Hakika wimbo huu inanikumbusha 1981 nikiwa form two Bwiru Boys' Mwanza, jioni tunapanda mlima unaotazamana na Bwiru Girls',basi mziki huu unafunguliwa kwa sauti kubwa toka kwenye nyumba ya mwalimu mmoja wa Bwiru Girls'ikawa ndio ratiba ya burudani kila siku. Mangelepa are the greatest
Such a nice song by Mangelepa. Reminds me of my teacher, the late John Fesi Pinya. In 1980, Was in form three then and I had to buy the disc. It was the only way, unlike these days where piracy is killing musicians.
Enzi hizo Santuri iko juu ya Player ( Phillips changer) spika juu ya mtungi au pipa ili ipatikane Bass ya kutosha, Nisikiapo nyimbo hizi hakika machozi hunidondoja nawakumbuka jamaa zangu waliotangulia mbele ya haki ambao nilikuwa nacheza nao Disco vumbi.
Nisikiapo nyimbo hizi namkumbuka sana marehemu kaka yangu Mathiasi Makambuya . Kwani alipenda sana kupiga nyimbo hizi. Mungu ailaze roho yake mahali pema .
Nakumbuka walipo kuja dar,mpakani bar mwenge,ifikapo saa 8 karibu dance lifungwe ndo ilikuwa ikpigwa mwimbo huu,na ule wa tobias,wakicheza show yao ,hakuna anaecheza zaidi ya kuwangalia wanavyo push -puse- sukuma ,dah la capitani evanii,kabila kabanze,lumwaga,maindusa daah ilikuwa kidust.
@@arodiboyi : aaaaah!! Thanx and Kudos man!! I am quite happy for the confirmation because we seem not to have many images of Coco. I miss Coco.... According to me, he was one of the best dancers. A perfect stage performer. Envied even by his peers like Samba Mapangala. Most of the few times I saw Coco he was wearing a cowboy hat. Thanks.
@@donaldombati4308: Of course Coco Zigo Mike sang in Les Mangelepa and his voice is quite distinct in this song “Lisapo.” While in Les Mangelepa, misunderstanding arose and Coco Zigo Mike and Bwamy wa Lumona left to form Viva Makale. And as confirmed by @arodiboyi, Coco is second from left back row @4:13 in this Les Mangelepa photo.
This song has made me so emotional. Remembering my primary school years...especially 1980 or '81.
Hakika wimbo huu inanikumbusha 1981 nikiwa form two Bwiru Boys' Mwanza, jioni tunapanda mlima unaotazamana na Bwiru Girls',basi mziki huu unafunguliwa kwa sauti kubwa toka kwenye nyumba ya mwalimu mmoja wa Bwiru Girls'ikawa ndio ratiba ya burudani kila siku. Mangelepa are the greatest
Mama Zongayee, hoyee hoyee hoyayeee, ni utamu kuruka na Le Mangelepa
Such a nice song by Mangelepa. Reminds me of my teacher, the late John Fesi Pinya. In 1980, Was in form three then and I had to buy the disc. It was the only way, unlike these days where piracy is killing musicians.
Julius true especially when Osewe was on the floor
Thanks Mr. Ngiria. You have recalled the late Keegan George Best Osewe
I am so happy today....I have been searching for this song for ages......we used to sing it this way; 'an adong' gi Mangelepa'....
Hehehe...i remember too singing it that way but thank u for your support don't forget to subscribe , like n share...
GARDEN SQUARE. RESIDENT BAND KICC. NAIROBI. MANGLEPA . JZEES. WE USE TO ENJOY LIFE
Hi colleagues,
Those were good days these music of mangelepa reminds me alot, i wish we could rewind life like a compact of a radio cassette.
Enzi hizo Santuri iko juu ya Player ( Phillips changer) spika juu ya mtungi au pipa ili ipatikane Bass ya kutosha, Nisikiapo nyimbo hizi hakika machozi hunidondoja nawakumbuka jamaa zangu waliotangulia mbele ya haki ambao nilikuwa nacheza nao Disco vumbi.
Life was beautiful then.....
Nisikiapo nyimbo hizi namkumbuka sana marehemu kaka yangu Mathiasi Makambuya . Kwani alipenda sana kupiga nyimbo hizi. Mungu ailaze roho yake mahali pema .
Anybody remember...? Kinoru Stadium Meru Agriculture Show 1978? Wazee wa Meru School then, Mpo?
We, Mzee, hawako. Ni wewe tu umebaki. Chunga. 😂
Nakumbuka walipo kuja dar,mpakani bar mwenge,ifikapo saa 8 karibu dance lifungwe ndo ilikuwa ikpigwa mwimbo huu,na ule wa tobias,wakicheza show yao ,hakuna anaecheza zaidi ya kuwangalia wanavyo push -puse- sukuma ,dah la capitani evanii,kabila kabanze,lumwaga,maindusa daah ilikuwa kidust.
Nashukuru darubini kwa mchango wako
Sawa kabisa. Vocals zimepangwa, na kupangika.
Thank you for your support please don’t forget to subscribe like share and comment
Great song of our time ☑️☑️☑️☑️
Nyimbo zenye kuvuta kumbukumbu ya mambo mengi yaliyopita.
Thanks for Listening
Hapo sasa
What a gen?...Coco Zico Mike at his best
Gem...
@@panafricaskillsconsultingl8858 : Is that Coco second from left back row @4:13?
The legends
Chafwachafua
Kelasi liboso =Education first hahaha
Let me do translation on my RUclips channel
Hapo!! Hapo!! Does any body on this forum have a photo of Coco Zigo Mike? Is that Coco second from left back row @4:13?
Yes next to Bwamy Walumona
@@arodiboyi : aaaaah!! Thanx and Kudos man!! I am quite happy for the confirmation because we seem not to have many images of Coco. I miss Coco.... According to me, he was one of the best dancers. A perfect stage performer. Envied even by his peers like Samba Mapangala. Most of the few times I saw Coco he was wearing a cowboy hat. Thanks.
@@Prof.Dr.SavaiGukhu Thank you for your support also listen to Mokano by Super Mazembe I hope you will like it...
IAM not sure if coco ziko Mike ever played with mangelepa.The person I know is coco mukala kayinda who composed Aoko
@@donaldombati4308: Of course Coco Zigo Mike sang in Les Mangelepa and his voice is quite distinct in this song “Lisapo.” While in Les Mangelepa, misunderstanding arose and Coco Zigo Mike and Bwamy wa Lumona left to form Viva Makale. And as confirmed by @arodiboyi, Coco is second from left back row @4:13 in this Les Mangelepa photo.
what happened to Old ole by mangelepa. tried to look for it for years
I will upload it soon...
Uploaded you can now enjoy it Check it out
@@arodiboyi many blessings to you friend. I was born in 1990...my old uncle used to play this music on his stereo...so I loved it since then
@BOERA NDEMO Thank you so much for your support..This song is still a gem especially with my all time crooner Koko zigo Mike...
Check out it's now available
Kweli ujana moshi ukienda haurudi
Bro. I have been looking for Ole Ole. Could you please do something for me?
Thank you..I will
Uploadede it ..Check it out and enjoy
Isn't this lingala?
Yes but i think it's in Chiluba language
@@arodiboyi oh I see well the reason for asking as while I heard malamu within the song I assumed so it is the case of the language
@@arodiboyi tell me do you speak lingala?
It's Lingala language with a bit of Kiswahili, let me do translation