Muuza madafu ikulu ni Komando? A trend akifananishwa na komando kwa akishuka kwa kamba na helicopter

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 апр 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 502

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 Месяц назад +82

    aliyesanuka em agonge like hapa

    • @user-bv3zj1le5q
      @user-bv3zj1le5q Месяц назад +2

      Niyy muuza madafu hakuna ubishi lakini awezi kukubali kamwe

  • @micophilemon2080
    @micophilemon2080 Месяц назад +2

    kwenye facial recognition tunaangalia paji la uso, mashavu kidevu, mkao wa pua, ukimchek mwamba pua hahhaaa ikulu sio kila mtoto wa baba ananda eeh

  • @Worldunite
    @Worldunite Месяц назад +41

    Msione ajabu wala msishangae, haya ni mambo ya ki-intelijensia 😂😂.MAJEDA OYEEE TANZANIA 🇹🇿 THE BEST

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 Месяц назад +15

    Mission completed 👏👏👍
    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Месяц назад +20

    Mama anajichekea tu😂ngoja na mimi nicheke😂😂😂😂 iloveyou Tz yangu ❤

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Месяц назад +55

    Umeona mama samia anacheka kakumbuka siku ya madafu

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 Месяц назад

      😂😂😂😂

    • @kennedykassian5269
      @kennedykassian5269 Месяц назад

      Tena clip ya mtangazaji wa milllard akimuelekeza aweke silaha vizuri yaan ni yeye na jamaa wana uwezo hata wa sauti kubadilisha

  • @humphreynyiti516
    @humphreynyiti516 Месяц назад +28

    We ukauze madafu ikulu mchezo,haha ila ww jamaa ni noma sana

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 Месяц назад +24

    Du!,tena full commando,kuna la kujifunza hapa,hasa wale wenye dharau kumuheshimu kila umuonae mbele yako ni jambo muhimu sana.

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Месяц назад

      Ndio

    • @Allybinamour
      @Allybinamour Месяц назад

      kweli kabisa

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 Месяц назад

      Umeongea chamaana sana niliwahi saidiwa namtu nisie mjua sehemu ngumu sana kumbe jamaa ananijua nayeye niwalewale

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 Месяц назад +13

    Tanzania wapelelezi wapo Kila mahali, yaani "ulipo tupo", ni kiasi Cha sisi wananchi kuchunga ndimi zetu na kuheshimu Kila mtu

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 Месяц назад

      Na Hiyo pia isiwafanye mjisahau kwa kujiona mmemaliza kila kitu "Huwa Allah junudu mafisamawati wal~Ardhwi" Bi maana Allah yeye ndiye mwenye majeshi Angani na Ardhini. unaweza kulindwa Sana na mwisho ukafa Nyuki au Siafu tu. Tendeni haki na mema sio kukandamiza watu Kisha mnaendelea kujitukuza.

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 Месяц назад +2

    Huu mtindo wabadiri maana dunia ikombali sana sasa huyu jamaa hawezi ishi tena kwa amani nakufanya kazi yake kwa weredi maana kila mtu mwenye anajua alichokifanya atakuwa anamuogopa kikubwa hawa jamaa wauza madafu wengi niwatu wa mipakani kupitisha watu wabaya nirahisi sana ndio maana wanakuwepo komandoo elewa huyu nikiongozi wakikosi nayuko nao aisee hii in big up sana

  • @user-ix9zu1zk5c
    @user-ix9zu1zk5c Месяц назад +12

    😂😂😂 ndio yeye sauti ina echo tu, ila zinafanana, tue makini

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад +2

    Serikali yetu nzuri haswaaa ina ulinzi mzuri sanaaaa

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q Месяц назад +38

    Sio rahisi kwa raia wa kawaida kupelekwa ikulu inawenyewe hiyo ww fikiria kwa akili ndogo uangue dafu Rufiji ambalo halijahakikiwa akapewe Rais wa nchi mliona wp sisi tuliowajanja tunajua

    • @MubaAlly-gd5jg
      @MubaAlly-gd5jg Месяц назад

      saw kabisa

    • @user-vd1vx1dc8p
      @user-vd1vx1dc8p Месяц назад

      Jamani tunakiharibu kiswahili chetu badala ya kuandika sawa kabisa unaandika "saw kabisa" ukitafsiri inakuwa "aliona kabisa"

    • @Swahili14
      @Swahili14 Месяц назад

      ​@@user-vd1vx1dc8p😂
      Native speakers use informal speech and slang

    • @anacletferuz4954
      @anacletferuz4954 Месяц назад

      Mbona ulikua haujasema kama ulijuwa😊

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 8 дней назад

      Kuna jambo lao wanatafuta awa sio bule kwaio ukiwa njiani ujitunze sio kila umuonae ni mtu wa kawaida kwako ao wanaangalia usalam wa nchi chini chini kam nisingemuon apa sku ningekutana nae siku sipo vizuri unaingia kwenye anga zao aisee atakukoa sasa mue walinzi wenyew sio kilA umuonae umzalau ukute wenginne wanafagia barabara we unaon ni washikaji zako unaongea mambo lbda ya bangi wee watakumiga na kukukoa ulinzi wa nnje jmni upo kila mtu awe na uangalifu la sivo mtaishia jera waovu lkn sin uakika nalo 😅😅😅😅 nimependraaaaas😉😉✌👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @drdd774
    @drdd774 Месяц назад +9

    Mpaka mtu anasema kama mazoezi na kareti anafanya mnashindwa kujiongeza

  • @suzeynnasebastian8223
    @suzeynnasebastian8223 13 дней назад

    Mungu ibaraki
    Tanzania ukumbusho❤❤❤❤

  • @jillydezanzibar4435
    @jillydezanzibar4435 Месяц назад +3

    Mi sijui kufananisha ila huyu sio yeye" Tusitake kuheadlines

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l Месяц назад +15

    Tena ni captain halooo

  • @alexandermanase8956
    @alexandermanase8956 Месяц назад +41

    Huyo anaekataaa nae inawezekana ni usalama wa taifa😂😂,, ila nimependa Sana mbinu za jeshi letu.. ukauze madafu Bure Bure ikulu,, thubutu,,,,,, Sasa usalama mbadilishe mbinu hii tushaijua😂😂😂... Komando muuza madafu oyeeeee

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite Месяц назад +25

    Natena nikiongonzi kabisa daah 😅🔥

    • @Mwanah27
      @Mwanah27 Месяц назад

      Yan bonge la cheo

  • @ElizeusDadira
    @ElizeusDadira Месяц назад +1

    Unaweza mungu akuzidishie

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 17 дней назад

    Usicheze na CCM
    Ndio ile ile....❤

  • @mussachessa6404
    @mussachessa6404 Месяц назад +20

    Yes hata huyo jamaa wapembeni ndie yuleyule walie kua pamoja kupeleka madafu Ikuru. huyo alievaa kitambilisho

    • @fanuelykitambule5542
      @fanuelykitambule5542 Месяц назад

      Kabisa ukimuangalia vizur machoni huyo wapembeni kama ni yeye iv

  • @SamsonKena
    @SamsonKena 21 день назад

    Dar anaweza mungu amri nde.

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 Месяц назад +2

    😂😂😂 wabongo bana mnachunguza sana mnataka msipate tena madafu.

  • @AlexMumoMalonza
    @AlexMumoMalonza Месяц назад +28

    Acheni kufichua siri zenu za kijeshi!!! Adui atakua na kazi rahisi kuwafunika

    • @devanse9718
      @devanse9718 Месяц назад

      KAZI YA NYOKO

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 Месяц назад

      ​@@devanse9718Ukweli ndio huo

    • @United-Bantu-People
      @United-Bantu-People Месяц назад

      it means dont underestimate Tanzanians

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 Месяц назад

      Nafikiri hii sasa jeshi lijiongeze kutokana na technology maana wengine huficha sura kwakuwa niwatu wanaojulikana sana mitaani so wabadiri mbinu

  • @user-er8qt4rx8n
    @user-er8qt4rx8n Месяц назад +10

    mama mweenyewee anafurahi heee huyu si yule muuza madafu itakuwa hata yeeye alikkuwa hajui hili

    • @elizanyange2010
      @elizanyange2010 Месяц назад

      Mama anajuwa hiv unafkiria wangekua watu wakawaida wangeruhusiwa kuingia ikulu kirahis rahis

    • @stanchi138
      @stanchi138 Месяц назад

      Muuza mafafu gani ata kofia hakuivua ikulu,,,,,serikali ina mkono mref,

  • @davidmigoha1706
    @davidmigoha1706 Месяц назад +3

    Kama watu tofauti basi andaeni interview wote wawili wawepo I will pay

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7j Месяц назад +20

    Am a Kenyan ❤❤❤❤ i really love this 😂

  • @agnesmndolwa6245
    @agnesmndolwa6245 Месяц назад +34

    Ni yeye Kwa sababu wakati anahojiwa alijichanganya kwamba anaweza karate,hakuna muuza madafu wakusema anaweza karate

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 Месяц назад +4

      Acha ushamba karate anajifunza mtu yeyote yy alichosema nikwamba hvyo vitu anaviweza kwan mbn mm nacheza judo mieleka na karate??

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya Месяц назад +1

      Ni yeye

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Месяц назад

      Wewe kweli mshamba

    • @agnesmndolwa6245
      @agnesmndolwa6245 Месяц назад

      @@Mpakauseme ushamba umetokea wapi hapo tena

    • @YustaMfugale
      @YustaMfugale Месяц назад +1

      Hyo karate alijifunza lin make kasema ye ni mwanafunzi wa chuo na umri umesoma namba so pouw

  • @user-wb1fg1fk8o
    @user-wb1fg1fk8o Месяц назад +1

    Kweli video nimeyiludia malanyingi niyeye mungu amutiyenguvu kwanyota yake😊

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Месяц назад +2

    Mwenyewe bana

  • @FredMlelwa
    @FredMlelwa 20 дней назад

    Mungu ibariki Tanzania.🇹🇿🇹🇿

  • @CruzchicagoNyandindi
    @CruzchicagoNyandindi Месяц назад +2

    Mama abakie yy tu ikuru miaka yote nampenda sana rais wng

  • @MubaMgaya
    @MubaMgaya Месяц назад +6

    Kwapembeni namwona mjomba hija khaji mgumya one love jombi

  • @JamilaShabani-oj9rt
    @JamilaShabani-oj9rt Месяц назад +1

    Mungu awe nanyi makomando wetu😊❤❤❤

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 Месяц назад +2

    Sio yeye muuza madafu akiongea analamba ulimi lakini huyo commando halambi ulimi huo ndio utofauti wa kitabia halisi sisi wapelelezi tunajua hilo Tanx saaaaana kwa kufananisha

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 Месяц назад +10

    Ndo mana pembeni wanacheka😂😂😂

  • @amosdesdery8482
    @amosdesdery8482 Месяц назад +4

    Mkimpata Tena Niko paleeeee😂😂😂😂😂😂

  • @jakalwambemanyalla6287
    @jakalwambemanyalla6287 Месяц назад +5

    Mpaka sauti

  • @AbdulyMaga-ct9uy
    @AbdulyMaga-ct9uy Месяц назад +1

    Ila watu😂😂😂😊

  • @user-kn8pw7vk4e
    @user-kn8pw7vk4e Месяц назад +2

    Sio yeye 100% hamuoni ata sura ni tofauti

  • @meshackmwamasimbi1461
    @meshackmwamasimbi1461 Месяц назад

    Nyota 3 huyu ni moto hatujichanganyi kamwee😅😅😅

  • @user-ds3os5qv4o
    @user-ds3os5qv4o Месяц назад

    Mtazameni vizuri huyo komando alie mbeba mwenzie huyo sasa ndie muuza madafu😅 zoom

  • @saidothman6342
    @saidothman6342 Месяц назад +2

    Kama ingekuwa issue ya Usalama tu basi rahisi kuamini ila hapo anananisibishwa na na huyo kiongozi wa Makomandoo aliyeshuka kwenye helicopta hapo...kwa akili ya kawaida tu Kiongozi wa makomandoo tena Kapteni wa jeshi atapat wapi mda wote huo wa kukaa pale Salenda kuuza madafu...ingekuwa amenasibishwa na usalama wa taifa hapo ingeingia akilini

  • @mcmrtichaentertaimentgudi7331
    @mcmrtichaentertaimentgudi7331 Месяц назад

    Sijui unaona🕺💃

  • @user-sx2sz6sr8d
    @user-sx2sz6sr8d Месяц назад

    watu wawili tofauti sio yy

  • @ngalukomcharo9841
    @ngalukomcharo9841 Месяц назад +10

    Ukitazama vizuri pichani siku akiuza madafu body posture inaonesha kabisa ni mtu mwenye military skills.

  • @MichaelCNtaho
    @MichaelCNtaho Месяц назад +15

    Ukitaka kujua ni yeye mwambie huyo mwandishi akamtafute tena pale kijiweni alipokuwa ana uzia madafu kama atamkuta..

  • @iddmussa3763
    @iddmussa3763 Месяц назад

    km ni yeye basi ujue swala la kupeleka madafu halikuwa bahati mbaya na swala la yeye kuonekana hapo km kiongozi pia sio bahati mbaya yani kila kitu kimepangwa
    ila wamefanana zaidi jaribu kuangalia facial features mfano fupa la shavuni utaona kuwa ni tofauti ila utafauti huokwa jamii ya watu hao unaweza ukawa wa kutengeneza pia
    tujaribu kusikiliza vocal - ila ya huyualiekuwa anaongea kwa mic huipati vizuri ila up and down za sauti kmzinataka kufanana ila yote kwa yote big up kwa vyombo vyetu

  • @Eacko87
    @Eacko87 Месяц назад

    Siyoo yy

  • @dellyfundi9100
    @dellyfundi9100 Месяц назад

    Sasa endeleen kunichukulia poa😊

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 Месяц назад +8

    Sio yeye tena hata hawafanani kwa sura pengine tumfananishe rangi tu lkn ni watu wa2 tofaut kabisa

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 Месяц назад

    Hii ndio Tz ..... unaweza ukakaa au kuwa pamoja na mtu akiwa kawaida lakini kumbe ...

  • @exclusvetztv9011
    @exclusvetztv9011 Месяц назад +2

    Nanukuukwa marehemu ruge mtawba : ugopa sanaa digital 😂😂😂😅😅 usiongepeee utakamatwaa tuu tuu na record hizi sio zana za miaka 10 iliyopita

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab Месяц назад

    Ayo Mambo Sio Ya Kucholesha Sana Kwenye Mitandao Nazani Inatosha Wana Habari Kuchimba Ayo Mambo Angalieni Mengine

  • @JustusMackenzie
    @JustusMackenzie Месяц назад

    Well done bro I like it

  • @mdosephayta8075
    @mdosephayta8075 26 дней назад

    😂😂😂bongo sihami

  • @user-pv2ez1nd3h
    @user-pv2ez1nd3h Месяц назад +2

    Ndiyeeee mbwana kabisa

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf Месяц назад

    Mm nilishangaa ameweza kumshawishi mama kula madafu kumbe ni poti aisee

  • @lawamajohn2303
    @lawamajohn2303 Месяц назад

    Proud of my tz ❤❤

  • @user-yy6gf4my9f
    @user-yy6gf4my9f Месяц назад +10

    Asante sana ESPERARENCE de TUNIS sisi yanga tumefurahi sana

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 Месяц назад

      Wamefanyaje hao ndugu zetu waarabu 😂

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi Месяц назад

      Wamempiga adui yetu aliyetudhulumu goli huko south​@@godfreydavid6996

    • @samimalindimya6211
      @samimalindimya6211 Месяц назад +3

      Wamempiga mtu nje ndani

    • @mlekwa
      @mlekwa Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 Месяц назад

      Ssanaaaaaaaaa😂😂😂😂😂

  • @AllyKafungwa
    @AllyKafungwa 5 дней назад

    Mmmmmm mbona kama niyytuu

  • @jamalabdillahi3575
    @jamalabdillahi3575 Месяц назад +1

    Pia Kuna komando muuza mkaa 😂😂😂😂

  • @user-sy1vv6ej1m
    @user-sy1vv6ej1m Месяц назад +5

    Sisi tuliosoma Cuba 🇨🇺 tulishamjua tangia siku ile ndio mana mnaambiwa msizarau watu

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 Месяц назад

      Hata hivyo tunaoelewa nadharia tulipinge suala HILI LA kumfunua mtu majani hasa waTu nyeti KWA taifa watu kama Hawa hata ukimjua umuachie sio kumtungia, stori

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Месяц назад

      Umesoma Cuba ata kumtambua mtu huwez tizama pua tu hizo ndio zitakwambia kama ni watu wa wili tafaut

  • @user-vl1yt4nb9o
    @user-vl1yt4nb9o Месяц назад +4

    Achana na sura hata sauti ni ile ile ya kuuzia madafu

  • @richardsembelu6359
    @richardsembelu6359 Месяц назад

    Sura na sauti...Ndio yeyeee

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 Месяц назад

    Huyu jamaa anatochora anataka kutufanya hatujui kitu wakati ni yeye 😂😂😂😂

  • @Mwl_Sanga
    @Mwl_Sanga Месяц назад

    mbona sauti zipo tofauti sana

  • @BinTwahirinho-rw1nv
    @BinTwahirinho-rw1nv Месяц назад

    heshima kwako 🤗

  • @shabantitus3094
    @shabantitus3094 Месяц назад +1

    Now time ajira ni ngumu mpaka COMMANDO anaamuwa kuuza madafu
    Gonga like basi mbona unapita tu 😂😂

  • @sophiapaskar3523
    @sophiapaskar3523 22 дня назад

    heee wacha kuzinguwa

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 Месяц назад +2

    Lkn hata mwandishi mambo kama HAYA sio ya kufatilia mtu aliejifunika majani usoni mnaharibu Sana ila KWA sababu SERIKALI LABDA Imenyamaz WAANDISHI mambo mengine nyeti mskone natoa story MNAKOSEA nchi

    • @HamisTerry
      @HamisTerry Месяц назад

      Uko sahihi matumizi mabaya ya habari

  • @mikalwila9342
    @mikalwila9342 Месяц назад

    Wamefanana tu sauti zipo tofaut

  • @user-wd4xl5cl4y
    @user-wd4xl5cl4y Месяц назад

    Ndiye

  • @hansboy1443
    @hansboy1443 Месяц назад

    Mwenyewe 100 100

  • @josephkomba1767
    @josephkomba1767 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂 kwanza nicheke

  • @isayamwakisole3557
    @isayamwakisole3557 Месяц назад

    Kama kwel n usalama asingekuwa Sana front kwenye matukio ya mama

  • @user-gm1pu8zl7z
    @user-gm1pu8zl7z Месяц назад

    Siioni sababu ya kulitangaza sana jambo hili kama la ajabu sana.
    Mbona ni kama tunajidhalilisha sana ? Na isitoshe kujifunua Kwa maadui. Atakuwa kwenye wakati mgumu sana kwenye kutekelezanmajukumu yake.

  • @sautiisiyosema
    @sautiisiyosema Месяц назад

    Hata sauti ni1

  • @uqbahzahor2340
    @uqbahzahor2340 Месяц назад

    Hageuki hata kidog niyule Yule yaaani hapa hamnambii kitu

  • @adamrajabu231
    @adamrajabu231 Месяц назад +7

    MUOGOPE SANA MUNGU NA KIASI IOGOPE TECHNOLOGY 😂😂

  • @aikaM74
    @aikaM74 Месяц назад

    Nani aliyekwambia apelekwe madafu, halafu ilikuwaje mama ayanunue halafu ilikuwaje kwani?

  • @kassimtanda7321
    @kassimtanda7321 Месяц назад +1

    Dha we jamaa muongo😂😂😂

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 27 дней назад

    Aliingiaje wakati ni sehemu nyeti msitudanganye bhana

  • @dannykimoko9293
    @dannykimoko9293 Месяц назад

    Ndio huyo huyo alieshuka na elkopta huyo ni usalama tena komando.yaani uende ukauze madafu ikulu kirahisi no ngastuka meku.

  • @mussaabraham1475
    @mussaabraham1475 Месяц назад

    Good

  • @jameskamau8438
    @jameskamau8438 Месяц назад

    Mimi mkenya nko hapa kusoma kiswahili chenyu chapendeza 😊😊

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад

      😅😅😅😅😅pande gani huko James

  • @janetlazarus-kv7rg
    @janetlazarus-kv7rg Месяц назад +29

    Sio yeye wanafanana tu hata sauti zao hazifanani wabongo bwana😂

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Месяц назад +2

      Hpn ni yy, rudia yl maijiano utagundua kitu, alikua anajikanyaga kwenye maswali mengine, ujue kuukataa uhalisia wk ni kz.

    • @subiransasi8029
      @subiransasi8029 Месяц назад +1

      Sauti hiyo ni kwenye maic

    • @paulmafuru7283
      @paulmafuru7283 Месяц назад +1

      Hapo anaongea kwa ukakamavu mzee ,mwanajeshi mtaani n tofauti na kazin sauti zinakuwa mbili tofauti

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 Месяц назад +2

      Ndio yeye %98 kama unabisha basi nawe ni mmoja wao we muuza madafu unapata wapi muda wa mazoezi 😂

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior Месяц назад +1

      MWAMBA NI YEYE 99%

  • @elreina
    @elreina Месяц назад +1

    Sauti hazifanani kabisaaa hawa watu wawili tofauti

  • @frankjacob2216
    @frankjacob2216 Месяц назад +2

    Ni yeyeeeee😂

  • @TheJackriss
    @TheJackriss Месяц назад +1

    Wamefanana tu ila sio yeye😂😂😂

  • @rassjouker1257
    @rassjouker1257 Месяц назад

    Kiukweli wamefana lakini upande wa sauti hawajafanana kabisa je anabadili sauti ili sie tusimjue or

  • @mosesmanyama-ht3wh
    @mosesmanyama-ht3wh Месяц назад

    mbona mpaka sauti ni ile ile na kuongea kwa hatua vile vile kama muuza madafu msituchoreeee😂😂😂😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Месяц назад +3

    Ni yeye banaaaa

  • @husseinhassain8188
    @husseinhassain8188 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂yaan ni huyu huyu muuza dafu

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw Месяц назад +1

    kweli ten at me melud kuangalia tena 😂😂

  • @aikaM74
    @aikaM74 Месяц назад

    Haya mbadilishe mbinu ya madafu tumeijua, Nikiona muuza madafu popote pale nakimbia balaa, sasa muuze pipi

  • @ShukuruSaid-uo7wf
    @ShukuruSaid-uo7wf Месяц назад

    Ndoyeye kawaida 2

  • @user-ny6sc9js3k
    @user-ny6sc9js3k Месяц назад

    Mpaka mama anacheka 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @roseayieta2345
    @roseayieta2345 Месяц назад

    Huyo ni undercover,