EXLUSIVE NA DAKTARI ANAYETREND "USILE KWA KIJIKO UTAPATA KITAMBI,NITAISHI MIAKA 120"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 305

  • @acrestv3377
    @acrestv3377 10 месяцев назад +7

    Hongera mnoo Daktari. Binafsi nakupongeza. Endelea kuelimisha umma wa Wa Afrika. Kazi yako ni njema mnoo

  • @kharisbendera1406
    @kharisbendera1406 10 месяцев назад +10

    Daaaah! Huyu jamaa leo amenifungua akili😂😂 huyo c docta tu bali n professor wa tiba yuko sahii 100$ tanks docta

  • @kessyjonastv1803
    @kessyjonastv1803 4 месяца назад +5

    HIZI TAFITI ZOTE ZILISHAFANYWAGA KITAMBO SANA NA ALFRED BOWMAN MAARUFU KAMA DOCTOR SEBI AMBAYE ALIULIWA NA WAZUNGU.

    • @lucykristensen7145
      @lucykristensen7145 3 месяца назад

      @kessyjonastv1803
      Dr. Sebi alikuwa na akili timamu msomi pia. Alifanya utafiti mahabarani. Huyu kijana nadhabi hayuko Sawa. Anaokoto vitu youtube hapa na pale. Sio kila kitu kilicho kwenye RUclips ni sahihi. Upuuzi kumsikiliza.😢

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 Месяц назад

      Daaah walahi hujakosea

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 10 месяцев назад +3

    Umetisha docta unaakili sana wee safi sana mtafiti mzuri yani ww akili yako inachaji sana akili hiz ndo zinatakiwa ili kuikomboa africa

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 10 месяцев назад +6

    Ndio Mana Uwaga Nawaza Vitambi Mpaka Kwa Maasikali Vimejaa Vitambi Lakini Ukiwaza Waliopigana Vita Ya Uganda Walikua Awana Vitambi Bali Walikua Wembamba Na Wenye Nguvu Sikuizi Mfano Waongoza Magali Balabalani Unakuta Asikari Kitambi Icho Mpaka Vifungo Vimevimba Avitaki Kukaa Unawaza Ataenda Vitani Kweli Mana Ni Sehemu Ya Asikari Wote Kweli Watu Wanaona Vema Sana Kutembelea Matako Na Kazini Wanakaa2 Maneno Yako Yako Sawa Isipokuwa Watanzania Wengi Wanapenda Habari Za Akina Mwijaku Na Kina Levo Habari Ambazo Kiumsingi Azina Faida Kamwe Mpaka Kwa Mungu Mme Kumsuta Mme Kwao2 Ndio Habari Za Msingi Kuliko Hi Habari

  • @zaharanakim289
    @zaharanakim289 10 месяцев назад +2

    Bange sio nzuri

  • @agreykombe5396
    @agreykombe5396 10 месяцев назад +3

    Nimemuelewa vizuri

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 10 месяцев назад +3

    Mm namwielewa sana Yuko vizuri shida ya watanzania sio waelewa

  • @machumupro
    @machumupro 10 месяцев назад +2

    Dr umetisha sana

  • @Daniel_89_89
    @Daniel_89_89 10 месяцев назад +3

    Kuna mengi ya kumuuliza dokta😊... anyway tumuache na utafiti wake wa Congo

  • @bilid4128
    @bilid4128 10 месяцев назад +12

    Jamaa anajua kupanga vizuri hoja zake ,unaelewa huku ukijua ni uwongo 😅😅

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 10 месяцев назад +2

    Docta safi sanaaa wanaoumwa umwa washtakieeee wajibu kwa nn 😂

  • @stupendous1
    @stupendous1 10 месяцев назад +3

    Kuhusu wanyama kula usiku hapo sio kweli maana all animals have circadian rhythm. Kuna wanyama wako active usiku ambao nocturnal animals kama kiboko,kalunguyeye hawa wanakula usiku na diurnal animals ambao wako active mchana hawa wanakula mchana na kulala usiku kama binadamu. Halafu huyu daktari amesoma wapi na mbona hata kwenye database ya madaktari Tanzania hayupo. Msiwachanganye watanzania bwanaa. Tunataka leseni yake kabla hajatoa tafuti zake za uongo😂😂

    • @AbuuUnais
      @AbuuUnais 10 месяцев назад

      Kama nimekuelewa vile anatupeleka chaka vile

    • @machozukumuda6596
      @machozukumuda6596 3 месяца назад

      Amesema wananyama wanakula mida ya mchana hawali baada ya jua kuzama...
      Nocturnal animals hawali baada ya jua kuchomoza.
      Ndio point yake.
      Kuhusu elimu yake bado sijajua ila anachoongea kuna kweli ndani yake...

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 10 месяцев назад +2

    Embu tuwasikilize madaktari wengine wanasemaje juu ya kula kwa kijiko. Ili tujue hii ikoje 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OswadiGumahamwe-sy6xb
    @OswadiGumahamwe-sy6xb 5 месяцев назад +1

    Sema anajua kutufunga kambaa

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 10 месяцев назад +3

    Mimi nimemuelewa kabisa yupo sahii❤❤

    • @abuuda4754
      @abuuda4754 10 месяцев назад

      Sasa dar tule nn?!

  • @HhPpp-id7me
    @HhPpp-id7me 16 дней назад

    Nakukubali kaka

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 10 месяцев назад +7

    Bila Mungu yote ni bure cha msingi tuzidi kumwomba Mungu atuepushe na magonjwa.

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe 10 месяцев назад +1

      Amen, kabisaaaa

    • @edinamwinuka-tg3ws
      @edinamwinuka-tg3ws 10 месяцев назад +1

      Amen,uko sahihi Kwa sababu kusema kwamba yupo binadamu wa kufuata masharti yote ya afya sidhani.Munhu ahusike mwenyewe tu

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 10 месяцев назад

      Hapo kwenye kujipangia mda wa kuishi na wagonjwa kukamatwa waulizwe kwanin wanaumwa ndo nimechoka kabisa😢😢😢 any way tushushie na mziki wa bwana misosi nitoke vp nadhani tunaelewanaa​@@edinamwinuka-tg3ws

    • @trillionthamani
      @trillionthamani 10 месяцев назад +2

      Wachina ndo wanaafya nzuri na wanafata masharti mengi na ni sawa tu na wapagani.Mungu anaombwa huku ukichukua hatua,acheni kuwa walevi wakidini

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 10 месяцев назад +1

      ule ovyo halafu uombe mungu usipate magonjwa utakuwa ni ufinyu wa mawazo hata vitabu vya dini vimeandika tufunge ili tupate afya

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 месяцев назад +2

    kweli dr ndiomaana tunakufa ghafla siku hizi

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 10 месяцев назад +2

    Huenda huyu jamaa ni daktari kweli ila baada ya kukaa mda mrefu bila ajira akapata kichaa . Huyu ni chizi fresh kwa lugha nyingine 😮

  • @walimwengutv
    @walimwengutv 10 месяцев назад +5

    Huyu Atakuja kuwa msaada mkubwa sana Afrika hifadhi haya maneno

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 10 месяцев назад +3

    Daah..ntaanza kung'atwa na nyuki angalau wawili kwa mwezi.

    • @lwakainaza
      @lwakainaza 10 месяцев назад

      Unapenda sana ngono.

  • @billgatejuniour8797
    @billgatejuniour8797 10 месяцев назад +5

    Afya ya daktari sasa😂😂😂

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 10 месяцев назад +4

    Ngoja nirudie rudie kusoma coment 😊

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 10 месяцев назад +2

    😂😂😂😂 Dadeq kwahyo mbona Dar karibia Asilimia kubwa vyakula vinatoka mkoani

  • @recenttechnologiestanzania2703
    @recenttechnologiestanzania2703 10 месяцев назад +2

    Nimemwelewa huyu mhaya waache wengine wakupinge mi sikupingi sisi waswahili tunatabia ya kuwaabudu wazungu wa kwetu tunawakataa

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 10 месяцев назад +9

    0:31 ni uongo, kwba wanyama porini jua likizama hawali chakula,
    Kuna aina ya simba (wafupi) wao wanawinda na kula usiku tu, mchana wanalala. Tafuta utalii wa usiku ujue mambo, usitoe mifano ambayo haujui kwa undani

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 10 месяцев назад +1

      Sio simba tu hata viboko wanatoka usiku kula majani na mimea mingine useme huyu daktari ametumia akili kuleta hiyo mada ili ajulikane.

    • @Worldunite
      @Worldunite 10 месяцев назад +1

      Ndugu, huyu dokta hajaishi porini

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 10 месяцев назад

      Fisi nao wanakula usiku...huyu jamaa katufunga kamba😂😂

    • @issakisalu9237
      @issakisalu9237 10 месяцев назад

      Maana yake mchana hawali kwa hiyo mfumo wao hauna shida, inaonekana hamjui kwa nini tusile, ungepata ufafanuzi wa hapo, ndo mngeelewa

    • @JamesKahamba
      @JamesKahamba 10 месяцев назад +1

      Mbwa paka wote pia wanakula usiku

  • @hamadimziraymziray-ry4vi
    @hamadimziraymziray-ry4vi 10 месяцев назад +3

    Kweli doct upo sahihi 🤝🤝🤝

  • @bilid4128
    @bilid4128 10 месяцев назад +5

    Hapo kwenye kung'atwa na nyuki mara nne kwa mwezi huongeza nguvu za kiume 😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @josephelisha8413
    @josephelisha8413 10 месяцев назад +3

    Watu wa Dom 😺😺😺😺

  • @richardsaston3285
    @richardsaston3285 10 месяцев назад +2

    Jamaa anasema wanaoumwa mara kwa mara wakamatwe wahojiwe!

  • @absm8084
    @absm8084 10 месяцев назад +3

    Professor Jenab na Dr huyu naona mnaelekea kubaya yaani usiku uspokula usingizi hauji hapo si unaugua zaidi kama pressure na mengine

    • @marcokanyama4533
      @marcokanyama4533 10 месяцев назад

      Huyu jamaa chizi kweli
      Hapo alipo anakunywa maji ya kemikali means Artificial
      Sasa logic yake sijamwelewa ni tapeli tu

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc 10 месяцев назад +3

    Dr huna baya

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 10 месяцев назад +2

    Huyu si mtanzania halisi kweli? Huyu janabi ajamwana anakunywa kunywa majibu bila kufuata kanuni

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 10 месяцев назад +1

    We muongo, simba, viboko, hata baadhi ya swala wanakula usiku na wanyama wengi wanaoitwa nocturnal ambao huwa active usiku pekee. Kula kwa kijiko na kitambi wapi na wapi. Unafiki mwingine, utakuka hili linaangiza senene na ndizi kutoka bukoba pamoja na kuishi Dar. Huyu ni mganganjaa sawa na watabiri uchwara wanaojifanya wanatenda miujiza. Huyu ni mganga njaa kama wengine. Hawa huwa nawaita madoktari yaani watu wanaojipachika udaktari wakati hawana lolote la maana. Ni ujinga na njaa vinamsumbua wala hamkupaswa hata kumpa chati na kupata kiki. Kuna uwezekano wa matatizo ya kiakili kama siyo ujinga kupita kiasi. Mie naishi Manitoba Kanada, nilikuta hawalimi bamia nikalima sasa hapa unasemaje? Daktari mwenyewe hata Kiswahli hajui. Mwisho atasema kuwa usitumia mashine zilizozalishwa kwenye nchi nyingine. Kumbe anatafuta kula kwa kujifanya anataka kuwezeshwa. Utawezeshwa nini wakati uliamua mwenyewe? Kumbe jitu lenyewe hovyo linaficha lilikosomea wala lilichosomea. Huyu ni tapeli na mkifuatilia zaidi mtakuta ni criminal wa kawaida. Jibu swali umesomea wapi na nini na historia yako. Milard Ayo umejidhalilisha sana kutuletea huu utopolo. Umeishiwa nini? Nimetokea kuwa shabiki wako lakini kwa hii umeniudhi na kunikatisha tamaa sana sana.

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we 10 месяцев назад +2

    Janabi Jr😅😅 huu mwaka tutasikia mengi wallah

  • @Frayjmusic
    @Frayjmusic 10 месяцев назад +1

    Dr heeeee

  • @bwirenyamaka
    @bwirenyamaka 10 месяцев назад +1

    Huyo ni Mhaya atumshangai, namshangaa anasema watu wasile vyakula visivyoliwa Mkoani DSM . Anasema wanyamapori hawali usiku huo ni uongo , nashauri afanye utafiti kwanza , 50 % ya maneno siyo kweli.

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 10 месяцев назад +1

    Mengine kweli Mengine mmmmhhh!😂 😂😂 hapo kwenye nyuki sasa , wewe umeng'atwa mara ngapi

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 10 месяцев назад +11

    From today jua likizama no kula 😮 watz mjifunze kuelewa vitu mnapinga mpk vitu vya muhimu huwa mnamuelewa baba levo na mwijaku ila kukubaliana na mtu anaywasaidia afya zenu mnagoma🙂amesema kula usiku n hatar kwa afya yako mnasema mtu ana kichaa 🙌🙌🙌 et janabi sura imepaukaa nyie mnaangalia sura au mnafata anayoongea?

    • @priscakwannhamfungimipakam9231
      @priscakwannhamfungimipakam9231 10 месяцев назад +1

      Hii ni kweli

    • @ramadhanishabani807
      @ramadhanishabani807 10 месяцев назад

      Huyu jamaa nimemuelewa kwn ht mwil wake unaendana naanachosema ila janabi amekaa kama mzimu, yani janabi anasisitiza wale mlo mmoja anataka watu wapate kansa ya utumbo, janabi altakiwa awabie watu wafanye mazoez sio kuwabia wasile

    • @prideofafrica255
      @prideofafrica255 10 месяцев назад

      Akili za waafrika ndo zilivyo

    • @samsonkingdom-xc8cg
      @samsonkingdom-xc8cg 10 месяцев назад +2

      Ingekua kweli mbeya tungekua na vitambi 90%

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 месяцев назад

      @@samsonkingdom-xc8cg kwa kweli

  • @sultanhamad4924
    @sultanhamad4924 10 месяцев назад +1

    Ndiomana kiboko anatumbo kubwa kumbe nikwasababu anakula usiku 😄

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 10 месяцев назад +1

    Kasema yeye anaishi hayo Maisha anazingua hapo hapo anakunywa maji ya kiwandani 😂😂😂😂

    • @ezam255
      @ezam255 10 месяцев назад

      😅😅😂

  • @YusuphShabani-wk5bv
    @YusuphShabani-wk5bv 2 месяца назад

    kipengele chanyuk nimekielewa sana asnte

  • @robinsongodwin9710
    @robinsongodwin9710 10 месяцев назад +9

    Apo kweny kung'atwa na nyuki ndo nimeelewa zaid😂

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 10 месяцев назад +2

    Mhaya huyu hatari alituliaje akaelewa hayo Mungu Ana mambo

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 10 месяцев назад +2

    Mengine kweli mengine fiksi

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 10 месяцев назад +1

    Ukichelewa kulala utapata ugonjwa wa figo kufeli.😂

  • @kazumbelive1987
    @kazumbelive1987 10 месяцев назад +2

    vip wale wanao fanya kazi usiku

  • @EchitalApril
    @EchitalApril 10 месяцев назад +3

    Kula chakula taratibu it's true

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 10 месяцев назад +2

    Aya watu wafate nyuki hko misituni🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @David-p9c1e
    @David-p9c1e 10 месяцев назад +2

    Huyu msela anajua😂😂

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 10 месяцев назад +2

    Amejitahidi kuelezea😂😂😂😂😂😂😂

  • @Dipeson700
    @Dipeson700 10 месяцев назад +2

    Anyway, apa tumepigwa😂😂😂

  • @AboubakaryBakary-ff4fr
    @AboubakaryBakary-ff4fr 10 месяцев назад +2

    Daaaa Hawa madoctor Sasa duuuu ipo siku watatuambia tusile chakula kilichopikwa kwenye sufuria😅😅😅😅

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 10 месяцев назад +2

    *Kuna baadhi ya points ni muhimu hapo mfano kuacha kula chakula ucku, kutembea tembea kwa miguu na mpangilio wa vyakula. Ila mengine mengine mengi tu ni uongo wa dunia*

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 10 месяцев назад +8

    Hayo ni mafundisho ya bwana mtume Muhammad chakula kinaanza kumeng'enywa kuanzia mkononi

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 10 месяцев назад

      Acha kujidanganya,,,Elimu hizo zipo kabla ya bwana Muhammad hajazaliwa.

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 10 месяцев назад

      @@jamesmzaki6041 me cjakataa lakn manabii ndio walipewa elim hizo ili kutufundisha sisi

    • @salminwamu2297
      @salminwamu2297 3 месяца назад

      Mbona hukusema sasa,tulia​@@jamesmzaki6041

  • @leonardmanawa952
    @leonardmanawa952 10 месяцев назад +1

    jamaaa ana vitu

  • @NchamaLude
    @NchamaLude 10 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂 wanaoumwa wakamatwe wahojiwe, nimekuelewa kwenye mazoez na kutokula jua likizama hapo uko sahihi kabsa, zidi kutoa elimu tukuelewe zaidi.

  • @BertinaCharlie
    @BertinaCharlie 10 месяцев назад

    Haya sawa tuambie wewe hapo ulipo sasaivi hayo maji unayokunywa hapo sasaivi yenye nembo ya Afya hayatoki kiwandani?na tokea ulipotoka Muleba ndani ndani uko Katelelo uko ulivyofika Dar unakula vyakula gan maana Dar hatuna mashamba tunategemea mikoani naomba jibu Doctor😂😂

  • @nuruyakowewe
    @nuruyakowewe 10 месяцев назад +3

    Yuko Sahihi ila Kama Una IQ Ndogo huwezi kumuelewa

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io 10 месяцев назад +2

    DAA HUYU JAMAA NI ZAIDI YA PROFESA,

  • @swaleherashidimayunga4891
    @swaleherashidimayunga4891 10 месяцев назад +2

    Dr kwa hili la kusema wanyama hawali usiku sio kweli jaribu kwenda kwenye zizi la ng'ombe kwanza utawakuta wanatafuna na ukiwatoa katika zizi huo usiku uwaache watawanyike utawaona wanakula chakula kipya na ukiwaacha watakula mpaka asubuhi

    • @mj.tv.forpeople992
      @mj.tv.forpeople992 10 месяцев назад

      Nisawa hata wewe ukila saa 12 kitameny'enywa hadi saa 6 usiku

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 10 месяцев назад

    fact kbs😊

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 10 месяцев назад +5

    Alivoanza tu nikajuwa huyu mwamba kaja na mbinu ya kuzuia mfumko wa bei😂

  • @herijaphet
    @herijaphet 2 месяца назад

    Mwamba taja elimu ili wanaoelewa kwa sifa za msemaji iwe rahisi mn maneno ni mtaji rahisi.
    Taja kiwango cha elimu.
    Umesema ukila unachat chakula hakitafuniki. Lkn ukumbuke anaekula na shughuli nyng hali sana mana huzongwa na shughuli.
    MAELEZO YAKO KWANGU NAONA YAMEKAA KISIASA. YANI KUBADILI NYEKUNDU KUWA NJANO KWA HOJA.
    YANI UWELI SIYO FACT BALI MAZINGIRA

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 10 месяцев назад +2

    Nshomire huyo, apingwi

  • @DeboraPeter-tv4dh
    @DeboraPeter-tv4dh 10 месяцев назад +1

    Nimejikuta nacheka kuruka kichura nyaweza

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 10 месяцев назад +4

    Haja changanyikiwa yupo sahihi jambo kama hulijui fanya tafiti

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 10 месяцев назад

    Oya doctor hizo ndevu nyoa tu bro😂😂😂😂😂

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 10 месяцев назад

    Wazaz wako wamepoteza Ada bule kumbe wew kichwan kwako kadashian

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 10 месяцев назад +1

    Tanzania gani hii jitu linaporoja poroja tu linaachiwa tu lisifungwe jela kumaamaeee kwnza iyo kula tu halijui kutamka eti kura kura ndo nini kusema kula linashindwa eti kura kumaamaeee

  • @arafawilliam2142
    @arafawilliam2142 10 месяцев назад +1

    Muongo kuwa hakuna mnyama anayekula usiku?Mnyama Kiboko anatoka usiku nchi kavu kula nyasi kuanzia saa 12 jioni hadi alfajiri

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 10 месяцев назад +2

    Kwn cc wengne kwa siku tunatembea mikoa mi3

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 10 месяцев назад

    Dokta Una tatizo la afya ya akili. Wazungu wanategemea vyakula kutoka africa na wanaishi miaka zaidi ya 120, na wazanzibari asilimia 90 wanategemea vyakula kutoka nje ya zanzibar Sasa tukueleweje Dokta,
    Au ndo jua limeshazama😅😅

  • @CosmoMgaya
    @CosmoMgaya 10 месяцев назад +2

    Pana.chakujifunza.hapaa

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 10 месяцев назад

    Sasa unamfananisha mnyama na mwanadamu jamani Mungu alitushindwa sababu ya mavumbuzi meengi wewe Ni muongo mbona Oman wanakula Mchele WA India ina maana India na mm hapa sijajua Nina miaka sita sasa wewe Ni muongo mengine ya kibidamu mazoezi Ni kutembela kilometa Tano Kila siku kama Hayati Mzee wetu Mzee mwingi

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 10 месяцев назад +1

    Upo sawa mkuu

  • @avituskatunzi1180
    @avituskatunzi1180 10 месяцев назад

    Mmmmh doctor tushushe ehhhhh😂😂

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 10 месяцев назад +1

    Mhhhh ye anakula nini dar

  • @Man-w4o
    @Man-w4o 10 месяцев назад

    Nngombe anakula usiku.mm nashkuru umenikumbusha niache kutumia kijiko😮

  • @emmanuelndanu8424
    @emmanuelndanu8424 10 месяцев назад +2

    😂😅Ameshakwepa swali la Elimu aliyo nayo. Kweli huyu doctor ni noma😅😂

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom 10 месяцев назад

    Sasa dar Kuna mashamba kumbe na hamsemi😂😂😂😂😂

  • @eliyapeter8679
    @eliyapeter8679 10 месяцев назад

    Mmmh continue

  • @mvullamanase
    @mvullamanase 10 месяцев назад

    Panya anakula Usiku kucha, Kiboko Nk.

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 10 месяцев назад

    Sawaaaa. Kwa sauti ya kihaya😂😂😂😂😂

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 10 месяцев назад

    Huyu naye kasoma wapi kweli! Unaaibisha wahaya wenzako... hivi kweli unataka kutrend kwa ujinga wako!! Pumba tupu...eti wanyama hawali usiku!!! Somaaaa baba usijidanganye

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 10 месяцев назад +1

    Ila doct mengine tuache

  • @kazumbelive1987
    @kazumbelive1987 10 месяцев назад

    njaa mbaya sana

  • @Andrewbendera
    @Andrewbendera 10 месяцев назад

    Congo 🫢

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 месяца назад

    Yaaani watu wanaoumwa mala kwa mala wakamatwe🤣🤣🤣

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 10 месяцев назад

    Ni kweli kabisa angalia wazungu na waarabu, wazungu wengi wana vitambi,kwa kuwa wanakula na vijiko, tofauti na waarabu

  • @ErickLaurean-ey7zy
    @ErickLaurean-ey7zy 10 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂Gere "'wagonjwa wakamatwe waojiwe kwann wanaumwa?""

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ramxonforex772
    @ramxonforex772 10 месяцев назад

    basi inabidi nianze kutumia supu ya samaki na mchuzi wa pweza kutoka feli... ndo kitu pekee na kijua kinachopatikana dar

  • @HerbertFrancis-tr8gh
    @HerbertFrancis-tr8gh 10 месяцев назад

    Mda mwngine madokta myatafakari maneno yenu kwanza, sisi tuonaishi dar kiliwe chakula gani tule rami au mchicha wa sipenko😢

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 10 месяцев назад

      Samaki,,Nazi,,Mchicha na matunda mengine kama Zaituni,miembe,matikiti n k

  • @drbinagi
    @drbinagi 10 месяцев назад

    Mambo aliyoyasema huyu bwana yamegawanyika katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni taarifa ya umma yaani general knowledge ambayo inapatikana katika mitandao mtu yeyote akiamua kusoma na yeye atayajua. Kundi la pili la maneno yake ni maneno yanayokosa uthibitisho, yaani unaweza kusema ni ya uongo au kughushi. Na ndio maana hajataja hata utafiti mmoja. No research no right to speak.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 10 месяцев назад

    Nimependa

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 10 месяцев назад +1

    Hajasoma huyu kanjanja

  • @NuruJara
    @NuruJara 10 месяцев назад

    Wee nyuki mm jana wameningata town Karibu bitokwe na wazimu aaah wacha mchezo 😂 although nimependa mafudzo yako

  • @selemanichambo2944
    @selemanichambo2944 10 месяцев назад +1

    Nakubaliana nawewe mengi katika haya alifundisha mtume Muhammad SAW ispokuwa hiyo ya kula vyakula vya mkoa wako na kungatwa na nyuki

    • @agreykombe5396
      @agreykombe5396 10 месяцев назад

      Kaka baadhi ya vyakula nikweli kabisa sio vizuri kama mihogo sehemu za baridi

    • @selemanichambo2944
      @selemanichambo2944 10 месяцев назад

      ​​@@agreykombe5396sawa sikujua hilo

    • @keflenmadaraka1339
      @keflenmadaraka1339 10 месяцев назад

      Kungatwa na nyuki hiyo ni kweli najua miaka kumiilopita

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 10 месяцев назад

    Hapo kwenye nyuki nimekuelewa ugonjwa wakupooza unatibika kwakung'atwa na nyuki