Hukumu ya talaka tatu kwa mara moja.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 8

  • @hassanal-bayt4396
    @hassanal-bayt4396 Месяц назад

    Suali langu talaqa tatu kwa pamoja jr eda lake ni vile vile talaka moja moja

  • @AbJsm
    @AbJsm 7 месяцев назад

    Talaka Sio TAMKO - Talaka Haiwi Kwa TAMKO Sawa Ukitamtamkia Mara Moja au Mara Mia

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 11 месяцев назад +1

    Talaka 3 za pamoja kuna medheikhe wengi na wanavyuoni wengi hawakubaliani nalo na katika wasiokubaliana na talaka 3 kuwa ni 3 ,mmoja wapo ni sheikhe Nurdeen kishki nae ana mchango mkubwa juu ya kadhia hii,kama masheikhe mulitakiwa mutowe ilimu kwa wana ndoa waache mchezo huu huu aliozungumza Saiydina Omar wa kuacha talaka 3 kwa pamoja na sio kwenda kinyume na sunna ya mtume maana talaka tatu zimeanza wakati wa saydina Omar Tufuate Quraan na sunna Talaka anazozitambua M,mungu ni Talaka 3 rejeea moja baada ya nyengine na ndio utazikuta ndani ya Quraan tuguate sunna

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 9 месяцев назад

      Sheikh nurdeen kishki yeye sio mwanachuoni Bali yeye ni mlinganiaji na kama ipoo hiyoo kauli ulioisema wewe basi kauli hiyoo Haina nguvu ,Kwa sababu mtume s.a.w amesema mambo matatu ukweli wake huwa ni ukweli na uwongo wake hua ni ukweli akataka talaka ,ndoa na kumrejea mwanamke ,kwahiyoo unaposema umemuacha MKE talaka tatu basi hpo hakuna uwongo ndani yake mazali umetamka mwenyewe Kwa ulimi wako ,

    • @EricabrunaSousayaorrou
      @EricabrunaSousayaorrou 9 месяцев назад +1

      Yaorrou

    • @ameali1251
      @ameali1251 4 месяца назад

      Quran inazitambua talaka tatu za pamoja .