It is hearts such as this that are willing to share knowledge for development that are truly remarkable and deserving of the highest applause and reward. God bless you guys for sharing all the information you have shared
HONGERA! Safi sana kiongozi. Vijana tuzidi kuhamasishana kuwekeza kwenye kilimo. Kiongozi nimeanza na mladi wa shamba kilimo cha tikiti ili mwakani niwekeze 2 hekta. Tafadhali naomba namba yako ya simu tu-exchange uzoefu na ushauri. Asante
Safi bwana sureman me nmeshalipia shamba nasubir tuu maji yapungue ili nianze maandaliz swali hilo shamba ulilo kadiria milion 30 lina ukubwa gan lakin unaweza kunipa makadilio ya ghalama had kuvuna
Msaada wako tafadhari.umesema kunakipindi ambacho unatakiwa kupunguza maji I'll tunda lijitengenezee sukari yake yenyewe... Je katika kipindi hicho hauweki maji kabisa na je kipindi hicho matikikiti yanakuwa na muda gani.... Pia umeongelea swala la kupiga dawa..je Ni dawa zipi ulixokuwa unatumia..
Siku ya 50 ndiyo matikiti huanza kukomaa na kutengeneza sukari..inapofikia siku ya 65-70 yanakuwa full tayari kuvunwa...so, siku za mwishoni baada ya siku ya 50, unamwagilia mara mbili Kwa wiki, kama ni kiangazi hakuna mvuna...kama kuna mvua nyingi hutakiwi kumwagilia kabisa.
asanteni sana lakini pia ningependa kujua anamwagilia kila baada ya muda gani na vipi siwez kupata namba yke anisaidie baadh ya mambo maana na mimi ndo naelekea huko kwenye hcho kilimo.
Maji ni vizuri ukawa unamwagilia kila siku japo inategemeana na mahali ulipo maana sahz kama huku kwetu Tabora jua ni kali sana, hivyo namwagilia kila siku. Namba zangu ni 0763806485
Inategemeana na umbali wa mashimo yalivyo, kama umefanya mashimo kwa umbali 2m squares weka mbegu mbili kila shimo, lakini kama umeweka kutoka shimo hadi shimo cm 50 na mstari hadi mstari 2metres weka mbegu moja moja kila shimo. Na matunda yanapoanza kutoka ni vizuri ukayabakisha matatu japo ni vizuri kipindi cha kupunguza matunda kwenye mche ukapata mtaalamu akakushauri vizuri namna ya kupunguza matunda kwenye mche wako. Ahsante Bwana Juma Nzumbi
Ni mwez gani nzr wa kuandaa shamba la matikit? Yaan msimu mzr ambao unaweza kuuza Bei nzr ukapata faida
Tafadhari naomba namba ya simu kwa msaada zaidi
It is hearts such as this that are willing to share knowledge for development that are truly remarkable and deserving of the highest applause and reward. God bless you guys for sharing all the information you have shared
Thank you brother for the Compliments!
I really love your commitment to share with other, just unfortunate I can't understand the narrative
Habari..
Bwana Sulemani naomba namba yako kunavitu nataka tuonge utusaidie kwenye project yangu.
asante sana baba hata mm nataka niingiye kwenye kilimo cha tikiti nitskutafuta ili nipate ushauri wakoo inshallah
hongera sana kaka selemani pia samahan umetumia kiasi gani kuandaa n.a. kupanda hadi ziote
HONGERA! Safi sana kiongozi. Vijana tuzidi kuhamasishana kuwekeza kwenye kilimo. Kiongozi nimeanza na mladi wa shamba kilimo cha tikiti ili mwakani niwekeze 2 hekta. Tafadhali naomba namba yako ya simu tu-exchange uzoefu na ushauri. Asante
hongera sana bro kwa udhubutu lakini vipi mafanikio yakuwekeza kweny kilimo
Safi nimeipenda hii. Ni mbegu gani unayolima ndugu.
Boss vp msimu mzuri wenye soko zuri kwa zao la tikiti ni upi yani nilime mwezi gan ilinivune msimu gan wenye bei nzuri sokoni wa zao la tikit
safi sana kaka tuendeleee kuelimishana wandugu uwo ndio uzalendo na hongera sana bro sule hongera sana kaka tuzidi kukaza
Nashukuru sana Rufano
Asante nimepanda matikiti ila nimekosea kipimo cha mche na mche.
I really like watermelon farming and I'd like to start the process.
asante kaka Suleiman...,.....Mungu akubariki
Wa tabora tunakuonaje?
Na unalima tikiti pekee au unaweza shauri hata mazao mengine mfano nyanya,tango na mengine
unamjuwa anayeelimisha tabora?
sumugani unatumia?
Hivi hii programu iliishia wapi? Nimejaribu kufuatilia ila sijapata mrejesho
Matikiti tunayoyaona au majani tunayoyaona?
assalaam 'alaykum ndg Suleiman...
umenisaidia sana ktk majaribio yangu ya kilimo cha tikiti. Mungu akulipe kila la kheri.
Good job
Ko kwenye matuta unaweza kupanda
Safi bwana sureman me nmeshalipia shamba nasubir tuu maji yapungue ili nianze maandaliz swali hilo shamba ulilo kadiria milion 30 lina ukubwa gan lakin unaweza kunipa makadilio ya ghalama had kuvuna
safi sana mkuu, napenda sana, tuko pamoja
Ahsante sana
ok
Suleiman H. Halletu NAweza kupata namba yako ya sim
Kwa makadilio ni baaada ya mda gan unaweza kujua mda huu mmea unajitengenezea sukari yake ,ili kupunguza kiasi cha maji
hongera kwa kazi nzuri, ila naitaji pia ushauri wako kwani na mimi najishughurisha na kilimo hicho cha matikiti
vip bwana mkubwa toleo lingine tutalajie lini?
Kamanda nimekuelewa ubari.mm ninapenda kulima laki sina eneo
Msaada wako tafadhari.umesema kunakipindi ambacho unatakiwa kupunguza maji I'll tunda lijitengenezee sukari yake yenyewe... Je katika kipindi hicho hauweki maji kabisa na je kipindi hicho matikikiti yanakuwa na muda gani.... Pia umeongelea swala la kupiga dawa..je Ni dawa zipi ulixokuwa unatumia..
Ninaomba namba yko ya simu kwa maelekezo zaidi maana umenivutia sna kwa uthubutu wko
Siku ya 50 ndiyo matikiti huanza kukomaa na kutengeneza sukari..inapofikia siku ya 65-70 yanakuwa full tayari kuvunwa...so, siku za mwishoni baada ya siku ya 50, unamwagilia mara mbili Kwa wiki, kama ni kiangazi hakuna mvuna...kama kuna mvua nyingi hutakiwi kumwagilia kabisa.
Kaka sulemani naomba namba yko tuwasiliane
Kwa mashina ambayo hayakuota yanaachwa au unarudia kupanda?
Unamuachia nani sasa weka mbegu wewe
gram 1 nyany imara f1 ya mbegu be I gan
asanteni sana lakini pia ningependa kujua anamwagilia kila baada ya muda gani na vipi siwez kupata namba yke anisaidie baadh ya mambo maana na mimi ndo naelekea huko kwenye hcho kilimo.
Maji ni vizuri ukawa unamwagilia kila siku japo inategemeana na mahali ulipo maana sahz kama huku kwetu Tabora jua ni kali sana, hivyo namwagilia kila siku. Namba zangu ni 0763806485
Suleiman H. Halletu shukran sana mimi sipo tanzania ila nikija tanzania nitakutafuta ili unipatie shamba huko nilime hayo matikit
Nieipenda hii
Nice farm 🍉👸🏾💚!
Thank you Lime Dyme
Hi suleiman...hongera kaka, naomba contact zako kama hautojal...n kuhus kilimo cha matikiti
Karibu Veroh. 0763806485
bwana sulemani je naweza kupanda tikiti kwa mbolea ya kuku?
naweza pata contacts zako?
0763806485
thenx
unaweza nisiadia vtu muhimu katka matunzo ya kitunguu katka kitalu
hi sullemani,kwa shimo unaweka Mbegu ngapi Na matikitiki yakianza kuzaa unabakisha mangapi kwa mche mmoja
Inategemeana na umbali wa mashimo yalivyo, kama umefanya mashimo kwa umbali 2m squares weka mbegu mbili kila shimo, lakini kama umeweka kutoka shimo hadi shimo cm 50 na mstari hadi mstari 2metres weka mbegu moja moja kila shimo. Na matunda yanapoanza kutoka ni vizuri ukayabakisha matatu japo ni vizuri kipindi cha kupunguza matunda kwenye mche ukapata mtaalamu akakushauri vizuri namna ya kupunguza matunda kwenye mche wako.
Ahsante Bwana Juma Nzumbi
Mkuu unatumia dawa gani kuthibiti dondoo
Nipo mbeya
apu date nyingine
Ndg Suleiman lam sorry bila kujali ningeomb namb yako by James,
bwana sulemani kwa hiyo ndiyo tumekoea hapa tu
naomba ujibu meseji nakutumia kwny namba yko hiyo ya voda
nakuxoma xana endelea kuelimixha
sana
wakati wa vua nilimeje
Kaka nisaidie namba yako
0762781194 Kama hutajali unaweza ukanitafuta nipate namba yako
Umekuwa kimya sana Mtaalamu wetu, tunasubiri feedback ya kilimo cha matikikiti.
Kaka naomba unitafute. Mimi ndio nataka nianze hicho kilimo. Sijui chochote
allyshkapoor91@gmail.com
NITAKUTAFUTA TUZUNGUMZE VIZURI, SILAS TEKU HAPA
Silas Paul Makula vp ulimtafuta suleiman kwa ajili ya matikiti
habari yako niliona comment yako kwa bwana suleiman vp ulilima tena