#TBC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 май 2024
  • Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga ameshangazwa na aina ya uwekezaji kwenye timu ya Simba na kusema kama timu imewashinda viongozi waliopo wawapishe wengine kuendeshea timu hiyo.
    Akizungumza na TBCDigital nje ya Bunge, Sanga amesema timu imekuwa na mwenendo mbaya na kuwanyima raha mashabiki wa Simba bila uongozi uliopo madarakani kujitafakari kwa kina.
    Shabiki wa Simba una maoni gani juu ya mwenendo wa timu yenu na ungependa kipi kifanyike ili kurejesha furaha kwa Wanasimba?

Комментарии • 183

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h Месяц назад +11

    Sawa tunawashukuru sana waheshimiwa kwa kuona swala hili maana kuna viongozi wa hovyo sana.muwekezaji haeleweki,uongozi uliopo utoke mwekezaji pia atoke.tunaumia sana juu ya simba yetu.yaani tunaumia sana.

  • @AshaMbaraka-cb5ix
    @AshaMbaraka-cb5ix 3 дня назад

    Umeongea la maana sana, nimependa, wawapishe wengne,

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw Месяц назад +10

    Kigwangala alisema mkamuona hana nia njema na timu yenu leo mmekubali

  • @JemaChoga
    @JemaChoga 11 дней назад

    Kweli kabisa simba Haina viongozi wenye nia njema na timu

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Месяц назад +5

    Mwekezaji hafai aondoke mwekezaji ni feki hawezi kuisaidia timu. Safi sana Mheshimiwa pigania simba yetu itoke mikononi mwa mabepari, mabwanyenye na mafisadi.

  • @masterngao5538
    @masterngao5538 Месяц назад +2

    Simba na quality ya viongozi tofauti kabisa

  • @mkorinthomgalilaya6700
    @mkorinthomgalilaya6700 Месяц назад +16

    Sio simba tu hata mama hatutoshi aondoke tu

  • @saidmngai9504
    @saidmngai9504 11 часов назад

    Upewe weww

  • @PascalTumbay
    @PascalTumbay 26 дней назад +1

    Safiii sana MH mbunge huyu mwekezaji janja janja nyingi afu viongozi wapigaji

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack Месяц назад +5

    Ukiona "Kiongozi" watu wake wanamkataa na kumsema,lkn bd yeye "kang'ang'ania" madaraka,ujue huyo kiongozi "ana ugali wake" anafaidika nao hapo

  • @mickdaddymjungu8283
    @mickdaddymjungu8283 Месяц назад +2

    uko vizuri pambana tukomboe simba yetu iko mikononi mwa mataperi

  • @HishamRashidMilonge
    @HishamRashidMilonge Месяц назад +1

    You are extra genius 👏

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 Месяц назад +1

    Ni kweli kabisa, viongozi na Mo wapishe timu ianze upya kabla ya msimu haujaanza

  • @user-mk3iu6ho3j
    @user-mk3iu6ho3j Месяц назад +1

    Ahsante kiongozi ubarikiwe

  • @user-de4no8od7s
    @user-de4no8od7s 10 дней назад

    Nazani tatizo liko kwa wote kwa mwekezaji na viongoz asilaumie mwekezaji tu

  • @BabaStuwartKatojo
    @BabaStuwartKatojo Месяц назад +4

    Bora viongozi wakubwa na waselikali mriongereee MO naee anaweza kuwa chanzo

  • @user-bs1kq9em8g
    @user-bs1kq9em8g 17 дней назад

    Kwel kabisa kwel kabisa

  • @farajaamoke8109
    @farajaamoke8109 Месяц назад +2

    salutee broo sanga

  • @safiliMuhammad
    @safiliMuhammad 20 дней назад

    Ukweli umesema na wanaopinga ni machawa wa mo tatizo sio tatizo Simba ni mo. Mangungu na mwenzake njaa watasema nini

  • @user-ir4fk4cs7k
    @user-ir4fk4cs7k 21 день назад

    Mnajipendekeza hiyoo timu ya familia ya. Aina. Dewj. Nyii ni. vibarua

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 Месяц назад +4

    Mhindi ni muhindi tu ....

  • @AshaMbaraka-cb5ix
    @AshaMbaraka-cb5ix 3 дня назад

    Mo achia Tim,tumechoka, aachie

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 Месяц назад +4

    Uko vizuri sana , sumu ya Simba ni Mo ahondoke

    • @MgangaMasudi
      @MgangaMasudi Месяц назад

      Wasenge nyie na haowaheshimiwa wenu moanatoa hera nyingi sana haondiowanaotusumbua wajanja wajanja tu watoehera ya usajiliwao

    • @bbclondonulimwenguwasoka6126
      @bbclondonulimwenguwasoka6126 Месяц назад

      Mo atasifiwa timu Ikiwa inafanya vizuri na ikifanya vibaya lazima abebe msalaba , yeye ndo dira toa fedha na uisimamie mfano Heris anakaa na timu , Mo huwezi muona hata kidogo kwenye timu

    • @heriprince6166
      @heriprince6166 Месяц назад

      Kuandika tu ni shda kwko, unafkir hta hekima na Akili utakuwa nazo??​@@MgangaMasudi

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u Месяц назад +1

    Mo aende zake hongera MH

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Месяц назад +2

    Viongozi Simba wangetoka mapema Sana Ila tatizo Rpc anawalinda Sana

  • @saidmngai9504
    @saidmngai9504 10 часов назад

    Umemkosea tajir janjajanja gani nakama mko bungeni kwanini mnachelewa kumtoa ushauri wakina nchemba yanga nawanapambana mavunde yanga wapo kabisa serious lakn nyiee Simba mnamkashifu mo sawa hapendwi lakn ashatutoa kubaya Mpira WA Sasa uchawa mwingi anaetutesa sisi ni Mmoja tuu mpaka mchakato hauendi mungu nusuru Simba uliiowapa uwezo wanatutesa sisi tusiowwwza pia wote WA Tanzania

  • @bushiringamba6971
    @bushiringamba6971 19 дней назад

    Aliyemtaka hakuchaguliwa na Hilo ndio kosa la wanachama kwenye uchaguzi.hata ghalib alimtanguliza Hersi ili atoe pesa zake

  • @aaronsinkuya184
    @aaronsinkuya184 Месяц назад +1

    Kweli mdau umeongea point kubwa sana

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in Месяц назад +2

    Mo aondoke tu ,anatuharibia saana

  • @nicksonkamazimo5173
    @nicksonkamazimo5173 Месяц назад

    Kapiga mule mule kama Kigwangala Asante kwa kuweka wazi

  • @user-wu2yn1lb2e
    @user-wu2yn1lb2e 22 дня назад

    Inatakiwa mwenyekiti wa club ya simba na makamu wake wajiuzulu tu hawatufai kabsa

  • @falesisebunga
    @falesisebunga 29 дней назад

    filam za kibongo

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 Месяц назад +1

    EXACTLY....!

  • @user-ir4fk4cs7k
    @user-ir4fk4cs7k 21 день назад

    Hiyoo ni timu yaoo ukooo. Wa dewj

  • @EvanceKimario-fq3ii
    @EvanceKimario-fq3ii Месяц назад

    ❤❤❤napenda maneno hayo kuyasikia Kwa mwanachama au shabiki yoyote wasimba sports

  • @AbdallaOthman-ny8hp
    @AbdallaOthman-ny8hp Месяц назад

    mm naungana na ww kweli

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f Месяц назад +3

    Nikwelikabisa umeongea kiukweli Simba uongozi haukomakini tafuteni uongozi wenyekiu ya maendeleo

  • @user-zr1gn1tr9h
    @user-zr1gn1tr9h 25 дней назад

    Mweshimiwa nakuunga mkono simba kuna wezi ila mwizi wa kwanza ni mo atoke na kundi lake

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Месяц назад

    Sasahv akihojiwa tena

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z Месяц назад +2

    Mo haumii kwa sababu hatoi hela ange kuwa anatoa hela angezungumza Zaman

  • @user-ir4fk4cs7k
    @user-ir4fk4cs7k 21 день назад

    Duu yaani busara zako zote unaishabikia timu.yakihunii hii

  • @emanuelmichael5830
    @emanuelmichael5830 Месяц назад

    Watu kama Hawa ni wa chache sana ktk hii Dunia👏👏👏

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 21 день назад

    Nikweli mo atupishe

  • @mdimifrank
    @mdimifrank Месяц назад +1

    Ukweli wanasimba sisi tunaujua. Shids si mwekezaji mmoja ambaye amekwishalipia asilimia 49 ya hisa zake. Shida ni uongozi wa wanachama kushindwa kuratibu ulipiaji wa 51% ya hisa. Ndiye mwekezaji asiyetimiza wajibu. Mangungu ndiye mchawi wetu.

  • @user-zj2gc2zj2c
    @user-zj2gc2zj2c Месяц назад +2

    Mwekezaji Hana tatizo bali wenye tatizo ni viongoz ..Mo anatoa hela za usajili wao wanagawana

    • @aminihashimu9979
      @aminihashimu9979 Месяц назад

      Hawa wasenge si wanaongea tu wanasahau kwamba kabla mo hajaja tulikuwa tunategemea kina chanongo, ajibu, serenkuma ndo watupe ubingwa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 17 дней назад

    Kweli viongozi watoke tu wawapishe wengine waendeshe timu. Sasa tumepata Mgunda Kocha mzuri sana. Sasa bado uongozi WATOKE WATOKE TU. MO kama ameshindwa awape wengine..ILi asiendelee kupata hasara.

  • @HamisindeeLeembo-xp7iz
    @HamisindeeLeembo-xp7iz Месяц назад

    Umenyosha mjombaa safi sana

  • @aminihashimu9979
    @aminihashimu9979 Месяц назад

    Nachojiuliza mimi mbona kabla hajaja hatukuweza kufanikiwa?

  • @moidasimo9955
    @moidasimo9955 Месяц назад

    Kweli kabisa moo ni shida pale hana uchungu na timu kaweka viongoz wa siasa

  • @JairosiMelikiori-et6xl
    @JairosiMelikiori-et6xl Месяц назад

    Mangungu na wenzake niniwanacho ngangania simba ilikuwepo Kabula yao kama wanaakilitimamu waitishe timu yetu,

  • @NdalawaNickas
    @NdalawaNickas Месяц назад +1

    Timu inapelekwa hovyo hovy watoke waniachie timu yangu

  • @emmanuelchalle625
    @emmanuelchalle625 Месяц назад

    Unasema kweli Mh.

  • @bimbaboy816
    @bimbaboy816 Месяц назад +1

    Unaongea point kabisa

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 Месяц назад

    Akwere ukooo

  • @noelmarko238
    @noelmarko238 Месяц назад

    Tunashukur sana kama simba imewashinda waiachie

  • @Tarqimaster
    @Tarqimaster Месяц назад

    🤗🤔😀

  • @JairosiMelikiori-et6xl
    @JairosiMelikiori-et6xl Месяц назад

    Tetesi za usajili

  • @RamadhaniMohamedi-rv2vw
    @RamadhaniMohamedi-rv2vw 14 дней назад

    Mwekezaj nifek janjajanja nying kila mwaka anadai anapat hasar kam biashar inakup hasar kila mara siunaachan nayo kwa maon yang huyo aondoke apishe wengine tumechok projo zake

  • @user-gr6hz5oq2g
    @user-gr6hz5oq2g Месяц назад

    Mwekezaji hamjampa timu wanachama hamjatoa asilimia 51 zilizobaki mnamlaumu vip Mo?

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Месяц назад +1

    Viongozi ndio shida

  • @fridafranco315
    @fridafranco315 Месяц назад

    Umeongea ukweliiiii festoo

  • @JosiaKaminyoge
    @JosiaKaminyoge Месяц назад

    Kweli kabisa unacho kisema nakuunga mkono

  • @DanielChaula
    @DanielChaula Месяц назад +1

    🎉🎉🎉😢😢😢

  • @user-cg6iy2et7q
    @user-cg6iy2et7q Месяц назад +1

    Mo na kile kimangungu vyote viondoke

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Месяц назад

    Kweli kabisa lazima ckuwepo janjajanja. Kama mtu anapata kwanini asiondoke!?

  • @DM_15
    @DM_15 28 дней назад

    Ukuaji huo nihuyo huyo mo

  • @user-pf4vx5yx1q
    @user-pf4vx5yx1q Месяц назад +1

    Tupo panoja aondoke , waru waje wamekeze

  • @johnbkimaro
    @johnbkimaro 22 дня назад

    Atuambie timu inaukata umeanza lini? Je nani anadai? Au maana ya ukata ni upi.
    Hana hoja ni ujinga tu anatuletea

  • @MakoyeMaduhu-sg4ft
    @MakoyeMaduhu-sg4ft Месяц назад

    Atupixhe

  • @jamesmohamed4612
    @jamesmohamed4612 Месяц назад

    Wewe mjinga wambie viongozi wakamilishe katiba wewe ungekuwa wewe ungeweza kutoa Hela bila mfumo kueleweka?

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 Месяц назад +4

    Wewe ulikuwa wapi kutoa fedha kwa ajili ya kuindesha simba. yanga wanashinda kwa kutumia mbinu chafu hujui? Simba tumempa mwekezaji anahujumiwa badala ya kutatua tatizo unamlaumu mwekezaji ambae amefanya kazi kubwa ww unamkatisha tamaa. Mo akiondoka hatuna mjomba tutarudi kulekule kwenye bakuli. Wewe ni mbunge lakini huna mtazamo wa kimpira. Jiulize kabla ya kumpa timu mo simba ilikuwa wapi? Baada ya mo kuichukua simba ipo wapi? Wewe unahangaishwa na ubora bandia wa yanga ambao wanapata matokeo kwa kusaidiwa. Kama mbunge mliona viongozi wa yanga wakidhamini zaidi ya timu 5 zinazoshiriki ligi mmekaa kimya. Hamjui kuwa wanatumia hizo timu kupanga matokeo? Halafu unaamka kukimbiza kivuli badala ya kuzuia hiyo hujuma kwa kusimamia sheria. Kama hujui mpira kaa pembeni.

    • @omarymtotela3751
      @omarymtotela3751 Месяц назад

      Simba ndio timu pekee iliyongwa goli nyingi na yanga na haijazaminiwa na mzamini wa yanga

    • @Mgema001
      @Mgema001 Месяц назад

      Oya wewe jamaa huna akili kama ungekua na akili usingeandika gazeti lote hili lisilo na maana

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Месяц назад

      😂😂😂😂mmmmhhh bonge la nipashe gazet

  • @iddykivu1336
    @iddykivu1336 Месяц назад

    Yule Kanjibai Mbabaishaji na Matapei Aliowaweka Ndo kabisa

  • @TimothyPeter-ev6tg
    @TimothyPeter-ev6tg 24 дня назад

    moo atuchie timu yetu

  • @salilamaigah1401
    @salilamaigah1401 Месяц назад

    Ni kweli kabisa mheshimiwa. Mo ni mjanjamjanja. Haitakii mema simba

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Месяц назад

    Unajuwa siku zotee alowaita mbumbumbu Ali wajuwa mapema mh khamis kigwangwla aliwambia mapema mukamtuna Leo Muna SEMA Muna unga mkono😊😊😊

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig Месяц назад

    Umeongea jambo la maana sana

  • @namtingakassim5529
    @namtingakassim5529 Месяц назад

    Huyo mo na viongozi wa smba wote vimeo waachie ngazi

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 Месяц назад +1

    Kama moo yuko poa kwenu mnaomtetea mbona hachukui hatua zozote za wazi kuonesha kuwa uongozi uliopo umemwangusha kwa kushindwa kuisimamia timu na hata namna ya sajili zao nyingi zimekuwa na shida, sasa sisi tutamwaminije?

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 Месяц назад

    Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo

  • @Tanzania_Profession_CLUB
    @Tanzania_Profession_CLUB Месяц назад

    Mbona hukusema wakati inafanya Vizuri miaka 4..
    ACHENI ujinga

  • @nathankakozi6899
    @nathankakozi6899 Месяц назад

    Huyu jamaa anaongea mambo ya hovyo yeye siyupo singinda kwenye board yeye mbona imewashinda

  • @user-xf7gj4kd3k
    @user-xf7gj4kd3k Месяц назад

    Aondoke mo Hana maana ana umimi mwingi sana

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j Месяц назад

    Kanjibhaiii

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Месяц назад

    Ikwezekana kaka mliwasilishe bungeni wajadiliwe kwanini wanangu'ng'nia hawapati faida alafu Bado wameishikilia tim kama ya baba zao

  • @official_masud
    @official_masud Месяц назад

    Sasa mheshimiwa wakati simba iko inagaragara mbona hukujitokeza kuchangia ili iwepo ilipo, YOU SHOULD UNDERSTAND THAT THERE IS NO DEVELOPMENT ON COMFORT ZONE. Ayo mambo ya Hisa mtajuana wenyewenalazima liwekewe sawa na wazi kwa wanachama ilitujue ni kampuni ama club ya wote

  • @bushiringamba6971
    @bushiringamba6971 19 дней назад

    Kwa wale wanaomshambulia huyu mbunge.amekosea wapi? Huu ndio ukweli.tangu mo ajitoe ndio timu inaboronga.na hiyo Ni Tabia ya kutaka tuone mapungufu .tumbembeleze

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 24 дня назад

    Wewe fanya yako achana na simba uravi ndio una2asumbua

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Месяц назад

    Wachache wa kweli na waelewa wengi ni simba nguvu moja

  • @graysonmatali644
    @graysonmatali644 Месяц назад

    MO DEWJI atoke

  • @ongezamaarifatz4241
    @ongezamaarifatz4241 Месяц назад

    mo aondoke na watu wake tumechoka danadana.. mara ameinunua... mara anapata hasara kwan akiondoka simba ika rudishwa kwa wanachama tukatafuta muwekezaji wa maana kuliko iv mguu ndani, mguu nje

  • @gilbertkessy7388
    @gilbertkessy7388 Месяц назад

    Pia mama haondoke zake

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Месяц назад

    #Kigwangala alisema

  • @KisendiNyanda93
    @KisendiNyanda93 Месяц назад

    Msingetumia picha ya bungeni sasa

  • @user-xr7fh9ht8o
    @user-xr7fh9ht8o Месяц назад

    JMN MINASEMA NA NITAENDELA KUSEMA ILI SIMBA IFANYE VIZUR KWENYE USAJIRI YN KILA KITU MOO AONDOKE SIMBA YULE SII MTU MZURI KWENYE KRABU YA SIMBA SIO MTU MZURI YEYE NDIO ANAEIARIBU SIMBA ANAKOMBA HELA ZOTE ZA SIMBA ANAJINUFAISHA YEYE MWENYEWE NA FAMILIA YKE MTAKUJA KUNIAMBIA AONDOKE NDIO ADUI NAMBA MOJA

  • @IssackAndrew
    @IssackAndrew Месяц назад

    Muwekezaji haja weka ela kaweka maneno

  • @johntendwa7856
    @johntendwa7856 Месяц назад

    Huyo nae ni kitunguu, kama kweli ni mbunge na ni kiongozi wa wapi? yaani na yeye analalamika na hajui kitu na anakuja hadharani kama shabiki kweli? yeye yupo karibu kabisa na majibu yote, anao uwezo wa kuwaita viongozi hao kupitia spika nao wakajieleza mbona wakichukua kikombe wanawafuata bungeni? ndio maana naona haka ka mgogoro kana asili ya ccm na serikali yake, ndio maana na sanga anawaka tu kama shabiki.

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Месяц назад

    Kaka tunaomba mtusaiidie pale Simba mwekezaji na wale viongozi watupishe niwahijumu mafisadi wakubwa

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 Месяц назад

    Tusaidieni Tuwatoa Wale viongozi wote matapeli kina try again. Hata uyo moo hana jipya kama vp atupishe..Tumechoka 😢

  • @tonotvonline3070
    @tonotvonline3070 Месяц назад +1

    ...WANA SIMBAA TUMUUNGE MKONO HUYU SIMBA YETU ILI IKAE SAWAAA

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 Месяц назад

    Aache timu, anatuboa kila siku anadai kupata hasara, miaka kadhaa afanyi usajiri anafanya majaribio ya wachezaji na kuwatema! Shabiki tunaumia