DRC: Aliyetaka kumpindua TSHISEKEDI Jumapili AUAWA, mwanae AKAMATWA, alirusha tukio LIVE Facebook

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 май 2024
  • Fringe DRC Politician Killed in Thwarted Coup Attempt; Son and US Business Partner Arrested
    • Fringe DRC Politician ...
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 175

  • @baranyikwamohammed628
    @baranyikwamohammed628 28 дней назад +39

    Waache ujinga hao vibaraaka wa marekani,kazi nzuri kwa askari wa drc .zaire ilikufa na mobutu na haitafufuka tena

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n 27 дней назад +9

    I love nchi yangu Tanzania 🇹🇿 Ee mungu tujalie amani idumu vizazi had vizazi

  • @habarugiraRodrigue
    @habarugiraRodrigue 28 дней назад +41

    Bangi sionzuri

  • @JackMan-bc5pb
    @JackMan-bc5pb 28 дней назад +31

    Imeniuma sana walivyo yafanya mambo yao kitoto sana

    • @alibachirofficial3939
      @alibachirofficial3939 23 дня назад

      Utoto muwingi sanaaa😂

    • @alexandrafrancisco9848
      @alexandrafrancisco9848 9 дней назад

      Talvez nao... tens q pensar q ha coisas q nao estao visiveis... provavelvente, algo correu mal... pode sim, ter havido traiçao... ❤

  • @alibinali_
    @alibinali_ 28 дней назад +17

    Free DRC 🇨🇩 Congo

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 25 дней назад +4

    Jamani tuifanye Africa kuwa salama na yenye usitawi mzuri kwa ajiii yetu and the future generation
    #heal the world #

  • @praymwalu
    @praymwalu 28 дней назад +4

    From DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 apa

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um 25 дней назад +3

    Mission Impossible.....

  • @user-cb2us2nu2m
    @user-cb2us2nu2m 28 дней назад +10

    UNAENDAJE KUMPINDUWA RAIS NA MKE WAKO KWENYE MSAFARAA? UKISIKIA NYEGE UNAHACHA VITA KWANZA UNAMKUMBATIYA MKE WAKO DUH IYI MOJA KALIII

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 28 дней назад +8

    Congo ulinz bado uko chin

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 28 дней назад +7

    HONGERENI SANA ASKARI WOTE WA DRC

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 28 дней назад +14

    Ni mshenzi sana huyu jamaa wakongo tunataka mabadiko ila uyu jamaa ni zaidi ya kibaraka ata lipanga na wazungu uchwara cjuwi kawatoa wapi😅😅

  • @abdulymaeda2697
    @abdulymaeda2697 23 дня назад

    Congo big up tshsekedi🔥🔥🔥 from🇹🇿

  • @officialcandleboy6923
    @officialcandleboy6923 28 дней назад +9

    Hawa mbwa wana shindwa kutimia hiyo nguvu kuwa huwa m23 wana tuuliya wazalendo wa nchi yetu Congo, serekali yaki mangumangu

  • @KatoJackson-ol3mp
    @KatoJackson-ol3mp 23 дня назад

    Mungu ailinde inchi yetu!

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 24 дня назад

    Nomaaa

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 28 дней назад

    I love my country Tanzania, amani idum milele

  • @kingmediatechonline
    @kingmediatechonline 26 дней назад

    Duh 🙄 ni hatari sanaa

  • @Afroking2001
    @Afroking2001 28 дней назад

    Eza ya solo te

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 25 дней назад

    Hongereni sana! Walinci mmenifurahisha sn yaani ji2 jina linamuunganisha mtoto kwenye upumbavu,kufia yukio.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 21 день назад +1

    Shukran kwa wote walimuuwa huy bwege wafrica tunahitaj Aman hasa kwa ndugu zetu wa Congo hlf bwege mmoja anatak kuchafua shenzi kabisa

  • @alexandrafrancisco9848
    @alexandrafrancisco9848 9 дней назад

    II faut voir au-delà des apparences...quelque chose ne va pas... Y a-t-il eu une trahison?!❤

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu 28 дней назад

    Hi

  • @SugarIgaUfe1
    @SugarIgaUfe1 28 дней назад

    Wanzinga sana kwa nini hawakuweza chukua mbone inge kua raha kwa sisi amba tuna sumbuliwa na vita uku este ya Congo 🇨🇩

  • @alexandrafrancisco9848
    @alexandrafrancisco9848 9 дней назад

    Quelque chose n'a pas fonctionné... Y a-t-il eu une trahison?!

  • @upgo6112
    @upgo6112 28 дней назад

    Bangi

  • @BukuruKevin-bn1tl
    @BukuruKevin-bn1tl 17 дней назад

    Ongo

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 28 дней назад +15

    Bora sisi TZ 🇹🇿tunao andamana mitandaoni 😆😆😆....kiherehere sio kizuri...mwenye nguvu apishwe jamani.....

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 28 дней назад +4

    Mhhhh niko congo apa mbona atujasikia laia wakisema

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 25 дней назад

    Dj smaa emezea kwa ufafanuzi mapinduzi ya kongo imekaaja juu ya wahusika wakuu

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 22 дня назад +1

    Kafa kishenzi bora angeungana na waasi wengine wangepindua nchi

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk 27 дней назад

    Nihatari Kweli

  • @bobkikaya69
    @bobkikaya69 28 дней назад +8

    Siyo makazi ya Rais, ni ofisi tu.

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 27 дней назад

    Kibaraka cha marekani

  • @PalomaMshana
    @PalomaMshana 27 дней назад

    Vichaaa hawa😢 plan ilikuwa mbovuv

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 28 дней назад

    👊✌👍.

  • @ms123ru
    @ms123ru 28 дней назад +3

    😂😂😂😂 mjasiri amalii wa bangi

  • @zablonOmoke
    @zablonOmoke 24 дня назад

    The job needed well planners for it to yield the fruits and also some top military in the Congo govt

    • @alexandrafrancisco9848
      @alexandrafrancisco9848 9 дней назад

      Se calhar houve traicao... algo correu mal... foram abandonados...❤

  • @gidionlemanya6077
    @gidionlemanya6077 28 дней назад +4

    😮😮😮 congo Wana jeshi dhaifu sanA

    • @joyjilien
      @joyjilien 28 дней назад

      Dhaifu? Kivipi sasa

    • @Soon815
      @Soon815 28 дней назад +1

      @@joyjilien Sasa unadhan kunajeshi pale??Wamewa-out-number M23 plus silaha nzito lakni wanakula kipigo tangu enz na enz

    • @ce-08
      @ce-08 27 дней назад

      ​@@Soon815 Congo wanavikwazo vya silaha

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 дней назад

      ​@@ce-08Na hii ndo shida, ila nadhani wangewekeza utengenezaji wa silaha japo watakumbana na vikwazo vingne pia.

  • @MbomaMukenge-uo7mx
    @MbomaMukenge-uo7mx 28 дней назад +2

    SNS niongo sana iyo nisiasa ya kisekedi

  • @user-st3ws1ns5g
    @user-st3ws1ns5g 27 дней назад +1

    Inamaana walivuta bangi kwanza?

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 26 дней назад

    Mapinduzi bilakuwa na connection na jesh?

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 24 дня назад

    Wawachape kabisa,shida tuna izo T shiit za Zaire kumbe hatutazivaa

  • @sylvanosalumu5840
    @sylvanosalumu5840 27 дней назад

    Awakuwa serious na jambo lao.

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 7 дней назад

    hizi bangi hizi nyie acheni tuuuu....
    hapo palace napo ulinzi wake unawalakini

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 27 дней назад

    Hao Wengine Watombwe Mpaka Wafe Nchi Gani Inaongozwa Ivo Ikawa Sawa

  • @aziza9093
    @aziza9093 28 дней назад +1

    Hawado wanaomaliza dugu zetu

  • @user-xl9oi3cl9c
    @user-xl9oi3cl9c 28 дней назад +2

    Siyo ki lingala ni Lingala

    • @cricwambali1352
      @cricwambali1352 28 дней назад +2

      Kizungu kiarabu kilingara ki bembe kifalansa luga yetu ina fungua seme na funga seme nadhani uta kua ume elewa

    • @Hassan_Mengi
      @Hassan_Mengi 28 дней назад

      ⁠​⁠@@cricwambali1352 Hamna lugha inayoitwa kifalansa bro

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 27 дней назад

      ​@@Hassan_Mengiumeweza😂😂

  • @MugishoBaguma
    @MugishoBaguma 28 дней назад

    Walijidanganya.

  • @JupeKiame
    @JupeKiame 12 дней назад

    Jp

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 28 дней назад

    kile kichapo nimekiona ila waliwagusa tu😊...ao walitakiwa kutafutiwa eneo maalum..kufundishwa nidhamu

  • @FatumaIssa-kw3vv
    @FatumaIssa-kw3vv 12 дней назад

    Zarau sio kitu kizuri

  • @user-ju4md1yq6o
    @user-ju4md1yq6o 27 дней назад

    Ni channel gani mkuu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 28 дней назад

    Watu wakishiba viporo vyao wanashida yan han mbinu za kivita hawana, kelel nyingi zinazoashiria ni wawoga cz waliok train hap zingetembea guns tu...Japo ni taa nyekend kwa tshiseked uimalish ulinz

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 27 дней назад

    Faking deal

  • @MohamedSalumu-rg3up
    @MohamedSalumu-rg3up 10 дней назад

    W

  • @yajua
    @yajua 26 дней назад

    Akufe uyo mjinga

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 26 дней назад

    Ila wakongo, kwa upuuzi huo Vita haiji kuisha

  • @rwakakagaramajohnjacob6295
    @rwakakagaramajohnjacob6295 12 дней назад

    Maneno exchange, sensitive, partners, story, description, sometimes, live n.k. hayana mbadala wake katika lugha unayoisema ?
    Kwanini mwana habari wa Kiswahili, ulimi adhimu, unaoenea sana Duniani sasa, baada ya kukuzwa, kuendelezwa, na kuenezwa kutoka huko (Tanzania), sasa baadhi yenu mnauchafua na kuudunisha ulimi huu unaopendeka sana jameni?

  • @WABAPRO
    @WABAPRO 28 дней назад +1

    Kaka sio kilingala Bali lingala🤝🏿

    • @Official83640
      @Official83640 28 дней назад +1

      Kwa wale ambao wanaongea Kilingala kamaanisha sio km kakosea mfano, mm naongea kiswahili nitasema kwa wale wanao ongea Swahili sasa hapo utaelewa si mpaka niseme wanao ongea Kiswahili sijui umeelewa lugha aliyotumia hapo?
      Kilingala=Lingala
      Kiswahili=Swahili

  • @petersanagaya2916
    @petersanagaya2916 28 дней назад +1

    Mwl Nyerere 1776 aliwahi kusema, African naona matatizo matupu mbeleni kama tusipo jikomboa kifikra kutoka kwenye mikono ya mabeberu kwa ajili ya uchu wa madaraka na sio uchungu wa wananchi

    • @RabihuHussein
      @RabihuHussein 25 дней назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe alkua kashazaliwa kisha akazaliwa tena

  • @user-ff5jt4rp9n
    @user-ff5jt4rp9n 15 дней назад

    Ni aibu

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 25 дней назад

    Heeeeeeee inchiii yetu

  • @issajuma9043
    @issajuma9043 26 дней назад

    Jamaa mjinga sana huyo,
    Unataka kupindua Inchi na mgambo 20,
    Kwahiyo makamu wa Rais angkuwa mkeo,
    Mkuu wa majeshi angekuwa mtoto wako,?

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 26 дней назад

    Mapinduzi bilakuwa na connection na jesh? Hawa jamaa walitegemea sapot kubwa ya wana nchi ,lakini matokeo yake wananchi hawakutoka nje ,ndio ikala kwao

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 27 дней назад

    Shida yetu ni tamaa

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 25 дней назад

    Kweli bangi mbaya😂😂😂

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 27 дней назад

    Ndio Mana Wakishikwa Laiya Halamu Wengi Ho Kwanini Halamu Ndio Kama Awa Mambo Yao

  • @user-zz9js7te8e
    @user-zz9js7te8e 26 дней назад

    Huyo dogo Kinega 😅😅😅

  • @mathewmutuku7342
    @mathewmutuku7342 14 дней назад

    He is being send by American's

  • @aziza9093
    @aziza9093 28 дней назад

    Bangi zizr wamuuliza amunaiz zinakibiliy kwanye makaliyo makumw

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 28 дней назад

    Sas ukiruka live si unaonekana aina ya silaha ulizonazo na adui anajipanga zaidi yako

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 24 дня назад

    Waliwezajeingia ikulu

  • @morama3935
    @morama3935 19 дней назад

    adui wa africa nimuafrika mwenyewe tuandae majeshi yetu selikali zetu inabidi zichukue watoto miaka saba wapewe elimu mafunzo uzalendo selikali iwe baba na ndo mama nasisi africa tutengeneze majasusi wakasome ulaya izimambo zitaisha ukizingua tunayonga

  • @shukurumsebaloli
    @shukurumsebaloli 28 дней назад +2

    Awowatu niwajinga nakiongozi wawo

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 28 дней назад

      Umeonae

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 28 дней назад

      @@magretangel5242 Naapo wangemukuta raisi wangemuuwa naujinga waoo wanazani wa congomani wanaitaji ilo jina wacongomani wanaitaji amani nandicho anacho kifanya kisekedi

  • @aloyceayubu2887
    @aloyceayubu2887 28 дней назад

    Bangi sio nzuri 😂

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 24 дня назад

    Waafrika tunataka nini kuvuruga usalama wa taifa na Afrika yetu,,?. Wangemua Rais jamani bila kosa. Walaniwe milele yote wanadamu hao.. Amen.

  • @mwaimuchengo1814
    @mwaimuchengo1814 16 дней назад

    Huyu jamaa mzembe sana boraa angeshirikisha wataaalan wa haya mambo unataka kupinduaa nchi hujashikilia kiwanja Cha ndege ,redio na tv ya taifa ,huna hata kambi Moja ya jeshi inayokusapoti huyu ni utoto aliofanya kafa akiwa na umri mdogo sanaa miaka 41 inawezekana angeisaidia sana Congo ila ndio hivyoo

    • @alexandrafrancisco9848
      @alexandrafrancisco9848 9 дней назад

      Por isso, deves reflectir... sera assim mesm?! Algo correu mal?! Houve traicao!?❤

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 28 дней назад

    Tunaishi kwa muda tu lakini daaah tunaptia mambo mengi thanaaa😂

  • @sulemanmadahatv1691
    @sulemanmadahatv1691 27 дней назад

    Afrika mashariki Jeshi ni JWTZ tu, watu ishirini wameingia hadi Ikulu Ofisi ya Rais

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 28 дней назад

    Nchii hii kila cku kugomban cjui kwann

  • @Afroking2001
    @Afroking2001 28 дней назад

    Ni uwogo mtupu tu akuna ukweli wowote ni mambo ya kisiasa mapinduzi gani watu wanaedelea kufanya mambo yao kama kawaida

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 28 дней назад

    Wange wachinja wote hao wanalekani Fek

  • @ajuwazaglodim7645
    @ajuwazaglodim7645 25 дней назад

    Tafadhali, musipotoshe watu, Huu jamaa hakuja kupinduwa Tchisekedi, ni deal na politicians wa hapa congo 🇨🇩 na President anajuwa, ila amesalitiwa. Walipoingia walienda nyumbani kwa Vital Kamerhe makamu waziri wa kwanza Mustafa, ambaye anaandaluwa kusimamia bunge, ila hakuwa nyumbanikwake. Baadaye walienda kwenye ofisi ya rahisi Sunday asubui na 5am, na waliingia bila hata lisasi moja kupigwa. Sijuwi kama huko TZ raïsi anatumika Sunday asubui na 5am?! Hii njo Congo 🇨🇩

  • @omarali7
    @omarali7 27 дней назад

    Wakasome kwanza,mapinduzi sio kujirekodi na kuweka tiktok 😂😂

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 28 дней назад

    Hawa washenzi wanawafuata wazungu

  • @AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
    @AbujadiAbdalaAbujadiAbujad 28 дней назад

    Madara yanawazingua

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 28 дней назад

    Walipiga vitu vya chuga

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 25 дней назад +1

    Mobutu alikuwa dictator tu,,, Rais wa kweli alikuwa Patrice Lumumba,,,wapigwe hawa mbwaaa wanaharibu Africa

    • @jacknoa5793
      @jacknoa5793 18 дней назад

      Patrice lumumba alikuwa wadhiri mkuu akuwa raisi

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 17 дней назад

      @@jacknoa5793 ndo muasisi wa kweli faliyewapa uhuru wakongo wakamsaliti,,, pia bila kuawaa ndo angekuwa first president,,,utake usitake,,,,,achana na Mobutu kuku wakusabanga,,,

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 17 дней назад

      @@jacknoa5793 viongozi wengi Africa walianza kama mawaziri wakuu kipindi Cha ukombozi kwasababu uhuru wao ulikuwa haujakamilika Moja Kwa Moja ,,ona Tanganyika,, Zimbabwe,,hata hapo Kongo ,kwasababu watawala governors waliendelea kuweka mambo sawia kabla ya kuondoka mazima,,,,,

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 28 дней назад

    Ni jaribio dogo but kuna uzembe mkubwa wa kiulinzi...Ajiangalie vyema

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 27 дней назад

    Bora ameuawa

  • @Mbaley
    @Mbaley 28 дней назад

    Afanye haraka maana kunamateso ya muno hapa🇨🇩

  • @razackndeze-pv5bm
    @razackndeze-pv5bm 28 дней назад

    Bangi nyingi na kiherehere, kaitafutia familia yake matatizo, hizo bakora za jeshi la Congo, wote watakuwa ni maiti kwenye masaa kadha ajayo.

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 28 дней назад

    Wakongo kama wasomali

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 27 дней назад

      Wewe ujuwi apo kuna watu weusi wa usa walio wayi Pima DN nakupatikana ni wa congo wamejitolea na sio hao tu niwengi nikama vikundi 25

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 28 дней назад +1

    Anavamia kishambashamba hivyooo kweli.... Eti mapinduz na watu 20

    • @victorarts242
      @victorarts242 28 дней назад

      Hapo ndio panachekesha 😂, mapinduzi ya watu 20, halafu anaruka live 😂

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 27 дней назад

      @@victorarts242niwengi bro nasio ao tu nivikundi yani uk, ufarasa usa canada ila usa wapo vikundi 25 apo awalikuwa wanakwenda kujaribu niwengi mno nawanachagana na watu weusi aliyo pima DN wakapatikana niwacongomani nao wapo humo yeye ajitaindi kurusu wana jeshi kupingana rwanda kama sio hivyo ato maliza mwaka mana wacongo wengi wamezinduka

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 дней назад

      Alitegemea angeungwa mkono na baadhi ya wakuu wa kijeshi.

  • @Jgjgjggjaieifhfv
    @Jgjgjggjaieifhfv 28 дней назад +2

    😂😂😂 uyu jama ni mushenzi sana tena mijinga kuliko wote na hâta wanaowo mu unga mukono imagine mtu atoke usa muna zani mabadiloko gani ata l'ETA ingekuwa ana toka kongo hapo inge eleweka kidogo Ila uyu hamuna kitu

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 28 дней назад

      Huyo ni kibaraka wawazu gu pia bangi zilionyesha ata kuwa rais

  • @benjagaspar5304
    @benjagaspar5304 27 дней назад

    Wakat unawaza wap kuna mishe au michongo kuna watu waashaamua maamuz magumu dahh

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 27 дней назад +2

    Bangi na madawa vinahela hatari sema tu nipo bongo mbwa mimi😅😅😅😅

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 28 дней назад

    uyo jamaana kadanganywa na mganga wake wa kienyeji,

  • @evelynemugeni2369
    @evelynemugeni2369 28 дней назад

    Zaire na DRC sio mamoja?