Madereva watanzania waliotekwa Congo wasimulia ilivyotokea mpaka kuokolewa kwao

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 сен 2016
  • Madereva watanzania waliotekwa Congo wasimulia ilivyotokea mpaka kuokolewa kwao

Комментарии • 274

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Месяц назад +5

    Watanzania Kuyaa tumekuja kuwakomboa Watanzania Kuyaa
    (Jeshi la Congo hilo )
    Daahhh Poleni sana Watz wenzentu

  • @mhagamakonge9493
    @mhagamakonge9493 7 лет назад +27

    hongera sana kwa kwa kazi waliyoifanya wanajeshi wa Congo,, "Watanzania kuya " hii ndio ilikuwa Saut ya matumaini kwa madereva wetu,,Asante Mungu

    • @godfreymwandulusya2437
      @godfreymwandulusya2437 5 лет назад

      Mbona udugu Na urafiki wetu unapungua sana Kwa Hawa ndg zetu siku hizi!? Kulikoni

    • @user-sn9yp3sc2f
      @user-sn9yp3sc2f Месяц назад

      Pole Ni Sana ndugu zetu MUNGU ainuliwe mmepona! MUNGU nimmwema

  • @jamesoduororawo8379
    @jamesoduororawo8379 Месяц назад +1

    God bless all .😢😢Its not a easy life being a Truck driver traveling to this war torn areas.lots of prayers & love from Kenya🇰🇪

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 лет назад +8

    Ayo tv mpovizuri jamani mungu awabariki

  • @xiganzacharia6464
    @xiganzacharia6464 7 лет назад +9

    Poleni Sana Madreva Watanzania wenzetu kwa mkasa mloupata.

  • @stevemselle5631
    @stevemselle5631 7 лет назад +11

    poleni sana ndugu zanguni haya ndio maisha tunayoishi huku na hawa ndugu zetu waasi kila kukicha ni majanga

  • @asiminana4097
    @asiminana4097 7 лет назад +10

    poleni sana mwenyezi mungu kuwanusuru,husuni kweli.

  • @Anifanusura
    @Anifanusura 16 дней назад +1

    Mungu azidi kuwatetea

  • @florencekiza9889
    @florencekiza9889 5 лет назад +3

    daaaaa poleni SANA MUNGU WETU ashidwi NAKITU CHOCHOTE..BWANA YESU ASIFIWE

  • @shukranimtulo5857
    @shukranimtulo5857 7 лет назад +8

    Mungu anatupigania sana. Tunamshukuru Mungu kwa hilo jeshi la Congo

    • @daudmwamboma5911
      @daudmwamboma5911 4 года назад

      Shukrani Mtulo polen jaman mwe mm mwenyew niltka niende uko

  • @bishaaibrahim8802
    @bishaaibrahim8802 7 лет назад +8

    mlikuwa pamoja namungu napia tujifuze kuwa achukuae roho yabinadamu mungu peke ake siuchawi poleni sana hapo hapo mmejifuza ukamanda popote uendapo mtakaa

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 27 дней назад

    Daah, polen sana ndg zanguni kwa janga hilo kubwa lililowakumbeni, hakika Mungu alikuwa pamoja nanyi, masimuliz yanasisimua sana na kuhudhunisha pia, ila yote kwa yote mumerud mukiwa salama kabisa, hingereni pia.

  • @jumamwinyimkuu9409
    @jumamwinyimkuu9409 7 лет назад +2

    Dah,polenisana nduguzetu,mazingirahayosisi hatujayazoea kabisaaa ila ni kumshukuru Mungu mposalama,ombi kwa haomabosi nikuweka mazingira bora ya kazi kwa madereva toka Tanzania.

  • @ernestisokolo-mx3hg
    @ernestisokolo-mx3hg 25 дней назад +1

    Ee mwenyezi mungu wanusuru waume zetu Madereva

  • @SNAIBSTAR
    @SNAIBSTAR Месяц назад +2

    Poleni madereva wenzangu

  • @safinabakari9140
    @safinabakari9140 7 лет назад +13

    Dah inasikitisha sana, poleni ndugu zetu Allah amewaokoa basi ni neema iliyoje amewarejesha mikononi mwa ndugu zenu. Basi je haitoshi huu kuwa ni fundisho kwetu na kwenu. basi turejeeni kwa mola wetu, tufanye ibada. huwezi kujua uhai wake utaisha lini. Ahsanteni

    • @leinaamos9559
      @leinaamos9559 6 лет назад +2

      Kwanza sifa na utukufu apewe bwan wetu Yesu Kiristo kuwatoa salama ,pili poleni sana

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 4 года назад +1

      Kabisa mpnz.

    • @Bashirubakarisalala
      @Bashirubakarisalala Месяц назад +1

      Acheni ujinga yesu Hana uwezo wowote wakuokoa mtu.

  • @ayshaal6979
    @ayshaal6979 7 лет назад +9

    polen sana Allaah hashndw nak2

  • @khayratmuhamed6730
    @khayratmuhamed6730 4 года назад +4

    Nan kaangalia hii 2019 like yk tafadhali

  • @sofiamsuya2254
    @sofiamsuya2254 9 дней назад

    Hongereni ila ndio wanaume jikaze

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 6 лет назад +5

    Poleni nikumshukuru mungu

  • @saidkhalfan1607
    @saidkhalfan1607 7 лет назад +12

    poleni sana mungu ni mwema amewanusuru hili tunamuomba awalinde daima awanusuru na jingine mungu ni mkubwa

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 года назад +1

    ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR..hasindwi na jambo..fanyen swadaka inshallah....da SUBHANNA LLAH...mwenyezimungu awangamize wakongo hao.poleni sana ndg zangu....maadam mko salaama Alhamdulillah.

  • @fadhilaamiri8498
    @fadhilaamiri8498 7 лет назад +7

    poleni sana Mungu ni mwema

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um Месяц назад +1

    Kila kaz inachanga🔥 zake poleni sana

  • @BON357
    @BON357 Месяц назад +3

    Poleni sana ndugu zangu watanzania wenzangu wakongo wasenge sana au xhetani yupo congo aya tundurisu na mbowe jifunze apa

    • @user-zq1ux3xs7l
      @user-zq1ux3xs7l Месяц назад

      Akuna haja yakutusi wakongo wote natambua kila mtu anajuwa congo emegubikwa na majambazi wengi kutokana na mali ya nchi.
      Kwao kila anaye miliki bunduki ujiita ni jeshi

    • @user-wf2yg7sl4v
      @user-wf2yg7sl4v Месяц назад

      Akili auna mbowe na lisu ndo wanataka vta we chiz nn

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 Месяц назад

      Lissu na Mbowe wanahusikaje hapo?

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 7 лет назад +1

    Poleni sana ndugu zetu, as long as mmerudi salama tunamshukuru mungu.

  • @abdillahimahamed1814
    @abdillahimahamed1814 4 года назад +5

    Nawashukuru sana wanajeshi waliojitoa kuwaokoa ndugu zetu. ..mungu awabariki

  • @nurudovino7305
    @nurudovino7305 6 лет назад +3

    Poleni sana ila nashukuru na ndugu yetu katoka salaama hata sikuamini kumbe kweli, mungu mwema😍

  • @momylaviel
    @momylaviel 19 дней назад

    Poleni sana

  • @harunncheye8817
    @harunncheye8817 7 лет назад +3

    one people one nation thanks Allah madereva wetu

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 4 года назад +1

    poleni sana kwa mikasa yote. Mungu amekuwa upande wenu. Wasingewau kwa sababu wanafaham Tanzania ina raia wakarimu mno.

  • @TonnyMaleko
    @TonnyMaleko Месяц назад +1

    Expendable. Tanzania. Big up. Commando maonyesho.

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Месяц назад

      Duu tuko pamoja 2024 sihawahi ona Hii habali nimehuzunika saana 😢😢 🙏

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 7 лет назад +2

    polen sana mungu halali kwa ajili yetu sisi wanada tumshukuru kwa kila jambo

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 27 дней назад

    Ooh allah tupe ulinzi waja wako mola wangu mtukufu tuondolee kila shida kwa uwezo wako rasulillah klah

  • @benjamindenice53
    @benjamindenice53 6 лет назад +2

    Mungu hashindwi, poleni

  • @beatreasmgonja1735
    @beatreasmgonja1735 7 лет назад +9

    daa mung ni mwema namshukuru bwana yesu kwa kutenda muujiza mkuu

  • @tumainibihemo7755
    @tumainibihemo7755 7 лет назад +4

    Duh! Poleni sana, Yule Mwenzeni aliyefanikiwa kutoroka nn hatima yake.

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 4 года назад +1

      Sindio huyo wakwanza kujieleza.... Sema alibana wapi ?

  • @jannerysharongaza9469
    @jannerysharongaza9469 7 лет назад +4

    poleni sana...

  • @robertnickson389
    @robertnickson389 7 лет назад +2

    poleni sana kaka zangu

  • @HashimRajabu
    @HashimRajabu Месяц назад

    daaaaaa kaz zet zna changamoto nyingi sana mungu atsaidie wat tunao kaanao pamoja awajui shida zetu

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 лет назад +1

    poleni sana ndg zetu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 лет назад +5

    Polen sana *Joseph Yord Mwajombe* kama movie aisee,inaskitisha sana.

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 года назад

    Poleni sana madereva wootee Mungu atazidi kunmlinda Inshaallah

  • @user-lz1qj6ck3m
    @user-lz1qj6ck3m 3 месяца назад

    Daah, poleni Sana mungu amesimama kuwa mungu, tumshukuru Kwa kweli nao hao wanajeshi waliowaokoa mungu awabariki na kuwafunika kwenye mbawa zake

  • @Fatma-tx4os
    @Fatma-tx4os 7 лет назад +7

    Allah akbar poleni sana inatosha kujua ukubwa wa allahah

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 7 лет назад +1

    Poleni sana ndg zetu

  • @LucasMwijage-oc5nx
    @LucasMwijage-oc5nx Месяц назад

    Pole sana, MUNGU anawapenda,msimuache!

  • @adinanichadadee530
    @adinanichadadee530 7 лет назад +3

    poleni sana

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 4 года назад +2

    Ooooh kumbe haohao Wakongo pia waliwakomboa Mungu mkubwa

  • @theodorasamweli1136
    @theodorasamweli1136 7 лет назад +6

    thanks God mmerejea salama, mungu azidi kuwalinda na kila baya!

  • @princessjudith4417
    @princessjudith4417 6 лет назад +2

    Polen ndugu zetu mungu ni mwema

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 года назад +2

    Allahu akbar hakika mungu ni mkubwa poren xana ndugu zetu

  • @FrancisAMligo
    @FrancisAMligo 5 лет назад +8

    Asante Mungu kwa kuwaokoeni ndugu zetu

  • @esthernyanchama3522
    @esthernyanchama3522 6 лет назад +2

    Poleni

  • @gastosecha4713
    @gastosecha4713 7 лет назад +16

    Hakuna kama BWANA YESU

  • @mnyakyusahalisi2049
    @mnyakyusahalisi2049 7 лет назад +1

    Dah polen saana ndugu zangu

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 лет назад +4

    Poleni sana ndugu zetu

  • @ashnaomi2385
    @ashnaomi2385 4 года назад +2

    Mungu ni mwema msiache kuabudu mungu hata njiani

  • @dominathakokubelwa9801
    @dominathakokubelwa9801 Месяц назад

    Poleni sana mungu alikuwa pamoja na nyinyi

  • @happychipanyanga2021
    @happychipanyanga2021 7 лет назад +4

    mungu Mkubwa hatimaye ndugu zezu wamerejea kwenye ardhi ya nyumbani

  • @dianaraymond2967
    @dianaraymond2967 7 лет назад +2

    poleni xana hakika mungu ni muweza

  • @kelvilyimo4062
    @kelvilyimo4062 7 лет назад +2

    polen sana

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 20 дней назад

    Mungu Ni mwema

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 7 лет назад +4

    maskin mungu hamtupi mja wake

  • @danielkiwanga2853
    @danielkiwanga2853 Месяц назад

    Lakin mbon wao hatuwafanyi hivi wakati kila siki wanapita

  • @godfreykarata3710
    @godfreykarata3710 Месяц назад

    Poleni sana kaka zangu

  • @user-rk9cy8gc8g
    @user-rk9cy8gc8g Месяц назад

    2024

  • @mudytondo3130
    @mudytondo3130 5 лет назад +1

    poreni sana braza zangu kwa majanga

  • @salimusaid7309
    @salimusaid7309 4 года назад +1

    Allah kareem

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 16 дней назад +1

    Polenisana 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @ashamwaulambo2997
    @ashamwaulambo2997 7 лет назад +2

    pole sana ndug zang

  • @ebisalum8828
    @ebisalum8828 6 лет назад +6

    Huyo bwana aliyekuwa wa kwanza kutoroka angeshikwa naona ndo ingekuwa mwisho wa muvi!! Congo sio kongowe.

  • @mevicemwasuku8884
    @mevicemwasuku8884 7 лет назад +3

    Poleni sana Mungu ni mwema kawaokoa

    • @leefunnyclip4721
      @leefunnyclip4721 5 лет назад

      From @Usangu logistics natoa pole kwa madeleva wenzangu

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 6 лет назад +2

    mungu kawa saidia ila msiende tena mana mmeponea kwenye tundu la sindano

  • @janinnekaneza8780
    @janinnekaneza8780 7 лет назад +1

    Polen sana mungu nimkubwa

  • @mahesenitunduma2438
    @mahesenitunduma2438 7 лет назад +9

    Ni kauli ambayo naikumbuka ilinitia faraja sana sitaweza kuisahau. MWISHO!

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 Месяц назад

    Pole sana kamanda zangu

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 Месяц назад

    Eeh ni 2021😮

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 Месяц назад

    Big up sana kwa huyo kiongozi wa kundi

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 лет назад +2

    Mungu nimkubwa namzidi kuomba kila wakati

  • @tausikassim5258
    @tausikassim5258 7 лет назад +3

    Poleni Sana

  • @ridiayohana9311
    @ridiayohana9311 6 лет назад +1

    Polen sana kwan maisha nipopote

  • @Rasoulhk98
    @Rasoulhk98 28 дней назад

    Daaah nimeiangalia hii video utazani imetokea jana maana, taarifa zao za kutekwa zilizungumziwa sana

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 лет назад +3

    ajali kazini

  • @mgimbatv8803
    @mgimbatv8803 7 лет назад +2

    polen sanaa

  • @mushimakoti
    @mushimakoti Месяц назад

    Pole sana daah😢😢

  • @fatumaomari8115
    @fatumaomari8115 6 лет назад +1

    Poleni san ndugu zang

  • @alexmadaraka840
    @alexmadaraka840 5 лет назад +1

    Inauma Sana ndugu zangu je? Nahayo majambazi yaliuawa au

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Месяц назад

    Jamani poleni sana tumshukuru mungu Kwa yote aliyowakoa ukiwa unamwomba mungu hakuachi penye shida anafanya njia basi tunashukuru sana jeshi lililotuokolea ndugu zetu watanzania hayo ndo mapito tunayoyapitia duniani poleni mno

  • @user-mt4ff5fi8s
    @user-mt4ff5fi8s 7 лет назад +2

    poleni sana mungu ni mkubwa

  • @hassanmwalubanje9289
    @hassanmwalubanje9289 7 лет назад +2

    pollen sana wandugu wakumshukur ni Allah.

  • @sedckiaaloyce1611
    @sedckiaaloyce1611 5 лет назад +1

    polesana ndunguzetu mnga naashukuliwe

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 Месяц назад

    HII ndio inaonyesha Tanzania NI nchi bora ya amani na inapendwa Sana uliwenguni..Mungu ni mkubwa Sana hatuna makuu...kila sehemu tunathaminiwa sana

  • @user-jk6mr5lv4l
    @user-jk6mr5lv4l Месяц назад

    Yan wakati wakongo kwetu wanaishi vzr sisi tunaish vby kwao hakuna haja ya kuwaajir wakongo kwetu kwa kaz yeyote ile hata mpira mana hii xo mara ya kwanza kwakweli

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 6 лет назад +3

    Mungu bado anawapenda mumrudie yeye mana nyie.madereva ni mafataki

  • @hawamkojela799
    @hawamkojela799 4 года назад

    polen Sana Kaka zangu

  • @barakmazigo8945
    @barakmazigo8945 4 года назад

    Polen ndugu zetu na hongeren jeshi la congo

  • @ashuramasoud9440
    @ashuramasoud9440 Год назад

    Poleni Sana amakwer mungu no mwema

  • @footballhighlightsupdatest5212
    @footballhighlightsupdatest5212 7 лет назад +2

    Thanks God!!!

  • @habibangosha756
    @habibangosha756 6 лет назад

    polen jaman mungu awaepushe ilo na longine