NDOA NI NINI | NA KWANINI TUNAOA ? | PATA KUJUA MAJIBU YA MASWALI HAYA | NA SHEIKH WALID BN ALHAD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 25

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 года назад +4

    waalykummsaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazakallakheir masheikh wetu kwa Elimu na darasa zenu znr

  • @abbubakarmfinanga57
    @abbubakarmfinanga57 3 года назад +2

    Mashalah ss waislam mafundi na walim wazur wakuwafundisha wa2

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 3 года назад +2

    Shukran kwa ilimu mubashara

  • @sharifashabani8973
    @sharifashabani8973 2 года назад

    Mashaallah shekh wetu allah akuzidishie umri

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 года назад +3

    Shukraan sana Sheikh Walid

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 3 года назад +3

    Mashallah good lecture

  • @sejw9373
    @sejw9373 3 года назад +3

    Shukran Mashallah

  • @hajrachidi7675
    @hajrachidi7675 3 года назад +2

    Mashllh kher in sha allah

  • @goldenqueen3999
    @goldenqueen3999 3 года назад +3

    Mambo mazury nd yanaishaga araka.....tanarakallah khery

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 года назад +2

    Masha Allah ❤❤❤❤

  • @hamisihalfani6374
    @hamisihalfani6374 3 года назад +1

    Mashallah

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад +1

    Mashaallah tabarakallah

  • @allykirunginyamka9171
    @allykirunginyamka9171 3 года назад +1

    Masha Allah

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 года назад +1

    maashaallah maashaallah

  • @NadiaNdiokuana
    @NadiaNdiokuana Год назад

    Shukran

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 года назад +2

    Mwanaume ana vichwa viwili kimoja kikilala chengine kiko macho

  • @rajabessa3675
    @rajabessa3675 Год назад

    Tupate kustafidi...purely Arabic.i love Swahilis

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 года назад +1

    Baraka llahu fiqi

    • @wisesimple808
      @wisesimple808 3 года назад

      Baraka llah fika not fiqi@ Halima

  • @AsiaMasonga
    @AsiaMasonga 3 месяца назад

    Unazingua

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 года назад +1

    Ndo Hayo tunayowaambia vijana wa kileo ‘ wake Kwa waume’ wao kuzini na kuzaa bila sharti na mipangilio ‘ siku hizi wanazaa tu na kujiita masingle mother ‘ Mtihani mkubwa huu...!...wengine wanaume kazalisha kule kazalisha huku kisha anajinasibu nna watoto wanne mimi’ Watoto bila ndoa wala stara’ mtihani mkubwa sana huu..!
    Mtaani kimejaa kizazi Cha zinaa...ASTAGHFILULLAH

    • @rahimaan6481
      @rahimaan6481 3 года назад

      😰😰😰😰watoto wa zinaa wamejaaaa jmn watu hatujui thamani ya ndoa 🤦🤦

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 года назад

      @@rahimaan6481 ...mtihani sana huu’ tena wengine wanapeana sifa ‘ bora umezaa ‘ ...!....Sasa Sio mtoto tu hata wazazi nao mtaitwa WAZAZI HARAM...!

    • @allyrashid3732
      @allyrashid3732 2 года назад

      @@rahimaan6481 wanawake wengi wameamua kuishi maisha ya kimaghareeb, wanaume ni wachache kuliko wanawake.kuna haja ya kuwaoa zaid ya mmoja ili wanawake wote wawe na ndoa