinaAgustino 9 месяцев назад +6

    stair mpya ya kuachan na ex wako hongeraa🎉🎉🎉😅😅😅 tumepata mbinu mpyaaa😂

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 9 месяцев назад +1

    Chapombe leo katisha sana😂😂😂😂😂

  • @YUYUHfilms2023
    @YUYUHfilms2023 9 месяцев назад +2

    Mambo ni motroo jmn 🔥🔥🔥
    ImeiSha vizur mno hongeren wote Team nzima ya bichwaa Nawapentaaa ♥️♥️♥️♥️😍
    Kazi inayofata iwe Qaly kuliko🎉🎉💕🔥
    Ni Mimi shabiki yenu mpendwa nisie na makuu😂🙌
    Tukutane wakati mwengine💃💕👋🚶

  • @EmerytondaBalisema
    @EmerytondaBalisema 9 месяцев назад +13

    Wa kwanza APA kutoka Congo nipeni liké jamani

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 9 месяцев назад +8

    😂😂😂😂nimependa tom boy kukubalika😅😅

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 9 месяцев назад +15

    Wa 10 Leo kutoka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿gonga like tunamalizia filamu yetu ya familia mzee kicheche

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 9 месяцев назад +1

    Chief malagalila bye😂😂😂😂

  • @wapesahdavydoh2415
    @wapesahdavydoh2415 9 месяцев назад +2

    Mbwaa ww😂😂😂😂endelea naweee.and the one who wrote this story the guy is on another level..nakubali 🇰🇪

  • @ChantingAkili
    @ChantingAkili 9 месяцев назад +4

    Respect mzee mbaba ila una vporo vingi fanya uvimalzie sio unaanzisha kitu alafu akiish

  • @Ifakarayouthartists
    @Ifakarayouthartists 9 месяцев назад +15

    Wa kwanza jamn❤❤❤❤

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 9 месяцев назад +6

    Mnakeshaga kwani hapa mkisibiri 😂😂😂

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 9 месяцев назад +2

    Huyu mwamba apewe maua yake
    Filamu nzuri sana
    ✋✋✋🙌🙌🙌🙌🙌

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 8 месяцев назад +1

    We mlevi jamn umenikosha sasa ety bapa😂😂😂😂😂😂 baba vitu vyake ni mitulinga😂😂😂😂😂😂

  • @Dyram_dee
    @Dyram_dee 9 месяцев назад +10

    Team MANYANYA tujuane ☝✌🔥🔥

  • @NeemaKombe
    @NeemaKombe 9 месяцев назад +25

    Watu mko.faster yani 1min Try 100..❤❤❤❤Team strong 😊

  • @MwanahamisSeifu
    @MwanahamisSeifu 9 месяцев назад +5

    Familia ya kicheche twende kaziiiiii🔥🔥

  • @paternesonofgod
    @paternesonofgod 9 месяцев назад +2

    Burundi 😅😂😂eeh 🇧🇮🔥❤🇧🇮🔥🙏kutoka Burundi

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 9 месяцев назад +2

    Toka mwanzo EP 1 mpaka mwisho tumefuatilia Mzee kicheche 🎉🎉🎉🎉 from Kakamega 🇰🇪