LEMUTUZ: ZILIBAKI DK 30 NIFE/ UKIMWI/ SIO TATIZO HATA/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 98

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 5 лет назад +31

    Kama umegundua lemutuz kageuza t shirt gonga like hapo chini

    • @lucykonyo9198
      @lucykonyo9198 5 лет назад

      Hahahaaaa we jamaa ni noma...umeonaje hiyo kitu

    • @leejoh9462
      @leejoh9462 5 лет назад

      Kweli aisee

    • @salmaothuman9762
      @salmaothuman9762 5 лет назад +1

      Hajageuza ww hiyo nguo ni fashion yake ilivyo

    • @zumbaabiyah3184
      @zumbaabiyah3184 5 лет назад

      Hzo n swaga za bg bro i. e lemutuz!

    • @Mimi-wf7mb
      @Mimi-wf7mb 5 лет назад

      @@salmaothuman9762 kageuza hadi mwenyewe kajistukia. Mi mwenyewe singegundua kama asingestuka. Angalia clip inapoanzia

  • @aa.6437
    @aa.6437 5 лет назад +2

    Umeongea maneno mazur ,mgonjwa pole sana na mazoezi pia unaitaji

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Год назад

    Mwenyezimungu akupokee Bro ! Akupunguzie adhabu ya kaburi!

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 5 лет назад +12

    Brooo pole sana
    Ila mange kimambi anasema eti Umepigania KIBAMIA chako😂😂😂

    • @Tiffany340
      @Tiffany340 5 лет назад

      medard kiheka 🙊🙊😃😃😃

  • @masaulihassan2463
    @masaulihassan2463 5 лет назад +3

    Thanks god for back up again our lemutz bro

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 5 лет назад +6

    Lemutuz umejishtukia umegeuza tishet halafu umejikausha balaa 🤣🤣🤣

  • @umarsaid9912
    @umarsaid9912 5 лет назад +5

    Pole Lemutz rafika yake Dada Mange

  • @situnayenge7164
    @situnayenge7164 5 лет назад +3

    Pole sana kakawamiye

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 5 лет назад +2

    Chief puguza mwili hata mwili ni chanzo cha ugonjwa wako mwili ni mkubwa Sana hadi unashindwa kuema vizuri.....

  • @rashidchembaxic6879
    @rashidchembaxic6879 5 лет назад +1

    Hapo kwenye knowledge nmekuelewa sana

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 5 лет назад +1

    kweli kabisa maneno yako Le Mutuz

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 5 лет назад +9

    Siku bado zikifika utakufa tu kila mmoja ataenda muda ukifika

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Год назад +1

    Kwa nini mnapenda kufuatilia afya za watu

  • @tumainimalundi3805
    @tumainimalundi3805 5 лет назад +1

    Nguo hajageuza washamba nyie angalia v ya kola iko sawa

  • @lucychami6880
    @lucychami6880 5 лет назад +10

    Mbn Kama amegeuz nguo au macho yangu

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 лет назад

      Fashion yake ipo hivyo kama imegeuzwa

    • @asnathraymond3964
      @asnathraymond3964 5 лет назад

      Ili asiulizwe maswali mengi

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 5 лет назад

      Amegeuza ngoja mange aione 😃

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 5 лет назад

      Yes inside out na huyo dada shungi lake kageuza upside down. 😂😂😂

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 5 лет назад +2

    Umekurupuka mpaka ukasahau kwamba umevaa tshirt nje ndani hahaha

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 5 лет назад +2

    Hiyo insu ya elim umeongea ukweli kabisa, na sio wanawake tu hata wanaume walio wengi ni hivyohivyo

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 5 лет назад +13

    Dada umejistiri vizur ila kifuwa umekiach wazi nibor ungekifunika hicho kifuwa mtandio ungeuvut kido mbele

  • @phchouse
    @phchouse 5 лет назад +1

    Yaaaa acha kuvuta shishi.

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 лет назад +2

    punguza mwili kwani hata upumuaji wako unavuta sn pumzi.

  • @kiki-ko8vi
    @kiki-ko8vi 5 лет назад +1

    Duh kuna kifaa chakupimia dakika za kufa😳

  • @nahengadesempy8555
    @nahengadesempy8555 5 лет назад +1

    kumbe unaweza kushika mic mkono wa kulia

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 5 лет назад +2

    Kageuzaa nguo boya Huyu duh

    • @leylasaid2616
      @leylasaid2616 5 лет назад

      Nawewe umeona eee..hahahaa

    • @Anonymous00018
      @Anonymous00018 5 лет назад +2

      Ndio fashion yake hiyo hajageuza.

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 5 лет назад

      Balozi balezi nguo zingine ninashonwa hivyo muonekano wa ndani ndio inje kwani hizo nguo haiko Tz?

    • @dephineadiegi8699
      @dephineadiegi8699 5 лет назад

      It's called unfinished.. tembea malls

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 5 лет назад

    Pole bro hope everything is good

  • @muddyville
    @muddyville 5 лет назад +1

    Naona Le mburula kageuza tshirt...

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Год назад

    Mazoez mtu Kaz unene sio dil

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Год назад

    Kaka fanya uoe tena upate msaidiz hata ukiumwa uwe na mwenza sio maneno mengi tuu

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Год назад

    Le akilh kubwaa. Rip

  • @marryndewele785
    @marryndewele785 5 лет назад

    pole kaka

  • @مسلمالمياحي-ح2ت
    @مسلمالمياحي-ح2ت 5 лет назад

    pole

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 5 лет назад +1

    Kwelli anaumwa mpaka nguo amegeuza

  • @lucky9285
    @lucky9285 5 лет назад +2

    Get well soon Bro Le Mutuz

  • @susansamson1099
    @susansamson1099 5 лет назад +1

    KUJIPENDEKEZA

  • @valenciaamos4759
    @valenciaamos4759 5 лет назад

    Mbona kageusa nguo

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Год назад +1

    Rest In Peace Lemutuz

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu Год назад

      Ngoma ni hatari!!!! Achaneni na kuma!!! Kuma zina mikojo!!! Jiulize pale unapoingiza mboro kwa mwanamke ni lazima mboro iguse lile tundu la mkojo la mwanamke!!! Hapo chacha vidudu vya ukimwi vimejaa hapo!!! Lazima vidudu vya ukimwi vinaingilia hapo na unakuwa muathirika!!! KAFA KWA NGOMA HUYO!!!

  • @witnessjohn2600
    @witnessjohn2600 5 лет назад

    What is he doing? Try to reply me,,,is he an artist or doing what is in the industry of entertainment

  • @yohanamchekwa9752
    @yohanamchekwa9752 5 лет назад

    je kinyesi kinatoka ?

  • @michelleemmanuel6237
    @michelleemmanuel6237 5 лет назад +1

    Hiyo point ya mwisho jiandae kuchambwa na wanawake wa bongo 😂😂

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 лет назад +1

      Na mimi ni mwanamke bongo ila nimekubali hiyo pointi yupo sahihi kabisa

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 5 лет назад +1

    Msenge kweli wewe wanawake wa tz hatuna elimu?????kweli wewe na ukubwa wako wote unatusema hatuna elimuuu.mjinga sana wewe.wanaume wa tz nyie mmesoma wapi tuambieni, tena eti unatufananisha na wakenya na waganda.umetukosea sana sisi wanawake akiwemo mama yako mzazi uliemwacha kafia kwenye kibanda njaaa

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 5 лет назад

      Lucresia Mosh Kwa lugha hiyo unayotumia ni shahiri kuwa huna elimu, mwenye elimu hatukani wala kutoa kashfa, anatumia elimu yake kujibu kwa hekima na kumwelimisha aliyekosea, matusi hutamkwa na wajinga, na wajinga ni wasioelimika; bado una nafasi ya kutafuta elimu, jielimishe

    • @zainabubalama8869
      @zainabubalama8869 Год назад

      MISS CHAGGA maneno yako Yana ukakasi.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali stahiki

  • @hashimuhehwa3780
    @hashimuhehwa3780 5 лет назад +1

    Mkubwa kwako kwetu wengine huyo ni takataka tu

  • @afhd7079
    @afhd7079 5 лет назад

    Duuuuhhhh jamani

  • @dihigokombo5055
    @dihigokombo5055 5 лет назад

    Kuongolewa vibaya unapenda halafu unablock watu. Hujapona Big rudi hospitali

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 5 лет назад

    Ajamulizaa kuhusu ugonjwa huo wa nimonia

  • @marymalaika476
    @marymalaika476 5 лет назад

    Wanawake wa bongo na elimu?! Kwani wanaume wa bongo wamesoma wapi?! au kaamua kututukana!?

  • @israelmwanri9412
    @israelmwanri9412 5 лет назад

    Mbona anaongeaga pumba kwenye mitandao yake!

  • @mwabayachacha3557
    @mwabayachacha3557 5 лет назад

    Walikuwa wanakushughulikia??????

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Год назад

    RIP

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 лет назад +2

    😂😂😂 pamoja na yote jipunguze hilo ji mwili ni maradhi pia

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 5 лет назад +3

    King 👑 leo umeni fanya nicheke sana hiyo ya wajinga ni kweli kabisa.

  • @giannajoji7944
    @giannajoji7944 5 лет назад +1

    Mazoezi mazoezi mazoezi kaka!

  • @balozichalamila4034
    @balozichalamila4034 5 лет назад

    Huyo choko mropokaji Hana inshu

  • @karagwegreatmind5500
    @karagwegreatmind5500 5 лет назад

    Ningekuwa Rais kesho ningekuteua kuwa Rc

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z 5 лет назад

    hapo tu kakaa na anahema hivyo,haki hilo tumbo

  • @mohameddamka922
    @mohameddamka922 5 лет назад

    hivi Dini ntakupataje mbona hunielewi?

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 лет назад +3

    We dada hiyo jilbab havaliwi hivyo upside down. Vua vaa vizuri . Na mtandio maana yake ni ku funika kifua chote hadi chini ya kifua

  • @zumbaabiyah3184
    @zumbaabiyah3184 5 лет назад

    ..pole sn kijana wa mzee malechela, hope u'll b OK soon and u'll back to yo daily routine.

  • @byerac23
    @byerac23 5 лет назад

    So basically what he is saying is that women in Tanzania are incompetent or stupid compare to women in Rwanda, Kenya or other places. I’m just going to assume he said to get publicity because he said he likes when people talk badly of him to give him more viewers and followers but I would tell him next time don’t make assumption based on the few women he met. There so many intelligent women all over the world including and most important Tanzania, Just by him saying that it puts him in a category of an incompetent man that speak without knowing all the facts. He needs to support his own people before speaking on behalf of other countries that he has no idea about. Do not judge the book by its cover sir.

  • @manjalejuniorlg7024
    @manjalejuniorlg7024 5 лет назад

    BRO PUNGUZA UZITO UNENE SIO MZURI

    • @museand732
      @museand732 5 лет назад

      Umegeuzia shati bwege 😂😁😁😁😂

  • @zainabual_tz5623
    @zainabual_tz5623 5 лет назад

    😂😂😂