LIVE: "Isaya Mrithi Wangu" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 6

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 10 месяцев назад +1

    Masikini Jumbe anaonekana afya yake iko dhaif. AFTER Six months alifariki

  • @TheGABRIELY
    @TheGABRIELY 2 года назад +1

    Sikinde ni hatari

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 Год назад

    Nawakubali sikinde

  • @kuchenavhe0028
    @kuchenavhe0028 Год назад

    Myuziki wa dansi bado upo muruwa kabisa hata sasa, ila sasa zaidi ya miaka 60 baada ya uhuru kuna vitu inabidi vibadilike kwakweli. Mojawapo ni hii ya usalama wa wahusika, magari yanapita hapo usalama ameachiwa mungu!. Hapo (japo hatuombei) ila gari ikiacha njia tu basi tunazungumza mengine. Hapo kinachosaidia hiyo barabara inaelekea ni mbovu gari zinaenda mdogomdogo. rip mzee wetu Jumbe umeenda na sauti yako.

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 Год назад

    Kizazi kipya kinapaswa kufuata nyayo za watangulizi kwa kujifunza muziki na siyo kuiga na ku copy muziki