DAKTARI AFUNGUKA/MATUMIZI YA PILI KABLA YA TENDO LA NDOA/ WANAWAKE WAPAKE MKAA USONI SIO 'MAKE UP'
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
ndio mana cnaga urafiki na make up akuuuu..sura yang original😘😘😘😘
Kutoka USA, uyu doctor , mtu mwema sana, mungu ampe umri mrefu na baraka, nasaha zake, sio rahisi ku Pata hata ukienda hospital kupata huduma za afya. 12:40
🎉🎉Asante
kumbe bia chungu sasa kwann watu wanapenda kunywa aiseee hii ni hatar
mmmmmh me kubwa zima hovyo naogopa pilipili tena cwez kabisa kula hiyo kitu
😂
Asalam alaykum naomba kuul8za kuhusu mkaa kutoa sumu mwilini unakunywa ama vp unafanya vipi na unatumia vp
Yani uyu jamaa ukisoma kichwa cha habari bila kufuatia ndani unaweza sema mchz kayumba
Mna uhakika huyu ni daktari?