- Видео 78
- Просмотров 23 025
National Irrigation Commission
Танзания
Добавлен 12 июн 2018
Welcome to the official channel of the National Irrigation Commission.
MIUNDOMBINU YA SKIMU YA UMWAGILIAJI SHAMBA LA CHABUMA YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 90
WAZIRI wa kilimo Hussein Bashe amesema serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali mkoani Dodoma hivyo wakulima hao waache siasa kwa maslahi ya nchi.
Ametumia fursa hiyo kupongeza kazi kubwa iliyofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ya kuandaa skimu ya umwagiliaji Chinangali II Chabuma ambapo kwa asilimia 90 imefanikiwa.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya baadhi ya maeneo ya mradi huo kati ya Tume, Wizara na Chabuma,Waziri Bashe alisema, serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA hivyo wakulima hao waache siasa kwa maslahi ya nchi.
Alisema ni muhimu wanufaika wa Skimu ya Chinangali II ambao ni wanachama wa CHAB...

Просмотров: 122
Видео
WAKULIMA 3353 KUNUFAIKA MRADI WA BWAWA LA NYIDA
Просмотров 1102 месяца назад
📍Nyida - Shinyanga. Mradi wa ujenzi wa wa bwawa la umwagiliaji Nyida uliopo wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga ulianza January 11 2023 hadi sasa umefikia asilimia 65 ambapo una mita za ujazo milioni 7.8, Mradi huo una thamani ya TSh 11,101,291,500/= ambapo kukamilika kwake utanufaisha wakulima 353 wa kijiji cha Nyida mkoani Shinyanga pamoja na wakulima 3000 wa skimu ya Lyamalagwa iliyopo wila...
MRADI WA UMWAGILIAJI SHAMBA LA BBT NDOGOWE WAMKOSHA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO
Просмотров 5912 месяца назад
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amesema uwekezaji unaofanywa na serikali katika sekta ya Umwagiliaji unaenda kuandika historia ya kumaliza tatizo la njaa nchini na kulijengea Taifa heshima kupitia uwepo wa chakula cha kutosha. Amesema anaridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya kilimo hivyo wananchi wa...
WAKULIMA SKIMU YA UTULO ISENYELA/MADIBIRA WAELEZA MATUNDA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Просмотров 1802 месяца назад
Mkoa wa Mbeya una miradi ya umwagiliaji 13, ikiwa katika makundi matatu ikiwemo uchimbaji wa visima, miradi ya upembuzi yakinifu ya mambwawa kwa ajili ya ujenzi wa mabwawa ya umwagiliaji, miradi ya ujenzi na ukarabati miundombinu ya umwagiliaji ikiwemo mradi wa skimu ya Utulo Isenyela wenye thamani ya Tsh. Bilioni 12.78. Wakulima katika skimu za Utulo Isenyela pamoja na skimu ya Madibira wilaya...
MRADI WA MKOMBOZI KUKOMBOA WAKULIMA 16,000
Просмотров 1082 месяца назад
Zaidi ya wakulima 16,000 wa vijiji sita ikiwemo Itunundu, Boliboli pamoja na Pawaga vya tarafa ya Pawaga iliyopo wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa watanufaika na kilimo cha umwagiliaji mradi wa ujenzi skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi wenye thamani ya shilingi bilioni 55, ambapo jumla ya hekta 6,000 zitafaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Kufuatia utekelezaji wa mradi huo wakulima hao wameishu...
UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI BWAWA NA SKIMU YA TLAWI WAKULIMA 2400 KUNUFAIKA
Просмотров 782 месяца назад
Zaidi ya wakulima 2400 wanatarajiwa kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa na skimu ya umwagiliaji ya Tlawi iliyopo wilaya ya Mbulu mkoani Manyara mradi wenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 6 ambapo kukamilika kwa mradi huo eneo la umwagiliaji kuongezeka kutoka Hekta 5 mpaka zaidi ya Hekta 90 na wakulima watalima msimu mmoja hadi mitatu kwa mwaka. Wakulim...
ENEO LA MFANO WA VISIMA KATIKA MAONESHO YA NANE8 VITAKAVYOCHIMBWA NA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
Просмотров 242 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/
BUSTANI YA MFANO YENYE MFUMO WA UMWAGILIAJI KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2024
Просмотров 382 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/
IFAHAMU AINA YA TECHNOLOJIA YA UMWAGILIAJI WA MVUA ( OVER HEAD SPRINKLER IRRIGATION)
Просмотров 972 месяца назад
Ni teknolojia ya umwagiliaji wa mvua (over head sprinkler irrigation) inayofahamika kama Rain gun Sprinkler ambapo miongoni mwa faida zake ni kumwagilia eneo kubwa kwa muda mfupi, gharama ndogo za uendeshaji kwa kuwa hutumia mafuta aina ya petrol lita moja kwa lisaa limoja kwa kumwagilia nusu eka, hufaa kwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, mtama, matunda kama vile parachichi michungwa. Tufua...
NIRC KUCHIMBA VISIMA 100 NCHI NZIMA
Просмотров 342 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/
WAKULIMA WAKUMBUSHWA SHERIA YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
Просмотров 302 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/
HATUA NANE ZA UKARABATI KINGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
Просмотров 1992 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/ #01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #sto...
ZAIDI YA WAKULIMA 9000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI BONDE LA LUICHE
Просмотров 2063 месяца назад
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameshiriki katika kukabidhi mradi wa umwagiliaji wa Bonde la Luiche, mkoani Kigoma lenye ukubwa wa hekta 3000 kwa mkandarasi M/S CRJE (East Africa) LIMITED ya Dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa bwawa na skimu ya umwagiliaji leo tarehe 21 Julai 2024. Akitoa salamu za Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Mkurugenzi Mkuu Bw. Raymond Mndolwa ameeleza kuwa mradi ...
KIKAO CHA WADAU WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
Просмотров 653 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/ #01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #sto...
WAKULIMA SKIMU YA MWAMKULU WAISHUKURU SERIKALI KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
Просмотров 1753 месяца назад
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii Instagram: nirc_tz?igsh=bjBzMXVwdDJ2c2Nl Facebook: TumeyaUmwagiliaji?mibextid=ZbWKwL XTwitter: x.com/nirc_tz?t=UoFluCQyTUnM4-_-93uMdQ&s=08 LinkeInn: www.linkedin.com/company/tume-ya-taifa-ya-umwagiliaji-national-irrigation-commision/ #01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #sto...
WAKULIMA 1300 KUNUFAIKA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
Просмотров 2283 месяца назад
WAKULIMA 1300 KUNUFAIKA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI
Просмотров 2163 месяца назад
MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI
WAHANDISI NIRC WAELEZA UMUHIMU WA USAJILI ILI KUKIDHI VIGEZO VYA USIMAMIZI WA MIRADI
Просмотров 224 месяца назад
WAHANDISI NIRC WAELEZA UMUHIMU WA USAJILI ILI KUKIDHI VIGEZO VYA USIMAMIZI WA MIRADI
NIRC YAHIMIZA WAHANDISI KUSAJILIWA, WAENDANE NA KASI YA UWEKEZAJI WA RAIS DK.SAMIA
Просмотров 734 месяца назад
NIRC YAHIMIZA WAHANDISI KUSAJILIWA, WAENDANE NA KASI YA UWEKEZAJI WA RAIS DK.SAMIA
WAHANDISI NIRC WAASWA KUZINGATIA UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI
Просмотров 504 месяца назад
WAHANDISI NIRC WAASWA KUZINGATIA UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI
WAKULIMA SKIMU YA MAKANGALAWE WAPEWA ELIMU UKARABATI KINGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
Просмотров 375 месяцев назад
WAKULIMA SKIMU YA MAKANGALAWE WAPEWA ELIMU UKARABATI KINGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
MPANGO KABAMBE UMWAGILIAJI KUWANOA WATAALAMU NIRC
Просмотров 535 месяцев назад
MPANGO KABAMBE UMWAGILIAJI KUWANOA WATAALAMU NIRC
USIMAMIZI MADHUBUTI MIRADI UMWAGILIAJI, NIRC YAWAKOSHA WABUNGE
Просмотров 1176 месяцев назад
USIMAMIZI MADHUBUTI MIRADI UMWAGILIAJI, NIRC YAWAKOSHA WABUNGE
NIRC KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU MABWAWA 100 UMWAGILIAJI
Просмотров 2006 месяцев назад
NIRC KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU MABWAWA 100 UMWAGILIAJI
MAFANIKIO SEKTA YA UMWAGILIAJI YAWAIBUA WAKULIMA MAGURUKENDA
Просмотров 1966 месяцев назад
MAFANIKIO SEKTA YA UMWAGILIAJI YAWAIBUA WAKULIMA MAGURUKENDA
NIRC YATIA SAINI MIKATABA 20 UJENZI MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
Просмотров 2596 месяцев назад
NIRC YATIA SAINI MIKATABA 20 UJENZI MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
WAKULIMA PAWAGA WAISHUKURU SERIKALI UJENZI MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI MKOMBOZI
Просмотров 5966 месяцев назад
WAKULIMA PAWAGA WAISHUKURU SERIKALI UJENZI MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI MKOMBOZI
WAHARIRI WAFURAHISHWA NA MIRADI SEKTA YA UMWAGILIAJI
Просмотров 8747 месяцев назад
WAHARIRI WAFURAHISHWA NA MIRADI SEKTA YA UMWAGILIAJI
NI LAZIMA KUFANYIKE UPEMBUZI YAKINIFU PAMOJA NA USANIFU ILI KUTEKELEZA MRADI
Просмотров 2247 месяцев назад
NI LAZIMA KUFANYIKE UPEMBUZI YAKINIFU PAMOJA NA USANIFU ILI KUTEKELEZA MRADI
TIJA HAIWEZI KUPATIKANA KAMA HAKUNA KILIMO CHA UHAKIKA
Просмотров 4587 месяцев назад
TIJA HAIWEZI KUPATIKANA KAMA HAKUNA KILIMO CHA UHAKIKA
Hii nchi inaendelea sasa na huyu Mama. Lakini simsahau Magufuli alikuwa mjasiri na mwenye maono
Our professor Dam design Rain water harvesting
Safi sana mkuu. Unapamba na unatekereza. Kazi zako zinasonga mbele kivitendo. Wewe na menejiment nzima ya TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI mnatekereza mirada ya taifa kwa vitendo kwa asilimia 100. Congratulations Mkurugenzi Mkuu TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI. Mungu awabariki sana
Very good job. - Hongera!
Naamini mradi utakamilika MEMBE KWA msaada wa MUNGU Ee MUNGU ibariki Tanzania
Hatua Moja bwele ! utendaji unahitaji usimamiz
Hi
Mbona mkoa wa Tanga mnausahau sana ikiwa ni mkoa wa kilimo
Mkoa wa Tanga tayari baadhi ya miradi imeanza kutelekelezwa ikiwemo ujenzi bwawa la Mkomazi
Mbona hawafiki wilaya ya lushoto
Watanzania wajinga kwel mmenyang'nywa mashamba yate af jinga linakuj linasema et linamshkur mama mipuuz hii
We mwanamke mwongo sanaaà et una pawatil una gar mferej umeisha mwaka huu na bado hujavun umenunua lin
Hayo Mabomba yanayowekwa mahali sio shambani I hope hayataibiwa na wajanja ambao technically huwa ni Wafanyakazi hao hao wanaiba kwakuwa hayana mwenyewe ni ya serkali Au ya Umma
naombeni udadavuo
na je tunalima zao moja kwa pamoja au kila mtu anavyoweza kuchukua ukubwa wa shamba na yu kilima how
sijaelewa vijana kwa ujumla ki vipi kwamba tunajisajili tunalipia yani ki vipi koz km kuna uwakika wa maji tuambie tuwekeze
Hongera tume ya umwagiliaji miradi kama hii itapunguza tatizo la ajira kwa vijana, sasa inatakiwa benki ziwezeshe vijana wahamie shamba
Hongereni sana. Kilimo Cha umwagiliaji ndiyo mkombozi na tutapata biashara
Tume iaze kuuza vifaa vya umwagiliaji kuliko kuwaachia wafanya biashara ambao wanauza vifaa hivyo kwa gharama kubwa sana Zambia vifaa vingi vya kilimo vinauzwa na Wizara husika pamoja na wafanya biashara kuuza vifaa hivyo wakulima wanakimbilia wizarani kutokana na gharama na fuu. Tutumie mfumo wa wizara ya mifugo wanazalisha mbegu za mifugo na kuuza kwa bei nafuu kwa wafugaji
Amen amen amen imeetimia MUNGU mwema
Shida tunalima masoko hamna tunaambulia hasala
Impressive
Mbona August 2023 imeshapita kwa bwawa la Membe skimu? Ina maana limeshakamilika basi?
Mabwawa yajengwe kila wilaya ndio yataleta mageuzi makubwa ya kilimo nchini.
😊😊Insha Allah
Kazi na iendelee 👍
Safi, muendelee na moyo huo kuinua wakulima wa Tanzania!!!
Commendable work being done,...
Kazi na iendelee 👍
Kazi na iendelee 👍
Tume ya Taifa ya umwagiliaji ndio mkombozi wa Wakulima wote.
Kazi nzurii na iendelee 👍👍
Kazi iendelee👍👍💯
Kazi nzuri mbunge wangu mh:Omari Tebweta Mgumba
napongeza kwa kazi nzur lakin naomba muajiri mana chuo cha maji kinazalisha wataalam kila Mwaka wa umwagiriaji nahakuna alie ajiriwa toka 2014 walipo zalishwa wataalam kumi