PART 2: FARAJA ALIONAYO ENG.GABRIEL BAADA YA KUTOKA KWENYE UTUMISHI “NIMEITENDEA HAKI OFISI YA RAIS”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 6

  • @SillaMhagama
    @SillaMhagama Месяц назад

    Alianza vizuri sema hapo mwishoni kwenye utopolo nimelia sana😂😂

  • @Ngalabutoofficial
    @Ngalabutoofficial Месяц назад

    Great leader

  • @RobertKitula
    @RobertKitula Месяц назад

    Hapana,nafikiri Rais atamjali maana ana njozi za maendeleo,hata kama alifanya makosa yeye si malaika namuombea kwa Mungu nafasi ya pili tena

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 Месяц назад +2

    Viongozi Bora na mahili wana Toka Kanda ya ziwa ukate ndo hivyo ukubali ndo hivyo. Coz Moja ya sifa ya watu wa Kanda ya ziwa hawana sifa Za kujipendekeza wao hujali kazi tuu

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 Месяц назад

    Jamaniiii huyu baba alikuwa na ndoto za kufika 2025 sjui ilikuwaje akakatizwa ndoto zake

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 Месяц назад

    alipoanza tu kuizumngumzia yanga. ndo namimi nikakatisha kuiangalia hii interview.