MASHIMO AIBUA MAPYA, GARI LA MILIONI 26 ALILOPEWA NA NABII MKUU GEORDAVIE, "MILIONI 6 ZIKO WAPI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 166

  • @victoriasweetbert1128
    @victoriasweetbert1128 9 дней назад +24

    Mbona huyu hayuko sawa jamani .

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 9 дней назад +3

      Kwa sababu ameongea sana juu ya issue ya Gozbert? Amemuhadithia kila mtu ndo sauti imepoteaa😊

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f 9 дней назад

      ​@@edwinalexander1170😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiiii

  • @JacksonMasele
    @JacksonMasele 9 дней назад +12

    Eee mwenyezi mungu mwingi wa rehema tusamehe sana sisi waja wako.

  • @veeJesus
    @veeJesus 9 дней назад +4

    Hongera mashimo nachagua kuwa na mtazamo tofauti wengine ni bendera fata upepo

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 9 дней назад +3

    Yaani ww hamna kitu yaani, nakusikitikia sana!! Tokeni kati yao jmn, hamtambui hadi leo hii jmn watumishi wa Bwana? 2Wakorintho 6:17.

  • @njechele646
    @njechele646 8 дней назад +4

    Anatoa sauti 3 kwa pamoja😂

  • @MauriceHaseen
    @MauriceHaseen 9 дней назад +7

    Mwacheni aendelee kujichimbia mashimo ndiposa baadaye ajilaumu atakapo fika mbele za haki.
    Tusije tukasau kwamba sio kila mtu amwitaye "Bwana Bwana" ni mteule wa mwenyezi Mungu na ajabu Ibilisi anaijua Biblia kutuliko sisi. Mwulizeni Bwana wetu Yesu Kristo atawafafanulia haya yote.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 9 дней назад +1

      😂😂😂😂kaitwa aje asaidiye

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 8 дней назад

      Mashimo yupo shimoni kafichwa msikilizeni utajua hata sauti pia hata jina pia ,aliye kwenye shimo haoni yanayoendelea nje..

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 8 дней назад

      @PolycapySilayo-g9w hata kusikika hasikiki amefumbwa mdomo na macho

    • @adamernest8226
      @adamernest8226 6 дней назад

      haonii huyo

  • @HumphreySwai-u8f
    @HumphreySwai-u8f 8 дней назад +2

    Njaa mbaya sana

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 9 дней назад +14

    Kasongo yeye 🤣🤣😅😅🤣. Huyu mashimo njaa sana. Manabii wa uongo waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 8 дней назад +1

    Huyu kaibiwa akili😂😂😂

  • @ReginaldMushi-l6d
    @ReginaldMushi-l6d 7 дней назад +1

    Nawe ni mashimo kweli kweli

  • @markjonathan7260
    @markjonathan7260 8 дней назад +1

    😂😂naombeni kuuliza huyu ana akili timamu kweli???

  • @frankmsangi
    @frankmsangi 6 дней назад

    Mtu mwenyewe anaitwa mashimo inaonekana anashimo kweli mkunduni mwake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 9 дней назад +5

    Uyu jamaa Millard ayo umemtoa wap , kumbe yupo kaah anajua kuchafua chafua hali ya hewa ukimucha na kondoo bas utakuta wote wamekufa na kusambalatika kama marobott

  • @MEMEMEMEMEMEMEMEMEEEW
    @MEMEMEMEMEMEMEMEMEEEW 9 дней назад +5

    Safi sana Nabii mashimo hiyo kwer kabisa

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 8 дней назад +2

    Kiufupi Gozbert ana msongo wa mawazo ( Depression). Alianza kuyumba alipokuwa akishiriki FIESTA na WASAFI Festival huku akitunga nyimbo za kidunia alijificha kwenye Gospel. Aache POMBE na MADEM😂😂😂😂😂😂 asisingizie eti nyota imeibiwa.😂😂😂😂

    • @FrancoFidelis-d6x
      @FrancoFidelis-d6x 5 дней назад

      Wewe unaongea maana hapo ulipo hujuhi ukweli halisi

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 8 дней назад +1

    Mbona mashino kama hayuko sawa😢😢

  • @SimonMabigi
    @SimonMabigi 7 дней назад

    Ila njaaa baya sana jaman tutafute ela😂😂😂 daah

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 8 дней назад

    From #EconomicallyGrowthMusicians sasa unafura gani kwa magumu ya mwenzio?? af ndo ucheze cheze kweliii!!?? Anyway Furahia Muziki Mzuri kutoka EGM ❤🎉

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq 8 дней назад +6

    Huyu hawajamuibia nyota kaibiwa sauti 😂😂😂

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 6 дней назад

    Wakristo muache kujifanya hamnazo riziki hutoka kwa Mungu sio kwa Mtu

  • @jmasutv2228
    @jmasutv2228 9 дней назад +2

    Huyu mashimo kweli

  • @Lo-33
    @Lo-33 8 дней назад

    Mmmh huyu hayupo sawa kbs

  • @AsheryRabani
    @AsheryRabani 9 дней назад +3

    Kichaaa hiki

  • @naomifavor7508
    @naomifavor7508 9 дней назад +13

    Kwanza apo tu anaonekana kama kichaa😂😂😂

  • @SimonMabigi
    @SimonMabigi 7 дней назад

    Huyu hata akili haziko saw😂

  • @alainbamuanya657
    @alainbamuanya657 9 дней назад +11

    Wewe nichawa😂😂😂😂😂

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 9 дней назад +3

    Kasongo eehe

  • @Regina-z7l
    @Regina-z7l 9 дней назад

    Toa sauti Kwa Mungu kuna vyote mikele

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 9 дней назад +7

    Hili jamaa njaa sana!!!😂😂😂😂😂

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 6 дней назад

    Msimwite Mtu baba hapa Duniani, Baba yenu yule alie mbinguni

  • @BesterBrigt
    @BesterBrigt 8 дней назад

    Toka toka toka toka uko nje maada na upo kwa mwili huwezi jua waliorohooni wanajua katengeneze sauti bwana

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 6 дней назад

    Jamani sababu ya mtu kuchoma gari sio et huyo nabii ni mchawi akusema hivyo gozibet roho wa mungu ameshudia asiendeshe gari binadamu tunamaadui wengi wanaweza kupitia ata zawadi aliyopewa wakamtegea humo ndomaana ajaliitaji ajamtuhumu na biii mchawi

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq 8 дней назад +1

    Hiyi sauti inaweza kemeya mapepu ama ni njaa ilimupeleka kwahuyo nabi wa mcongo 😂😂😂😂

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 8 дней назад

    Wana wa nuru muwe macho mashetan watu duniani ni wengi sana saizi

  • @amonalexander1513
    @amonalexander1513 9 дней назад +1

    Mtajibu nn kwa Mungu mmmh dunia hii ina mambo

  • @LekumoMedy
    @LekumoMedy 7 дней назад

    Nchi yetu kuna mambo mengi sana

  • @JulyDarex-l1n
    @JulyDarex-l1n 9 дней назад

    Aisee

  • @ibraaahmwanyello6233
    @ibraaahmwanyello6233 9 дней назад

    😂😂😂 story ya KISENGE

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 9 дней назад

    Kohoa sauti itoke😂 vzr

  • @amanimartin5527
    @amanimartin5527 8 дней назад

    kweli huyu ni Mashimo

  • @Elyabu
    @Elyabu 8 дней назад

    Sa chawa anaweza kusema bos wake vibaya

  • @ConsolathaKicheleri
    @ConsolathaKicheleri 8 дней назад

    Sauti vipiii

  • @amonalexander1513
    @amonalexander1513 9 дней назад +2

    Huyu ana nyota gan?,hizi hela ztakapo tupeleka sjui

  • @Angle-bw4jr
    @Angle-bw4jr 8 дней назад

    Hli likichaa bn

  • @IssaKigwanya
    @IssaKigwanya 9 дней назад

    Mashimo kwa kubetii😂😂😂😂

  • @FrankCharlesdaddy
    @FrankCharlesdaddy 8 дней назад

    Ni kweli tunaomjua huyu jamaa adi raha hana kitu chochote kama ana gari milioni 26 ameshindwa na spika ya laki mbili,pumbavu

  • @priscadaniel6459
    @priscadaniel6459 9 дней назад

    shda izi jamani

  • @berthalusuve1231
    @berthalusuve1231 8 дней назад

    Ayo uwe una andika habari zake tukisikiliza sauti yake inaniumiza koo😂

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 9 дней назад

    Gozbert ni mwendawazimu. Huyu nae ni wale wale.

  • @deborahjustinerwambogo8490
    @deborahjustinerwambogo8490 9 дней назад +2

    chawa wa shetani hao

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 8 дней назад +5

    Huyu chizi! Hatakiwi kupewa press conference

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 8 дней назад +2

      mambo ya ajabu sana, na sauti imezuiliwa kama ishara na haioni, mapepo yanasikika kupitia sauti

  • @EngJosh
    @EngJosh 9 дней назад

    Umekooondaaa

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 8 дней назад

    Alphard milioni 26 umetupiga

  • @cleverministries
    @cleverministries 9 дней назад +1

    Vyote hivyo ni ubatili tu mhubiri 1:2....

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 8 дней назад

    Nabii ana machawa so mchezo wote washapewa hela

  • @HezronSangam
    @HezronSangam 9 дней назад

    Huyu nae njaaa tuu hakuna Mungu hapo

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 8 дней назад +1

    MCHEZO HUU ....KUTUHAMISHA KWENYE TRENDS ZA LISSU NA CHADEMA

    • @RafiaMasoud
      @RafiaMasoud 8 дней назад

      @@brother_majesty wametukosa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @VenastinaKalinga
    @VenastinaKalinga 9 дней назад

    Ila Dunia hii inamambo khaaaa😂

  • @Charlzlomo
    @Charlzlomo 9 дней назад

    Nabii mkuu kabla hajafanikiwa alikuwa ananjili ya ufalme ya wonders sitasahau mikutano yake ya biafra baada ya kufanikiwa sana na kulidhika na mafanikio ameiacha ile injili naye tuseme ameibiwa nyota -ukweli mafanikio yanaleta kuridhika na kupunguza spid ya kazi sio kuibiwa nyota

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 9 дней назад +1

    Sauti imeenda wapi 😢

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 9 дней назад

    makubwa mie...ila nyie subirin muone fimbo ya MUNGU itawachapa mchana kweupe endeleeni kuabudu miungu ila yupo yule aitwae MWANAUME YESU atawaangamiza wote mnaoabudu miungu

  • @adenadolph1951
    @adenadolph1951 9 дней назад

    Mpaka hapo huoni chanzo ni hiyo gari,kwa maelezo yako ndio imeleta mafarakano na meneja wake so the car is the source.

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 9 дней назад

    Kanchekesha hapo mwanzoni alivyocheza😂😂

  • @Boskarii
    @Boskarii 8 дней назад

    Vijiti sio poa 😅

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 9 дней назад

    Mashimo na Gozbert wote shida tu

  • @VictorIshengoma-v4y
    @VictorIshengoma-v4y 8 дней назад

    Spinning

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 8 дней назад

    hajioni anavyoongea,ni km Kichaa,anasemaje nyota haijachukuliwa,walokole wengine wapo km vichaa

  • @Adrianmellow
    @Adrianmellow 9 дней назад

    Yan wachungaji wnapenda kiki

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 8 дней назад

    Mtakufa jamani hakuna vitu vya bure

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 9 дней назад

    Anaubir kwa ajili ya uchumi na si mingu hii dunia ni ngumu saana usipotafakar vzur matapeli hawaaa

  • @adamernest8226
    @adamernest8226 6 дней назад

    😂😂😂😂 gari mtu hawezi choma kisa kugawana wewe huyo ni Mungu hajataka tu hekalu lake linajisike lazima aweke kando wastes

  • @ZakayoKalinga-nq5qy
    @ZakayoKalinga-nq5qy 9 дней назад

    Hamna mtu hapaa

  • @yumna128
    @yumna128 8 дней назад

    Ww ni mashimo na sauti yako kama iko shimoni 😂😂

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 9 дней назад

    HUYU NILIKUWA NAMUONA MAGUFULI STAND PALE ANA LISPIKA KUBWA ANAHUBIRI KITAMBO

  • @jacobmahona187
    @jacobmahona187 8 дней назад

    Mbona wanaolalamika wote ni wehu?mbona wenye akili timamu hawamlalamikii Goodluck mtu kama huyu anajuwa nini kuhusu Mungu?

  • @MagesaMachota
    @MagesaMachota 9 дней назад

    Hivi huyu anaakiri zuri

  • @sapientiamayaha9783
    @sapientiamayaha9783 9 дней назад

    Is he fine??😂😂😂

  • @thebios255
    @thebios255 9 дней назад +1

    Kichaa uyu

  • @Regina-z7l
    @Regina-z7l 9 дней назад

    Milele

  • @MultiPhillip1983
    @MultiPhillip1983 9 дней назад

    Huyu ni wazimu

  • @ZedekChamagogo
    @ZedekChamagogo 9 дней назад +3

    Huyu msenge amekula sadaka za watu wengi sana pale mbezi luis

    • @Maajabutop5
      @Maajabutop5 8 дней назад

      Utasikia wa muhimbili hamtaki kunisapotiii ninunue spika

  • @AlexAbraham-o2t
    @AlexAbraham-o2t 9 дней назад

    We nichawa2 huna point yoyote

  • @amanimartin5527
    @amanimartin5527 8 дней назад

    Sasa sauti gani hiyo

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 9 дней назад

    Hela za unga hizo hata Joshua wa Nigeria ilikuwa ndio biashara yake. Huyo anaye hawa magari hela anatowa wapi?

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 9 дней назад

    Huo mtangazaji ana maswali fank

  • @Lovelyjuma-p8e
    @Lovelyjuma-p8e 8 дней назад

    Jamn uoni kama uyu kashaish imebaki tu kufa...alafu namwon kama vile shoga

  • @alainbamuanya657
    @alainbamuanya657 9 дней назад +1

    Wewe una nyota yoyote umbya

  • @membatz8248
    @membatz8248 9 дней назад

    michezo hii😂

  • @elshadaiuniforms1196
    @elshadaiuniforms1196 9 дней назад

    Hiii sauti iko nanini??

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 9 дней назад +1

    TAPELIII

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 9 дней назад

    Muongoo uyuuu sana

  • @AlexAbraham-o2t
    @AlexAbraham-o2t 9 дней назад

    Wote ni wapigaji2 kama unachoongea ni uongo ipo siku utajuta sanan

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 8 дней назад

    Mashimo sasa anacheza nini

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 9 дней назад

    Ukatibiwe koo lako ni Mhimu

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 9 дней назад

    Ndio na hizo milioni 6 azichome tuone

    • @edigarsanga5549
      @edigarsanga5549 9 дней назад +1

      Milioni 6 alizichoma kwenye gari, kwani hamjaona hizo fedha wakati zinateketea😂

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 8 дней назад

      @edigarsanga5549 hahahaha

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 9 дней назад

    Ww ndo mwendawazimu

  • @bishopstephanosaid9205
    @bishopstephanosaid9205 8 дней назад

    Duh wewe nawe

  • @JoashHenrySanga
    @JoashHenrySanga 9 дней назад

    Afya ya akili

  • @kelvinIvory
    @kelvinIvory 9 дней назад

    Kumeanza kuchangamka

  • @titobernard383
    @titobernard383 9 дней назад

    Ameacha kutabili yanga na simba 😁🤷‍♂️! Afu bongo dah !?