May God lead you in every way of your life live Long our sheikh ❤❤❤❤❤ jazakallakher.may God reward you Jannah. Me nimeshona viatu watu wakawa wanacheka mwanamke kushona viatu ila nilipendwa sana na nikawa na castomer .ila Bado kwa yote nashukuru Mungu .
Assalam alaykum warahmatullahi wa barkkatuhu Sheikh Athman Michael. Nakupenda kwajili ya Allah. Sijaona Sheikh kama weye anafundisha wazi njia za kufanikiwa . Haufichi Elimu kwa hio naomba Allah akupe kila la kheri duniani n'a Akhera.
Asalam aleikom mimi ujifunza mambo mengi sana na shekh wetu ninge penda sana kumwona naishi canada insha ALLAH nikija africa kwa uwezo wa ALLAH ninge penda kukuona shekh
Mii ndo maisha napitia hasadi imenizidi mpaka naendea kumaliza mtaji nilikuwa nsomesha watoto sasa hivi nashidwa niikuwa na akiba nimeimaliza nisaidie nahisi kufunga ata hii biashara yangu
Assalamaleykum sheikh Mimi pia napitiya chagamoto katika maisha Nina mume pia mambo yake hayapo Sawa je nifanyeje nikidai talaka najuwa sio Sawa dhambi je nifanyeje miaka 3 sasa bwana hujafaulu kazi 😢😢😢😢😢😢
Acha uongo rizki ilishafunguliwa na allah mtoaji.sasa unaposema kufungua rizki nani kafunga na nani kampa uwezo aliyefunga.huu si ndo ushirikina na ushenzi tu.rizki zetu zimeandikwa na allah tukiwa tumboni alafu unatudanganya kufungua ulizifunga wewe.
@@omarjr1791 nijibu swali moja tu hiyo riziki iliyofungwa imefungwa na mwamba gani mwenye uwezo zaidi ya allah aliyeandika kwetu na akaahidi tutapata na kweli akatupa nijibu hapo tu.
@@omarjr1791 we uliyemsikiza vizuri swali langu nani kafunga hiyo riziki make allah mtoaji hajatuambia nitafunga riziki bali alituahidi ataturiziki ndo maana alituumba
Unaweza ukawa umeandikiwa rizki na mola ila ukawa una llaana za allah za ukoo ndoman tukaamlishwa tumuombe Allah ata kijiko cha chai basi ujue allah ni mkubwa sana ukitaka adhina ya mfalme lazima unyenyekee kwaiyo usiseme hivyo
Masha Allah very beneficial lecture, BarakAllah feek sheikh🙏🙏🙏
May God lead you in every way of your life live Long our sheikh ❤❤❤❤❤ jazakallakher.may God reward you Jannah. Me nimeshona viatu watu wakawa wanacheka mwanamke kushona viatu ila nilipendwa sana na nikawa na castomer .ila Bado kwa yote nashukuru Mungu .
Mashallah shekh wetu ,kupitia ww hatutakiwi kukata tamaa tuzidi kumcha allah na kufata mafundisho ya mtume wetu ishaalh tutafanikiwa akhera na duniani
inshaallah
Assalam alaykum warahmatullahi wa barkkatuhu Sheikh Athman Michael. Nakupenda kwajili ya Allah. Sijaona Sheikh kama weye anafundisha wazi njia za kufanikiwa . Haufichi Elimu kwa hio naomba Allah akupe kila la kheri duniani n'a Akhera.
Jazakalah kheri shekhe. Dua zako ni mubashara sana kwangu. Allah akihifadhi. Amiin.
Mashaallah mungu azid kukuweka shekhe kiukwel napenda kusikiliza mawaidha yako,kiukwel umenibadilsha sana
Jazaakallahu khair sheikh. Shukran sn Kwa elim nzuri. Ila sheikh mimi ni tatizo nimekuwa mawaidha yako vizuri lkn naishia kukata tamaa subhaanallah. Tafadhali niombeeni Dua ndugu zangu waislam
In sh allah utafanikiw
Fanya subra yote hiyo nimajaribio ..utafika in sha Allah
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Sheikh, may Allah reward you abundantly, kwa hili kisomo, limenifaa sana alhamdulillah. 13:47.
Shekh unafani nyingi sana Allah akupe Kila lakher
Jazakalahu kheir sheikh may Allah reward you
Mashallah shekheh anamaneno yakumtia mtu nguvu jamani Alhamdulilah
Asalam aleikom mimi ujifunza mambo mengi sana na shekh wetu ninge penda sana kumwona naishi canada insha ALLAH nikija africa kwa uwezo wa ALLAH ninge penda kukuona shekh
Mashallah Allah azidi kukuweka tuzidi kupata elimu zaidi inshallah
.k
Jamani I love how soft spoken you are. MashaAllah
ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIKH WETU JADHAKALLAH KHER ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA WOTE INSHALLAH
Mashalwah Mungu atupe kila la kheir tunalomuomba na cc
Mashaallah tabarakallah fih mashallah mungu azidi kukupa afya inshaallah napenda sana kukusikiza mashallah allhamdllh all the way from Kenya
Mashaallah kupitia ww nimejifunza kutokukata tamaa ALLAH Akuhifadhi
Mashallah mashallah Sheikh Allah akulinde na akupe kheri
Mashallah mungu akuweke ili uzidi kutuelimisha❤❤❤❤
Amini inshaallah, naomba nmi nwe miongon mwa wenye kurudukiwa km ww shekh.mashaallah mungu akuongezee zaidi inshaallah
nimejifunza kuhusu istoria hii mashaallah❤
Mashallah Mungu akutanguliye kwa kila jambo lako🤲🤲🤲sheikh tupe dua ya kushika ujauzito
Mswalie mtume sana na baada omba kila siku fanya elfu saba ama uwezavyo
@@firstlady9848 Shukran sana inshallah lazima elfu saba kisha niwe na tasibihi ili nijuwe ama???
Subhanaallah mashaallah takbir allah akbar mashaallah mungu akupe ilmaa nnafia ameen inshaallah ameen
Subuhana Allah akuzidishie kher na umuri
mashaAllah,shukrn shekh Allah akuhifadh.shekh na dua yakupata ndoa tafdhar🙏
Mashaallah Sheikh othuman Allah akujaalie afya njema ili tuendelee kupata elimu hizi
Masha Allah 🙏 sheikh
Sheh sisi hatujui izosura twambie zigine zakuleta mali za Allah samahani Niko vibaya😢😢
Dug kwel watu wanametoka mbal na wamepitia meñg allah akulipe kila la kheri akulinde na husda shekh we ❤
Mashalla mungu akubark ishaalla
Sadaka za kutoa ni nzuri mno jmn kutoa ni kuzuri Allah Atujalie sote
❤❤❤mashaallah mungu ni mkubwa
MashaAllah ❤
Masha Allah sheikh
Aslaam alykum ,ahsante sana mungu akuzidishie je,pia kwa sisi tusio jua kusoma
Maashaalah Allah is great🙏🙏🙏
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri
MaashaAllah, sheikh natumai siku moja nitakuona.
Mashallah mashallah Allah akujazi kheir kwa kula jambo lako from USA
Sheikh Allah Akulinde na Akuhifadh.
Mashanllah shekhe allah atujaalie na sisi tusiwe wenye kukata tamaa hakika kumpenda allah na mtume wake ni nusra kubwa
Mashallah
allah akufanyie wepes
subhaana-llah-allah-akpe-subra-katika-maisha-yko
Upo vizuri sheikh
Mansha Allah 😭macozi yanatoka
Duaa inaanza 13:00. JazakAllah 🎉!
Asalam alaikum warahmathullah wabarakatuh...sheikh naomba nambayako thafadhali .
Mashallah❤
Barakallah
Mashaallah shekh Allah akuzidishie kila kheri uzidi kutufunza
ماشاءاللہ تبارک وتعالیٰ
Shukran Sana ndugu 🙏
Mii ndo maisha napitia hasadi imenizidi mpaka naendea kumaliza mtaji nilikuwa nsomesha watoto sasa hivi nashidwa niikuwa na akiba nimeimaliza nisaidie nahisi kufunga ata hii biashara yangu
Mashaallah
Manshaalhaa
Inshallah
Kwa mimi mkristo sasa sijui kusaliii wala sijui duaa
Mashallah jifunze
mashalaah
MASHAĹLAHSHEIKMUNGUAKUTANGULIEINSHALA
Mashallah mungu akubarik inshaaalah
Allah akuzidishiye 🤲
Du watu wanatoka mbali sana
Subira ninjema Allah alitaka ufanye kaziyake.huko kote kulikuwa sikwako.
Hayaa yote napitiya sijawahi yasema kwetu laiti nitajaribu kusema hali ya mume hanaa kipatoo wallah atadhaurika aniambia niachwe nae naombeni msadaa Kaka zangu dada zangu sote waslamu
Assalam walaikum warakmatullah wabarakatuh, Allah akupe sheh ,naturahisishiye
Assalamaleykum sheikh Mimi pia napitiya chagamoto katika maisha Nina mume pia mambo yake hayapo Sawa je nifanyeje nikidai talaka najuwa sio Sawa dhambi je nifanyeje miaka 3 sasa bwana hujafaulu kazi 😢😢😢😢😢😢
Mashaallah nakushukuru sana shekhe najifunza mengi sana kupitia wew alhamdullilah 🤲🤲😭
kabisa allah ampe itaji lamoyowake nasisi sote insha allah
Allah hu Akibar mung nimkubw kufanya kutukutanish nawew shekhe mung akupe afya tupate mengi zaid
mashallah,,,sheikh wasoma kila siku ama ?na wasoma hizo mubeen saba wafatliya na waqiya pia zitakuwa saba..
Mm nisaidie kwa hayo yakukataa nikoba ya uchaei sasa wasiwasi ni kutolewa kafara tafadhali
Mashallah shekh , but wandugu wengine wafa yia mazuri wanakulipa husda
Mashallah yarab atuajalie
Maa shaa Allah
Sub haana Allah
Wal hamdulillah
Allahu Akbar
MashaAllah
Je ushauri NI upi hapa sheikh
Asw naomba namba ya sheh
Sheikh naomba no zakuwasiliana nawee tafadhali
Asww shekh ndumurundikazi .ariko icirwa utaze .ngiye kuzokora ivyobintu kuko .fise ikibazo cumwana wanje nifuza koyova mubiyovyabwenge
Masha Allah tabaraka Rahman
Asante shehe wangu
Usiku wa jana nilikuota sheikh
MashaAllah.👍🏻
Mashaa Allah
MaashaAllah
Maneno yako mazur Sheikh unanifanya machoz yananitoa
Sheikh naomba unisaidie nimenyolewa nywele sehemu mbili nifanyaje mim sipati pesa
🌹❤️🙏
❤
MashaaAllah shekh Allah akujaalie kila la kher hapa duniani na kesho akheri shukran
شكرا جزيل
❤❤❤❤
Ma Sha Allah, Amin
Na omba dua ya kushika mimba
Inshaallah nitafute
Na kama hujafikia hiyo surat utaisomaje shekh
Nataka namba zako sheikh
Ustadhi namba zakotafadhali
Sheikh sura hizo sizijui naswali na sura ndogo tu dua naomba kiswahili tu nifanyaje
Mungu akulipe
Jazakum Allah khayira
Acha uongo rizki ilishafunguliwa na allah mtoaji.sasa unaposema kufungua rizki nani kafunga na nani kampa uwezo aliyefunga.huu si ndo ushirikina na ushenzi tu.rizki zetu zimeandikwa na allah tukiwa tumboni alafu unatudanganya kufungua ulizifunga wewe.
Kaka msilize vizuri kwanza
Pia kaka tunapitishwa ktk haya ili tuutambue uwezo na kubwa wa ALLAH hivyo usibishe kaka