Nashukuru Sana nabii prophet Daniel nimeridhika Sana na mahubiri yako Kabla ya kusikia nimahojiano tu. Nakpateje mtumishi nimeguswa Sana nipate huduma kwako
Nakubaliana na Nabii Daniel Jibu la Biblia Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.-Matendo 3:18. Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu? Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake: Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.-Kutoka 31:18. Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”-Kutoka 34:27. * Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:28-36;Ufunuo 1:10-17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.-Danieli 7:1; Matendo 16:9, 10. Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.-2 Samweli 23:1, 2. Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao? Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20. Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.-Waamuzi 6:6-10. Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.-Yohana 4:17-19. Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.-Luka 22:63, 64.
Barikiwa sana nabii,,ukimwi ni pepo tu tukimwamini mungu ktk roho na kweli hakuna jambo linaloshindikana..ukiwa na imani ndongo kama chembe ya haradani twaweza kuamisha milima...god bless you.
Asante sana Nabii. Jibu la Biblia Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.-Matendo 3:18. Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu? Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake: Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.-Kutoka 31:18. Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”-Kutoka 34:27. * Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:28-36;Ufunuo 1:10-17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.-Danieli 7:1; Matendo 16:9, 10. Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.-2 Samweli 23:1, 2. Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao? Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20. Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.-Waamuzi 6:6-10. Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.-Yohana 4:17-19. Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.-Luka 22:63, 64.
Christina Monyi ukimwi co pepo ni ugonjwa ulio tengenezwa na wamarekan ili kudhohofisha Africa ili tupungue waje Kuitawala na kuchota mali. ila dawa zake zipo za mitishamba kwanza mungu alishasema hakuna ugonjwa uliokosa dawa tatizo kuijua dawa hii inatibu ukimwi
safi dogo hata Yeremia aliitwa kuwa nabii akiwa mtoto,Mungu ni yuleyule hata kizazi chetu kinahitaji huduma kuu tano ikiwemo unabii,songa mbele watakuelewa baadae
Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako…..
Binafsi siwaelewi sana waandishi wa habari, maswali yao yanakuwa on the negative side all the time, sijui hawamuamini Mungu kuwa anaweza au vipi? Jaribu kuwa na imani kuwa Mungu anaweza YOOOOTE!
Akiwepo nabii kati yenu nitanena na katika maono na ndoto,lakini sio kwa mtumishi wangu musa yeye nitanena nae uso kwa uso,kwa maana amekuwa mwaminifu katika nyumba yangu yote, ndio maana malaika wakauzika mwili wake. Sijasikia nabii mwingine alisikia sauti ya mungu ana kwa ana, acha kutuzuga
Mhm hatari sana dunia inaelekea pabaya hadi watu tunao waamini waandishi wetu wa habari mnasikiliza hayo na mnayaamini huyo ni wakuishia getini tu ata mjengoni msinge mluhusu aingie
Umeona eeeehh, nafuatulia kila fungu analosema. Mengi ni ya uongo au anayaelezea kinyume... Hiki kinanilazimu niamini yule malaika aliyemtokea akiwa na kwato za mbuzi alikuwa jini... Isaya 8:20 imeandikwa "Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi" huyo jamaa kwa sababu ni duni kimaandiko, he's very fake. Hata shetani anatenda miujiza, miujiza hiyo haimfanyi awe wa Mungu Ufunuo wa Yohana 16:13-14 imeandikwa "Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka na katika kinywa cha yule nabii wa uongo. Hizi ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi""
mwanamke aliyetokwa na damu sio mathayo loooh! ni luka 8:43 Mungu nampenda kweli haya mnaoamini manabii endeleeni kuamini mpaka mjikute mpo kwenye shimo hakuna wa kuwatoa
nimesikitika sana yaani jinsi watu wanavyodanganyika, mnajua mtu anapojiita nabii ni mtu wa namna gani we ukutane na mnyama kavaa kwato na nyoka jamani si mashetani umekutana nayo hayo we ni mganga wa kienyeji na mwisho wa kazi utapokea mshahara wa kazi unayoifanya. enyi watu someni biblia ukishindwa muone mtu akuelekeze.
wajinga mpo wengi, eti hallelujah nabii, ameni acheni upumbavu nyie huyu msanii, kama simu yako imefungwa yeye atakufungulia, we tuma pesa M-Pesa tuu, yani huyu nabii anauza chumvi, maji, mafuta, karanga, kanga, nguo za ndani, kanisani, daa kabarikiwa kweli, tuma pesa m-pesa sala sio bure bana
Mm nadhan km ni ya kwel hayooo asingetafutwa ww wagonjwa wanavitengo vyao kwann yy asiwafuate akawaombea huko wakaponaaa.. Km hao wagonjwa wa ukimwi na kanss.
Shabani Miraji kumbuka kwamba hata ukiombewa bila kuwa na imani huwezi kupona kabisa na ni lazima wagonjwa wenyewe pia waamini ya kwamba yesu anaponya wasizishikilie dini maana dini haziponyi ila anae ponya ni yule alieshinda kifo na mauti tu
Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako….. Beantwoorden
Acha uongo kijana hakuna mtu aliye kutana na Mungu akapona. Izi make up stories zako eti umepokea pesa za kimaajabu mimi siamini. Siku za mwisho ni siku za hatari watu wengi watakuja kwa jina langu nao wata wadanganya wengi. Wakristo iweni macho.
Hakuna mtu asiekuwa na imani ya kutaka kupoa.. Unafkiri watu wanataka kulala hospital na hela ilivyokuwa ngumu.. Kila mtu anataka uzima afanye mambo yake
Huyo siyo mkristo cc, si kila anayemtaja Yesu ni Mkristo kumbuka hata mpinga Kristo huzuga kumkiri Kristo huku akipindisha mafundisho ya kweli ya Kristo. So awadanganye tu makristo wenzake wa uongo maana imeandikwa katika Mathayo 24:24 "Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu WAPATE KUWAPOTEZA, KAMA YAMKINI, HATA WALIO WATEULE" MIMI BINAFSI SIAMINI KATIKA HUYO JAMAA. AMEN
Huyo mwongo bn hakuna nabii jamn kwa dunia hii ya leo watu wanatafuta umaaruf tu ok aende bs mochwar akafufue wote waliokufa ,,,hiv mnamchezea mung achen kiki bn
hahahahahahaah eti unabii hautestiwi. ndo anatafuta pa kupenyea hapo. Manabii wooote walifanya miujiza tena wengine kwa kupimwa mbele za watu ili kuthibitisha.
Anaye fanya unabii ili kuthibitisha mbele za watu mbali na utukufu wa Mungu ndie Muongo Mfano mimi ni nabii wa Mungu , nakutana na vijana tu njiani waniambie wewe kama ni nabii badilisha hizi karatasi kua hela halafu nabadilisha kitendo hicho itakuwa kwa utukufu wa Nani?
Raymond Joas Mitume woote walifanya miujiza mbele ya watu kuthibitisha utume wao na kuwajenga imani waumini na wao kumiamini Mtume huyo. Tangu zama zoote kuanzia Nuhu, Lot, Isaka, Yakobo, Yusuf, Musa, Yesu na hata Muhammad. Woote hawa walifanya miujiza on the spot ili kupata watu na kuakiniwa. Yeye anaambiwa alete muujiza mmoja tu anaanza kuleta longolongo tu
Yahya Sinongo Jibu la BIBLIA Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.-Matendo 3:18. Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu? Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake: Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.-Kutoka 31:18. Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”-Kutoka 34:27. * Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:28-36;Ufunuo 1:10-17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.-Danieli 7:1; Matendo 16:9, 10. Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.-2 Samweli 23:1, 2. Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao? Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20. Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.-Waamuzi 6:6-10. Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.-Yohana 4:17-19. Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.-Luka 22:63, 64.
kijana ni mdogo like me,JESUS alintokea akaniponya akanihaid baraka,nimeokoka nampenda YESU ,lm happy full of peace
Unahitaji msaada wewe,,, aliona malaika mwenye kwato
Nashukuru Sana nabii prophet Daniel nimeridhika Sana na mahubiri yako Kabla ya kusikia nimahojiano tu. Nakpateje mtumishi nimeguswa Sana nipate huduma kwako
Barikiwa sana mtumishi
Nakubaliana na Nabii Daniel
Jibu la Biblia
Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.-Matendo 3:18.
Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu?
Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake:
Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.-Kutoka 31:18.
Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”-Kutoka 34:27. *
Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:28-36;Ufunuo 1:10-17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.-Danieli 7:1; Matendo 16:9, 10.
Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.-2 Samweli 23:1, 2.
Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao?
Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20.
Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri
Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.-Waamuzi 6:6-10.
Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.-Yohana 4:17-19.
Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.-Luka 22:63, 64.
nice prophet
Barikiwa sana nabii,,ukimwi ni pepo tu tukimwamini mungu ktk roho na kweli hakuna jambo linaloshindikana..ukiwa na imani ndongo kama chembe ya haradani twaweza kuamisha milima...god bless you.
Asante sana Nabii.

Hii ni mchango wangu ili jamii iwe na uelewa zaidi
Nakuunga mkono Nabii Daniel
Christina Monyi ukimwi co pepo ni ugonjwa ulio tengenezwa na wamarekan ili kudhohofisha Africa ili tupungue waje Kuitawala na kuchota mali. ila dawa zake zipo za mitishamba kwanza mungu alishasema hakuna ugonjwa uliokosa dawa tatizo kuijua dawa hii inatibu ukimwi
Jamani mjamasikio amsikii anafanya mwenyewe afanyi Mungu sijasikia akisema Mungu anafanya kunitumia mimi anasema nikitu nimefanya mi unidanganyi nalijua neno.
Amna kitu hapa.
Anaraisisha huyu jamaa mungu amsaidie
Wanyiramba mmepata Nabii , hongereni sana Shillah huyoo.......!!!!!!
Mathias Massawe hahahahaaa nyiramba mungu hajatusahauu
You are so blessed brother..... you are the chosen one....!
Blessing
I was praying for this, now GOD has started doing what he promced
Mm ninaimani kubwa kwamba mtu anaponywa ukimwa kwa jia tatu hizo Mungu akubariki Daniel
Hongera mtumishi
Oyaa nabii fala, naomba unifungulie simu yangu, nimesahau password yangu.
nimekuelwa sana prophet....pia nimependa coz hugusi utukufu Wa Mungu. Mungu asikuache
Jamani huyu NABII anapatikana wapi kanisa liko wapi?au namba za cm
angekua na njaa angegawa hela jamaan...sema hata magu hawamuamin japo anawafanyia haki...in God we trust
be blessed prophet..
songa mbele nabii Daniel usisikilize maneno yaoooo yesu mwenyewe walimkataa sembuse wewe !! maneno yao yasikuvunje moyo
Huyu jamaa daaah yani anakujibu na biblia vizuri sana
thank you God!
safi dogo hata Yeremia aliitwa kuwa nabii akiwa mtoto,Mungu ni yuleyule hata kizazi chetu kinahitaji huduma kuu tano ikiwemo unabii,songa mbele watakuelewa baadae
Barikiwa mungu anaponya,mungu akuzidishie hekima,akupanulie mipaka amin be blessef
mariamu n niyararaze re
Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako…..
Amen
Mungu mwenyewe aendelee kukutumia sawa sawa na mapenzi yake
nabii wa uongo huyo, rafiki soma biblia utoke gizani
Mungu akubariki sana. Nimekuelewa vizuri. Imani Agano na rehema
kumbe naweza kupona ? naomba namba yake please
Be blessed Papa!
mmh hao manabii was sasa mungu atusaidie
the only humble prophet in Tanzania
Binafsi siwaelewi sana waandishi wa habari, maswali yao yanakuwa on the negative side all the time, sijui hawamuamini Mungu kuwa anaweza au vipi? Jaribu kuwa na imani kuwa Mungu anaweza YOOOOTE!
Kuna shida hapo mahali kuhusu waandishi, as if hawamjui Mungu
sasa utaelewaje kama sio taaluma yako?
Huyu naye nabii
Akiwepo nabii kati yenu nitanena na katika maono na ndoto,lakini sio kwa mtumishi wangu musa yeye nitanena nae uso kwa uso,kwa maana amekuwa mwaminifu katika nyumba yangu yote, ndio maana malaika wakauzika mwili wake. Sijasikia nabii mwingine alisikia sauti ya mungu ana kwa ana, acha kutuzuga
We wa wapi soma bibilia
mmmmh hta wew kweli
mmmh hafa wew kwel
Mhm hatari sana dunia inaelekea pabaya hadi watu tunao waamini waandishi wetu wa habari mnasikiliza hayo na mnayaamini huyo ni wakuishia getini tu ata mjengoni msinge mluhusu aingie
Mwanamke mwenye tatizo LA kutokwa na damu sio kitabu cha MATHAYO 21 Bali MATHAYO 9
Haha haha naend ku prove kwen bible this n the second time nabii anakosea mistar namskia
Umeona eeeehh, nafuatulia kila fungu analosema. Mengi ni ya uongo au anayaelezea kinyume... Hiki kinanilazimu niamini yule malaika aliyemtokea akiwa na kwato za mbuzi alikuwa jini... Isaya 8:20 imeandikwa "Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi" huyo jamaa kwa sababu ni duni kimaandiko, he's very fake. Hata shetani anatenda miujiza, miujiza hiyo haimfanyi awe wa Mungu Ufunuo wa Yohana 16:13-14 imeandikwa "Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka na katika kinywa cha yule nabii wa uongo. Hizi ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi""
Huyu kijana ana hekima sana.
Hekima kubwa mno. ni zawadi kabisa ya Mungu sio ya kidunia
Mlongo Jane kweli
Ww hapana jmn duuuh.
Daaah kwa kweli
Kusikia sauti nikweli hata mimi niliwahi sikia sauti.
mwanamke aliyetokwa na damu sio mathayo loooh! ni luka 8:43 Mungu nampenda kweli haya mnaoamini manabii endeleeni kuamini mpaka mjikute mpo kwenye shimo hakuna wa kuwatoa
Ubalikiwe kaka
Mathayo 9:20,siyo Mathayo 21.
Mungu hajaribiwi wala hamjaribu mtu.
hao ni waisrael ,no matter wanapitia nn,watafanikiwa,MUNGU anamkumbuka IBRAHIM,ISAK,JAKOB
mbn haijui bibilia huyuu.....
We vp dogo anajua
Huyu anapotosha watu jihadharini
Usijaji Mtu ni kazi ya Mungu hiyo!!! Mungu akikutokea Siku moja ndio utaamini ya kwamba Mungu yupo na ndiye anaye toa vibali wala sio mwanadamu
Wewe toka
DD Shillah sounds like a false prophet. He met with popular African Iluminat prophets too.!! 😀
nimesikitika sana yaani jinsi watu wanavyodanganyika, mnajua mtu anapojiita nabii ni mtu wa namna gani we ukutane na mnyama kavaa kwato na nyoka jamani si mashetani umekutana nayo hayo we ni mganga wa kienyeji na mwisho wa kazi utapokea mshahara wa kazi unayoifanya. enyi watu someni biblia ukishindwa muone mtu akuelekeze.
Naomba namba ya nabii Daniel
Magician can produce those money too...kiini macho.
Kama shetani anaweza kujigeuza kuwa malaka wa nuru, si ajabu kwa watumishi wake......
Biblia inasema akina aliyemuona Mungu akaishi lazima ufe usitudanganye weeeee .
Duh
ubalikie mutumishi kweri umebalikiwa sana
Mm sina hela kaka nasikia unagawa pesa
mh kweli maandiko yanatimia watatokea manabii Wa uongo ndo haya kila MTU lake duh!
Hmmmmmmm🤔🤔🤔🤔🤔😋😋
Mpelekeni muhimbili akawaombee wagonjwa wa ukimwi pale........
hata ukiombewa kama huna imani. huponi haya ni mambo ya kiroho
waganga na wasoma nyota hao wana wa shetani baba yenu mnayempenda walishawi kuja hospital kuwaunganisha na majini ,tahira ww
mnawafuata na mbuz mnspeleka,we are Christians not religious (born again)try the LORD uone,achana na wehu hso
Nyie hamna point andika vya maana watanzani kaz kuponda tuu nyie washahili
Ukimwi na kutoka damu NI vitu viwili tofauti kutoka damu inseza kukata tu lakini ukimwi NI virus
bingwaa why virus visikauke kama dama ilikata
Mungu anaponya kwa wale wote waaminio, ukimuamin yeye nothing is impossible
it was prophesized nothing is new in this world
We we NI laana kabisa watu wanaumwa na ukimwi wewe unafanya mchezo, ngoja were upate ukimwi halafu ujiponyeshe
mungu anaponya lakin sijawahi kuona ukimwi labda mpaka nishuudie uwezi amini ujashuudia broo
Mnao sema.mtumishi.vibaya.make.mkijua.mnapambana na hamtoweza.mwishowe mtaangamia.bure
wajinga mpo wengi, eti hallelujah nabii, ameni acheni upumbavu nyie huyu msanii, kama simu yako imefungwa yeye atakufungulia, we tuma pesa M-Pesa tuu, yani huyu nabii anauza chumvi, maji, mafuta, karanga, kanga, nguo za ndani, kanisani, daa kabarikiwa kweli, tuma pesa m-pesa sala sio bure bana
awa manabii mbona wanatumia vitabu vya yesu tu na vyao awana jipangeni bas mje na vtabu vyenu
Nabii nimebaki na jero tu fanya mambo zijae huku pia
Kwamtu yoyote asienahofu yamungu lazima ampinge huyu nabii
George Mwangegwa, umeona eeee
Mm nadhan km ni ya kwel hayooo asingetafutwa ww wagonjwa wanavitengo vyao kwann yy asiwafuate akawaombea huko wakaponaaa.. Km hao wagonjwa wa ukimwi na kanss.
Shabani Miraji kumbuka kwamba hata ukiombewa bila kuwa na imani huwezi kupona kabisa na ni lazima wagonjwa wenyewe pia waamini ya kwamba yesu anaponya wasizishikilie dini maana dini haziponyi ila anae ponya ni yule alieshinda kifo na mauti tu
Nabiii naomba mawasiliano na Wewe +96879063286 WASAP
😁😁😁😁😁😁😁
Siku za mwisho zikikaribia watajaa manabii wa uongo
Namba ya simu mlioiweka haipatikani kwanini mnaweka namba isiyopatikana mnategemea nn mtu akitaka kuwasiliana nanyi?
Muongooo unaonekanaaaa
Ww unaweza nn vp unaota ndoto unakimbizwa
Sauti kama ya Makonda
hata domo, lol!
Aloo upo sahihi sana hasa ukisikiliza anavyoimba yan ni Makonda kabisa. Sikiliza ule wimbo wake wa nieonee huruma
halafu somen bible acheni kuuliza maswal fek,eti nabii anashuka na kitabu,hao uongo ,kuna spiritual gifts ,kasome bibl
Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako…..
Beantwoorden
Nimeelewa hiyo utajuta, inamaanisha utashindwa na career yako itakuafa mapema.
du !
Yani huyu jamaa anataka kiki tu there is no nabii ktk dunia ya sasa .gonga like hapa chini
Uwa hupatikani nabii katka sim yako
0657800802
Acha uongo kijana hakuna mtu aliye kutana na Mungu akapona. Izi make up stories zako eti umepokea pesa za kimaajabu mimi siamini. Siku za mwisho ni siku za hatari watu wengi watakuja kwa jina langu nao wata wadanganya wengi. Wakristo iweni macho.
😂😂😂crazy miracles. Tatizo la Kondoo ni Elimu tu...huu ni uhuni.
0744599773 nataka kuwa nabii Kama shillah nitafute plz kwene hiyo namba nahitajii
Kuna wagonjwa wengi mahospitalini aende akawaponye
sio wagonjwa wote wana imani
AUBAMEYANG HIGHLIGHTS Wataponywa walio tayari.
Hakuna mtu asiekuwa na imani ya kutaka kupoa.. Unafkiri watu wanataka kulala hospital na hela ilivyokuwa ngumu.. Kila mtu anataka uzima afanye mambo yake
YESU HAKUWAHI KWENDA HOSPITAL WALIMFUATA,WAGANGA WANAWAFUATAGA HOSPTAL?ACHA UNAFIKI,GOD HAS NO BOUNDARY
waganga na wasoma nyota wenu wanawafuataga kwa hospital,tahira ww
Kwa nini huwa mnapenda kujiita nabii.? Ni kwa lipi kwanza unalo tabiri ambalo halijawahi tabiriwa?
sio kwa kirus kinakuwa.hakijakushika vizuri
Muogope anaekupa pumzi ila kwa ss endelea kutdanganya mungu anakuona
Dogo ameplan bishara nzuri sana
kaplani na wewe
dogo mjanja sana ukimbana anakimbilia andiko. mungo sana huyo mpgaji tu
wadanganye haohao wakristo
Huyo siyo mkristo cc, si kila anayemtaja Yesu ni Mkristo kumbuka hata mpinga Kristo huzuga kumkiri Kristo huku akipindisha mafundisho ya kweli ya Kristo. So awadanganye tu makristo wenzake wa uongo maana imeandikwa katika Mathayo 24:24 "Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu WAPATE KUWAPOTEZA, KAMA YAMKINI, HATA WALIO WATEULE" MIMI BINAFSI SIAMINI KATIKA HUYO JAMAA. AMEN
ata akikosea haimaanisi sio nabii
Mungu akuzidishie nabii
Ubinadamu upo pia
Duuuh
Jibu swali una baba wa kuroho ???
Huyo mwongo bn hakuna nabii jamn kwa dunia hii ya leo watu wanatafuta umaaruf tu ok aende bs mochwar akafufue wote waliokufa ,,,hiv mnamchezea mung achen kiki bn
unabii ni gift ,soma Bible ,siyo vitabu vingine
Ngoja ukukwae huo ukimwi halafu ujipone mwenyeo
Like
Muogope mung wewe mng ajalibiwi wewe si nabii
Sasa unakutana na bushir unajisifu? Bushir anazuga,hata muuza karanga tu anajua, he is buying people to give false testimony.
Ukiwakatisha dawa wagonjwa wewe utakua ni muuji, hivyo basi kula pesa za wagonjwa ila usiwakatishe dawa tafadhali.
Thubutu,Utume??
Ahaahah me kanimalizaga huyu kijana Kiki ya nguvu.. Nenda muhimbili na Amana uponye watu wanaimani wanataka kupoa
Huyu ni tapeli tuu hakuna nabii mswahili... acheni usanii njaa mbaya
mpeleke mgonjwa wako,acha kubisha,kamjaribu acha kuhukumu
nilisoma nae huyo bagamoyo kwa kipingu
Huyu dada anauliza kwa panic anatamani kumpiga
Si anaona anazingua live, sijajua kama "nabii" anajisoma
Mzee hao ulioonana nao ni manabii wa uongoo nawewe inakuhusu hiyo utakuwa muongo
Safi
hahahahahahaah eti unabii hautestiwi. ndo anatafuta pa kupenyea hapo. Manabii wooote walifanya miujiza tena wengine kwa kupimwa mbele za watu ili kuthibitisha.
Anaye fanya unabii ili kuthibitisha mbele za watu mbali na utukufu wa Mungu ndie Muongo
Mfano mimi ni nabii wa Mungu , nakutana na vijana tu njiani waniambie wewe kama ni nabii badilisha hizi karatasi kua hela halafu nabadilisha kitendo hicho itakuwa kwa utukufu wa Nani?
Raymond Joas Mitume woote walifanya miujiza mbele ya watu kuthibitisha utume wao na kuwajenga imani waumini na wao kumiamini Mtume huyo.
Tangu zama zoote kuanzia Nuhu, Lot, Isaka, Yakobo, Yusuf, Musa, Yesu na hata Muhammad. Woote hawa walifanya miujiza on the spot ili kupata watu na kuakiniwa. Yeye anaambiwa alete muujiza mmoja tu anaanza kuleta longolongo tu
Yahya Sinongo
Jibu la BIBLIA
Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.-Matendo 3:18.
Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu?
Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake:
Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.-Kutoka 31:18.
Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”-Kutoka 34:27. *
Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:28-36;Ufunuo 1:10-17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.-Danieli 7:1; Matendo 16:9, 10.
Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.-2 Samweli 23:1, 2.
Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao?
Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20.
Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri
Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.-Waamuzi 6:6-10.
Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.-Yohana 4:17-19.
Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.-Luka 22:63, 64.
Wagonjwa fake ao wanaopona kama kashindwa mzungu ww tulia
Jamaa muongo
pambana na hali yako tafuta kazi ufanye au rudi shule ukasome
Hapo kwenye ongeza sifuri moja hata sikubariani kabisa 😂😂😂😂😂
Huyu Nabii ni Form Six graduate ndugu!
na hao Mungu anaowasaidia na kuwaponya utawasaidia ww,na hao wanaokoka kupitia hyu itamlipa Mungu Roho zake ,potea mwenyewe
Kama we.ninabii wakweli mungu akujalie nakama ww niwa uhongo utajuwana na mungu wako