Excellent interview & honest answers given, including mama wa kambo alikuwa hataki kukusikia… (mama wa kambo wengine kwakweli hawawatendei HAKI watoto … lakini ni watoto wa aina hii ndio MUNGU huwa ANAWAINUA… May God continue to bless u & protect u brother, na atazidi KUKUINUA kwa jina la YESU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾…
Huyu dada mtangazaji mpole Alafu anauliza maswali vizuri na pia anatoa muda kwa muhojiwa kujieleza vizuri. Dada style yako usibadili we baki hivo hivo sie wananchi tunakuelewa vizuri.
Limutuzi mtu mwenye maono hongera sana magufuli hakua na malengo mabaya kwa tanzania lakini, ndio hivyo mwisho wa magufuli nikuonekana hajafanya chochote mungu atawahukumu,,🙏
Bro lemutus, umeeleweka vizuri. Siku za nyuma nilikuwa sikuelewi. Sasa nimekuelewa vizuri. Umeongea vizuri sana. Na hasa kuwaelemisha baadhi ya watanzania ambao ni limbukeni kwa kudhani kwama marekani ni kama peponi. Hongera sana kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yako.watu wajifunze kupitia interview hii
Lemtuz's reputation have been buit in on American spirit/Values??? Ndaga Nyambala,intelligent, knowlegeable, with high level of Imagination like his father. Highly motivating, exhilarating and inspiring interview, keep ya head up lemtuz
Hahaha ulishawai kusema anayemtukana baba au mama yangu mungu amlaani yule sio Malaika kila mmoja anamsia mtu kulingana na alivyo mgusa sasa nenda kawaulize watu wakimara mbezi alafu ndio utajua waliguswa vp ktk maisha Hawa walikuwa karibu na uwa lidi so walinukia ivyo tu
Ilipofika dakika 25 imebidi ni download hi video, mahali aliposema "Magufuli alifanya faulo but sio kwa maslahi yake Bali kwa maslahi ya Watanzania" RIP JPM
@j danny lain za pesa means connection za kuingiza hela,na wew siku ukikutana ana tajiri usimuombe pesa,mfanye rafiki akupe connection za kuingiza hela
Wewe ni kiongozi ila hutaki tu kuongoza. Uzoefu, elimu, kipawa, uwezo wa kujihimili, msimamo, busara, kujieleza,focus vyote naviona positvely unavyo. Kiongozi yeyote huwa anapima uzito wa kazi ya uongozi ni mara nyingi huwa hawataki ni mpaka apewe moyo na kushauriwa na wale anaowaamini sana ndipo. Potential yako ielekeze kusaidia watanzania wengi badala ya kuangalia personal life. Utatadaiwa ukifika mwisho wa maisha yako. Nakutafakarisha baada ya kukusikiliza nimekuelewa sana. Jishauri juu ya talanta uliyonayo. Thank u!
Ulisema kweli hats Sasa, wasaidizi wa Mheshimiwa Raisi Samia S.Hassan wamemda ganya, Kikokotoo Cha asilimia 33 siyo Sahihi. Kikokotoo Cha asilimia 50 kilikuwa na afya zaidi na wafanya kazi walitegemea kiwe hata asilimia 60. Life span ya MTz ni 50 Yrs Sasa Mtu amefanya kazi more than 30yrs amechangia Mifuko ya Security Funds , Kisha anashusha Pension toka asilimia 50 Hadi asilimia 33
Sikuwah kumskiliza Lemutuz apo awali mpaka leo, lakini kutokana na Interview hii nimegundua alikua ni mtu wa aina gani ndomana alifahamiana sana na watu. May his soul rest in eternal peace!
Naishi Marekani kwa 15 years. FBI CIA na kazi za juu Marekani haziwezi ku offer kazi mtu wakati huja omba kazi kwa sector hiyo. Uongo mtupu na Imani kwamba wa Tanzania ni wajanja hawachukui uongo kwajuu
Hiyo ya sheria za Marekani kwa mwanamke ni sawa na wingereza ndo hivyohivyo. Mwanamke ndo mwenye power ndani ya nyumba. Wanaume wananyanyaswa ile mbaya.
nilikuwa naongea na rafiki yangu anayemjua bingwana tangu ujana wao na (rafiki yangu) alipokuwa marekani alikuwa naye. kuna mambo kaniambia kuhusu bingwa wetu itakuwa siri yangu tu! kwa kifupi tu, kila kinachong'aa siyo dhahabu.
Nimependa sana interview yako na inafundisha sana na nimejifunza jambo kubwa katika Maisha point ya kutafuta Amani , ili uwe Amani ni lazima uwe na maamuzi magumu . So dhati mi binafsi nimejifunza .
Lemutuz wewe alama ya fikra chanya kwa kizazi hiki na kijacho. Kama unaweza kutusaidia mashabiki wa Profesor J. Kwani naye amekuwa game changer wa fikra katika sanaa. Tusaidie kumsemea ili sisi mashabiki zake toka kitambo tupate faraja japo kujua anaendeleaje.
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
unachekelea baba yako kukuomba msamaha alafu we umepata umaarufu kwenye mitandao kwa sababu ya baba yako
Nimependa sana historian ya utsfutaji wako ila ninahitaji Sikh moja nikuone je inawezekana ninashida
Uko vizuri kaka keep it up
Lz😊😊😊😊 mm😊mo😊m
Bro.nimekupenda Sana.wewe mkweli Sana wa maisha yaani watu wangekuelewa km nilivyokuelewa watu wengi wangeishi maisha mazuri Sana.
Kk hongera sana hapa Niko makini nakusikilia kuna vitu navipata kutoka kwako
Excellent interview & honest answers given, including mama wa kambo alikuwa hataki kukusikia… (mama wa kambo wengine kwakweli hawawatendei HAKI watoto … lakini ni watoto wa aina hii ndio MUNGU huwa ANAWAINUA… May God continue to bless u & protect u brother, na atazidi KUKUINUA kwa jina la YESU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾…
Huyu dada mtangazaji mpole Alafu anauliza maswali vizuri na pia anatoa muda kwa muhojiwa kujieleza vizuri. Dada style yako usibadili we baki hivo hivo sie wananchi tunakuelewa vizuri.
Hakuna mtangazaji ni mwenye uelewe mdogo Sana ndio maana anakuwa dominated na le mutuz
@@othumanlorenzo260
Asante kwa mtazamo
Nakuunga mkono.🎉
Nimekupenda sana👏👏👏👏
I agree with you brother. Alifanya mambo kwa ajili ya Watanzania na Si binafsi. Hilo watu watalikumbuka daima. Tanzania has lost a great man.
Iam.from kenya but jpm alikuwa zaidi ya mtu
Wonderful interview, keep up the good work young lady.
Mweshimiwa nimekuelewa Sana mungu akupiganie
Limutuzi mtu mwenye maono hongera sana magufuli hakua na malengo mabaya kwa tanzania lakini, ndio hivyo mwisho wa magufuli nikuonekana hajafanya chochote mungu atawahukumu,,🙏
Tumeshahukumiwa na lullaaniwa
nice brooo nimependa ze way unavyo wapa darasawatanzania safi sana
Bro lemutus, umeeleweka vizuri. Siku za nyuma nilikuwa sikuelewi. Sasa nimekuelewa vizuri. Umeongea vizuri sana. Na hasa kuwaelemisha baadhi ya watanzania ambao ni limbukeni kwa kudhani kwama marekani ni kama peponi. Hongera sana kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yako.watu wajifunze kupitia interview hii
Magu imic you
Lemtuz's reputation have been buit in on American spirit/Values??? Ndaga Nyambala,intelligent, knowlegeable, with high level of Imagination like his father.
Highly motivating, exhilarating and inspiring interview, keep ya head up lemtuz
Lemutuz ubarikiwe sanaaaa kwa kujua kuwa hayati magufuli alikuwa mtu wa watu mungu amlaze mahali pema peponi amina anaemtukana mungu amlani
Hahaha ulishawai kusema anayemtukana baba au mama yangu mungu amlaani yule sio Malaika kila mmoja anamsia mtu kulingana na alivyo mgusa sasa nenda kawaulize watu wakimara mbezi alafu ndio utajua waliguswa vp ktk maisha Hawa walikuwa karibu na uwa lidi so walinukia ivyo tu
Da Lemutuz nilikuwa nakuona hufai lakini baada ya kukusikiliza nimeona unabusara saaana. Keep it up.
Good interview and good and honest responses .
Wow, big up sana ,nice interview 🙏
Love your interview and how you responded to all your questions! Missing your calm demeanorr !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Daaah hili lijamaa linajua kujieleza asee
Safi sana limutu. magufuli alikuwa kiongozi wa kweli kwa watanzania.
Jambazi tu yule hana lolote kiongozi gani wa wa tz kwako wewe sio kwetu
@@alimussa2655 alikuibia nini maana usihukum kwa mihemko aliwahi kukuibia nini?
Anaye.msifia..magufuli..tuko.pamoja.
Nimependa interview yako, kumbe jamaa ni mwelewa, Mungu akupe maisha marefu
Nkupa sfali ndfu ufike mbali lemtuz
Ntaka siku uje uni fundishe namna yakuwa tajili watu kama babaako alivyosema
Wow may God bless you my brother
Very good interview with open minded and focused figure.. Thanks🙏🙇
Uko vzr, swala la Baba ana watoto wangapi anajua Baba mwenyewe unaweza ukasema mko 20 kumbe mko zaidi🤝🤝🤝
Bro nimekubari Sana Ktk maisha ni safari kubwa
Nimekuelewa brother
I have known his whereabouts after this interview while he is no more. He was big and he thought big...RIP Lemutus.
Mmh! Maisha ni fumbo mungu tupe mwisho mwema
Mungu amrehemu mzee Mengi jamani
Nimependa interview yako Lemtuz hongera sana
Wangapi tumekuja hapa baada ya lemutuz kufariki?
Mwenyewe nilikuwa simfahamu
😂😂😂😂 mimi
Mie lakini ameacha alama mpambanaji
Nam imebidi nije huku baada ya kusikia amefariki
big up bro umenipa somo
Mungu akupe maisha marefu tuzidi kufurahia uwepo wako
mh apo kwenye maisha marefu pagumu kashakufa mapema😢
Rest in peace brother 🙏 Nimekufuatilia mnoo na bila shaka nimeondoka na ki2.
Bro l really like your interview.
Le mutuzu🙌🙌🙏
Nimeona inzi kwenywe kiti cheupe karibu dada😂😂😂😂😂😂😂
Good interview of genius people
Duuh hongera na nimekuelewa sana nikisikia MTU anakusema vibaya napambana
Hakika marekani imekupa confidence,very good
Umeongea point Watanzania unafiki mwingi
Asante br.nimejifunza kitu kwako leo .
Safi sanaa bro
Hiyo ya urafiki wa Me na Ke bila mahusiano. mm nimekubali. kikubwa kujielewa tuuu.
Kaka upo sawa kabisa mungu akubariki sana history yako imetulia nipo dubai nafuatilia nimeshiba biliani yako
Nimekuerewa kaka yangu uko vizuri sana naweza kukuona wapi nimekupenda tu basi niambie kaka mimi ni mama na mke ni mama emmy hangera kaka
Upo vizuri kaka una. Mawazo mazuri na ushauri mzuri na wazo la kumuendeleza majaliwa
😭😭simulizi yenye uchungu....japo ni ya kishujaa
Rest in peace mpambanaji, mungu ailaze roho yako mahala pema
Umeeleweka zaidi sana Kaka.
BRO KIUKWELI HATA MIMI NILIKUONA MUHUNI NA NIMTU USIYE NA MAADIRI KUMBE BRO PISI SANA 💪👍
Lemutuz Kuna Dada anaonekana amechanganyikiwa utamsaiduaje?
Hapo umeongea nimekupenda kusema ukweli magufuli nitamlilia milele
Uko vizur sana bro Lemutuz
Obrigado amigo tu falas bem e falas verdade. God bless
Ilipofika dakika 25 imebidi ni download hi video, mahali aliposema "Magufuli alifanya faulo but sio kwa maslahi yake Bali kwa maslahi ya Watanzania" RIP JPM
Kwahiyo kazi kumbe manitana na kupeana daah...na lain za pesa jinga sana nyie..afu kuna mitanzania inasema nice interview.
@@jdanny497 Umemsikiliza ukiwa na CHUKI kwa MTU then huwezi kuelewa but again kila MTU anamtazamo wake
@j danny lain za pesa means connection za kuingiza hela,na wew siku ukikutana ana tajiri usimuombe pesa,mfanye rafiki akupe connection za kuingiza hela
Wewe ni kiongozi ila hutaki tu kuongoza. Uzoefu, elimu, kipawa, uwezo wa kujihimili, msimamo, busara, kujieleza,focus vyote naviona positvely unavyo.
Kiongozi yeyote huwa anapima uzito wa kazi ya uongozi ni mara nyingi huwa hawataki ni mpaka apewe moyo na kushauriwa na wale anaowaamini sana ndipo. Potential yako ielekeze kusaidia watanzania wengi badala ya kuangalia personal life. Utatadaiwa ukifika mwisho wa maisha yako. Nakutafakarisha baada ya kukusikiliza nimekuelewa sana. Jishauri juu ya talanta uliyonayo. Thank u!
Rest in Peace SIMBA wa AFrica Jpm Shujaa wa Afrika
Nikweli Salute lemutuz
Big up broo
NIMEIPENDA SANA INTERVIEW HIYO.. NDG UKO VIZURI SANA
Ulisema kweli hats Sasa, wasaidizi wa Mheshimiwa Raisi Samia S.Hassan wamemda ganya, Kikokotoo Cha asilimia 33 siyo Sahihi. Kikokotoo Cha asilimia 50 kilikuwa na afya zaidi na wafanya kazi walitegemea kiwe hata asilimia 60. Life span ya MTz ni 50 Yrs Sasa Mtu amefanya kazi more than 30yrs amechangia Mifuko ya Security Funds , Kisha anashusha Pension toka asilimia 50 Hadi asilimia 33
Le Mutuzi uko really man.
Sikuwah kumskiliza Lemutuz apo awali mpaka leo, lakini kutokana na Interview hii nimegundua alikua ni mtu wa aina gani ndomana alifahamiana sana na watu. May his soul rest in eternal peace!
Nzuri sanaaa
Jamaa yuko vizuri
Huyu mtangazaji anamuita huyo babu "kijana"!? Tuwe serious kidogo.
Interview yake nzuri kusikiliza
asante kwa kufafanua kwa haki
Mtangazaji ametulia yuko vzr kwa maswali
Akili kubwa sana huyu jamaa
Naishi Marekani kwa 15 years. FBI CIA na kazi za juu Marekani haziwezi ku offer kazi mtu wakati huja omba kazi kwa sector hiyo. Uongo mtupu na Imani kwamba wa Tanzania ni wajanja hawachukui uongo kwajuu
🙌🙌🙌
Sfi lemtuz nakpenda sn kaka unatowa madini ijenge tanzaniya sio .kama wale wanao mchafuwa mamaatu mungu ampe maisha malefu
American spirit
Nimependa majibu yako mungu akubarki
Lemutuz kuhusu JPM wengi tulimpigania sana
Mtu wa system huyu na wenzie kina Bashite, Niki wa Pili na Steve Nyerere maisha yao kama mbayuwayu tu RIP
Dah!! Hili jamaa limetembea aisee lina swaga kisenge but najiuliza kwnn hakusetle kuamua kufanya kazi akatulia tu maake kawa mzungukaji balaa😁
Hao ndio watu wasiojulikana ,angalia ni mtoto wa nani na amesomea nini?na hakusoma tu kwa bahati mbaya
Big up brother, hakika wewe ni kitabu Cha maisha,nimekusoma na nimekuelewa sana.
Uko vizuri sema background yako kama ya mashaka hivi . Kama kuna wizi kwa mbaliii
sio background tu hili ni jambaz kabisa
🤣🤣🤣
RIP William, ninakukubali sana. i fully agree with u
Hiyo ya sheria za Marekani kwa mwanamke ni sawa na wingereza ndo hivyohivyo. Mwanamke ndo mwenye power ndani ya nyumba. Wanaume wananyanyaswa ile mbaya.
Lemutuz na Membe walijua hawatakufa 😂😂😂😂
🤣🤣🤣jamaa anajua kuponda uyu 🤣🤣🤣akili kubwa
Mara yakwanza mtanzania anasema kweli kabisaaaa
nilikuwa naongea na rafiki yangu anayemjua bingwana tangu ujana wao na (rafiki yangu) alipokuwa marekani alikuwa naye. kuna mambo kaniambia kuhusu bingwa wetu itakuwa siri yangu tu! kwa kifupi tu, kila kinachong'aa siyo dhahabu.
Si useme
Kwanini sasa
Dah nilikuwa sijui mengi kuhusu wewe leo nimekusikia .......Hakika umenigusa hasa kuhusu KIPENZI cha wanyonge MAGUFULI na Makonda ....
Kipenz kwako myonge sisi sio wanyonge kilaza wewe
Nakuunga mkono.
Rip baba magufuri Leo mmekutana na lemutuzi
Huyu mwamba ana madini sana! Yupo eloquent halafu ana accent ya kirussian
Kwani asipotembelea ye nani??ana umuhimu gani??kwamba akimtembelea atafufuka ivo anafanya hiyana🤣🤣🤣🤣🤣ebu atupishe tembo huyu
Nimependa sana interview yako na inafundisha sana na nimejifunza jambo kubwa katika Maisha point ya kutafuta Amani , ili uwe Amani ni lazima uwe na maamuzi magumu .
So dhati mi binafsi nimejifunza .
Kweli wanamkumbuka magufuri kwa sasa mimi nililia sana magufuri alivyokufa nililia sana kama nimefiwa na baba yangu Yani mpaka leo nalia
Hauna mume unalia mpaka Leo , acha ujinga
@@othumanlorenzo260 kaaaaaa maneno gani hayo sasa
Lia tu mpaka utachoka nawe utaondoka vilevile kwani sote njia yetu moja..!
Kazikwe pembeni yake ili uwe nae karibu na upumbavu wako huoo
Pole sana dear ❤❤❤
Kweli r.ip hakika kazi ya mungu haina makosa
Lemutuz wewe alama ya fikra chanya kwa kizazi hiki na kijacho. Kama unaweza kutusaidia mashabiki wa Profesor J. Kwani naye amekuwa game changer wa fikra katika sanaa. Tusaidie kumsemea ili sisi mashabiki zake toka kitambo tupate faraja japo kujua anaendeleaje.
Mtangazaji upo makini sana maswali yakueleweka sana
Rest in peace Africa Giant simba wa Africa.. magufuli
Million 20
endelea kupumzika LE MUTUZ
1 dollar =16 tsh up to 1 dollar=2300 what went wrong
Kweli wema hauozi mabaya hayasahauliki
Broo we genius,
kwa ugenius upi?