KIJANA ALIYEISHIA LA SABA ANAMILIKI HEKA 100, NIMEJENGA NYUMBA MILIONI 30

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 151

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 года назад +35

    Hizi ndio taarifa ambazo mnapaswa kutu juza watanzania sio zile za udaku udaku tu . hongera sana ki jana mpambanaji wewe ndio kijana wa kuigwa na jamii🙏🙏🙏👏👏👏😃😃

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Ni kweli... Millard Ayo, endelea hivyo... Tuletee pia Taarifa zinazotuelimisha juu ya suala la kuhifadhi mazingira...

    • @tumaini684
      @tumaini684 2 года назад +2

      Ila siyo Kila kitu kizuri kinafanywa na wasomi ...maprofesa...darasa la saba nayo ni elimu...kufanya kitu fulani jema ni kipaji na fursa apayo mtu na akaitumia.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Ninachojua mimi, nitaelimisha Watoto wangu wafike hata Chuo kikuu... Mungu akipenda... Watajiajiri na kuwa tajiri! Elimu ni muhimu sana...

    • @hellenrichard6528
      @hellenrichard6528 2 года назад +2

      Sawa kabisa, tunahitaji madarasa kama haya ili tuondokane na fikra potofu juu ya kujiajiri🙏🙏🙏🙏

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 года назад

      Kabisa

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад +15

    MashaAllah MashaAllah Mungu aendelee kumuinua

  • @saidymbiliko5567
    @saidymbiliko5567 2 года назад +26

    Akili na elimu kuna tofauti kubwa sana,, hongera sana mpambanaji

  • @ELLYSTVONLINE
    @ELLYSTVONLINE 2 года назад +15

    Kwenye hizi comments kuna watu wanachanganya maada, ukweli ni kwamba kila mtu ana umuhimu wake. ukiangalia uwiano wa waliosoma na wasiosoma kufanikiwa kimaisha, waliosoma wamefanikiwa zaidi hivo bado elimu ina umuhimu mkubwa. Si kila aliyesoma hajafanikiwa. Ukimsikiliza bado anawashukuru waliosoma kumsaidia kilimo chake kisonge mbele! msidharau wenye vyeti, wanaumuhimu wao 🙏🏽

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 2 года назад +4

    Hizo ndio kazi sasa za vijana sio kukaa vijiweni na kuwasumbua wanawake .kuwabeza Au kushangilia kwa maumbile yao hapo unapoteza wakati wako kijana mda unaenda .unasubria wazazi waage Dunia upstate kibanda. Huo ni umaskini unajitafutia tafuta chako ..mjinga sana Wewe.

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 года назад +2

    Mashallah mashallah hongera kaka umejielewa sana

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 2 года назад +14

    Hongera sana. Unatumia akili sana kufanikisha maisha yako. Kuishia darasa la saba haimaanishi Huna akili za maisha. Mungu azidi kukuinua .

    • @sinamwagalazi3444
      @sinamwagalazi3444 2 года назад

      Ùùùùùĺĺ

    • @phyzzotyco
      @phyzzotyco 2 года назад

      dvvbzmzjcmcncmclmzvvdkvcvhbvwkzeegbchkvxsev_epvsjsdjwbevxbvlkglvrixzyb_v娜😍

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад +1

    Kwa kweli mungu ni mukubwa sana wahenga wana sema hakili ni mali

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 2 года назад +23

    Nilichogundua elimu inatufanya watu tusitumie akili pili inatufanya tudharau vitu vinavyoweza kutuwezesha kuwa na maendeleo nikikumbuka kijijini asilimia kubwa watu wote walikuwa wakulima na wote walikuwa na maisha mazuri, ila tangu iingie hizi kazi za ujuzi wa darasani mhh akili zetu zimelala

    • @raphaelmwenda9100
      @raphaelmwenda9100 2 года назад +2

      Uko sawa kabisa, tunachelewa sana tukiwa darasani.

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 2 года назад +1

      Tatizo tuliowengi tukishapata elimu,tunasubiria ajira kazi zingine atutaki

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 года назад +1

      Hafu asilimia kubwa walioko vijijini ni matajiri narudi kwetu🤣😂😂😂🤣🤣🤣

    • @richardsaidi2448
      @richardsaidi2448 2 года назад

      @@ameenaameena1224 yes ni kwelii

    • @happymsaki1720
      @happymsaki1720 2 года назад +1

      Kabsaaa

  • @mwandoimma123
    @mwandoimma123 2 года назад +2

    Safi class met, pambana mwanaume

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 года назад +4

    Hawa vijana ndiyo tunawatafuta, watupe ujuzi. Mwenyezi Mungu akujaaliye kijana.

  • @kingtv5600
    @kingtv5600 2 года назад +3

    Njo nioji na me mzee baba nimeishi la7 namiliki kapuni na nimeajili vijana 20

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 2 года назад

    shida moja ya wakulima wetu walanguliwa sana mnoo... hyo ni kwa sababu Kuna changamoto ya soko, usafirishaji.

  • @happyelias9465
    @happyelias9465 2 года назад +2

    Hongera kaka ,nawapa pole walioshikilia vyeti wanasubiri Ajira, kama uliweza kulipa ada mpaka ukamaliza hata kupata mtaji inawezekana, Cha Msingi usichague kazi💪

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 года назад +1

    Mashallah Mwenyezi Mungu akuzidishie mkulima mwenzangu.

  • @samkoka3
    @samkoka3 2 года назад +5

    Muandike vichwa vya habari vizur mm nimejua amejenga nyumba ambazo ziko milioni 30 nikasema huyu si nyumba nzote Tanzania ni zake🤣🤣🤣🤣

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 года назад

    Asante kwa habar nzur

  • @aminashaban2363
    @aminashaban2363 2 года назад

    Akili sio kusoma mpaka vyuo vikuu unaeza soma mpaka madarasa yakabomoka usiwe namaisha ukaishia mitaaani kuvuta bangi tuu hongera my broo

  • @mmangajuma5642
    @mmangajuma5642 2 года назад

    hongera sanaaaa

  • @Officalnaph
    @Officalnaph 2 года назад +1

    Anapajua KIDIMBWI au analima tu,

  • @hamiduyusuph5156
    @hamiduyusuph5156 2 года назад +4

    Hizi Ndio habar za kutupa hamasa vijana sio kila siku udaku tu!

  • @isaacsawe3431
    @isaacsawe3431 2 года назад +2

    Hongera sana.unatupa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii

  • @Auntybetty_tz
    @Auntybetty_tz 2 года назад

    Hongera sana kaka ni kweli jembe halimtupi mkulima

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 года назад

    safi sana hongera sana bro

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 2 года назад +2

    Wenye elimu za juu si ndio wezi hao Kuna akiri asili toka kwa mwenyezi

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 года назад

    Hongera sana

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 года назад +2

    Hongera sana kaka sikusote ukisema unawesa lazima utawesa

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад

    Kazi nzuri sana nawapenda hâta nami nafurahiya kazi hiyo ila mazingira yangu ni mubaya nawafata toka Oman ila kwetu Congo nita weza wasiliana n'a yi kivipi ?

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 года назад +1

    Ona Tanzania kuna fursa nyingi Ila hawa wala chips wa mjini na njombaz wa bando na mashangazi wa chips kuku ni kulaumu tu oh mama Samia maisha magumu utafikiria mama atawaletea chakula mezani

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 года назад

    Elimu ni kiongezeo tu mhimu ni akili utakavyo itumia hongera sana

  • @goodluckkajala9523
    @goodluckkajala9523 2 года назад

    Namimi nipo napambana na ujasiriamali naamini ipo siku millad Ayo atanihoji kuhusu mafanikio yangu

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 2 года назад

    Kibaigwa hapo kuna matajiri kibao nawengine awajasoma nenda shinyanga yani wapo weng tu masokoni usiseme

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад

    Mashallah, hongera sana Brother

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 года назад +1

    kufeli kiskuli sio kufeli kimaisha .

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 года назад +1

    Mashaallah

  • @jannuary26
    @jannuary26 2 года назад +2

    Stories we need to hear

  • @williamibrahim2823
    @williamibrahim2823 2 года назад

    Ujumbe mzuri hongera sana

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 2 года назад

    kwahiyo kosa lake ni kuishia la saba ama nn mbna darasa la saba mnataka kutufanya kama sio watu vile. juen elimu na akili ni vitu viwili tofaut

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад +1

    Mafanikio na Elimu hayahusiani na Akili

  • @rehemaisaya2000
    @rehemaisaya2000 2 года назад

    Kweri wa gogo tunaweza

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 2 года назад +3

    Kwa hiyo aliye ishia darasa la saba hawezi toboa?
    Sisi wote tumeushia la saba, lkn Alhamdulillah mambo yana kwenda na ndege kama dalala

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 года назад +1

      Tatizo waliosoma wanalalamika hakuna ajira kwa kuwa wamekariri kwa kuwa wamesoma watakula mabosi maofisini na kudharau kazi nyingine zisizo za ofisini kwa taarifa hii itamsaidia kuwaambia kazi zipo nyingi

    • @majaliwamussa9268
      @majaliwamussa9268 2 года назад

      @@hadijamandanje6189 sahihi kabisa

  • @jicholafursa7058
    @jicholafursa7058 2 года назад +3

    Sijatazama video zako muda mrefu ila ulivyopost issue ya maendeleo sijasita, tunaka inspiration kama hizi @Millard

  • @selemani.matendo4091
    @selemani.matendo4091 2 года назад +1

    Swala. LA. Elimu. Ya. Na. Maisha. Haina. Uhusiano. Wowote.. Kusoma. Sio. Kuwa. Na. Maisha.. Mazuri.. Na. WAla.kutokusoma
    .sio.kuwa.na.maisha..mabaya.bidii.ndio.kigezo..muwache.ujinga..na.upumbavu.

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 года назад

      Kanywe soda kama unatumia bia then nakuja kulipa 😅

  • @Chrisentertainment07
    @Chrisentertainment07 2 года назад +1

    shinda 2000tzs kwa kuandika kwa maneno verse 2 kwa nyimbo blacklist-kimya official video watch now click link👇
    ruclips.net/video/OcmuvXg9Vjk/видео.html
    share,like,comment and subscribe
    kila baada ya 3 hours mshindi atatangazwa
    chris e music present

  • @iuem5792
    @iuem5792 2 года назад +1

    KUNA WATU WAPO HAPO KKOO ELIMU YAO NI DARASA LA SABA WANAMILIKI MABILIONI NA WANA MAGOROFA NA MA APARTMENT YA HATARI KWAKUFANYA BIASHARA YA NGUO.KIKUBWA NI KUJITAMBUA,BIDII NA KUUKOMBOA WAKATI.

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 года назад

    Huyu jamaa Mungu amsaidie

  • @Goodluck-zp5iu
    @Goodluck-zp5iu 2 года назад +1

    Vizuri Sanaa

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 года назад

    Maa shaa Allah

  • @brightonjoahson4347
    @brightonjoahson4347 2 года назад

    Mbona kawaida tyuu kunawanao miliki zaidi ya hizo n hawakukanyaga darasani kabsaa,,

  • @Auntybetty_tz
    @Auntybetty_tz 2 года назад

    Ni jambo jema kujituma Mana kufeli darasani sio kufeli maisha

  • @danielshibone3619
    @danielshibone3619 2 года назад

    Kufeli shule c Kufeli maisha

  • @mbonipakasase8927
    @mbonipakasase8927 2 года назад

    Ajengewe sanamu hapo nyerere square

  • @richarddaud9925
    @richarddaud9925 2 года назад

    Hongera sana ndugu

  • @ericklucas7196
    @ericklucas7196 2 года назад +1

    Heka sio elim au kiwango cha elim sio pesa

  • @kabykim7175
    @kabykim7175 2 года назад

    Wewee acha kuigiliza sauti ya Millard Ayo unachefua sana bwana..find your own identy

  • @hadeeegahalmawali504
    @hadeeegahalmawali504 2 года назад +2

    Mbona mie nafanya kazi za ndani oman nani nyumbani kubwa sina mume wa nn na nina mtto ana baba alafu nasomesha shule ya kulipia

  • @jumasoli7818
    @jumasoli7818 2 года назад

    Nawezaje kupajua namm niende huko maana kanifurahisha nauhakika nitatoka

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 года назад

    Wow mashallah big up bro👍🏼

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад

    Wowowow 💥congratulations

  • @aggreyenock1221
    @aggreyenock1221 2 года назад +1

    🔥🔥🔥👏👏👏👏

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 2 года назад

    Kweli kusoma si kupata 😂😂🙌

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 2 года назад

    Sooooo good work

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 2 года назад

    Hamas ndoo watu naheshimu sanaaa alafu biashara ya kilimo haichuji .

  • @salehewaziri8231
    @salehewaziri8231 2 года назад

    Kunawakatitunapaswakujiuliza kuanzia chekechea mpaka kidadocha6 nimiaka14 je?tunasomeakitugani

  • @hurumaabdallah1261
    @hurumaabdallah1261 2 года назад

    Njoon mnihoj na me namiliki baiskel yenye thaman ya milion 90

  • @trayoversion
    @trayoversion 2 года назад +1

    Jamani elimu sio utajiri ni bidii tu ya mtu kichwani vyetu tusijijengee elimu ndio mafanikio tutachelewa kufika

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 2 года назад

    Anajua aridhi ni mali ya serikali?

  • @chachamaheri1499
    @chachamaheri1499 2 года назад

    Mwangu akizifahamu k3 inatosha inatosha

  • @kikariantandi4833
    @kikariantandi4833 2 года назад +1

    Mtu mmoja kisheria ya tanzania Si anaruhusiwa kumiliki eka 50 tu?

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 года назад

      Hizo ekari zingine zilizozidi ni za vijana wa Dar ambao hawana hata ekar moja🤣😂🤣😂

  • @linusingoli451
    @linusingoli451 2 года назад

    Good

  • @noblestbrokers6290
    @noblestbrokers6290 2 года назад

    Yuko maeneo gan uyo mana nataka mashamba maeneo hayo bro

  • @marrymenas
    @marrymenas 2 года назад

    Siamin saana ki vile, uchawi lazima unahusika hapo

    • @happyyohana9881
      @happyyohana9881 Год назад

      Ndio maana watu wengi atufiki mbali kwa sababu tunaweka uchawi mbeke ukimtengeme Mungu unatoka

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 года назад

    Sasa la 7 sindio saizi yake

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 2 года назад

    Hello guys now i have a great package of mix to my RUclips account 🔥🔥🔥🔥🔥 mix songs

  • @charlesjanuary1798
    @charlesjanuary1798 2 года назад

    Aliiiyesema kusoma ndio kupata hela ninani??

  • @patricksevelen1990
    @patricksevelen1990 2 года назад

    Saf sana

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 2 года назад

    Kama hujaona nipo hta kama nimesoma I d care about the people 😂😂💭

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 года назад +1

    Muekege na namba za Sim basi

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 2 года назад +1

      Mcheki Godfrey thomasi kwenye instagram yake mm namba nimepata tayali nimeongea na jamaa kwa kilimo chake unatakiwa uwe na msingi.

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 года назад

    Wasoki wanasubili kuajiliwa kazi kwenu

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 года назад

    Millard Ayo tafadhari naombeni namba ya huyo kaka.

  • @hasani.kipinguramadhan6423
    @hasani.kipinguramadhan6423 2 года назад

    Hela haziusin kabisa na elimu

  • @johnjinasa5540
    @johnjinasa5540 2 года назад

    😀😀😀😀😀😀 uhalisia

  • @trio9911
    @trio9911 2 года назад

    Hawa ndo masponsa wakija mjini wanaluka na pisi kaliii 😂😂 #tutafute pesa

    • @richardsaidi2448
      @richardsaidi2448 2 года назад

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭ambao hatuna pesa

  • @swahiliwithmimimercy7758
    @swahiliwithmimimercy7758 2 года назад

    abarikiwe

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад

    ANGALIEN MUUJIZA WA AJABU WA MUNGU KWA MAISHA YA MTU HUYU AMBAE HANA MIKONO NA MIGUU, LAKIN ANAFANYA MAISHA YAKE NA KAZI ZA MUNGU. INASHANGAZA.
    TAZAMA HAPA CHINI.👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 года назад

    Hahaha 😂 huyu nibalaaa nimemkubali saaana mpambanaji

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 2 года назад

    Kilimo ni biashara nzr na SOKO lipo Mungu saidia vijana wetu

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 2 года назад

    Fikeni kwangu pia kindly

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    Kwani watu wote waliomaliza la saba, wanalala juu ya miti?.

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 2 года назад

      Mwezangu Sema we kiazi watu wanamadharau Sana kusoma ndo kufauru Manisha MI niimeshia Hilo lakini niko oman napokea mshaara mwaka wa tano huu kitu ndakachokuja kukiporomosha cha kufa mtu

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 2 года назад

      Yani mshaara wangu mimi na wasomi ni mmoja yani sawasawa

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 года назад +1

    DAWA YA KUMVIMBISHA TUMBO MWIZI *#)
    m.ruclips.net/video/yn04deM6JHg/видео.html

  • @tumaini684
    @tumaini684 2 года назад +1

    Acheni kutuma mambo ya ajabu...kwani darasa la sana Hana akili? Kusoma ndiyo akili kwani? Darasa la saba...darasa la saba ndiyo Nini? Inamnyima mtu uwezo wa kujiendeleza?
    Nadhani muwe mnatuma Kwa ajili ya kuwapa moyo watu siyo kutumia elimu kama kigezo cha uwezo wa kufanya mambo makubwa.

    • @amoama9353
      @amoama9353 2 года назад

      Angeandika profesor wa s.u.a ungesema mbna wasiosoma hawaposti ?

  • @hafsahajiabeid5768
    @hafsahajiabeid5768 2 года назад +1

    Bahi mkoa gani?

  • @MtuSafi
    @MtuSafi 2 года назад

    Nimeongea na huyu jamaa ila daah sijamuelewa sana.

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 2 года назад +1

    Kwani hapo habari ni ipi? Watu tunaotokea kanda ya ziwa hiyo wala si habari ni mambo ya kawaida mno. Halafu kuishi la 7 ni nini kwani mafanikio yanagusiana vipi na dalasa la 7.

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад

    Mwana ngu

  • @lameckmbembati6636
    @lameckmbembati6636 2 года назад

    Mpambanaji hachoki kweri

  • @starrecordshancej1083
    @starrecordshancej1083 2 года назад

    Kazi iendeleeruclips.net/video/J0cq4DU49ho/видео.html

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 года назад

    Nitampa VIP nami nahitaji kulima mtama

  • @selemanisalumabdu8667
    @selemanisalumabdu8667 2 года назад

    Mmh usiende kwa frimassoni wewe

  • @raymondmlama6485
    @raymondmlama6485 2 года назад

    Ol