CHANDIMU AMWAGA MACHOZI, AANIKA MAZITO ANAYOFANYIWA NA MKOJANI "ANATUOGESHA DAWA USIKU KWENYE MBUYU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 май 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 227

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 26 дней назад +20

    Mm sioni userious kwenye hiki anachoongea chandimu naona kam kiki tu kaagizwa afanye

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 26 дней назад +13

    pole kaka allah atakufanyia wepesi

  • @StephanieGerald-qj8vt
    @StephanieGerald-qj8vt 26 дней назад +35

    Si atoke aende chumvi nyingi gang😂😂😂 wale watu muda wote wanafurahaaaaa

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 25 дней назад +12

    unajua siku zote mtu aliyezoea kuigiza hata akisema ukweri lazima utaendelea kufikir anaigiza tu kumbe pengine ni kwer,,,, pole sana chandimu we mtoto wa kiume kaza

    • @Bakr_salim
      @Bakr_salim 24 дня назад

      Nimependa comment yako🎉🎉🎉

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 27 дней назад +43

    Kiukweli mkojani ifike muda abadirike tabiya yakutaka kupata pekeyake Kiukweli anabowa kila siku yeye2. Yani Ana anamanisha kuwa ni família mana inaonekana kuwa ni jina lá ukoo

    • @TangaMashewa-qe8kk
      @TangaMashewa-qe8kk 26 дней назад +3

      @ibraimoseman We nawe hawa wenzako ni atention ya movie we unachukulia uhalisia jua hawa ni wana comed

    • @rashtz2785
      @rashtz2785 26 дней назад +5

      Ni kiki ya movie

    • @OmanOman-hj7tv
      @OmanOman-hj7tv 22 дня назад +2

      Ndo utajua kwanini chumvi nyingi ameondoka

    • @mineflower_01
      @mineflower_01 21 день назад +1

      Maraa umetoa ya motoni Alf unakuja kujuwa ni kiki jaman

    • @mokajoli4928
      @mokajoli4928 19 дней назад

      Same time kuukumu Kwa kusikiza upandemmoja iakosawa

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 24 дня назад +6

    Nenda kwa clam vevo utanikumbuka baadae

  • @dallovision
    @dallovision 24 дня назад +3

    OYA MNAUA BRAND WATU WANAPAMBANA KUZITENGENEZA

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 26 дней назад +4

    Pole kaka ndio maisha

  • @user-fq3mb9yr4x
    @user-fq3mb9yr4x 26 дней назад +4

    Mmh inastahashabisha cos now wapo na season mpya inaitwa mgombea

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 26 дней назад +8

    Mkojani anafeli kumbe watu ndio maana wanaondoak

  • @michaeliernest8510
    @michaeliernest8510 26 дней назад

    duh noma

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 20 дней назад +1

    Sasa wewe chandimu hautakiwi kutamani kuwa kama boss kitu ambacho bado aujawa boss yaani unaposema kwamba boss akinunua samaki na wewe akununulie SAMAKI mambo hayaendi ivyo unatakiwa ubaki kwenye nafasi yako acha kulia mtoto wa kiume kaza mkojani yupo fear sana❤❤

  • @jawakombo5603
    @jawakombo5603 22 дня назад

    Mbona kwanza mwapenda kuja huku wasafi

  • @hashimvilla7089
    @hashimvilla7089 19 дней назад +4

    Dahh mkojan anaznguwa dadahh

  • @hassankunjayo626
    @hassankunjayo626 26 дней назад +6

    Jamaa msenge sana. Anamzulumu dogo

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 26 дней назад

    🔥🔥🔥

  • @bshivo4935
    @bshivo4935 21 день назад +2

    Usiogope akuna rahana kwenye haki cha dim...

  • @dallovision
    @dallovision 24 дня назад +2

    MKOJANI AMEKUSAIDIA WEWE KUWA HAPO ULIPO UMEMLIPA KIASI GANI

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 26 дней назад +2

    #KIKI HII

  • @rockstarsamk9043
    @rockstarsamk9043 26 дней назад +2

    Walmushrikina fii nari jahanaam khalidina fihaa abada

  • @OllerDesononline6333
    @OllerDesononline6333 26 дней назад

    Trending.

  • @Zahara-or3cf
    @Zahara-or3cf 24 дня назад +4

    Da mkojani vilion vya wengi laana

  • @PhilipoEdwini
    @PhilipoEdwini 26 дней назад +1

    Daaah duwe unanichekesha sana mwezio analia wewe unacheka ndo nn sasa

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 6 дней назад +2

    Mnamchafua mkojani tu ,,Acheni hizo

    • @mohammedsaleh3051
      @mohammedsaleh3051 2 дня назад

      Na Mkojani mzee wa busara hajaongea vibaya Binadamu sisi tuna uzushi Sana

  • @thekomicstv9424
    @thekomicstv9424 26 дней назад +7

    Kwamba na nyie mnaamini kabisa kuna tatizo kati ya mkojani na chandimu!? 😂

  • @zuberkalume7053
    @zuberkalume7053 26 дней назад

    Hii movie yaitwaje

  • @MbarakaJuma-hy3zx
    @MbarakaJuma-hy3zx 24 дня назад

    Chakukushauki chandimu unakipaji sana toka apo uyooo mpga kelele anajikuta sana anajua mtazame chumvi alikuwa anamuandkia series Kali kama kimeumana ugai gai lakini alikuwa ampi pesa saivi anakundi lake nenda kule baruti mwenzako yupo kule mabwende nae yupo kule wengi wametoka apo broo ✌️

  • @KhalidSimai-di3no
    @KhalidSimai-di3no 26 дней назад +2

    Clear kiki

  • @muddywatown
    @muddywatown 22 дня назад +1

    Kama unakumbuka mkojani alijifanya anaugomvi na Samofi alafu Eti wakasuruhishwa na Dimond huyo yupo kwenye kiki

  • @abelmusundi2100
    @abelmusundi2100 19 дней назад +1

    Mnaua brandii ya mkojani

  • @kakabeka2515
    @kakabeka2515 18 дней назад +2

    ..daah aloo chandimu muongo 😂😂😂

  • @edinageorge7398
    @edinageorge7398 26 дней назад

    Daaah kiki iyooo

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 26 дней назад +1

    Mngemskilza na mkojan awa wengine awaaminiki

  • @meryanbonhur
    @meryanbonhur 26 дней назад

    #chandimu nenda kwa chumvi nyingi au kwa clam vevo

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 26 дней назад

    madam hio carco ni ndefuu punguza

  • @MLAWA501
    @MLAWA501 25 дней назад +2

    Hahahaha jaaaaaah chandim chandim jua xx tunakujua ww kupitia yeye

  • @KalanyEmmanuel
    @KalanyEmmanuel 26 дней назад +1

    Kik hyo

  • @Abuu_Maysarah
    @Abuu_Maysarah 22 дня назад +2

    Huyu ni mtoto wa Mkojani Kwa aslimia kubwa

  • @Official83640
    @Official83640 26 дней назад +5

    Hawa wanatafutaga kiki tu mbona bado yupo kwenye hii Mgombea ?

  • @valencevenance7338
    @valencevenance7338 26 дней назад +1

    Mbn kigugumiz dogo Chandimu,au umepangwa?

  • @StevenFiyovele
    @StevenFiyovele 21 день назад

    Nenda sawa na uyodogo banaaaaa

  • @nuruhhussein167
    @nuruhhussein167 25 дней назад

    Sielewagi 🤔

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 26 дней назад

    Sasa siangekua ametoka ?

  • @TheShedy_platinumz
    @TheShedy_platinumz 26 дней назад

    Dah 😂 chandim komas familia 🏆

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 23 дня назад +1

    Atakua ni mwanae bila shaka maskini😢

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 26 дней назад +2

    Uyu dogo 😅😅..analia kweli ama kanaigiza tu hapa!!😂An unatuectia kila mahali chandimu bn..daah

  • @blessshakerz5965
    @blessshakerz5965 26 дней назад

    Sasa mbn bado anaigiza muv kama hii mgombea mbn bado yupo

  • @dallovision
    @dallovision 24 дня назад +1

    TUONESHE MKATABA MLOINGIA

  • @PetraVirginia
    @PetraVirginia 7 дней назад

    Songs on fire😂😂😂😂😅

  • @benboyburundi2429
    @benboyburundi2429 26 дней назад

    Mbona kama mchongo kama unakubaliana Na mm gonga link hapa

  • @sidegrenade2043
    @sidegrenade2043 26 дней назад +1

    Mgombea ni mpy ipo episode ya 8 mbona yupo mnazinguwa

  • @midaboflevaog6720
    @midaboflevaog6720 26 дней назад

    Nacheka sanaa

  • @azizahmohamed3495
    @azizahmohamed3495 15 дней назад +1

    Oya nyie au mkojani ni mwanae uyu chandimu mbona simuelewi cha limon

  • @salamarashid3687
    @salamarashid3687 26 дней назад

    Unafiki tu

  • @mkalitalkshow
    @mkalitalkshow 9 дней назад

    Cha ndimu kaza we ni mtoto wa kiume, tulia kijana iyo sio laana hila utachezwa kuwa makini kijana acha uchachu...

  • @user-yv1rl5ht6b
    @user-yv1rl5ht6b 13 дней назад +1

    Jaman huyu chadim nimekutananae bonyokwa

  • @mawingu_tv
    @mawingu_tv 5 дней назад

    Act hii

  • @pascalgasper403
    @pascalgasper403 26 дней назад +2

    Mmh Huyu Dogo Simuamini Kumbe Ng'ombe Hamnijui

  • @user-ei4fv6pl5n
    @user-ei4fv6pl5n 25 дней назад

    Alafu nyie mnao leta habari kwa Tv acheni fitna sisi nimashabik tena tulioanza zana kabla hii Tv station kutolewa leteni habari za kuaminika

  • @GyaviraLaurean
    @GyaviraLaurean 22 дня назад +1

    Chandim kanichekesha alivyoimba asee😅😅

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 6 дней назад

    😂😂😂 we chandi unatuona watoto kweli unatuchekesha kwenye move adi interview, nimesikiliza kwa makini dogo anatuenjoi wameyajadili aya na mkojani 😂😂

  • @khamisyahya7703
    @khamisyahya7703 22 дня назад

    Nd'o mana me kwa sasa naishi na chumvi nyingi hapaa
    Huyu bwana mkojani na mwenzie madebe washakua mastaa sana

  • @blessshakerz5965
    @blessshakerz5965 26 дней назад

    Kama hapamlipi mbn amecheza tena kwenye seriez mpya

  • @deejaymsomalytz8910
    @deejaymsomalytz8910 26 дней назад

    #KIKI ZA KISENGE

  • @azizahmohamed3495
    @azizahmohamed3495 15 дней назад

    Kumbe mkojani ni mkewe kbx mama chituntu

  • @reviusmelius3162
    @reviusmelius3162 26 дней назад

    Kik hizo tu sio kweli 😂

  • @abelmusundi2100
    @abelmusundi2100 19 дней назад

    Hiii mnaua Brandi zenu

  • @salama1113
    @salama1113 22 дня назад +1

    Sio kiki hii mtu uwe bado chini yake alafu uongee hivi

  • @Diyankurze
    @Diyankurze 15 дней назад

    mm mwenyewe nimecheka😂😂😂 ila chandiiii katuliza hlfu mwisho katuchekesha kweli kipaji😂😂😂

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z 26 дней назад

    nimependa apo we unalia 😢me nacheka😂

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 24 дня назад +2

    Wali waliiii😂😂🤭🙌

    • @AMBUBIWILLIS
      @AMBUBIWILLIS 23 дня назад

      Tucheke wote brother😂😂😂

  • @avocadomatala2883
    @avocadomatala2883 26 дней назад +1

    Wenzenu wanatafta kiki Ili series yao ya mgombea iende mjini halafu nyie mnatukana ovyo ovyo tu huyu dogo anatumika vibaya Sana kipaji anacho lakini amekosa akili tu na hicho ndicho kitakachomuangusha

  • @user-wk8ju9xg4m
    @user-wk8ju9xg4m 26 дней назад +1

    hahahhahahahha hyo twaijua kiki hyo hahahah hapo mmelta uhuni

  • @khamispondeza
    @khamispondeza 26 дней назад +3

    Watafuta Kiki tu hao km ile ya Samofi

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 15 дней назад

    Wechandim unakosea ilikua uongenaye wachawi wamuv niwengi ila sokweli kikubwa uongenae sofresh ao watakusaidiya nn chandim unaniangucha sasa

  • @user-tb8bc7qz9h
    @user-tb8bc7qz9h 18 дней назад

    Ila jmn kama umeona umejipata kimaisha na unaweza kusimama wewe km wewe acheni kuchafua jina la mtu 😭 alie kusaidia adi na wewe unajipata wasani kuweni wasitalabu bs mbona chumvi nyingi ametoka bila ya maneno maneno ya kumchafua mtu chandimu wewe bado san acha utoto

  • @user-vl5pu4mm5z
    @user-vl5pu4mm5z 26 дней назад

    Hapa mbona kama kuna namna hamna kitu hapa kwasababu ata maisha ya chandimu kwa sas yanabadirika kama ni kiki sawa au yeye hafanyi kazi kwa mikataba??

  • @Jumanne-ni5sl
    @Jumanne-ni5sl 5 дней назад

    Acheni kuharibu brand yah watu bhb

  • @cheetahtz6566
    @cheetahtz6566 21 день назад

    Aisee kama ilee movie aliy shut y star

  • @Francomtanzania1998
    @Francomtanzania1998 26 дней назад

    Ila hzi kiki aisee

  • @EzekielSaruni-lp9uz
    @EzekielSaruni-lp9uz 25 дней назад

    Bro join chumvinyingi gang

  • @nasmick_brand_media
    @nasmick_brand_media 26 дней назад

    🤣🤣🤣🤣hapo kwenye kuimba nimecheka

  • @BONGOHOODTV
    @BONGOHOODTV 23 дня назад

    Mungu analipa hapa hapa DUNIANI

  • @SurprisedCaptainHat-xw7iy
    @SurprisedCaptainHat-xw7iy 26 дней назад +3

    Hapan sii kwel jaman mkojan huyu huyu

  • @Yumnahassan-fc6he
    @Yumnahassan-fc6he 23 дня назад

    Wee unalia mm nina cheka😂

  • @user-hf2up7uw2e
    @user-hf2up7uw2e 26 дней назад

    Huu n mchongo tu...wala hakuna ukwl hili n dili au kik

  • @SaidMohamed-xt9yr
    @SaidMohamed-xt9yr 26 дней назад

    Chandim komaa ata usipolipwa
    Sshivi kila cku zikienda unazidi kung’aa
    Muhimu kutengeneza jina

  • @hajraallex-nv4gr
    @hajraallex-nv4gr 27 дней назад +2

    😂😂😂😂😂 dhu pole ndo ukubwa

  • @alliyhamis6014
    @alliyhamis6014 25 дней назад

    Upuuuuziiiii kiki hiyo

  • @NgomaFilms842
    @NgomaFilms842 26 дней назад

    Mkojani anafeli inabidi awalipe vzr wasaniii ili wapige kazi

  • @erickmagnus4945
    @erickmagnus4945 26 дней назад

    Alianza Tin,akafata Nagwa,akafata Samofi,akafata Khanifa saiv Chandimu This is too bad Baba chituntu Selfish 😓🙌

  • @juressemabili5133
    @juressemabili5133 26 дней назад

    Naona kama uwongo

  • @Chidy-brand
    @Chidy-brand 22 дня назад

    Mkojani jau sana aisee watu weng wanamsema

  • @yusuphkilipa5606
    @yusuphkilipa5606 21 день назад

    Wazee wa KiKi

  • @nuhumaalim4976
    @nuhumaalim4976 26 дней назад

    Mkojan tabia mbaya sana bora chumvi kasepa mapema na kafanikiwa alipo samofi hadi kapatanishwa na diamond daa jaman tamaa kweli

  • @LucasJohn-nb8ix
    @LucasJohn-nb8ix 16 дней назад

    Uongo tu taften Hela Achen makasiliko

  • @user-oc3wu7js5k
    @user-oc3wu7js5k 18 дней назад

    Usanii tu

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df 24 дня назад

    Yaani mtu ndan ya miaka miatatu kwenye kutafuta anataka awe tajiri na apate Kila kitu.ujinga sn

  • @RehemaSharifu-og1br
    @RehemaSharifu-og1br 6 дней назад

    Upuuzi

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 25 дней назад

    Hao ni wasanii kulia wanaigiza tu hamna kitu hapo ila timbwili la samofi ilikua kweli samofi alikua anadai gari mpaka ugonvi kaamua Diamond. Sasa huyu nae kidagaa kaanza ngoja tuone mpaka mwisho