Suleiman H. Halletu
Suleiman H. Halletu
  • Видео 4
  • Просмотров 155 521
KILIMO CHA TIKITI MAJI TABORA (SIKU YA 30 BAADA YA KUPANDA)
Mazao haya yana siku 30 toka nimepanda. Pata updates chache!
mali ipo shambani.
Просмотров: 56 728

Видео

HATUA ZA MWANZO ZA UPANDAJI WA TIKITI MAJIHATUA ZA MWANZO ZA UPANDAJI WA TIKITI MAJI
HATUA ZA MWANZO ZA UPANDAJI WA TIKITI MAJI
Просмотров 40 тыс.8 лет назад
Ninaendelea na mtiririko wa hatua kwa hatua ktk uzalishaji wa tikiti maji kwa vitedo. Mie bado mkulima mdogo kabisa hivyo nyenzo nizitumiazo ni ndogo pia lakini zinanipa matokeo tarajiwa. Kama mnataka mali mtaipata shambani Stay tuned!
KILIMO CHA VITUNGUUKILIMO CHA VITUNGUU
KILIMO CHA VITUNGUU
Просмотров 13 тыс.8 лет назад
Kama unataka mali utaipata shambani!
MATAYARISHO YA KILIMO CHA TIKITI MAJI (TABORA)MATAYARISHO YA KILIMO CHA TIKITI MAJI (TABORA)
MATAYARISHO YA KILIMO CHA TIKITI MAJI (TABORA)
Просмотров 46 тыс.8 лет назад
Napenda tu kuwashauri vijana wenzangu kwamba tusipoteze muda wetu hata kama umeajiriwa na unatoka kazini sa9 jioni ni vizuri ukatafuta kitu cha ziada ukafanya kuliko muda ukaenda bure. Sio lazima ulime lkn kuna vitu vingine vya kufanya ili kujaziliza riziki zetu za kila siku.

Комментарии

  • @AzaeliMbise
    @AzaeliMbise Месяц назад

    Kamanda nimekuelewa ubari.mm ninapenda kulima laki sina eneo

  • @deusdeditngholombi6124
    @deusdeditngholombi6124 4 месяца назад

    Nieipenda hii

  • @MichaelWellah
    @MichaelWellah 4 месяца назад

    Mwandishi hujitambui

  • @jacksonmtaswa2885
    @jacksonmtaswa2885 6 месяцев назад

    Kk mbno ndg zako wengne tunaoitaji lima watukatisha tamaa kuona unaombwa no utoi na ss tunaitaji tufanye hyo inshu tunaitaji no zako utuelekeze vyema

    • @jacksonmtaswa2885
      @jacksonmtaswa2885 6 месяцев назад

      Nisaidie hyo no mm mdg wako Niko mkoa wa mtwra nimeendaa baadh ya vitu nipe no kk prease

  • @scholasticamchokopa6515
    @scholasticamchokopa6515 10 месяцев назад

    Ni mwez gani nzr wa kuandaa shamba la matikit? Yaan msimu mzr ambao unaweza kuuza Bei nzr ukapata faida

  • @MaishaBaluhya-nf5ok
    @MaishaBaluhya-nf5ok 11 месяцев назад

    Tafadhari naomba namba ya simu kwa msaada zaidi

  • @juliuskigulah6681
    @juliuskigulah6681 Год назад

    Napenda San hicho kilimo

  • @manasesimon7651
    @manasesimon7651 Год назад

    Mkuu unatumia dawa gani kuthibiti dondoo

  • @JaphetMwaisaka-kc3ri
    @JaphetMwaisaka-kc3ri Год назад

    Ko kwenye matuta unaweza kupanda

  • @amaniabdallah1359
    @amaniabdallah1359 Год назад

    Mwandishi ni mpumbavu sana mambo ya muhimu yeye anongea na simu kwani huwezi kuongea baada ya kipindi? Shenzi sana

  • @amonzachary2718
    @amonzachary2718 2 года назад

    Boss vp msimu mzuri wenye soko zuri kwa zao la tikiti ni upi yani nilime mwezi gan ilinivune msimu gan wenye bei nzuri sokoni wa zao la tikit

  • @mkude
    @mkude 2 года назад

    Mwandishi unadharau sanaa, umezingua sanaa kuingea na simu

  • @hassanyusuph3204
    @hassanyusuph3204 2 года назад

    Kwa makadilio ni baaada ya mda gan unaweza kujua mda huu mmea unajitengenezea sukari yake ,ili kupunguza kiasi cha maji

  • @ayubumunapindamunapinda8016
    @ayubumunapindamunapinda8016 3 года назад

    gram 1 nyany imara f1 ya mbegu be I gan

  • @iddramadhani8206
    @iddramadhani8206 3 года назад

    Au Ndugu SULEIMAN KAMA UPO ACTIVE NISAIDIE NUMBER ZAKO PLEASE

  • @iddramadhani8206
    @iddramadhani8206 3 года назад

    Habari za Jioni Kuna mtu mwenye number za huyu ndugu yetu SULEIMAN? TUPATE FAIDA KUTOKA KWAKE?

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 года назад

    I really like watermelon farming and I'd like to start the process.

  • @pulcheriamayombo5222
    @pulcheriamayombo5222 3 года назад

    Asante nimepanda matikiti ila nimekosea kipimo cha mche na mche.

  • @AIG7187
    @AIG7187 4 года назад

    Our agriculture our field #Vijana tusonge

  • @AIG7187
    @AIG7187 4 года назад

    Our agriculture our field #Great

  • @joshngojetv7364
    @joshngojetv7364 4 года назад

    Habari.. Bwana Sulemani naomba namba yako kunavitu nataka tuonge utusaidie kwenye project yangu.

  • @magaitumbo7111
    @magaitumbo7111 4 года назад

    Safi nimeipenda hii. Ni mbegu gani unayolima ndugu.

  • @pamelaowiyo9867
    @pamelaowiyo9867 4 года назад

    Good job

  • @annachales9623
    @annachales9623 4 года назад

    Mtangazaji unaboa haupo serious na kazi unaongeaongea unaboa

  • @telesphorymwashem948
    @telesphorymwashem948 4 года назад

    Kaka sulemani naomba namba yko tuwasiliane

  • @jacobshirima4860
    @jacobshirima4860 4 года назад

    bwana sulemani je naweza kupanda tikiti kwa mbolea ya kuku?

  • @emmanueleddiemwamakula3398
    @emmanueleddiemwamakula3398 4 года назад

    Hivi hii programu iliishia wapi? Nimejaribu kufuatilia ila sijapata mrejesho

  • @ibrkisale1612
    @ibrkisale1612 5 лет назад

    nakuxoma xana endelea kuelimixha

  • @allysalim1997
    @allysalim1997 5 лет назад

    Kaka naomba unitafute. Mimi ndio nataka nianze hicho kilimo. Sijui chochote allyshkapoor91@gmail.com

  • @rebecakwaleka8029
    @rebecakwaleka8029 5 лет назад

    Wa tabora tunakuonaje? Na unalima tikiti pekee au unaweza shauri hata mazao mengine mfano nyanya,tango na mengine

  • @DIweni
    @DIweni 5 лет назад

    Kwa mashina ambayo hayakuota yanaachwa au unarudia kupanda?

    • @khamisally5788
      @khamisally5788 2 месяца назад

      Unamuachia nani sasa weka mbegu wewe

  • @barakaluvanda7941
    @barakaluvanda7941 5 лет назад

    kiparapara

  • @elizabethturuya5958
    @elizabethturuya5958 5 лет назад

    Msaada wako tafadhari.umesema kunakipindi ambacho unatakiwa kupunguza maji I'll tunda lijitengenezee sukari yake yenyewe... Je katika kipindi hicho hauweki maji kabisa na je kipindi hicho matikikiti yanakuwa na muda gani.... Pia umeongelea swala la kupiga dawa..je Ni dawa zipi ulixokuwa unatumia..

    • @hamisilipaye9241
      @hamisilipaye9241 4 года назад

      Ninaomba namba yko ya simu kwa maelekezo zaidi maana umenivutia sna kwa uthubutu wko

    • @digitalaffiliatemarketing210
      @digitalaffiliatemarketing210 2 месяца назад

      Siku ya 50 ndiyo matikiti huanza kukomaa na kutengeneza sukari..inapofikia siku ya 65-70 yanakuwa full tayari kuvunwa...so, siku za mwishoni baada ya siku ya 50, unamwagilia mara mbili Kwa wiki, kama ni kiangazi hakuna mvuna...kama kuna mvua nyingi hutakiwi kumwagilia kabisa.

  • @ngesselamassalu6615
    @ngesselamassalu6615 5 лет назад

    Vipi kuhusu market inaonekana ni challenge sana, ni miezi ipi hasa ukilima demand inakua kubwa na producer wanakua sio wengi?

    • @amonzachary2718
      @amonzachary2718 2 года назад

      Cheza na hesabu zako ila vuna kuanzia March mpka April ama pia October mpka December boss hapo demand mtaani ni kama yote alaf product inakuwa insufficient kwa mtaa

  • @michaelcosmas5591
    @michaelcosmas5591 5 лет назад

    Umetumia aina gan ya mbegu

  • @msafirikatopola8750
    @msafirikatopola8750 6 лет назад

    Ulilima shamba la ekari ngapi na ulitumia mtaji kiasi gani

  • @dyankson
    @dyankson 6 лет назад

    HONGERA! Safi sana kiongozi. Vijana tuzidi kuhamasishana kuwekeza kwenye kilimo. Kiongozi nimeanza na mladi wa shamba kilimo cha tikiti ili mwakani niwekeze 2 hekta. Tafadhali naomba namba yako ya simu tu-exchange uzoefu na ushauri. Asante

  • @stevenmsuya9583
    @stevenmsuya9583 6 лет назад

    sumugani unatumia?

  • @cainamos5231
    @cainamos5231 6 лет назад

    hii namna ya mbolea nimeipenda kwa kweli, naeza nikawaona vipi au naomb hata namba ya smu jinsi ya kuwafiak wandugu.

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 6 лет назад

    nipe madhara ya kuifukia mbegu sana ww umesema sm 2.5 mm nkazidisha sm 5mpk 7

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 6 лет назад

    naomba ujibu meseji nakutumia kwny namba yko hiyo ya voda

  • @stephanomulokizi2026
    @stephanomulokizi2026 6 лет назад

    Nimefurahi kuona kijana anachukua hatua kulingana na mtaji alio nao safi

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 6 лет назад

    unaongea na simu wakati unahost kipindi?

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 лет назад

    Kwamtindohuu lazima utajirike

  • @danfordjosephjosephdanford7115
    @danfordjosephjosephdanford7115 6 лет назад

    bwana sulemani kwa hiyo ndiyo tumekoea hapa tu

  • @danfordjosephjosephdanford7115
    @danfordjosephjosephdanford7115 6 лет назад

    apu date nyingine

  • @danfordjosephjosephdanford7115
    @danfordjosephjosephdanford7115 6 лет назад

    vip bwana mkubwa toleo lingine tutalajie lini?

  • @ellyms5581
    @ellyms5581 6 лет назад

    wakati wa vua nilimeje

  • @fredym4517
    @fredym4517 6 лет назад

    Mwandishi mjinga sana.

  • @kolthoomkolthoom2516
    @kolthoomkolthoom2516 6 лет назад

    Nimeamasika Sana namilazima niingie kwenye kilimo