WAKULIMA SKIMU YA UTULO ISENYELA/MADIBIRA WAELEZA MATUNDA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2024
  • Mkoa wa Mbeya una miradi ya umwagiliaji 13, ikiwa katika makundi matatu ikiwemo uchimbaji wa visima, miradi ya upembuzi yakinifu ya mambwawa kwa ajili ya ujenzi wa mabwawa ya umwagiliaji, miradi ya ujenzi na ukarabati miundombinu ya umwagiliaji ikiwemo mradi wa skimu ya Utulo Isenyela wenye thamani ya Tsh. Bilioni 12.78.
    Wakulima katika skimu za Utulo Isenyela pamoja na skimu ya Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameeleza namna kilimo cha umwagiliaji kilivyowakomboa kutoka kwenye hali duni ya kiuchumi na kuinua kipato chao, wakulima hao wameishukuru serikali kwa kuendelea na ukarabati wa skimu za umwagiliaji pamoja na ujenzi wa miradi mipya ya umwagiliaji hali itakayoongeza tija na kipato cha mkulima.
    _______________________________________________________________________
    Mbeya region has 13 irrigation projects, categorized into three groups: well drilling, feasibility studies for the construction of irrigation dams, and the construction and rehabilitation of irrigation infrastructure, including the Utulo Isenyela scheme project, valued at TZS 12.78 billion.
    Farmers in the Utulo Isenyela and Madibira schemes in Mbarali District, Mbeya region, have expressed how irrigation farming has liberated them from economic hardship and improved their income. These farmers have thanked the government for continuing to rehabilitate irrigation schemes and build new irrigation projects, which will increase productivity and farmers' income.
    ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii
    Instagram: www.instagram.....
    Facebook: / tumeyaumwagi. .
    XTwitter: x.com/nirc_tz?....
    LinkeInn: / tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irri...
    _______________________________________________________________________
    #01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #story #storybook #ikulumawasiliano #DktSamiaSuluhuHassan #Rais #agriculture #agranews #agranewstoday #agricultural #agronomia #agroecologie #agriculturelife #agriculturalmachinery #kilimoufugaji #agrieconomy #kilimo #trendingtanzania #ikuluzanzibar #ikulutanzania #ikulu #ccm #ccmtz #chamachamapinduzi #agrfilms #agrf2023 #cnbctv #cnbcnews #kbcchannel1 @TBC_Online @ikulutanzania5474 @globaltv_online @kilimotv1730 @millardayoTZA @uhondotv5210 @WatchTanzania @Channeltenonline @CLOUDSMEDIA @chamachamapinduzi-official2767 @CNBC @CNN @bbcswahili7924

Комментарии •