HOTUBA YA MKUU WA MKOA ARUSHA PAUL MAKONDA AHAIDI MAZITO KUFANYIKA ARUSHA USIKU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 30

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 Месяц назад +4

    Mwanainchi, mzalendo..❤

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Месяц назад +1

    Makonda ww ni mwamba aisee. Safi sana. Umezungumza vizuri sana. Akili nyingi sana.

  • @josephseni6023
    @josephseni6023 Месяц назад +5

    Hongera sana Mheshimiwa Makonda

  • @geey7893
    @geey7893 Месяц назад +3

    saaaafiiii umeanza kukomaa katika speech jembe langu. good

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤Mungu akulinde MAKONDA

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah Месяц назад +8

    Makonda ndie anae tuliwaza baada ya kifo cha jembe magufuli, huyu ndie fotocopy ya magufuli wengine ni mikumbo2

  • @wemakyagunya1895
    @wemakyagunya1895 Месяц назад +1

    Safi Sana Mkuu wa Mkoa wa Arusha una ubunifu Sana wa mambo makubwa kwa maslahi mapana ya Nchi.
    Endelea hivyo hivyo Kuna siku inakuja utapanda ngazi ya juu zaidi. Mungu akulinde kwa kila hatua uipigayo.

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Месяц назад +4

    MAKONDA KICHWA SANA WEWE KINAFANYA KAZI USIKU NA MCHANA ASANTE

  • @JumaMambo-dp6bj
    @JumaMambo-dp6bj Месяц назад +6

    Huyu mwana ni hazina kubwa kataifa

  • @JanethMathayo-ys3km
    @JanethMathayo-ys3km Месяц назад +1

    Uko vizuri♥

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 Месяц назад

    Good gentle man makonda ❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤makonda mwanangu.piga kazi

  • @jeremiahbhulituma855
    @jeremiahbhulituma855 Месяц назад

    Saaafi, amepewa kazi anayestahili

  • @EdgarLema-ov6sx
    @EdgarLema-ov6sx Месяц назад +1

    Kazi kweli kweli

  • @AdrianoStephen
    @AdrianoStephen Месяц назад

    Iringa karibu nakukubariii sanaaaaa my president next

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Месяц назад

    Narudia tena mh Makonda, naiona kesho yako ni njema zaida. Mwenyezi MUNGU akupe afya na akujalie uzima kaka.

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 Месяц назад

    Hongera sana comrade

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Месяц назад

    Bravo Makonda matumaini ya Arusha yanaonekana yanakuja

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад +1

    Safi sana Mh Makonda jembe la mtu mmoja 🎉🎉

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 Месяц назад +1

    Jembe

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf Месяц назад +2

    Naona mkuu wameanza kucheka

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi Месяц назад

      Siyo wanafyata mkia,hizi ni protokali za utumishi,kiutendaji.

  • @user-nd1le6zp3e
    @user-nd1le6zp3e Месяц назад +2

    Kiongozi Bora Tanzania ni makonda

  • @mariahmollel1258
    @mariahmollel1258 Месяц назад

    Makonda oyee

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 Месяц назад

    Huyu makonda akithubutu kuhamia upinzani akagombania urais kweli ccm chama changu ndo mwisho wake.

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf Месяц назад

    Ccm ntakuja kuipigia kura siku makonda anagombea urais mwingine simwoni bora wapinzani

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 Месяц назад

    Wazee na vijana wananyakuana

  • @elifasiscawa5698
    @elifasiscawa5698 Месяц назад

    Jembe letu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 Месяц назад

    KAMANDA MKAKAMAVU MBONA HUJAZUNGUMZIA STENDI ? JIJI HALINA STENDI MKUU WETU MKAKAMAVU...
    MBUNGE GAMBO AMEHANGAIKA SANA KUHUSU STENDI LAKINI KAKWAMA MPIGE TAFU BABA

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Месяц назад

    Mh. Makonda ni wew uliyebakia tunakutegemea .Tunakuombea kwa MUNGU TUNATAMANI UENDELEE KUISHI MIAKA 120 ILI UENDELEE KUWATUMIIKIA WANANCHI KWA UZALENDO .Unajitoa mhanga na MUNGU ATAKULINDA RAIS WETU MTARAJIWA. MAKONDA HOYEEEEEEEEEEEEE!