@@petermwaibofu3260 kweli kabisa, rwanda magere, mzee wa, bakora za KIMKAKATI, nahisi ndo yeye, ALAFU kuna MWAARABU, jambazi na mwizi wa magari, KENYA, kidogo na yule wakupaa, alie katwa kidole, wa wiki 2 iliyo pita.
@@nawandafamito500 duh mkuu, yule wa kidole amenishangaza sana yaani alikufa akiwa mdogo akazikwa akainukia kuzimu akifanya kazi kwa miaka mingi bdae akarudi duniani, haya nayo ni aajabu!
Nakubali sana. Na yule jamaa power mangwana. Pia imetulia.
Na mimi na wawakubali sana na power magwana tatizo sio part 1
Hatari sana
Part 1,2,3,4 ziko wapi mimi sizioni hapa jamaaa ana story nzuli sana
Barikiwa sana
Pamoja sana the golden boy
Katika story zako zote davista uyu ana eleza kitu kwa ufasaha una muelewa ana mbamba tuna omba namba yake ni msalimie
Nahisi unataka kinga😂
mmmmmmh, unamjua rwanda magere wewe? huyu ni cha mtoto