LIVE: Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" wimbo wa "Pata Potea"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 14

  • @NdigaWilkinson-rm4pq
    @NdigaWilkinson-rm4pq Год назад +1

    Utatamani sama kuwaona Gurumo Kinyasi na Bitchuka wakipishana uimbaji katika wimbo pata potea

  • @Is_hakaOmary-vz1rp
    @Is_hakaOmary-vz1rp Год назад +1

    Solo gitaa nimekuelewa Sana.

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 6 месяцев назад

      Katisha Sana kumkopi Mulenga

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 месяцев назад +1

    Mapesa anatisha. Kumkopi Mulenga huu wimbo sio kitu rahisi maana huu wimbo ulipigwa kwa speed kubwa na vitu vya maana mnoo

  • @chidboy3372
    @chidboy3372 Год назад

    Chd big mariamu chikwela mz

  • @elifasimsemo4525
    @elifasimsemo4525 Год назад

    Nzuri hasa

  • @abdallahkapui1804
    @abdallahkapui1804 Год назад

    Kk zomboko hupo

  • @abdulinawab9045
    @abdulinawab9045 2 года назад

    Rajabu zomboko uko vizuri Sana , big up and keep it up all the same

  • @amiswetu985
    @amiswetu985 Год назад

    Kitoko makasi

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 Год назад

    Hahahhaha Zomboko umejitahid sana najua kuchukua nafasi ya Maalim Kinyasi ni ngumu sana

  • @paulnyingo7316
    @paulnyingo7316 Год назад

    Rz mzee wa msosi =Usiku wa Msondo na Sikinde @ Jumatano kuanzia saa 4 usiku kwenye Afro Tz

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Год назад

    Hakuna utamu halisi ule wa enzi zile,sauti zimechoka,miili imechoka,ilitakiwa mtunge za uzeeni,zile za zamani zibakiwe na thamani ileile,zisirudiwe kivilevile 🤔

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 Год назад

    Naomba kujua wale waliojitoa ndio hawa au hawa ndio original?

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 6 месяцев назад

      Hii ni sikinde yenyewe.Walioimba original wengi walishatangulia mbele ya haki