Kwa ushauri, kabla hujaanza safari kutoka kwako fanya Maombi mkabidhi Yesu kila kitu utakacho safiri nacho au utakao safiri nao toka nyumbani. Ukifika kupanda Basi kabla halijaanza safari fanya maombi tena mkabidhi Dereva na abiria wote kwa Yesu omba ulinzi kisha Anza safari kwa Amani zote hata litokee jambo lolote huto Dhurika wala kupoteza kitu kama wewe sio mlengwa Yamesha nikuta sio mara moja na kote nimetoka mzima na bahaati mbaya mlengwa nilikua ni mimi ingawa nilijua baadae kama nilikua mimi ndio mlengwa wa yote.
davista huyu jamaa ni ndugu kabsa na musa wa dam mbonakama wanafanana kwa mbal ivii
Twende kazi
Kigoma katika KILA mtu mmoja anaweza akawa mchawi mshirikina, au mganga
Mi huwa nahisi wote tu wako Ivo🙆🏃
Kali
Ukiwa na pesa mkitekwa zichimbie kwenye siti za basi
hatari
Sauti ndogo
Nikiwa safarini uwa sina amani kabisa adi nifike ninapoenda
alafu safari yenyewe unapita kona ya inyara mbeya
Kwa ushauri, kabla hujaanza safari kutoka kwako fanya Maombi mkabidhi Yesu kila kitu utakacho safiri nacho au utakao safiri nao toka nyumbani. Ukifika kupanda Basi kabla halijaanza safari fanya maombi tena mkabidhi Dereva na abiria wote kwa Yesu omba ulinzi kisha Anza safari kwa Amani zote hata litokee jambo lolote huto Dhurika wala kupoteza kitu kama wewe sio mlengwa Yamesha nikuta sio mara moja na kote nimetoka mzima na bahaati mbaya mlengwa nilikua ni mimi ingawa nilijua baadae kama nilikua mimi ndio mlengwa wa yote.
@@jesuspower2390 Duh hatar sana
J.BOYS.F.C.1999