Broo nmependa imani yako na mungu asikuache maana uliamua kuokoka na kumtumikia mungu na muda mwingine kurudi nyuma kunatokana na changamoto za maisha ila mungu wetu niwa huruma tunamshukuru maana anazidi kutulinda asante mungu
Basi uendelee na kumjua hiyo Mungu, na ukitaka mke usikutane nae vigogoni umpeleke Kwa pastor wako.unaona ww umeokoka unaenda kukutana na msichana gizani iwe ni funzo kwako ata Kwa hotel si kuzuri pia majmbazi hua hotelini fanya mambo yako Kwa Nuru ukiwa na mchumba ajulikane na pst wako mkikutana mkutane ata hapo kansan hutakatwa na vijembe tena!.

Mungu akusaidiye kwenye maisha yako InshaAllah.
Sauti nzuri yakumuimbiya yesu ❤
Allah atakusaidia tu
haya ndıo maisha ya weng ya Wtz
mkate wa siku n shidaa
Aaaaaamen. Zidi tumtumainia mungu
Nmependa Iman yako kaka
Mbona akuangalii ata uson au ndopozi lake😅😅
😂 nyimbo yako nzuri
Sema nikiwana mbayawangu
Siku zako ziko bado sote tunamuamini mungu lakini ikiwa utachukuliwa ndio utakwenda tu huko kwa wachawi
Like zangu jamani
Basi uendelee na kumjua hiyo Mungu, na ukitaka mke usikutane nae vigogoni umpeleke Kwa pastor wako.unaona ww umeokoka unaenda kukutana na msichana gizani iwe ni funzo kwako ata Kwa hotel si kuzuri pia majmbazi hua hotelini fanya mambo yako Kwa Nuru ukiwa na mchumba ajulikane na pst wako mkikutana mkutane ata hapo kansan hutakatwa na vijembe tena!.
Tanga hakuna hospital inaitwa Muhimbili. Hospital kuu ya Mkowa wa Tanga ina itwa Bombo hospital.
😅😅😅😅😅😅 nishida huenda kakusea ila msimliaji kachachuka kama pilipili lakihindi
@@kalssambaboo9932 😉😄😄
💪💯✅🙌🙌🙌😉
Hatali
Story tamu
Hyo binti ni mshenzi tu kacheza mchzo kusudi pole
💤💤💤💤💤
Unamsingizia bibi yako