A.a sheikh Walid miye naitwa Muhammad kutoka nairobi kenya napenda sana darsa zako hususan zakumsifu mtume (s.a.w) napenda nipate simu yako angalau nikusalimiye.Kwa kizazi cha ilmu ustadh wetu sheikh Abdulraman ni mwanafunzi wako Shamsul Maarif akiwa pia Almarhum Sheikh MuhammadAyub.
A.a sheikh Walid miye naitwa Muhammad kutoka nairobi kenya napenda sana darsa zako hususan zakumsifu mtume (s.a.w) napenda nipate simu yako angalau nikusalimiye.Kwa kizazi cha ilmu ustadh wetu sheikh Abdulraman ni mwanafunzi wako Shamsul Maarif akiwa pia Almarhum Sheikh MuhammadAyub.
Maashaallaah assheykh waleed nimekuelewa sanna alhamdulillaahi nimejifunza kitu wallaahi
Allah akuhifadhi akupe umri taweel shk Walid nakupenda sana Allah atujalie peponi tuwe pamoja na Rassul Amin
Allah akbar namuomba Allah wakati nitamswaliya nabiy Mhmd mara kumi malipo ya swala tatu iwe ju yako.amin
Shukran... jazakallah kheri kipenz cha Nabiina Muhamad....
Shukran Kwa Dawa
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH
Ma shaa Allah
Mashaallah nakuombea kwa Allah akuripe kwa dalsa nzuri unazotufundisha
Swallalah Allayhi Wasalam
Jazzakumllah Khery
Asante kwa Elim. Allha akuhifadhi.
Mashallah
Shukran.sna SHEIKH
Shukran
Namba yangu 0688 223 133
@@waleedalhad4844 in sha Sheikhs, shukran kuniwezeshaa kwa hilo
Kwa sasa usk sna nitakutafuta kesho ins shaa Allah
@@waleedalhad4844 Allah akuhifadhii daimaaa
@@waleedalhad4844 asalam alaykum
S.A.W
mashaa allah shukran
اللهم صلي على محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Mashaalah sheikh walid
Swadaqt sheikh ukimsalia mtume Mambo yako kuntu but nashangaa kuna wanapinga Allah awaoneshe haki. All the way from Mombasa Kenya
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Mtume muhammad. Rehma na aman ziwe juu yake
Natamaan namie ningekuwa halo nikatowa iyo buku wallah
Kweli_dini_haiendi_bila_pesa_ila_michango_imezidi_mno_msikitin_muwe_mnasema_siku_za_kuchangia_huku_kwa_kina_mama_mpaka_waona_aibu_kuhudhuria_makongamano_lazima_mchangishwe_mara_mayatima_mara_wajane_mara_wagonjwa_sio_vibaya_ila_mutenge_na_muda_yani_kuwe_,na_makongamano_maalum_ya_kuchangia_mengine,tuka_sikize,Mada
MashAllah
Mashaallah