Lava Lava Ft Salha - Hatuachani (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @zawadichimishi6717
    @zawadichimishi6717 5 лет назад +241

    Hii ni moto👏🔥🔥🔥🔥🔥 team +254 ndani ya mduara nipeni hizo likes or I pick my comment.

  • @thefunfamily720
    @thefunfamily720 5 лет назад

    Kwa kweli nduyangu ww mtoto waki salamu mungu akakupa ilimu ya khera kisha ukawa utaimba katika mwezi mtukufu wa Ramadani! Muogope mola wako na ulete daiba kama mwenzako mzee sheekh yusof please my brother achaa mambo ya ki khafiri mungu akuongoze uwe ni mtoto wa kulingania ndini yako 🙌🙌🙌🙌🙌🙌amiin amiin

  • @kipronodenniskorir2321
    @kipronodenniskorir2321 5 лет назад +9

    First to comment from Nairobi Kenya wapi likes wadau.wasafiiiiįiii itambe milelee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.if you are watching before it reaches 1k comments, hit the like button here 👍 .Ramadan Mubarak to all my Muslim brothers.

  • @fastfacts1967
    @fastfacts1967 5 лет назад

    Hayo matako na viuno yanaendana sana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.Hongera sana Ustadh lava Lava.

  • @jillokassim
    @jillokassim 5 лет назад +375

    Naomba zifiikisheni habari,kwa ricardo momo.
    Purukushani ya modi na zari,imenipa somo
    #my best part.weka like if its ur best part too

  • @kennedyada1117
    @kennedyada1117 5 лет назад +27

    As a Kenyan I enjoy Tanzanian music so much

  • @whatsupsweden
    @whatsupsweden 5 лет назад +57

    It's important to continue the tradition of East African music. Nice to hear something they doesn't sound West African.

  • @officiallycyra6944
    @officiallycyra6944 5 лет назад

    Innalillah wainnaillah Rajiun Duuuuh hadi wewe lava lava mtoto wa ki Zanzibar waachia nyimbo mwenzi mtukufu Mungu tuongeze waja wako

  • @charlie3693
    @charlie3693 5 лет назад +49

    My first comment from #America kama unamkubali # lavalava na iyi nyimbo kama nayo unaikubali #hatuachani nipe like kama zote

    • @tayanamasanja3952
      @tayanamasanja3952 5 лет назад +1

      Rusakiza Chaliwa sehemu Gani ndugu nipo California

  • @isaiahkatana1270
    @isaiahkatana1270 5 лет назад +73

    Mombasa is going crazy now Team +254 like hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fellowshiphub.722
    @fellowshiphub.722 2 года назад +18

    This song is a masterpiece.Kenyans in the room

  • @mackenziengolo7mabula132
    @mackenziengolo7mabula132 5 лет назад

    Nakushukuru sana Lava Lava kwa kuniharibia Swaumu yangu maana viuno nimeviona na kwakweli nimevitamani...endelea kuachia nyimbo za kuharibu swaumu ndani ya mwezi huu mtukufu mpaka usiku ugeuke mwamba wa chumvi ndio tutaheshimiana mbwa wewe

  • @itzceleprince3997
    @itzceleprince3997 5 лет назад +301

    Ramadan Mubarak to all my brothers and sisters in Tanzanian 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 ❤❤❤

  • @martinaloo5444
    @martinaloo5444 4 года назад +55

    Lava Lava is underrated. His songs are quite good. I don't understand why the views to his songs are low.

  • @bwayeazi3782
    @bwayeazi3782 5 лет назад +230

    Team wasoma comment mpoo.....hiii nyimbo nzurii au atoe nyingine

  • @fredyelifuraha5405
    @fredyelifuraha5405 5 лет назад

    Nyimbo iko poa japo cjaielewa fresh

  • @djcrazymonkkenya8091
    @djcrazymonkkenya8091 5 лет назад +77

    Kenya pia tuko huku kusupporrt vitu vizuri. Happy Ramadhani

  • @hassanally4758
    @hassanally4758 5 лет назад +1

    lavalava we we unajua ni kweli hatuachani

  • @Kibandulo
    @Kibandulo 5 лет назад +55

    Umeua Sana kaka
    Karibu tena kwetu Zanzibar
    Bishoo wa BUNJU

  • @FMurad333
    @FMurad333 5 лет назад

    Mwaka jaNa ulitoaa Kaswidaa , Mwakaa Huu Rumba , Ndugu yangu , Mungu Si Athumani

  • @LunaniKenya
    @LunaniKenya 5 лет назад +4

    Wale tumependa mistari ya Lava Lava...tugonge likes 🤓🤓🤓

  • @b9media144
    @b9media144 5 лет назад +1

    Umeona kazi sana kusubiri Ramadhan iishe ndo ufanye huo ujinga wako! Maruuni mkubwa wewe! Njia ya Motoni hiyo, umepambiwa kwa mauwa!!

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 лет назад +36

    Ngoma yenye mahadiri ww fundi unajua sanaaaa nakukubali sanaaa kama unakubali WCB ndio chuo cha mziki gonga like hapa mwana wcb

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 лет назад

    Sana tu👌🏻mambo yatakuwa ng'ari ng'ar one day yes💓...hatuachani

  • @iamnicasofficial2618
    @iamnicasofficial2618 5 лет назад +323

    All lavalava funs around the world hit the like button 💯💯💯💯🔥🔥🔥#hatuachani #lavalava #wasafi
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @naiyamjay464
    @naiyamjay464 5 лет назад +1

    Yani mduara umeweza tupe ya mwezi mtukufu bunju boy. .mswahili mwenzngu

  • @lornafaithayuko
    @lornafaithayuko 5 лет назад +75

    This guy's voice is on another level 💞💞.......🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @emmanueljackson2844
    @emmanueljackson2844 5 лет назад +1

    Bonge la ngoma hili likipigwa hospital wagonjwa wote wanpona

  • @jacobzawadi735
    @jacobzawadi735 5 лет назад +9

    Ngoma tamu zaid kwa ujumbe muafaka “Hatuachani”
    Raha san kuskiza LoveBit.
    Pamoja san tokea Drc

  • @nayfatsalim7828
    @nayfatsalim7828 5 лет назад

    WCB Mungu Atawaonesha... Hamjautendea haki mwezi mtukufu dah mauno

  • @htx1873
    @htx1873 5 лет назад +16

    I love my country Tanzania and My culture is everything.... I loveeeeeeee it.

  • @fredmabeya
    @fredmabeya 5 лет назад +1

    sasa ndo umeanza kuimba..achana na zile ngoma slow kama za mazishi...sasa you are the wasafi star. keep it burning

  • @angelikaaugen6165
    @angelikaaugen6165 5 лет назад +37

    Video kali sana hii ukijumlisha na nyimbo ilivotamu👌👌hatuachaniiii❤❤🔥🔥🔥

  • @baazzamd4
    @baazzamd4 5 лет назад +1

    Ujumbe katika wimbo wako uko sawa na imara but punguza hao mashambenga na hivyo kucheza kwao bila heshima. Anyway uko juu star.. hongera wimbo kinanda.

  • @Dah_or
    @Dah_or 5 лет назад +3

    Watu wote ambay watasoma hiyi message mungu asiwaache abaki anatubarika kila siku kama muko pamoja na mie gonga like nitajua👍☺

  • @falldia3476
    @falldia3476 5 лет назад +1

    Lavalava kweliii taarab diooo size yakooo nasema naye 2 be continued nayipenda song hiii like like liiiiiike

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 5 лет назад +310

    Ya ALLAH tuongoze waja wako tumetawaliwa na shetani.

    • @jumaadam6188
      @jumaadam6188 5 лет назад +12

      Kweli naanza kuamini wcb dini hakuna

    • @salehmuhammedsaid5088
      @salehmuhammedsaid5088 5 лет назад +8

      Damz Athman amiiin kaka kwa sote

    • @daprince7545
      @daprince7545 5 лет назад +7

      @@jumaadam6188 😥😥😥😥ina stikisha sana

    • @maimunaathman4664
      @maimunaathman4664 5 лет назад +17

      @@jumaadam6188 heshima ya dini yetu iko wapi hapa kwa hali hii, ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Msiba mkubwa huu Allah atunusuru.

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 лет назад +11

      Yaan ht wasubr mwez upite hakuna looo

  • @jumaabdalla1835
    @jumaabdalla1835 5 лет назад

    Stella mwaniki... Nani kakwambia ramadhani ni mwezi wskuimba.. Ramadhani nimwezi wa ibada kuachsna na upuuzi na masihara uislamu hauna nyimbo.

  • @VinDezKE
    @VinDezKE 5 лет назад +152

    Kujifanya waratibu hawana lolote mazumbukuku,wana maswahibu waongo ata mwezi mtukufu🔥🔥nipe likes jamani ukikubali hii mistari 🔥🔥

    • @jbsbsnsbbs1810
      @jbsbsnsbbs1810 5 лет назад +1

      Wanatukanishatuu dini yetu Allah pekeyake ninaasira mm nikiona awo wanaye jifanya niwa islamu kumbe wanazidiwa namakafili

    • @marrydickson8293
      @marrydickson8293 5 лет назад +1

      Nzur san

    • @hassansimbaya6802
      @hassansimbaya6802 5 лет назад

      Ukovizuri kaka,, mista ya ukwelii

    • @asumtabslioman5527
      @asumtabslioman5527 3 года назад

      Hongera bbangu lavalava unaomba vixuli San bb mungu yuponaww

  • @munnahsalim8892
    @munnahsalim8892 4 года назад +2

    hatuachani 😘 kweli imeweza,,, kitu fresh hta ukaanglia mara zte uboeki😂😂😂

  • @geoffreytonui4314
    @geoffreytonui4314 5 лет назад +15

    nice hatuachani hiko lit sana all love from Kenya I love it

  • @alimasoud4856
    @alimasoud4856 5 лет назад +1

    Dogo huku ww bdo sanaaaa kwenye mduara unaona sasa unaimba nyimbo zawatu vipande vipande baki pale pale pakulia tu

  • @rajahiv9723
    @rajahiv9723 5 лет назад +110

    1 view ✊🏿
    100 comments 🙌🏿
    What a song 😱
    Nipeni hata like mbili jamani tuache uchoyo mwezi mtukufu huu🙏🏿🙏🏿

    • @bwayeazi3782
      @bwayeazi3782 5 лет назад +1

      😂😂😂😂 broo nmeona na niii comment tu

  • @sebbybadytz.4331
    @sebbybadytz.4331 5 лет назад +1

    hii nyimbo Kali Sana Dogo kaza MTOTO WA Zanzibar

  • @yungfester
    @yungfester 5 лет назад +31

    I'm looking for that one English comment 😅 beautiful song bro, feeling it! 💥🔥🔥

  • @ak47onlinechannel79
    @ak47onlinechannel79 5 лет назад

    Naona video mbovu kbx. Kma umeliona hilo hit👍 kwanza matukio hayaeleweki..!!

  • @Outfitrw
    @Outfitrw 5 лет назад +25

    First from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @mbaraksaary5750
    @mbaraksaary5750 5 лет назад

    Lavalava enda ukafanye mashindano ya Qur'an sio kuimba nyimbo mkumbuke mungu wewe ndo utakuwa kuni ya kuchoma wenzako haya maisha tu dunia pambo la kupita tu maisha haya sio jamani tumkubukeni muumba wetu

  • @josephlonge3806
    @josephlonge3806 5 лет назад +7

    The Youngest King👑 I Know with so much Energy in Wasafi💯💯
    Keep killing shit !!🎳🎳#BiteGang🔥🔥🚒🔥

  • @ummykibz6863
    @ummykibz6863 5 лет назад +2

    Lava Lava wanimaliza kwa ngoma zako from +254 uko juu baba Mungu amekupa kipaji Maa Shaa Allah

  • @hullynick4992
    @hullynick4992 5 лет назад +37

    Basi kutoka Qatar 🇶🇦 hatuwachaniii kweliiii tobah
    Ramadhan Mubarak east Africa😍♥️

  • @nasrazubeli3573
    @nasrazubeli3573 5 лет назад

    Damn mwez mtukufu mnatoa usenge wenu kwann msingesubili ramadhan ipite

  • @suleymarjr71
    @suleymarjr71 5 лет назад +70

    Nice song from msa kenya #001

  • @matildakenya9106
    @matildakenya9106 5 лет назад

    Huyu demu amechibua mpaka anafanana ovyo... Video vixen kaharibuuuuu!!

  • @twariqalwy1714
    @twariqalwy1714 5 лет назад +4

    Kabisaaaa hapo umesoma hatuachani mimi na wewe mpaka kiama

  • @fezkidrunner7707
    @fezkidrunner7707 5 лет назад +2

    Lavalava never dissapoint

  • @zainabuzainabu8089
    @zainabuzainabu8089 5 лет назад +4

    Wow mashallah tabarak Allah bro naipenda sana hiyo music

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 Год назад

    Waaah broo napenda huo upole wako sana huna sifa endelea hivyo

  • @halimamiraj2962
    @halimamiraj2962 5 лет назад +14

    Na kanzu juu innalillah Wainna ileyhil rajiuun

  • @minaidrissi7739
    @minaidrissi7739 4 года назад +1

    ياربي تفتح الحدود المغرب كانة نمشو شور موريتان🇲🇦🇲🇷

  • @ilyasmaxamedxuseen1209
    @ilyasmaxamedxuseen1209 5 лет назад +8

    ramadan mubarak to all my brothers and sisters in tanzania from somalia🙏🙏❤❤

  • @kajugaa4537
    @kajugaa4537 5 лет назад +1

    Yaani watu wanaoijua dini ndo wanaongoza kumuasi Allah eeeh yaa Rabi tunusuru na haya ya dunia Ramadhani Kareem

  • @linebousenegal
    @linebousenegal 5 лет назад +22

    Never been to Tanzania but I'll love to visit

  • @juniordr.ellymecky8428
    @juniordr.ellymecky8428 5 лет назад +1

    Yes! Yes! Mr lavalava nilisubili sana

  • @victorkhamisi5513
    @victorkhamisi5513 5 лет назад +3

    nitunze kama sarafu nigande ,wakesha kwa sangomba. gongal like nikiwa nairobi Kenya lavalava kiboko LA penzi.#hatuachani

  • @paulinewanjeri10
    @paulinewanjeri10 4 года назад +1

    Lavalava anaweza ile sure 100

  • @shevanietownsend25
    @shevanietownsend25 5 лет назад +12

    I love his swagger🇯🇲🇯🇲 in the house.

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 5 лет назад +1

    Lava lava una tanga tanga kwenye mziiki styles, sio kuku kashifu man, upande ote upo fresh sema upande m1 una kutosha

  • @kweliiwemkaliianita1222
    @kweliiwemkaliianita1222 5 лет назад +25

    Kalii kweli kama wamkubalii lava lava gonga gang gang like

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 5 лет назад +2

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz... Nasema hivi hii ni yenyewe KBS 👐

  • @abdikadiradan1433
    @abdikadiradan1433 5 лет назад +35

    Lavalava 2018-Tuachane
    Also Lavalala 2019/----/HATUACHANI!

  • @ndamayapejr7725
    @ndamayapejr7725 5 лет назад

    Mapenzi shida mzee baba #Lavalava ulisema Muachane leo tana Hamuachani duuuuh
    Ni nomaa xna

  • @bibinamay1964
    @bibinamay1964 5 лет назад +3

    Waambie tena hao visakanaku.........Hatuachani watching from Dubai...kenyans hit like😘

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 5 лет назад +1

    Hongera producer, hongera lavalava. Ngoma kali...... Wanaocheza karata nimependa chuchu sound ya mwenye white.

  • @aidamfinanga1825
    @aidamfinanga1825 5 лет назад +6

    🔥🔥🔥hatuachani,mpae na ungo Sisi hatujali

  • @annkioko5916
    @annkioko5916 2 года назад +2

    Lavalava issa vibe😻 Mambo yetu ya pwani haya👌🏾

  • @Shaquille4037
    @Shaquille4037 5 лет назад +18

    TeamLavaLava kabisa .... wapi like ya #teamSomalia🇸🇴🇸🇴 repin hard bila tafadhali

  • @bekaroga8334
    @bekaroga8334 5 лет назад

    Purukushani za diamond na zari zimenipa somoo hatari fireeee💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥

  • @darvan_tz
    @darvan_tz 5 лет назад +3

    Nkbl brother lavalava haujawai kukosea kaka angu bless u

  • @samgenster3787
    @samgenster3787 5 лет назад

    Ngoma Kali sana yani mzr mpaka inakelaaaaaaaaaaa

  • @jumahamisi2836
    @jumahamisi2836 5 лет назад +6

    Hapa RAMADHANI hii lazima tuongeze bonus ya siku mbili ngoma hii inafanya swaumu kuwa nyepesi.mashalaaah

  • @hawatognola4022
    @hawatognola4022 3 года назад

    Hapo Hapo nitamu nyimbo zako .dio nahaza kuzisikiza bravo kwangu huko ju 🇰🇪🇨🇭🥰🔥🔥🔥🔥💞😘

  • @africanboyvevo8413
    @africanboyvevo8413 5 лет назад +3

    kama kweli hatuachi kusikiliza hi song gonga lumba na like

  • @pollygakii7600
    @pollygakii7600 5 лет назад

    here 254 ...the message in the song is awesome.... purukushani za mondi na zari zimenipa somo ....napenda that part... congrats lava and salha

  • @ibrahimgaye9609
    @ibrahimgaye9609 4 года назад +4

    Je suis Mauritanien j aime trop votre musique 🇲🇻🇲🇻

  • @chichabh8659
    @chichabh8659 5 лет назад

    Nyimbo tamu video nayo fireeeee ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @danielmucwiri5107
    @danielmucwiri5107 2 года назад +10

    On my opinion with your voice and your style you deserve best even in the so called wasafi,the discipline in your songs is adorable 😍🥰

  • @kwizeranadia7836
    @kwizeranadia7836 5 лет назад

    Jamn wamwisho leo💃💃💃💃💃💃 umeniweza bro

  • @minahqassim8031
    @minahqassim8031 5 лет назад +4

    Atuachani jmn inn shaa Allah

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 4 года назад +1

    Nimerudi kucheki huu wimbo kwa sababu ya wema sepetu

  • @adamrobert8869
    @adamrobert8869 5 лет назад +22

    Kama na wewe umesikia mstar unaosema,,
    Pulukushani za mondi na zari zimenipa soomo,,
    Gonga like twende sawa.

  • @zulekhajumanne664
    @zulekhajumanne664 5 лет назад +1

    Mm nimempenda huyo video vixen

  • @atwolidennis4770
    @atwolidennis4770 5 лет назад +20

    I love ur songs u r very talented ,this part u killed it ,(Hawapendi kuona
    Penzi linafika mbali
    Udi wanachoma
    Usiku huwa na hawalali
    Wanakesha kwa sangoma
    Penzi walitie misumari

  • @Katlkut
    @Katlkut 4 года назад +1

    Lava lava kweli Anaimba Kiswahili fasaha kabisa!Congaratulations bro from USA

  • @Oddblood01
    @Oddblood01 5 лет назад +3

    Nigerian here. I love this song.

  • @faridaothman
    @faridaothman 5 лет назад

    Nyimbo kali

  • @abuuabuuamed5366
    @abuuabuuamed5366 5 лет назад +5

    Hiii ngoma tamu una weza kutumia kama chai asubui

  • @comedy_kali
    @comedy_kali 5 лет назад +1

    Kama ulikuja hapa ukajua ngoma Kali kumbe ni mbovu zinafanana gonga like hapa na Kama umeona mavazi kazima kwa diamond like twende sawa

  • @husseinaishaabdirahman6865
    @husseinaishaabdirahman6865 5 лет назад +8

    One love ❤Lava lava Nakupenda💥

  • @sweetmama6885
    @sweetmama6885 5 лет назад

    Mimi sauti tuu ya Lavalava jamani. Nakuwaga hoi nikisikiliza nyimbo zake😘. Yaani akili inaruka inaenda mbaliiiiiiii sijui wapi. 😂🙈