Ndiomaana nimerud kwa Jumbe. Kama ulikuwepo kipindi hicho unasoma shule ya msingi ukirudi saa sita unatumwa dagaa harafu unaenda ukiendesha ringi la baiskeli gonga like kwa wingi twende pamoja
Yale maisha huyatamani hivi. Hivi sasa maisha yana raha zaidi kuliko wakati ule lakini na kero zimekuwa nyingi zaidi. Yale yalikuwa maisha bila stress.
@@hajihassan5433 aise Yale maisha Malezi yalikuwa ya aina moja karibu nchi nzima Familia nzima mnasafiri mnaenda kuwatembelea ndugu Harafu mnafunga mlango hakuna wizi
Jumbe alipiga nyimbo hii early 2000 baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi watu wakamzushia kifo. Baada ya kupona aliuimba huu wimbo kwa hisia sana huku akiwatawaja wabaya wake. Kama maden semeni niwalipee.......Nachechemeaa
Tutakukumbua baba daa siamini malaya mwisho nimekuona daa mbele yako nyuma yetu kumbe kifo chako ulikuwa unakiona daa mungu akuweke mahli pema peponi baba
Miziki hii ya zamani kiukweli ilipigwa kiustadi sana na hawa wazee wetu walifanya vitu vikubwa na ndo maana bado kabisa iko vizuri hadi leo hii..OLD IS GOLD
Jamani naupenda sana huu mziki unanikumbusha mbali sana mwaka 2014 nilinunua bjj yangu ya blue HAZAB 2 niban mizkiki ya jumbe ikiwemo siri ya nini dereva wangu alifunga mzkki mkubwaa ilikuwa shda❤❤❤🎉
japo mm ni mdogo kiukweli miziki ya zamani ni mizuli sana ukiisikiliza hata kama ulikua na mawazo yanapungua make inafundisha sana maisha ya hapa duniani
Great song! Well composed Well arranged Well synchronized Well sound engineered! Plus soothing vocals from multi VOCALIST Hussein Jumbe! RIP! Producer ni HENRICO FIGUIROA STUDIO SOUND CRAFTERS TEMEKE , DAR ES SALAAM, TANZANIA
Poleni sana familia ya Hussein Jumbe tulimpenda sana kumbe wimbo wake "Nachechemea" alijitabiria kifo chake, japo mala ya Kwanza Mwenyezi Mungu alimnusuru.Pumzika kwa Amani sote tunakuombea tahfifu kwa Mwenyezi Mungu.
hii miziki ya zamani nimitamu kuisikiliza maana kila chombo unakisikia vizuri kinavyofanya kaziyake na sauti zinazosikika vizuri kwa ujumbe usioisha miaka na miaka.
Hussein Jumbe katulia sana one of his best songs halafu vyombo pia vimetulia trumpets, solo guitar sasa uwe kwenye Hall live ndio utapenda hapo umekatishwa just for recording purposes balaa hiyo nyimbo
Ndiomaana nimerud kwa Jumbe. Kama ulikuwepo kipindi hicho unasoma shule ya msingi ukirudi saa sita unatumwa dagaa harafu unaenda ukiendesha ringi la baiskeli gonga like kwa wingi twende pamoja
Yale maisha huyatamani hivi. Hivi sasa maisha yana raha zaidi kuliko wakati ule lakini na kero zimekuwa nyingi zaidi. Yale yalikuwa maisha bila stress.
Nimekumbuka mbali sana brother john minilikua naendesha gari ya mabua Leo ni mi nidereva Truck driver
@@hamadyzuberi7778 Dah umeishi kwenye ndoto zako
Kama mimi nilikuwa napenda kutengeneza magari ya waya
Mabua
Leo mi Mechanical engineering technician
@@hajihassan5433 aise Yale maisha
Malezi yalikuwa ya aina moja karibu nchi nzima
Familia nzima mnasafiri mnaenda kuwatembelea ndugu
Harafu mnafunga mlango hakuna wizi
kweli ndo irikuwa na kipindi cha mchana mwema redio Tanzanian
Rip Hussein Jumbe uliimba huu wimbo waliposema umekufa now umeondoka kweli
Jumbe alipiga nyimbo hii early 2000 baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi watu wakamzushia kifo. Baada ya kupona aliuimba huu wimbo kwa hisia sana huku akiwatawaja wabaya wake. Kama maden semeni niwalipee.......Nachechemeaa
Mbona hueleweki 'nyimbo' au 'wimbo'?!
Kumbeee🤔ndo najua leo, Mungu azid kumtunza
Sasa hawa anaowataja wabaya wake au wema wake?
@@hajihassan5433 wema wake mabest
R.I.P Mzee Hussein Jumbe. Asante kwa nyimbo nzuri inayoishi milele.
R.IP Baba
Tutakukumbua baba daa siamini malaya mwisho nimekuona daa mbele yako nyuma yetu kumbe kifo chako ulikuwa unakiona daa mungu akuweke mahli pema peponi baba
umetuachia simazi watanzania
2020 wanaongalia tujuane kwa like hapa
R.I.P Hussein Jumbe hakika nyimbo zako zilikuwa Zinanikosha Sana Sababu zilikuwa na uhalisia wa maisha yetu katika jamii
Rest in Peace legend, Mola akupunguzie adhabu ya kaburi Hussein Jumbe
Naupenda sana huu wimbo japo sjui umetoka mwaka gani 😢😢
2000
RIP mzee hii nyimbo ni miaka sasa kila siku lazima nisikilize kwenye gari au ofisin
R.i.p Hussein jumbe,,, thanks for the best songs
Nasikia kifo chako Sasa hv imebidi niisikilize nyimbo hii😢😢 hakika kila nafsi itaonja mauti😢😢😢
Nasikia kafariki jamani daa RIP Jummbe
Nakumbuka mwaka 2002 kipindi hicho buguruni kidarajani I missed my childhood
KENA PUB
Miziki hii ya zamani kiukweli ilipigwa kiustadi sana na hawa wazee wetu walifanya vitu vikubwa na ndo maana bado kabisa iko vizuri hadi leo hii..OLD IS GOLD
tuliokuja baada ya kusikia jumbe amefarika tujuane
Wanadamu tatizo kubwa. Yao kusema mabaya. Mungu mkuu atusaidie sote. Amen.
DUHHHHH WAPI MZIKI MZURI KAMA HUU.
Wimbo naupenda Sana. Ulikuwa ukipigwa nikiwa jikoni mdogo Rajabu Nanana Mpimbi lazima aje kuniita.nice song
Amina Munda naomba unitafte
Hiyo ndio imekuwa the best of Hussein Jumbe brilliant song
Namkumbuka sana rafiki yangu Hassani Haji Huyu.....tulkua tukiuimba huu kwa pamoja daaaaah an incredible song for shoo!!
Pumzika kwa Amani Mwamba tutakukumbuka Daima na Sauti yako itabaki kama kumbukumbu Kwetu.
Nimekumbuka mbalii Sanaa Hussein Jumbe have a long live R.I.P Mpakanjia
Wimbo Umetuliaa Sanaaa Mungu Akubariki Mzee Hussein Jumbeee Maneno mengi yalisemwa Juu yangu Mimi Kama kipaji kanipa Mungu
Rest in peace legend we shall meet in paradise!!!!!
😮😢😢
HII NGOMA INANIKUMBUSHA MBALI SAANA AISEE....NICE SONG KWA MZEE JUMBE
Pumzika kwa amani baba Hussein Jumbe
Niliwahi hudhuria onesho lako. Tukazungumza ukaniambia mengi. Mpenzi yeyote wa mziki, Sanaa, mashairi asingechoka kukusikiliza. Upumzike kwa amani kaka Hussein Jumbe!
mbona mnisakama na maneno mieeee!! nachechemeaaaaaa!! Jumbe Hussein NDANI ya mjengo!!
Jamani naupenda sana huu mziki unanikumbusha mbali sana mwaka 2014 nilinunua bjj yangu ya blue HAZAB 2 niban mizkiki ya jumbe ikiwemo siri ya nini dereva wangu alifunga mzkki mkubwaa ilikuwa shda❤❤❤🎉
japo mm ni mdogo kiukweli miziki ya zamani ni mizuli sana ukiisikiliza hata kama ulikua na mawazo yanapungua make inafundisha sana maisha ya hapa duniani
Zuberi Juma Mpaka uwe timamu lakin ndio utajua kuwa ina maana sana
Yaan we acha tuu kuna vitu tunajifunza kupitia wakati tulio nao😭
Hakika there's a time hatutakuwepo nasisi hapa duniani. RIP legendary Jumbe
Kassid alli
Huu wimbo sauti ya jumbe is fantastic sichoki kuisikiliza kwa kweli
Walikuzushia sana kifo mpaka ukatunga wimbo nachechemea,watu sio wazuri. Pole kwa familia na Tasnia ya mziki wa dansi hakika kila nafsi itaonja mauti.
Niliganda niliduwaaa nimlilia sana mwanangu sana Mzee Dodo hatunaye Tena. ..R.I.P. Hussein Jumbe
Old is gold.. Penda sana hii nyimbo mpaka now 2018
Fatma Ismail pamoja sana
wimbo mzuri sana penda sana
2021 bado inatambaa
R.I.P mzee hussein jumbe nyimbo zako zitaishi milele pumzika kwa Amani
nongera husein jumbe, nakukumbuka wakati tupo shule ya msingi yombo 1974 darasa la kwanza
Aiseeh miaka mingi sana
marehem baba yangu aliupenda wimbo huu unanikumbusha mbali sana kweli miaka inasonga
Hata mm marehemu babayangu alikua anaupenda sana, yani hapa nataka machoz tu
@@jgdghcvjvvjvbcv8032 Hata mm marehem babayangu alikua anampenda Sana jumbe
Yakale zahabu❤️
nachechemea nyimbo za zamani zilitungwa kiustadi mkubwa sana
Sote wa m/mungu na kwake tutarejea pumzika Kwa Amani
watu wengine walisema Maneno mabaya,na wengine wakatangaza nimeaga dunia,nachechemeaa!!!!!!
Great song!
Well composed
Well arranged
Well synchronized
Well sound engineered!
Plus soothing vocals from multi VOCALIST Hussein Jumbe! RIP!
Producer ni HENRICO FIGUIROA
STUDIO SOUND CRAFTERS
TEMEKE , DAR ES SALAAM, TANZANIA
Poleni sana familia ya Hussein Jumbe tulimpenda sana kumbe wimbo wake "Nachechemea" alijitabiria kifo chake, japo mala ya Kwanza Mwenyezi Mungu alimnusuru.Pumzika kwa Amani sote tunakuombea tahfifu kwa Mwenyezi Mungu.
nilianguka ukaninyanyua.....asante kwa ujumbe huu
Kumbukumbu ya mzee dobi
Kama kipaji kanipa mungu Altezza mtaniuwa bure...
Rest in peace mzee wetu.. msalimie mpakanjia
Nazipenda nyimbo za zamani namkumbuka marehemu mama yangu mdogo alikuwa anapenda sana kuimba jmn 😢😢😢😢😢
Thanks
Pole dd
hii miziki ya zamani nimitamu kuisikiliza maana kila chombo unakisikia vizuri kinavyofanya kaziyake na sauti zinazosikika vizuri kwa ujumbe usioisha miaka na miaka.
R.I.P Mzee Hussein Jumbe....❤❤🎉
Huseni jumbe na Fresh.jumbe je ni ndugu.
Hapana
Nyimbo ilikuwa na ujumbe, halisi
kuna wimbo wakee unaitwa POMBEEE NIWEKEENIII JAMANIIIIII
Waooo kitu kitamu jameni rest in peace 🎉 mzee
Pumzika kwa amani shujaa wetu wa muziki.
Pumzika kwa amani mwendo na kazi uliyoitiwa hapa duniani umemakiza😬😬😬😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
Kusema ukweli nyimbo nyingi za zamani ni nzuri sana Jumbe mimi na mkubali sana
Na sanduku gharama wakanichongea....kwa mapenzi ya jalali leoo nachechemeaaaaa...
Hussein alitulia sana hapa
Hussein Jumbe katulia sana one of his best songs halafu vyombo pia vimetulia trumpets, solo guitar sasa uwe kwenye Hall live ndio utapenda hapo umekatishwa just for recording purposes balaa hiyo nyimbo
Dah yaan nyimbo nzur yenye maadili hongera sana jumbe
wimbo wako wa nachechemea
hatimae imekuwa daaa
The old music Hussein jumbe baba mzaz mlifanya kaz kubwa sana
Inna ilahi wainalillah rajuun Jumbe
2019 naangalia bado,,, songs za zamani ja Mani zinatia raha
miziki ilikuwa na jumbe za maisha ya kizazi chao hadi cha baadayee
Mungu ailaze roho yake Mahalia pema😢
Wimbo kiboko Sana hiki mungu akulaze mahala pema
huseni jumbe ni nyimbo ambayo naipenda sana
nachechemea
Huu wimbo namkumbuka sana marehemu mama yangu alikuwa anaupenda sana
mbona mnasakama na maneno mie? lipi nililowakosea? .......kama ni deni semeni niwalipe mimi ......nachechemea mnama uko wapi ? nachechemea mbacho classic nishike mkono, nachechemea mzee wa Kimara classic wear. .......!
Mm nakumbuka baba alikuwa anaredio flni ukikutwa umeishika jani kichopo utakachopewa 😂 , Leo nazikiliza na furahi 2024
Mm nikijana wa kizazi hiki lakin napenda sana kusikiliza nyimbo za zamani 2019 kutoka simiyu
Mungu amlaze Mahali pema peponi
Nyimbo zenye kukonga ngoma ya masikio yangu na kila nsikiapo hupata faraja ya moyo wangu
Nachechemea naja taratibu..... So nice
lala salama mwamba,mziki unaishi kweli kweli
Naishi Rwanda ila uyumwimbo siuchoki kwasiku nausikia mara4
nachechemea wimbo safi sana unamaana kubwa
2020 February twende sawa
👇👇
P1
NAIPENDA XANA HUU WIMBO UNANIKUMBUSHA MENGI...
binge la wimboo sharauti kwako Hussein jumbe sauti ya dhahabu
RIP Legend. One of the best katika Muziki wa Dansi.
Rest in peace my dad kipndi hich alinitoka baba yng kpenzi nkickia nyimbo hii namkumbuka sana
Pole ndugu
Da naipenda sana sauti ya jumbe
Nmemkumbuka marehemu mamaangu alikuwa anaipenda mno hii nyimbo mungu akuremu mamaangu
Pole sana
Ni Mungu na sio mungu.
Ila pole sana ndugu.
Bonge la wimbo!
binafsi huu wimbo nakumbuka cku ya kwanza kuuckia marehem babu yangu alikuwa amepatwa na ugonjwa wa kupooxa mwili nxima ivyo
Wimbo mzuri sanaa
wimbo mzuri sanaa kwa kweli napenda nyimbo zake
I'm speechless😭😭 RIP hussein jumbe
Duh! Nilikuwa kadogo hii nyimbo
Kama kipaji kanipa mungu.sio maneno yangu niyajumbe
Napenda sana nyimbo hii
Hussein Jumbe, mwamba, mwimbaji mahiri mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni! Napenda sana nyimbo zako!
Heart touching 😢😢
twangapepeta mwana dar es salama
Mziki mtamu utafikiri wa jana
Rip hussein Jumbe
Pumzika kwà aman mwamba
Uwa namwelewa sana huseni jumbe
Wimbo mzuli one love miziki ya zamani inaujumbe unaoishi mpaka hata tukifariki sie ujumbe upotu, big up, husein jumbe,
Kwamapenzi yake jalali Leo nachechemea..........
Hivyo ndo vitu vyakishuwa,sikelele za siku hizi