UKIMUOTA MWANAMKE KATIKA NDOTO | BASI HIKI NDIO KITACHOKUPATA | SHEIKH KHAMISI SULEYMAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 194

  • @allymuhammad325
    @allymuhammad325 2 года назад +16

    Anazunguka sana ndio shida yahuyu shekh

  • @AhmadJuma-c8e
    @AhmadJuma-c8e 11 месяцев назад

    Mashallh ktk mashehe wa ndoto ninaowasikiliza basi ww ni horari, nakufatilia sn

  • @yusuphsixbertis5538
    @yusuphsixbertis5538 2 года назад +9

    Shekh .umechukua
    muda mwingi sana kwa utanguliz

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 7 месяцев назад +1

    mashallah Shukran sheikh ❤🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @HidaryHidder
    @HidaryHidder 11 месяцев назад +9

    Kwani, ukisalimia na kumshukur allah then ukamswalia mtume halafu ukaenda kwenye point shida ipo wapi?? Mnajizungusha sana 😅

  • @ndeke_tz
    @ndeke_tz Год назад +2

    Nakushauri tu sheikh ww kutafariri ndoto Acha toa mawaidha ndio yanakufaa maana unachukua muda mwingi kutoka mawaidha

  • @mahmoudabdulrahmani2923
    @mahmoudabdulrahmani2923 3 месяца назад +1

    Unapenda kuzungukaa sanaa mzee

  • @abudahmed5293
    @abudahmed5293 Год назад

    Nime muota mwanamke mwenye mwisho kionana ni kitambo sana ame ni jia mara mbili katika ndoto

  • @Imkha-qm7ol
    @Imkha-qm7ol 4 месяца назад

    Wewe shekh unazunguka sana nd maana muda mwengine tunakupita wala hatusubcrib

  • @abdalahleonad9025
    @abdalahleonad9025 3 года назад +10

    Unamambo mengi Sana wew nenda kwenye mada kuwa kama wenzako maneno mengi unafer mzee

  • @badruzaid6421
    @badruzaid6421 2 года назад +6

    Shekh ukitafsiri ndoto nenda kwenye ndoto ila maelezo mengi Hadi mtu anaona tab kusikiliza

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 8 месяцев назад

    Nimemuona mwanamkee mzurii ndan kwangu anapika ila namfaham

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 года назад +8

    Jazak Allah khayran 💕

    • @muhammadabdallah755
      @muhammadabdallah755 2 года назад

      Assalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh sheikh hivi umetoa vitabu vya ndoto kwa lugha ya kiswahili

    • @tumainkaduma1864
      @tumainkaduma1864 2 года назад

      Ndiyo

  • @yusufabdallah8035
    @yusufabdallah8035 4 года назад +9

    As.alykum jaribu kuwa fasta na kulenga lengo

    • @hubbyemmanuel3267
      @hubbyemmanuel3267 3 года назад

      Anaongea mambo meng ambayo hayahusian tunatumia bando jmn

  • @AbuuMjenga
    @AbuuMjenga Год назад +1

    Sheikh una maelezo mengi yasiyo ya lazima,punguza maelezo.

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 10 месяцев назад

    Pia nimeota rafiki yangu anapa kisavu kizuri sana

  • @GasperMigeshi
    @GasperMigeshi 3 месяца назад

    Huwa unatafisili vzuri tatizo lako inazunguka sana maelezo Yako mengi sana pungunza jikite kwenye poit

  • @zeenapangani7437
    @zeenapangani7437 4 года назад +2

    Asalam aleikum ...juzi niliota mwanamme alikuja kwetu ...alipojulikana na wazazi wangu ...nikafanya mapenzi nayeye kwa ndoto

  • @JosephMugisha-p8k
    @JosephMugisha-p8k 2 месяца назад

    Nimemuota mwanamke ana mimba

  • @RAMAZANIBAZIRA
    @RAMAZANIBAZIRA Месяц назад

    Naota baba yangu âme fariki nikadja haraka nilipo fika nikaona baba anapumuwa nikawambiya nduguzangu wasimuzike tena hadjafa nikamunyanyuwa kumutowa ilefasi amekuwepo

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 года назад

    Asante sana kaka

  • @mussamatondo-w3h
    @mussamatondo-w3h 11 дней назад

    Ata sijakuelewa,ata kidogo

  • @perusephares1239
    @perusephares1239 2 года назад

    Shehk mm nimeota mwanamke alienitoa kwenyendoa yangu kaja nabegi ananiambia nitunzie ndoa imenishinda huyu unamuweza wewe tu mm siwezi baadae akaonekana mwanaume kalala akanipa miatano nimpe yulemwanamuke akamununulie mtoto vitumbua nikawa nimeshituka nifafanulie sehk

  • @muhsinsaleh2192
    @muhsinsaleh2192 3 года назад

    ASSALAAM ALEYKUM, NIMEOTA NDOTO NIMEPIGANA NA MWANAMUME NIKAMUUA , SHEIKH NINI MAANA YAKE.

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Год назад

    Shukran

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 5 месяцев назад +1

    Watu wengi Huwa wanalalamika nahis Huwa shkh hasome coment kwakua anakula mda sana

  • @KeyanChamp
    @KeyanChamp 4 месяца назад

    Kweri kabsa story nyingi sana

  • @ndeke_tz
    @ndeke_tz Год назад +2

    Maongezi tu dakika 10

  • @sheilah9101
    @sheilah9101 Год назад +1

    Mwanaume ukiota uko na mpenzi wako mwanamke Beach mnaogelea umembeba yamanisha nini

  • @mariambilonkwa5183
    @mariambilonkwa5183 11 месяцев назад +1

    Shehe punguza maongez tunakufatilia xn

  • @ibrahimkhatib2899
    @ibrahimkhatib2899 4 года назад +4

    Huu ndio uliwakati tulio ambiwa kua wanazuoni wataondoshwa watabaki watu kama hawa shekhe shekhe shekhe Qur ani hiyoo sio gazeti tafuta alie kuzidi katika kuisoma Qur ani kwauzuuri uwanze kusoma ili uweze kuepukana na hilo janga sio corona2 kua nijanga hilolako la kutokuijua kuisoma vizuri Qur ani pia nijanganga

  • @seifomary5521
    @seifomary5521 Год назад

    Shekhe nimeota wanawake wengi wananisifia

  • @Sameerambaga
    @Sameerambaga 11 месяцев назад +2

    Shee uyu mimi akhaaaa😂😂

  • @salumthabit464
    @salumthabit464 3 года назад +1

    Nakuelewa sana sheikh

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 2 года назад

    mimi nimeota mwanamke ila kama kivuli na tunatembea sokoni ila yupo nyuma yangu na amejistiri kavaa baibui na ijabu ila nikivuli

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 10 месяцев назад

    Nimeota rafiki yangu anapa uji ni mwanake

  • @bunyalagesp9121
    @bunyalagesp9121 7 месяцев назад +1

    Salam shekhe tunakpata but pungaza mambo mengine ili tufatilie mambo mengi bila bandle muda kuisha kabla

  • @adamomary1054
    @adamomary1054 Год назад +1

    Naomba nitumie namba

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 года назад

    Sawaaaaaa shenk

  • @mobellamobenimpenda7055
    @mobellamobenimpenda7055 4 года назад +2

    MashaAllah

  • @aminaibrahim7640
    @aminaibrahim7640 2 года назад

    Shekhe ukiota umeachana na mme au mpenz wako je inakuwaje

  • @ALIMAIGBANDAMATINA
    @ALIMAIGBANDAMATINA 17 дней назад

    Aslm alkm ww sheikh nimeota naongeyaa na mwanamuke iko ngambo ya mto na mimi mpiya niko ngambo

  • @athumanimihayo7100
    @athumanimihayo7100 Год назад +1

    Mala asome masula hayaeleweki ongea kinachohitajika

  • @OsmanMussa-ry6mh
    @OsmanMussa-ry6mh 7 месяцев назад +1

    A,alaykum samahani shekhe punguza Risala maelezo ya mini??????????😢😢

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 4 года назад +1

    Mashalllah

  • @josuemalega-ec7pj
    @josuemalega-ec7pj Год назад +1

    Hatuna shida nahizo nyimbo zako, tuna shida na point yenyewe

  • @jokhaali9187
    @jokhaali9187 4 года назад +2

    Jazakallahu lkher

  • @nassirfarah3159
    @nassirfarah3159 Год назад

    Nimemuota mwanamke wa kizungu hii imekaaje sheikh

  • @mudrikmohamed1122
    @mudrikmohamed1122 Год назад +1

    Ah shekh ach stor nyingi ban unaboa

  • @maugotv2836
    @maugotv2836 2 года назад +1

    asalam aleykum nimeota mama yangu anaumwa yupo hospital,

  • @chrislacarin4332
    @chrislacarin4332 4 года назад +1

    Vipi sheh na ukimuota ambae una mjuwa alafu una msindikiza

  • @Imkha-qm7ol
    @Imkha-qm7ol 4 месяца назад

    Hem kua kama wenzako kwanz ww uzunguukeeèè weeeeee yaan mtu unamtoa kwenye mood yakuskiliza

  • @fatramabm1307
    @fatramabm1307 Год назад +1

    jitahid kupunguza kuzunguka eleza point inayohusika ili tuelewe

  • @rojatv167
    @rojatv167 3 года назад +2

    Mimi nimeota nimemuona mwanamke ambaye namjua kavaa kimasai nini maana ake

  • @Asnaty-g6e
    @Asnaty-g6e 11 месяцев назад

    Na ukiota upo msiban kwenye uo msiba na mke mwenzio yupo yy akawa anafokewa na mume watu wakawa wananiambia umefrah mwezio kafokewa

  • @jiddahadam578
    @jiddahadam578 4 года назад +1

    Shehke mimi ni mwingi wakuota ndoto za kweli kwa kiasi ila nikisema mapema kwamtu kuwa mm nime ota aita kuwa kweli ila nikinyamaza ina kukweli alafu nisaidie kwauota tukio la kuota kuruani ime jiandika juu ya angaa na upande wa juwa kuzama kuka jitokeza picha za wana ume nisaidie shekhe wangu nini tatizo iloo

  • @solsimaniakanam7843
    @solsimaniakanam7843 Год назад

    Mimi nimeota nikodani ya nyumba yangorofa mkemweza akaniabia tushuke kununua vituvya kunywea chai nikamwabia sishuki nasikonae karibu?nahanijuwi na mimi piasimjuwi niko ichiyengine naepiya yukoichi yengine nikajikutaniko nikonae pamoja ni mweusi ilanimemuona nimweupe na alikuwa nafurahatu kawaida ilachai hatukunywa nikashitukata yariameshuka akaenda pakamwa mama bwana .mimi nikawaniko paledani yanyumba juyangorofa ndionika amuka sijuwi inamanishanini babangu

  • @salamanyimbo7029
    @salamanyimbo7029 Год назад +5

    Tatizo unaongea sana mambo ya hadidhi yanini? hauko speed kama wenzako mb zimepanda bei 😭

  • @guhgghhg8592
    @guhgghhg8592 3 года назад +1

    Ukiota wana wake wengi wanakulazimisha kula na ukala ila cakula unaco kula hakieleweli maana yake nini

  • @jumannemazengo3511
    @jumannemazengo3511 2 года назад

    Nimeota niko mton nachezea Maji na mchumba wangu yan tunamwagiana Maji hayo ya mto tukiwa tunafrahi

  • @waziriali7895
    @waziriali7895 Год назад

    Assalam alaykum sheikh nimeota wanawake wawil wapp inje ya duka lao mm nkafka pale nikafumgua mlango wa duka nikaingia ndan halaf nikatoka nilipfka nje nikawakuta wale wanawake na mtu aliekufa anapita pale

  • @davidmkayula3243
    @davidmkayula3243 2 года назад

    Shehe wangu nimeota wanawake wawili wazuri wapo kwenye gari na mtoto mdogo lakini baadae yule mtoto akamfunua mmoja wapo nikawa nimeona makalio yake na hajavaa chupi nini maana yake wanawake ni wazuri wamevaa nguo nyeusi nini maana yake

  • @muidinimohamedy2381
    @muidinimohamedy2381 2 года назад

    Salaam alaykum hustadhi aaa samaani Leo nomeota nacheza mpila halafu nimefunga golli

  • @jumamdollo4225
    @jumamdollo4225 4 года назад

    Nakuelewa sheikh wangu

  • @brendahnamitati6818
    @brendahnamitati6818 3 года назад +4

    It starts from 10:00

  • @ashakhamis3360
    @ashakhamis3360 4 года назад

    Shukra. Je ukiota mwnaume mzur ndoton amevaa kanzu kwa mwnake nn maana

  • @Dirawandesiymran
    @Dirawandesiymran 5 месяцев назад +1

    Sheikh wee ata inakaa umefanya dhambi sana enda utubu unautoto sana nmekufuatizia sana unaboesha huendi kwa point unaforce issues Kaa hizi acha

  • @michaelkimotho9941
    @michaelkimotho9941 17 дней назад

    Maneno mengi sana shekh mbona unazunguka sana usiende Kwa point

  • @Imkha-qm7ol
    @Imkha-qm7ol 5 месяцев назад

    Nimeota mwanamke nimembeba maana yake je

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 2 года назад

    Mmh tusomeni qurani vizuri

  • @annamwambe9559
    @annamwambe9559 2 года назад

    Mm nimeota mwanamke namm nimwanamke tena nimara ya pili hii ananipa dawa ya kijani iko km hina

  • @zaharaallymwndelezotunatak818
    @zaharaallymwndelezotunatak818 4 года назад +2

    Mie nimemuta mwanamke mjazito mimba imtoka nn mana yake

  • @reginasalimu4471
    @reginasalimu4471 4 года назад

    Naomba unitafsirie ndoto hii ukimuota baba amekufa na unalia sana huku ukisema baba ulinambia hutokufa mapema

  • @robertmushi3107
    @robertmushi3107 3 месяца назад

    Unamaliza bando kk

  • @athumanimihayo7100
    @athumanimihayo7100 8 дней назад

    Maneno mengi na story nyingi nenda kwenye pointi tuu

  • @samiasadiki2928
    @samiasadiki2928 4 года назад +2

    Umeolewa na e.

  • @josephinamussa1709
    @josephinamussa1709 2 года назад +2

    Punguza mda wa utangulizi wewe uwe unaenda directly

  • @bretengood5038
    @bretengood5038 3 года назад

    Mm nimemuota mwanamke mzuri akiniongelesha na kunikonyesha lakini ile natoka tukamuona simba akaanza kutufukuza nini hii maana yake ety sheikh

  • @muhsinsaleh2192
    @muhsinsaleh2192 3 года назад +2

    NDOTO YANGU NYENGINE
    1. NILIMUOTA NAMKANDA MWANAMKE MGONGONI MPAKA MIGUUNI, NA WAKATI NIKIMKADA ALIKUA AKISKIA RAHA.
    2. NILIMUOTA MWANAMKE ANANISAFIRISHA ILA TUKAKOSA SAFARI NA HATIMAE TUKARUDI

  • @marymasawe9854
    @marymasawe9854 3 года назад +1

    Mm nimeota mwanaume ananiaga ananiambia kwaher sitakuja Tena kwako na uyo mtu Ni mpenzi wangu maana yake Ni nn

  • @lydiajosephine414
    @lydiajosephine414 Год назад

    Nimeota ninaongea na mwanamke ambae aliamua mumpeleka mwanae kwa mama yake alafu akaniambia kuwa anataka kwenda kufanya kazi UK na mimi nikamjibu nami pia nina malengo kama yako alafu nikamtajia nchi ninazo pendekeza kwenda kufanya kazi ila hakunijibu chochote

  • @seifaron15
    @seifaron15 5 месяцев назад

    Ukiota mwanamke amekaa akiwa analia nn maana yake

  • @khadijamohammed3201
    @khadijamohammed3201 4 года назад

    Mimi nimeota nimekojoa na kuamka kweri nimekojoa iyo inshaallah yanini shekha kwa mala ya kwanza toka nizariwe naomba msaada niambie

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 года назад +2

    Yani sheh unachukua muda sna tafsri ya dakika tano unaifanya kuwa nusu saa nahata haiyeleweki

    • @بنمفازي
      @بنمفازي 2 года назад

      MB ziende nyingi commission iwe kubwa

  • @rashidimustapha2915
    @rashidimustapha2915 4 года назад +4

    Tatizo una mambo meng sana

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 года назад

    Hiindoto onahusu wanaumetuau wote

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 2 года назад

    Muamini ndoto ni vituko kwa kwel

  • @tumainkaduma1864
    @tumainkaduma1864 2 года назад

    Ukimuota mwanamke aliye beba mtoto

  • @leylahchesavio9551
    @leylahchesavio9551 4 года назад +1

    Ukimuota ndugu yako anatembea na mume wa mtu na yy akawa anajeur kukubal like swala na kusema kanifat mwenyew

    • @hijjahaji1278
      @hijjahaji1278 4 года назад

      Vp

    • @medii1467
      @medii1467 3 года назад

      Mimi mepata ndoto namuwona nyoka nene sana nyoka uyo sikumuwogopa marayingine nka pata ndoto niko coni nawona panaja may mabaya sana nawona bitu vyote bime rowana manayake nini samahani

  • @ashurasaid5017
    @ashurasaid5017 3 года назад

    Nimeota wanawake wengi wamevaa ushungi na wakaniangalia kwa chuki sana wakapita kisha akaja mtoto mdogo was like akaniijia na kunipeleka sehemu kisha nikamkuta mwanaume kakaa lakini yule mtoto akawaananilazimisha niende kwenye eneo liko kama chumba lakini Mimi nilikiona kama sehem hatari nikakataa katakata nn maana take Shekh

  • @babymummie4468
    @babymummie4468 3 года назад

    Ukiota unalala na mwanamke na ww n mwanamke ina maana gani

  • @mosesbwana8050
    @mosesbwana8050 3 года назад

    Inatisha sana

    • @esterjoshua5439
      @esterjoshua5439 3 года назад

      Ax

    • @esterjoshua5439
      @esterjoshua5439 3 года назад

      Ax

    • @matahematahe9296
      @matahematahe9296 3 года назад +1

      Nisaidie tafasiri ya ndoto hii nimemuota binti kigori matiti yamesimama kanivulia nguo kifua kikabakia wazi mrembo alafu akatokea mke mm nikamkataza yule binti asinye alichokua anakitaka tukifanye Ila nilimpenda Ila ghafla mke wangu akatoke

  • @wambogootieno4762
    @wambogootieno4762 4 года назад +2

    Wengine wetu si Waislamu hivo basi enda kwa Maana ya ndoto direct. Usipoteze muda na mambo ya Uislamu

    • @angelmacha8278
      @angelmacha8278 3 года назад

      Haswaa

    • @Anonymous-fd4ev
      @Anonymous-fd4ev Год назад

      Mtafute Padre anaetafsiri ndoto. Unafanya nini hapa. Sisi tunaelewa. Tupe dawa sheikh. Tunakuelewa.

  • @issambeo5372
    @issambeo5372 3 года назад +2

    Nimeota nyoka was rangi rangi, nikataka kupiga nilipopiga nikamkosa na nilipoiingia chmba Fulani nikamkuta Tena nikakimbia kuleta fimbo sikumkuta nikachoma majani yaliyokuwemo chumbani humo. Mara nikamuona amesimama nje na Mara akageuka msichana akaniuliza unataka kunipiga wakati Mimi ninakulinda. Basi nikamwambia usiwe unanitisha na tuwe marafiki na nikambusu paji la uso. Je maana yake ni nini?

  • @ciciliaapalat4111
    @ciciliaapalat4111 4 года назад

    Ukioto mwanamke anamka kwenye kaburi na a anakumbiza kisha unaanza kupigana naye hadi apotee na unamshinda maanake nini?

  • @kombohamissi7107
    @kombohamissi7107 4 года назад

    Shkh m nmeota namshka mkono jee inamaana gn?

  • @jeremybr440
    @jeremybr440 3 года назад

    Sheikh mienimemuota mpenzi wanguwazamaani nimerara pamojanae nyumbani kwake kitandani nawakati tumeisha achana nini maana niripo amuka nikamushika kwaziwa lake nini maanayake

    • @chrithicksambo1034
      @chrithicksambo1034 2 года назад

      Kuwa makini usije ukamrudia..... malaika wako ambao ndio walinzi wako wanakupa ONYO juu ya maradhi au mikosi itakayokuandama endapo utsrudiana Naye.

    • @hamidasalumu4334
      @hamidasalumu4334 2 года назад

      Mm ni mwana mke lakni napenda kugombana na mwana mke hua Wana kuja Zaid wakiwa wa tatu na kutaka kunidhuru ila mara zote huwshinda naomba msaada kwenye Hilo shehee

  • @mwajumaathumani4790
    @mwajumaathumani4790 4 года назад +1

    She minimeota mwanamke anajamiana na mume wangu maana yake

  • @AminaNdayizeye
    @AminaNdayizeye 5 месяцев назад +1

    Ni tafsiri ya ndoto ao ni mawaidha😂😂

  • @allygosso8084
    @allygosso8084 4 года назад +2

    Je ukimuota mwananke amezaa mtoto mdogo akawa ameanza kuongea haraka na kila unachomuliza anakijua inamaanisha nn