Darassa Feat. Marioo - Chanda Chema (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 фев 2019
  • Available Worldwide
    backl.ink/1923997
    Watch and Share Darassa's Brand New Video "Chanda Chema" featuring Marioo. Video Directed By Hanscana
    For Booking: Contact +255786175484
    Email: darasa.clasic@gmail.com / geoffaya@gmail.com
    Follow Me on:
    Instagram: / darassacmg255
    Twitter: / darassa_cmg
    #Darassa #Marioo #ChandaChema
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @raphaelungani9024
    @raphaelungani9024 5 лет назад +18

    Marioo is the best Artist Anajua sana. Ila Humu kwenye hii ngoma Darasa kafloo vzur sana kama maskio yako yanaskia kama mm THUMB UP please. #geographael

  • @juliusrogasian8645
    @juliusrogasian8645 5 лет назад +29

    Wanaomkubali Mario uwezo wake kma Mimi gonga like twende sawa

  • @MultiBarberry
    @MultiBarberry 5 лет назад +115

    Washakuwa waoga. Walikuwa nadai umekuwa teja. Wacha tuwaonyeshe nguvu za Unga.. Guys needs likes if you don't hate @darassa

    • @rosemaiko9405
      @rosemaiko9405 5 лет назад

      Peter Mwaningo guys hakuna teja anawaonyesha ukali wake sasa

    • @MultiBarberry
      @MultiBarberry 5 лет назад

      Watakoma sana Juu Darassa amerudi. If they thought 💭 ameacha mziki watasubiri sana.

    • @rossemalagila3893
      @rossemalagila3893 4 года назад

      Peter Mwaningo kabisa sisi ndio vile tunafanyaga hahahaha big up darasa

  • @jeanclaudetv3989
    @jeanclaudetv3989 5 лет назад +195

    Kama ume kubali iyi nyimbo, Gonga like apa !!! Alafu subscribe ndani🔥🔥

  • @briankivisi2471
    @briankivisi2471 5 лет назад +42

    Tell me what you do for love,give it all for love,,darasa ametoka darasa!
    Kama wamkubali gonga like..

  • @robertkomba3251
    @robertkomba3251 5 лет назад +73

    Ñani yupo hapa kwaajili ya darassa. Kama mimi

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      Robert Komba 👇👇👇👇👇ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 лет назад +121

    Tanzania music to de world,Gonga like....#february ya Darasa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 лет назад +21

    Yule darassa niliekuwa namtaka ndo huyu ila wa2 wachuga ha2liliagi like😂😂😂😂

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      Munira Ahmed 👇👇👇👇👇ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

    • @issamuhsin5725
      @issamuhsin5725 3 года назад

      Nimekuja comment badala yakukuona munirah 😀😀

    • @issamuhsin5725
      @issamuhsin5725 3 года назад

      Darasa namkubali hajawahiniangusha

  • @ntawurusigajaphet8616
    @ntawurusigajaphet8616 5 лет назад +2

    Burundi likes ni Ndogo sana, jameni wa Tanzania nipeni likes zenuuu

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 5 лет назад +1

    Kama unaamini darasa huu wimbo kadunikwa na huyu dogo gonga Like twende sawa

  • @davismtani5461
    @davismtani5461 5 лет назад +129

    Like kama unamkubali darasa

  • @brunomwangala920
    @brunomwangala920 5 лет назад +9

    Hatari sana kama unamkubali the cmg nipe likes hapa

  • @muhamedjamal3362
    @muhamedjamal3362 5 лет назад +1

    Marioo umeuwa nipeni like wadau wa marioooooo

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 4 года назад

    Nawapenda wote juu kila mtu na uzuri wake bt like n kwa marioo ako tu sawa

  • @ellymtz9687
    @ellymtz9687 5 лет назад +3

    Eeeh!! Huyu ndo darasa nnaemjua mimi Fanya kugonga like hapa twende sawa

  • @ammyjay295
    @ammyjay295 5 лет назад +3

    Sauti za dhahabu zimekutana Darassa cmg vs Marioo dundo kali sana

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 лет назад +1

    Bonge la kazi 254 pitieni hapa

  • @officialnandwaKE
    @officialnandwaKE 5 лет назад

    *mniombee, niko na ugonjwa wa kuLike nyimbo za Darassa bila kusikiza hadi mwisho*

  • @mjukuutvonline8373
    @mjukuutvonline8373 5 лет назад +4

    Kama umekuja hapa kwa ajili ya Marioo, na ameumiza kinoma Gonga like tujuane

  • @innotarimo5566
    @innotarimo5566 5 лет назад +447

    Kama umemfaninisha uyo jaman na rich mavoko weka like

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 4 года назад

    Jmn niliitfta saan hii nymb kama nawe unaipnd gonga like apa kiroho safy twende pamoko🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @arnoldmwaisaka8459
    @arnoldmwaisaka8459 Год назад +1

    Kama unamkubali Abbah, likes zikam through💯

  • @nasibukiangai4639
    @nasibukiangai4639 5 лет назад +155

    Nasoma comments afu naangalia video quality 🤙🤙🤙sasa nijue wanao soma comment huku wakiangalia super kichupa hikii

  • @d.t.o1747
    @d.t.o1747 5 лет назад +8

    am from Mali 🇲🇱🇩🇪 i don't understand but i like Darassa 🤟

  • @Yessjamal
    @Yessjamal 5 лет назад +2

    Kama uli mix nyimbo Kali kutoka kwa darasa like hapa 🙏🔥

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 5 лет назад

    Umeona mkono Wa Abba na je umeona Darasa kaludi dah wap like

  • @innocentgadiel7412
    @innocentgadiel7412 5 лет назад +18

    kama unaiskia kiswaswadu kwa mbali like twende mbele
    ila darasa n mkali

  • @Officialmasaikhan
    @Officialmasaikhan 5 лет назад +112

    Mtu Wa pili kukoment kutoka USA🇱🇷 nipe like apa🇺🇸

  • @visionman8277
    @visionman8277 5 лет назад

    Waloshika mabango wameingia mitini ooh darassa anakula unga. like kama unamuelewa uyu jamaa

  • @Ngepetv
    @Ngepetv 5 лет назад

    Wanao mkubali darassa fanya ku like hapa

  • @joekenya
    @joekenya 5 лет назад +4

    Darassa ni baba yao.. Kama unakubali piga like uku

  • @saintmichael3659
    @saintmichael3659 5 лет назад +94

    Woooooooooooow very niceeeeeeeee
    Aki kenyan artist munatakiwa mujifunze toka kwa wasanii wa tz...

  • @hillarybenei
    @hillarybenei 5 лет назад

    Daah kazi nzuri hii....kama imekupendeza gonga like hapa

  • @babafahrikegazating9290
    @babafahrikegazating9290 5 лет назад +2

    Darassa ako class yake walai... Weka likes zake kama soo

  • @ameafrever5229
    @ameafrever5229 5 лет назад +4

    My Kenyan🇰🇪🇰🇪👌👌 People where u @??

  • @athumanihamidu8673
    @athumanihamidu8673 5 лет назад +4

    Hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Kama umeipenda zaidi yangu gonga like

  • @hamadathuman6939
    @hamadathuman6939 5 лет назад

    Imenifanyaaa nisahauu kamaa Nilifungwa na Simbaaa gool 1 like twende na Darasa

  • @iddymsangi8733
    @iddymsangi8733 5 лет назад +1

    Kama na wew umemuona abbah weka like

  • @aarkasoomaaliya7886
    @aarkasoomaaliya7886 5 лет назад +31

    am from somalia i dont undersnd but i like

  • @Being_Bruce
    @Being_Bruce 5 лет назад +3

    Ati kama Mapenzi safari basi kwako nishafika niendako, kama bahari basi nifunze kuogelea..
    Fireeeee🔥🔥🔥🔥

  • @christopherbeno6588
    @christopherbeno6588 5 лет назад

    wewe unaesoma comment like hapa kma umrielewa ngoma kaliiii colas kali from marioo tz

  • @christophersoty101
    @christophersoty101 5 лет назад

    duuuh eti nimekuwa wa 241 wekeni like za Marioo jamani maana dogo kauwa balaaaaa👏👏👏👏👏👏👏

  • @wakwanza1832
    @wakwanza1832 5 лет назад +26

    CLASSIC MUSIC 4 EVER

  • @abchunabdi352
    @abchunabdi352 5 лет назад +3

    Darassa mambo moto.
    First Kenyan to comment. Like zenu please.

  • @rajabumlanzi183
    @rajabumlanzi183 5 лет назад +2

    huezi kata kiu maji kwa kisoda....🙌🙌🙌🙌

  • @iddymsafi
    @iddymsafi 5 дней назад

    Who’s here in 2024?

  • @henrylema3883
    @henrylema3883 5 лет назад +5

    Bongo fleva is popular in Africa and worldwide now good song darassa

  • @michaelhesbon7270
    @michaelhesbon7270 5 лет назад +15

    kama unamkubali #Darasa ni mfalme wa hiphop gonga like hapa within a week tuko na more than a million views

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      michael hesbon 👇👇👇👇👇ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

  • @mbcgrams5415
    @mbcgrams5415 5 лет назад +1

    Darassa la mziki Afrika
    💥💥💥💥

  • @swayverse9147
    @swayverse9147 5 лет назад

    Dahh gonga like kama darasa ndo shuujah wa rap game Tanzania 🇹🇿

  • @mrishojoseph7987
    @mrishojoseph7987 5 лет назад +10

    hiki ni kitu tulimisi mwaka jana 🔥🔥🔥🔥

  • @miles5385
    @miles5385 5 лет назад +5

    Mamaee kama unamkubali darasa gonga like hap ili afike mbali

  • @adammuyinga8735
    @adammuyinga8735 4 года назад +1

    Marioo umeuaa hatarii hii koras yako ndo best kwang kuliko zote

  • @ibrahimkamal4809
    @ibrahimkamal4809 2 года назад +1

    Fans of Darasa anniversary yetu 28th of Dec nisaìdieni kum wish my lovely wife fartun yussuf a happy anniversary.thank you for our 3 lovely kids and for being an anchor of our lovely family 😘I love you to the moon bby.bless you

  • @kennybinsd6883
    @kennybinsd6883 5 лет назад +7

    Gonga like hapa kama unamkubali darassa

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 лет назад

      SAFARI Bin kd kaswida yangu (cover )ya kiarabu naomba uangalie ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html

  • @Dakingyasta
    @Dakingyasta 5 лет назад +4

    Tell me now what you do for the love
    Aseee ngoma kali 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulsantanatzee8301
    @paulsantanatzee8301 5 лет назад

    Kama unakubali kwa afrika wa Tanzania ndio tunashuti video Kali kwa Sasa gonga like.

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 5 лет назад

    Kama una mkubali Darassa kuliko Diamond weka like apa tujuane

  • @TheAlesry
    @TheAlesry 5 лет назад +6

    Darrasa hakuna kama wewe big up

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 лет назад

      Ali Alesry kaswida yangu (cover )ya kiarabu naomba uangalie ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html

  • @boazmtileghe9161
    @boazmtileghe9161 5 лет назад +12

    SMG moto umewaka Est Africa 🔥🔥🌟

  • @naseebkhamisi8935
    @naseebkhamisi8935 5 лет назад +2

    marioo katisha kipande icho ataree!!! gonga like kama unamkubali marioo

  • @hermanmeza2453
    @hermanmeza2453 5 лет назад

    Ngoma tamu kinoma like nyingi kwa mariooooo

  • @ely-alexmarlaw7814
    @ely-alexmarlaw7814 5 лет назад +7

    Darassa the best rapper in +255..... Collabo na Kaligraph itakua maadest

  • @DJPEREZ
    @DJPEREZ 5 лет назад +86

    kazi nzuri. hata mimi nimepiga kambi maeneo hapa. never die never expire

    • @stephanozibe2740
      @stephanozibe2740 5 лет назад +1

      We jamaa wewe hii ndo Tz

    • @eliudyalbano6066
      @eliudyalbano6066 5 лет назад +1

      karibu uisikilize ngoma yangu hapa inaitwa DEMU WA MIZINGA ruclips.net/video/thnN7qqG7T0/видео.html

    • @kimtv.ubuyuonline7853
      @kimtv.ubuyuonline7853 5 лет назад +1

      DJ PEREZ nakubali sana megamix zako ziko 🔥

    • @DJPEREZ
      @DJPEREZ 5 лет назад +1

      @@kimtv.ubuyuonline7853 shukran

  • @lukonasgreat7867
    @lukonasgreat7867 5 лет назад +1

    Bonge LA pin, Big up Darasa... like. kama zote

    • @miles5385
      @miles5385 5 лет назад

      instagram.com/kanumba_the_great1570/p/BC-QGBTIO7Y/?igshid=1w2tcgjsup1sq

  • @princeuzieri1706
    @princeuzieri1706 5 лет назад

    ngoma Qaaali kama unamkubali Darassa gonga like twende sawa💪💪💪💪💪💪🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @obamatechnology526
    @obamatechnology526 5 лет назад +16

    this iz genius darassa we mic uh bro.....

  • @benjatech91
    @benjatech91 5 лет назад +39

    Wa Kwanza kutoka kenyaa ngoma kali kama unapenda like....

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 5 лет назад +1

    Uuuwiiiii mistari ni nomaaaa

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 лет назад

      mama peku peku kaswida yangu (cover )ya kiarabu naomba uangalie ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html

  • @alimusa9103
    @alimusa9103 5 лет назад +12

    I will do anything for my woman🔥🔥🔥

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 лет назад

      Ali Musa kaswida yangu (cover )ya kiarabu naomba uangalie ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html

  • @mikebass4725
    @mikebass4725 5 лет назад +3

    Msanii wa Tz na Warembo kutoka Kenya!!

  • @johnagnes4940
    @johnagnes4940 5 лет назад +1

    Wimbo mkali uwongo mbaya yanii ni mkali...kila kitu ni ya moto fire

  • @barackalonare4152
    @barackalonare4152 5 лет назад +1

    🚦🚨

  • @Kaskazinimixtv
    @Kaskazinimixtv 5 лет назад +15

    Darasa safi kama unamkubali darasa weka like

  • @GiftRandu
    @GiftRandu 5 лет назад +37

    I'm here before 1M views

  • @benkhatau4992
    @benkhatau4992 5 лет назад

    Wabongo tuna roho mbaya Sana! Kwann hii track haijafikisha million views hadi leo?

  • @kingandreemmanuel7908
    @kingandreemmanuel7908 5 лет назад

    Ma like na ngoma qaliiiii ya darasa kama hiiii never expire daaaah nilikumisiiiiii xn vibe kama lote walidai umepoteaaa waoooo ndio wamexpire....like kama zote

  • @disaisalum8843
    @disaisalum8843 5 лет назад +4

    Kiwangooo mwenye kiti chake karudiiiii

  • @zainabmaahmoud2159
    @zainabmaahmoud2159 5 лет назад +4

    Ngoma nzuri sana kama unamkubali darassa reply to me na like this

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 лет назад +1

      Zainab Maahmoud kaswida yangu (cover )ya kiarabu naomba uangalie ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html

  • @alexsilvan8288
    @alexsilvan8288 5 лет назад +1

    Uyu marioo namuona mbali sana ngoma kali sana nakichupa ndio balaaaaaaa

  • @djamanitvonline3623
    @djamanitvonline3623 5 лет назад

    Mimi pia nishafikaaaa gonga like kama unamkubalii mzee wa hasaraa rohoo✈️🎧🌎

  • @emmanuelgeorge2654
    @emmanuelgeorge2654 5 лет назад +13

    Kama kawa hanscana, video iko poa!!

    • @Superman--un9xz
      @Superman--un9xz 5 лет назад

      Darassa uko juu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @dindimichael9340
    @dindimichael9340 5 лет назад +34

    Kenyans where u at fam 👪

  • @wizzyculture7315
    @wizzyculture7315 5 лет назад

    kama unaamin ngoma kali gong like apa

  • @gangtvtz1928
    @gangtvtz1928 5 лет назад

    Kama umekubar darasa ni mnyama hatari gonga like fupifupi hapa

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 5 лет назад +4

    tuliopiga kambi kwenye mausiano tujuane kwa like jamani

  • @mackenziengolo7mabula132
    @mackenziengolo7mabula132 5 лет назад +3

    Another hit song...trust me the song is gonna be fire after a week

  • @shikaocharles4221
    @shikaocharles4221 5 лет назад

    Watoto mlitafuta wakaliiii darasa nnachokupendea unajuwa kuvaaaa mmetishaa mnooo

  • @abdulmsami2547
    @abdulmsami2547 5 лет назад

    Kama unaamini darasa ni mtu mbaya like apa

  • @starrynight11
    @starrynight11 5 лет назад +3

    Darassa has no bad songs!!!!

  • @geoffreycalvin2288
    @geoffreycalvin2288 5 лет назад +23

    Mwaka huu tunaomba ngoma back to back brazaa kitaani uku una fanbase na support kubwa sana umeshatengeneza jina huitaji kupigiwa promo tena usilaze damu saiv tupeleke mchaka mchaka ulichoktafuta miaka mingi kweny game me nakiona saiv kwa fans wako kwnz ukitaka kuamini dondosha tour tu apa apa nchini zunguka pke ako mikoani una ela zako kibao na shangwe cio la kitoto mzee njoo ukusanye vyako mkoa kwa mkoa utanipa majibu mwenyw 💥💣💥

    • @aishamohamed7032
      @aishamohamed7032 5 лет назад +1

      Sure mi mwenyewe shabiki wake mkubwa

    • @geoffreycalvin2288
      @geoffreycalvin2288 5 лет назад +1

      Tuko njia moja aisha Mohamed

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 5 лет назад

      Namuelewa darasa kishenzi yani, nlikua naumia maboya wakisema mwana anatumia madawa

    • @geoffreycalvin2288
      @geoffreycalvin2288 5 лет назад

      Amiri ramadhan ndoivo kla mtu ana uhuru wa kuongea na ana lake la kusema popote so kikubwa ni kumsapot mzee baba azid kutupa burudan acjar maneno ya wachawi inafika time nataman ngoma yake ya too much ingetoka saiv nadhan angewanyamazsha wanoko kama buku ivi maan iko inareflect kabsa kilichokua kinacemwa

  • @emmahbishoo7303
    @emmahbishoo7303 5 лет назад

    Ngoma Kali Sana bro wapi likes zangu from+ 254

  • @mr_ogc6233
    @mr_ogc6233 5 лет назад

    Wakutoka USA tuna like hapa

  • @edern8803
    @edern8803 5 лет назад +9

    Ya moto 🔥

  • @featurebillionaire5464
    @featurebillionaire5464 5 лет назад +8

    Wanasema ua zuri limeota pabaya
    Shika____------hivi ili naomba Siri ya kuwa wa Kwanza kuview

  • @bekadudu6368
    @bekadudu6368 5 лет назад

    Nimejikuta nasoma coment hadinimesahau ku coment ila mindowakwanza kutoka Qatar

  • @aishahamisi3660
    @aishahamisi3660 4 года назад

    Mwenye anacheki Kwa sasa. Like

  • @digital21.13
    @digital21.13 5 лет назад +6

    Good song.... Good rhymes..... But I wishes cku1 nmuone darassa wa sikati tanaa,,sio mbaya na zile nyingine Kali ni ivo to ma niggah

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      ROCK SIZZOH 👇👇👇👇👇ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

  • @wizzmkandawile1140
    @wizzmkandawile1140 5 лет назад +4

    kama umemuona producer abbah gonga like hapa

  • @immanuelmussa3551
    @immanuelmussa3551 5 лет назад

    Ni fireee team darassa gonga like utatisha sana