Mr Makuliro na mh Challamila hongereni sana kwa kufanikisha hii interview kwani mmetufunza mengi sana katika muda mfupi na ni matumaini yangu mr Makuliro atazidi kutuandalia mahojiano na viongozi wanaojitambua ili jeneresheni mpya iweze kujifunza na kuboresha maisha yao kwa weledi.
Hongeren snaa kumbe mtoka mbali sana mungu awabarik sana kwa upendo wenu piga kaz chalamila mungu akuongoze mkuu wa mkoa wangu dsm changamoto zipo baba seem yeyote ya kutafuta ugali Kuna mengi nimejifunza hapa shukran Sana Mr EBM
Engineer umenikumbusha mbali sana ukiwa na muheshimiwa Chalamila, enzi hizo wataalam wa kufanya asignment za Political Science tulikuwa tunaitana ma engineer
Huwa napenda kumsikiliza sana Chalamila He talks logic ally. Hata uso wake unaonesha hivyo. Alisema Kagera huku watu ni wavivu Akashambuliwa ILA ILIKUWA KWELI. Ana mawazo mengi mazuri sana alafu pia katika uzungumzaji ni artist.Unaweza kucheka mpka basi
yawezekana ulishatafuta fursa ukaamua kukata tamaaa ndgu ni wivu unakusumbua kaka kla m2 akule kwa urefu wa kamba yake na as always human beings 2meumbwa kwa utofaut na mapungufu baina ye2 so kla m2 ako na v2 avpendavyo na asivyopenda so we kama umeamua kubaki bongo its well and good m2 akiamua kwenda marekan anywhere sio dhambi wala so bro ningependa ubadrike ayo so maisha ni ushaur wa bure tu naweza nkakupatia maana najua ata nikitukana ni kazi bure but kukupatia elimu tu ni ki2 important nimeona hauko nayo mungu azidi kukubariki ndgu😢
@@christiangideon8663Mkuu wa mkoa yupo juu tena mkoa wenyewe wa dar es salaam, unatengeneza mabillion ya pesa kwa siku, ila kikubwa ni kwamba hao wote wamejitafuta na tayar wamejipata sio lazima wote wafanane au wawe wakuu wa Mikoa, Naamin huyo EBM safar yake Moja ya kutoka Us kuja Tanzania inagharimu si chini ya mill 5, ambayo ni pesa nyingi so ni kwamba yupo vizur, ana maisha yake US, nyumba yake lakin pia ni Veteran wa jesh la Us na pia kasoma, so simuoni mwenye njaa hapo wote wako vizur ingawa vipato vinaweza kutofautiana kutokana na mazingir wanayoishi, so sidhan kama EBM anajuta kuwa Marekani au Chalamila anajuta kuwa Tanzania, kila mtu kafanikiwa kule aliko.
Maisha ni mipango yako na malengo yako mwenyewe. Sio kila mtu atakuwa na same dreams. Mfano Mimi hata unipe ukuu wa mkoa, au ubunge sitaki sababu sio dream life yangu. Kuna mwingine yeye ni biashara mwingine yeye ni kilimo tu nk. Mafanikio ni kutimiza ndoto zako si kutimiza expectations za watu wengine.
@@EBMSCHOLARS thats true brother mm nimeshafikia hatua yaan ata unipe urais wa TZ au ukuu wa majeshi still bdo ntakataaa coz sio mipango na dream yangu so bnadam tunatofautiana haijalishi unapata pesa kias gani but je moyo wako upo katika peace of mind yaan sehem uliopo kwa sasa ndy uliokua umepanga au what next after there?!...keep pushing EBM bnadam bn ndy 2shaumbwa na mapungufu so 2jarbu kuish kwa kuvumiliana 2 ili maisha yaende God bless u all🫡
Brother EBM hongera sana na Mkuu Chalamila mko vizuri
Mr Makuliro na mh Challamila hongereni sana kwa kufanikisha hii interview kwani mmetufunza mengi sana katika muda mfupi na ni matumaini yangu mr Makuliro atazidi kutuandalia mahojiano na viongozi wanaojitambua ili jeneresheni mpya iweze kujifunza na kuboresha maisha yao kwa weledi.
Hongera sana kaka tunashukuru kwa Elimu unayotupa na MUNGU akubariki 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aseee hii interview mimi siitazami kama video naitazama kama Shule kwangu na ni shule nzito sana je mmeona jinsi mkuu wa mkoa alivyozuia interuption
Hongera sana Kaka EBM mambo mazuri sana tumeyapata toka kwa bro Chalamila kudos to you mkuu
Mh. Rc umeongea kwa standard ya hali ya juu ❤❤❤❤
Ebm tupo pamoja na mzee chalamila,Mungu Watunze
Interview nzuri sana,hongeren sana,hongera sana kaka EBM
Educative relevant with best practice sharing interview😊
Hongeren snaa kumbe mtoka mbali sana mungu awabarik sana kwa upendo wenu piga kaz chalamila mungu akuongoze mkuu wa mkoa wangu dsm changamoto zipo baba seem yeyote ya kutafuta ugali Kuna mengi nimejifunza hapa shukran Sana Mr EBM
Hongera sana Brother EBM, naona carrier yako ya habari unaipeleka level nyingine.
Mtu wa maana sana EBM umetutoa mbali sana 😂
Kudos EBM, splendid interview with comrade Chalamila RC dsm
Mzee wakazi Ebm hongera
Hongera sana kaka EBM your interview is good
Mtu wa tatu hapa. Hongera sana EBM
EBM safi sana hii
Good brother EBM
Safi sana, ila tu nakumbushia muda hauko static kwa hiyo huwezi leo kulaumu social media!
Kweli seminary Albert ungefukuzwa . Ww ni mtundu mtundu sana 😢😮😅😊😢😮😢
Engineer umenikumbusha mbali sana ukiwa na muheshimiwa Chalamila, enzi hizo wataalam wa kufanya asignment za Political Science tulikuwa tunaitana ma engineer
Am so proud of you Kaka endelea kupasua anga
Hata kuongea kwao kunafanana ila Ebm na kasound ka kigoma some how.
Kaka EBM hongera sana.
Safi sana ❤❤👏🏾👏🏾👏🏾
Ubarikwe saana kazi nzuri
Chalamila anaelezea mambo Kwa uweledi na utulivu mkubwa Sana.
Mupungeze kuhuwa watanzania wew chalamila
Aluta Kontinuo bro Erest
Dah ni nzuri sana
Huwa napenda kumsikiliza sana Chalamila
He talks logic ally.
Hata uso wake unaonesha hivyo.
Alisema Kagera huku watu ni wavivu
Akashambuliwa ILA ILIKUWA KWELI.
Ana mawazo mengi mazuri sana alafu pia katika uzungumzaji ni artist.Unaweza kucheka mpka basi
Tumekupgia kura ktk ma group yetu ya pi EBM
Viongozi wote wangekuwa kama CHALAMILA tungekuwa na nchi inayo jitambua nimependa sana.
Safi mkuu
Akiri mbili makini sana
Kumaliza foleni nikitu kigumu sana maana hata wazungu wameshindwa kumaliza ila wamepunguza nadhani yawezekana kupunguza.
Chalamila umependeza Sana hela tyamu
Wa kwanza kabisa
Asante, na karibu sana
Kaka habali
Hivi ulisema kam mwezi September tuanz ku apply summer camp
Shukrani
Ndgu naomba namba yako
🎉🎉🎉🎉🎉
EBM MAWAZO MAZURI
Nikiangalia mfumo wa kiuongozi Tanzania na katiba ilivyo inaonyesha kabisa haiendani kabisa na mfumo wa vyama vingi kuna mkanganyiko mwingi sana
Nimefurahi
Ebm
Raha sana ukikutana na class mate 😂😂😂
Ernest Boniphace Makuliro, brilliant and super vision guy. This interview done here in Tanzania this time?
Wapo dar es salaam
@@josephlorri431 hii ilikuwa lini? EBM alikuja far?
🤝🤝🤝
Tanangozi kukaye
Tuko pamoja
Kaka yangu chalamila nakumbuka nilikuwa school of law
Mkuu wa mkoa mwehu kichaas tahira chizi Kabisaaa, ukorofi wake ukichaaa sanaaaaa
Ndio maana Akili zenu zinafanana
Kongole kwa mahojiano yenye kujenga
Tuliosoma MALANGALI TUJUANE
Majamaa Yana kumbu kumbu haya
Kongole
Maisha sio kwenda US au ulaya, Unaona jamaaa ni mkuuu wa mkoa wewe bado uko US unagaga kupiga ndebe huna maisha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hujielewi wewe, US utalinganisha na mkuu wa Mkoa? Aiseee
yawezekana ulishatafuta fursa ukaamua kukata tamaaa ndgu ni wivu unakusumbua kaka kla m2 akule kwa urefu wa kamba yake na as always human beings 2meumbwa kwa utofaut na mapungufu baina ye2 so kla m2 ako na v2 avpendavyo na asivyopenda so we kama umeamua kubaki bongo its well and good m2 akiamua kwenda marekan anywhere sio dhambi wala so bro ningependa ubadrike ayo so maisha ni ushaur wa bure tu naweza nkakupatia maana najua ata nikitukana ni kazi bure but kukupatia elimu tu ni ki2 important nimeona hauko nayo mungu azidi kukubariki ndgu😢
@@christiangideon8663Mkuu wa mkoa yupo juu tena mkoa wenyewe wa dar es salaam, unatengeneza mabillion ya pesa kwa siku, ila kikubwa ni kwamba hao wote wamejitafuta na tayar wamejipata sio lazima wote wafanane au wawe wakuu wa Mikoa, Naamin huyo EBM safar yake Moja ya kutoka Us kuja Tanzania inagharimu si chini ya mill 5, ambayo ni pesa nyingi so ni kwamba yupo vizur, ana maisha yake US, nyumba yake lakin pia ni Veteran wa jesh la Us na pia kasoma, so simuoni mwenye njaa hapo wote wako vizur ingawa vipato vinaweza kutofautiana kutokana na mazingir wanayoishi, so sidhan kama EBM anajuta kuwa Marekani au Chalamila anajuta kuwa Tanzania, kila mtu kafanikiwa kule aliko.
Maisha ni mipango yako na malengo yako mwenyewe. Sio kila mtu atakuwa na same dreams. Mfano Mimi hata unipe ukuu wa mkoa, au ubunge sitaki sababu sio dream life yangu. Kuna mwingine yeye ni biashara mwingine yeye ni kilimo tu nk. Mafanikio ni kutimiza ndoto zako si kutimiza expectations za watu wengine.
@@EBMSCHOLARS thats true brother mm nimeshafikia hatua yaan ata unipe urais wa TZ au ukuu wa majeshi still bdo ntakataaa coz sio mipango na dream yangu so bnadam tunatofautiana haijalishi unapata pesa kias gani but je moyo wako upo katika peace of mind yaan sehem uliopo kwa sasa ndy uliokua umepanga au what next after there?!...keep pushing EBM bnadam bn ndy 2shaumbwa na mapungufu so 2jarbu kuish kwa kuvumiliana 2 ili maisha yaende God bless u all🫡
Nilicho gundua wa tz ni wanafik san