Wewe ndio unaamini katika kufa biblia imeandikwa atakae amini hatakufa ataishi milele wewe wa kuzimu. .mfuate mazinge waislam wakina mwaipopo ni wakweli ila hawa waongo uislam ni kitu kutokuamini ana
Kuishi milele mbona raha naiyo misalaba iliyo jaa Mwisho wa malingo imefata nn? kama hakuna kufa hata walio amini tangu enzi za yesu walisha kufa sema kuwa kuna maisha baada ya kufa apa duniani uko sasa ndo kuna maisha ya milele.
Ivi iyo dini yenu nidini gani kila mtu aliekuwa muovu tena mkatili ambae alikuwa muuwaji ana kuja kuwambia nime oteshwa niwe mchungaji na nyie kwa sababu amna elimu ya dini mnamkubali
Bwana Yesu Asifiwe Milele na milele Amina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Jesus is lord 🙏🙏🙏
Yesu hajawahi kushindwa
Yesu hawezi kushindwa na viumbe
Story nzuri kweli 🔥🔥 more love davistar💕
Number one fan, wa kwanzaaa
Pamoja saana mr everything 💪
Stori inaonekana itakua bambi sana
Mbon kama dav kaanza kuzingua wachungaj fek wanakuja toa shuhuda
sauti nzuri yenye ujaziri
Mzee alikuwa msanii😀😀😀
Indian shirt..
Pamoja sana mr fact ila davista nina jambo langu nahitaji msaada wako mkuu
Huyo mganga hakuwa na nguvu! Wachawi wanaingia hadi kwake!
Time first
sauti kama ya lwanda magere
Awo wote wame tumwa na shetani kuja kuwa danganya muwa angalie kwa umakini mtakuja kujuta apo mtakapo ingia kwenye arzi
Wewe ndio unaamini katika kufa biblia imeandikwa atakae amini hatakufa ataishi milele wewe wa kuzimu. .mfuate mazinge waislam wakina mwaipopo ni wakweli ila hawa waongo uislam ni kitu kutokuamini ana
Kuishi milele mbona raha naiyo misalaba iliyo jaa Mwisho wa malingo imefata nn? kama hakuna kufa hata walio amini tangu enzi za yesu walisha kufa sema kuwa kuna maisha baada ya kufa apa duniani uko sasa ndo kuna maisha ya milele.
Ivi iyo dini yenu nidini gani kila mtu aliekuwa muovu tena mkatili ambae alikuwa muuwaji ana kuja kuwambia nime oteshwa niwe mchungaji na nyie kwa sababu amna elimu ya dini mnamkubali
Uwe na adabu sio kila mtu tuko wengi nasio wachungaji ila davistar amekutana na wachungaji wengi
Lazima wamkimbilie Yesu. . Kwa Muhammad kunashetani
@@leahbaatjes4215 kasome kitabu Cha ufunuo kimeandika kuwa kanisan ndio kuliko na kitu Cha enzi Cha shetani kasome we mbuzi
@@husseingabo5497 unafirwaga eti
@@davidchesco1150 kweli wawe na adabu kabisa 😂😂😂
J.BOYS.F.C.1999