Miujiza Ya Sala Za Mtume Mkristo Atajiri Kwa Sala Za Mtume/Wee Endelea Kupinga/Sheikh Othman Micheal
HTML-код
- Опубликовано: 1 фев 2025
- Miujiza Ya Sala Za Mtume (S.A.W) Mkristo Atajiri Kwa Sala Za Mtume / Wee Endelea Kupinga/Sheikh Othman Micheal
Mashaa Allah Sheikh Othman Micheal akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Miujiza Ya Sala Za Mtume (S.A.W) Mkristo Atajiri Kwa Sala Za Mtume / Wee Endelea Kupinga/Sheikh Othman Micheal
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RUclips @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Ma sha Allah tabaraka Allah , kwa mawaidha yako najihi nishakuwa tajiri kabisa sio wa mali tu hat imani . Allah akuhifadhi na mahasidi .
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى ال سيدنا محمد كما صليت على سيدنا ابراهيم وعلى ال سيدنا ابراهيم وبارك على سيدنا محمد وعلى ال سيدنا محمد كما باركت على سيدنا ابراهيم وعلى ال سيدنا ابراهيم
في العالمين انك حميد مجيد.
Allahumma sali ala sayyidina muhammad wa ala aliyi waswabihi wa salim
Kuna siku nikijaaliwa nitatoa ushuhuda mkubwa mnooo nilioupata baada yakuanza kukufatilia..Wewe mwalimu wa maisha yangu wewe mkombozi wa maisha yangu..YAALLAH mpe maisha marefu maalimu huyu
MashaaAllah,Allah Kareem hongera sana,tunakusubiri
@@sharifamhina4345 shukrani na inshaALLAH
Aslm alkm.ukimswalia mtume ni kweli unapata mafanikio Mimi nimeanini napatata mafanikio Tena hapo kwa hapo ukswalia mtume unapata bila ya kusubiri.sheikh Mimi nakufatilis Sana nanaufaulu Alhamdulillah Allah akupe umri mrefu.
Tuambieee
@@Goalnation24 Waaleykum Salam,kuna manuizi yoyote unatakiwa kufanya ,mi najitahidi lakini naona kama mambo yako vike vile au ndo subra yenyewe yatakiwa
Allah akulipe ujra wako sheikh
Aww kwakweli sheikh una pepo yako mim nimepata mafanikio makubwa kwa kumswalia mtume hudanganyi wewe ni sheikh ktk mashekh wachache wakweli mliobakia duniani Allah azid kukujazia kheir nyingi
naomba nipe mbinu ndugu yangu
Maashalla mtume nikiombezi chema kwa allah mafanikio tunayaona
Maashallah mungu akuzidishie umri mrefu
Mashaallah mashaallah swalatu ala nabii shafii uli umma Muhammad nabiina bi Nuru aadina
@@RamadhanSalimu-ez4ok shukrani
Allah humma swali Alla saydina muhammad
MashaAllah shukran sheikh Wallahi unatufunza mengi Allah akuweke
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم.
Masha Allah Sheikh 🙏🙏🙏
Mimi nataka zaidi nipate uchamungu nisaidie sheikh
Mashallah
Awallatul alla nnabii
Allah akbar
Ameen
Hizo aya ziko katika sura gani na aya ya ngapi please tuelekezeni
aya tatu za mwisho za sura baqara n zengne nimesahau
Jamani.mwwnye namba ya shekh othuman anipatie namba nilizonazo hazipit tena sijui kwq nn?
Zipo hapo kwenye hiyo video kwa chini
Wacha kufanya watu wajinga no zake si unaziona hapo au unataka no gani ya nyumbani kwake?
Hao Masheikh ni mapacha nini?
ndio
wanaitwa mapacha wa mtume
Nilikuwa najiuliza nashukuru nimepata majibu
😅@@hadijamandanje6189
Namimi pia nimeliona hilo
Allahuma swali sayyidina Muhammad wa Alihi waswahabih wasalimu
Mashaallah mashaallah swalatu ala nabii shafii uli umma Muhammad nabiina bi Nuru aadina
@@RamadhanSalimu-ez4ok shukrani
Mashallah