I enjoyed the topic ya kutokuwa na mtoto..I 100% agree. Kwanini unaulizwa mbona Huna mtoto lakini siyo mbona wewe siyo mzazi bora kwa mtoto/watoto wako!? As for me I have 1 Child and am comfortable and happy with one but kila mara naulizwa when are you having more...and this usually comes from Africans !!I find it irritating ...having a kid /kids is a huge responsibility speaking from experience..
Nimependa sana mawazo yake kuhusu kuwa mama very true itabidi tuongee sio dhambi kutokuwa mama. Maana siku hizi tunazaa watoto tunawaachia wadada wa kazi matokeo yake tunayajua mashoga, wezi, hawana nidhamu hawajitumi hawataki responsibilities. Kuwa mzazi ni responsibility i like that!
Nuru umezungumza big upp my girl umezungumza mambo mengi .kuhusu familia.maisha .haki za watoto ,kina mama ,wafanyakazi.maradhi,ulimbukeni,nahaki za wafanya kazi,unahitajika kupeleka africa ,tanzania mbele,endelea kuelimisha big upp
Wanawake wengi wanaoishi nchi zilizoendelea huwa wanaiga tabia za makabila hayo na wengine ni kwasababu wanakuwa wapo busy sana na kutafta pesa sasa huona watoto ni kero kwa utaftaji wao. Siamini wakati alipokuwa Tanzania alikuwa na wazo hilo😅😅. Eleza watu kwamba umeigha tabia za Mashariki Kaskazini na Magharibi na sio una kitu kinakuzuia😅
Ubaguzi uko kila sehemu sio hata Afrika uko wa kumwaga. . Ucwacngizie wazungu 2 😂. Kuna wachina, waarabu ndio kabisa namba 1 😭😭😭 na waafrika kwa waafrika 😁😁
Danmark mfumo wao wa kodi japo uko ju ila ukiwa na tatizo haswa ktk maradhi ndio utaona faida yake. Ila umeme ndio msala kwa sasa hapa kodi Ya Nyumba ipo chini kuliko matumizi Ya umeme haswa kipindi hiki cha baridi
@@sonnyr1899 Sahihi kabisa. Kodi ni nusu ya mshara ila wako na the best social walfare in the world. Kila kitu ni ghali huku. Sweden life is bit cheaper than Denmark.
@@Witnessvlog Nasikia kweli watu wengi wanasema Sweden mambo yao yana unafu kuliko apa Danmark. Nilikuaga uko 2018 na vitu madukani bei yao ni poa sana.
Nimesikiliza hii interview. Inaonekana mfumo wa Sweeden uko tofauti na Denmark. Vitu kweli vimepanda lakini huwezi kulinganisha maisha ya Ulaya na nyumbani. Huku maisha yako balance kimshahara. Denmark kuhusu kuwa Mwafrika peke yako kwenye functions na mikitano ni kitu cha kawaida. Inategemea sehemu unayoishi kuna sehemu Waafrika sio wengi. Mimi nina group langu la jumuiya niko peke yangu. Sijui Sweden vipi siwezi kuzungumzia.
Kunne Sweeden na Denmark social security ni tofauti. Denmark Covid test hæs always been free for all Citizens. Unaigia kwenye computer unapewa available Say and time. Hapakuwa na usumbufu wa kusubiria hata kipindi vha Covid. Vituo vilikuwa vya kutosha na foleni ilikuwa inaenda kwa kasi. Vyumba vya chanjo kila kituo vilikuwa vya kutosha.Ukisubiri sana kwenye foleni lisaa limoja hivi. Anyway nchi ni tofauti.
Utofauti ni lazima uwepo, wao wazungu, wana desturi zao, mfano ushoga ni desturi yao, nasi waafrika tuna desturi zetu, hatuwezi kuwa sawa, desturi za kila jamii ziheshimiwe
Ubaguzi wakupitiliza sasa tunaona mitaoni kwa watu weusi maneno mengi ya chuki katika kivuli chakulalamika huku nakujisifu sifusifu nakutumia mda wao vibaya, Leo tunaona vita ya ubaguzi katika Africa baina ya nchi na nchi wakileteana dharau nakejeli
Nimependa point moja muhimu sana, sis Nuru ameongea, nchi yetu haitaki kushirikiana na Diasporas. Na tunajichelewesha sana sana, time will tell.
Well said dada Nuru you are quite intellectual , people need to see this interview kuna madini mengi sana
I live this sister nd she got my favorite song SUBILI USILALE ♥️💯
Ahsante brother Sky nime enjoy every minute of it and as usual nasoma sana kwenye hizi interview
I do understand you very much my dear ❤️
Dada yetu huyu ameongea point tupu,Apewe ulinzi kuanzia sasa🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾❤️
Interview🔥🔥 I'm registered with union two years ago here in 🇬🇧 wana tupigania mishahara tuongezewe hop soon maana wamewakalia kooni
LOVE HER ENERGY
I enjoyed the topic ya kutokuwa na mtoto..I 100% agree. Kwanini unaulizwa mbona Huna mtoto lakini siyo mbona wewe siyo mzazi bora kwa mtoto/watoto wako!? As for me I have 1 Child and am comfortable and happy with one but kila mara naulizwa when are you having more...and this usually comes from Africans !!I find it irritating ...having a kid /kids is a huge responsibility speaking from experience..
Exactly. Watu wanataka kuingilia watu mpaka sehemu nyeti. Kuzaa ni jambo binafsi na Mungu basi. Wabongo wana maswali ya hovyo sana.
@@damariszuckschwert9489 kuzaa ni muhimu kama huna tatizo kwanini usizae mbona wewe usizae any way fainali uzeeeni utakosa wa kukuuguza
Nimependa sana mawazo yake kuhusu kuwa mama very true itabidi tuongee sio dhambi kutokuwa mama. Maana siku hizi tunazaa watoto tunawaachia wadada wa kazi matokeo yake tunayajua mashoga, wezi, hawana nidhamu hawajitumi hawataki responsibilities. Kuwa mzazi ni responsibility i like that!
Nuru umezungumza big upp my girl umezungumza mambo mengi .kuhusu familia.maisha .haki za watoto ,kina mama ,wafanyakazi.maradhi,ulimbukeni,nahaki za wafanya kazi,unahitajika kupeleka africa ,tanzania mbele,endelea kuelimisha big upp
Hongera Nuru umeongea ukweli, maisha ni ghali balaa, mtu akikukaribisha msosi wake inabidi ushangae kidogo
Her laugh is contagious !
Nuru i miss you ❤❤❤❤❤
Ushamba na ulimbukeni hupo mkubwa kwa watu weusi jambo ili linasikitisha sana
I would say Denmark sasa hawataki foreigners kabisa. Kupata visa penyew ni kazi. They have tough immigration laws na kila mwaka wanakaza.
Wanaguzi sana yani
Watu wanakua deported huku na wamekaa miaka mingi huku .
Nimekupenda Dada aise
Wanawake wengi wanaoishi nchi zilizoendelea huwa wanaiga tabia za makabila hayo na wengine ni kwasababu wanakuwa wapo busy sana na kutafta pesa sasa huona watoto ni kero kwa utaftaji wao. Siamini wakati alipokuwa Tanzania alikuwa na wazo hilo😅😅. Eleza watu kwamba umeigha tabia za Mashariki Kaskazini na Magharibi na sio una kitu kinakuzuia😅
Ubaguzi uko kila sehemu sio hata Afrika uko wa kumwaga. . Ucwacngizie wazungu 2 😂. Kuna wachina, waarabu ndio kabisa namba 1 😭😭😭 na waafrika kwa waafrika 😁😁
Kweli kabisa usemayo💯
Umeongea point bro
😂 Mpaka waafrika tunabaguana lakini hao wenzetu ndio wamezidi
@@mwanatz5980 Hakuna mtu mbaguzi kama mwafrica yaani jamani tuko wabaguzi mno
kabisa mbaguzi mbaguzi wakupitiliza tunaona mitaoni maneno mengi ya chuki na ubaguzi leo yamerudi kwa watu weusi
Nice one 💯💯💯
Arrogancy ni dalili na ya kwanza kuwa na laana
Hapo kwenye kulipiana chakula umedanganya wapo wake wanaolipia na wapo waume wanaolipia inategemea mnavoishi japo wazungu wana tamaduni tofauti
truth 💯
Wow, Denmark pcr test was free and bado no free. So many benefits here
Danmark mfumo wao wa kodi japo uko ju ila ukiwa na tatizo haswa ktk maradhi ndio utaona faida yake.
Ila umeme ndio msala kwa sasa hapa kodi Ya Nyumba ipo chini kuliko matumizi Ya umeme haswa kipindi hiki cha baridi
@@sonnyr1899 Sahihi kabisa. Kodi ni nusu ya mshara ila wako na the best social walfare in the world.
Kila kitu ni ghali huku. Sweden life is bit cheaper than Denmark.
@@Witnessvlog
Nasikia kweli watu wengi wanasema Sweden mambo yao yana unafu kuliko apa Danmark. Nilikuaga uko 2018 na vitu madukani bei yao ni poa sana.
@@sonnyr1899 Yes na wengi huenda kufanya shopping sweden. Unaishi Denmark?
@@Witnessvlog
Ndio kama sa kutoka mji mku Copenhagen.
Karibu sana.
Nimesikiliza hii interview. Inaonekana mfumo wa Sweeden uko tofauti na Denmark. Vitu kweli vimepanda lakini huwezi kulinganisha maisha ya Ulaya na nyumbani. Huku maisha yako balance kimshahara. Denmark kuhusu kuwa Mwafrika peke yako kwenye functions na mikitano ni kitu cha kawaida. Inategemea sehemu unayoishi kuna sehemu Waafrika sio wengi. Mimi nina group langu la jumuiya niko peke yangu. Sijui Sweden vipi siwezi kuzungumzia.
Nuru dah zhahabu jamani mi natoka Mozambique 🇲🇿
Kunne Sweeden na Denmark social security ni tofauti. Denmark Covid test hæs always been free for all Citizens. Unaigia kwenye computer unapewa available Say and time. Hapakuwa na usumbufu wa kusubiria hata kipindi vha Covid. Vituo vilikuwa vya kutosha na foleni ilikuwa inaenda kwa kasi. Vyumba vya chanjo kila kituo vilikuwa vya kutosha.Ukisubiri sana kwenye foleni lisaa limoja hivi. Anyway nchi ni tofauti.
Kumbe sorry
😍😍❤️
Huyo ni mlezi mtu aliyeshindwa
Utofauti ni lazima uwepo, wao wazungu, wana desturi zao, mfano ushoga ni desturi yao, nasi waafrika tuna desturi zetu, hatuwezi kuwa sawa, desturi za kila jamii ziheshimiwe
Kachangamkahadilaha😍😍
Dunia hiyiiii ndio inchiii yakwnza kwenye ubaguziii
Ubaguzi wakupitiliza sasa tunaona mitaoni kwa watu weusi maneno mengi ya chuki katika kivuli chakulalamika huku nakujisifu sifusifu nakutumia mda wao vibaya, Leo tunaona vita ya ubaguzi katika Africa baina ya nchi na nchi wakileteana dharau nakejeli
Nuru kabila gani
Nuru mambo vp? Mm niko Sweden hapa Södertälje Stockholm nichki tafadhar.
👍❤🇨🇭
Huyu inawezekana akawa msagaji 🤔
I thought as much
Kama Kuna ukweri vire manayake nimemzuuum kwa mahojiano yake mmmh
Kiufupi km mwanaadam uzae usizae..matatizo hayawezi kuepukika katika maisha ya mwanaadam .
fact
Nuru wajina
Nazunguza upunzitu
Mtoto wakike ujioni kuwa mama kwedraaa
Kwani lazima kuwa mama au kutokuwa mama dhambi kwani? Bora yeye ameamua hivyo kuliko wanaobeba mimba na kutupa au kutelekeza watoto
@@virendavictoria5174 Hili swali nalileta kwako vipi mamaako angesema sitakikuwa mama Leo tunge chat 😂 mia35 hautaki kuwa mama Unaua Tu watoto
Kugoma kuwa mzazi huo ni unyani
NIMEKUELEWA NURU HAYA NISUBIRI USILALE
Dah Nuru amekua chibonge sio yule wa Msela wangu kipindi hiko kweli Ulaya Ulaya tu✌️
Unaongea ujinga kwenye media
Unatatukana mama yako na baba yako walifanya mapenzi ukazaliwa mjinga wewe nitafute mie niko nelsinki
Mudogo
Ifike number 1 jamani hii ya moto 💣💣💣💣🔥🎼🎼🔥🔥🔥ruclips.net/video/7w_-Yv_R91A/видео.html