MKE WANGU ALIAMUA KUNIUA KIKATILI WAKAFA WENGINE, SHEMEJI YANGU AKANIELEZA KILA N..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 38

  • @alisalah3768
    @alisalah3768 Год назад +2

    SubxanaAllaha lakini serekali wako wapi au serekali inyewe ndio freemason

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад +1

    Nani alikuambia shetwani anamtoa shetwani mwenxie,Mganga hawexi toa majini.

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 11 месяцев назад

    Kitambo sana Son Erickson duh! Siemens, Philips, Nokia 3310,Nokia Six batan,

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад

    Wakwanza hapa nasubr iaze😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 Год назад

    Mwendelezo

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Год назад +1

    Wanawake tuna sehemu yetu special mbinguni😨😰

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Год назад +3

    Wanawake sisi Mungu atusaidie

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 Год назад +1

    Mimi wapili

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад +1

    Mwanaume mungu anawaona

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад

    Kumbe majini ni ya kiarabu? Duh!!?

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 Год назад

    Kitchen party

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад

    Hatali

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 Год назад

    Yaani dunia hii

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 Год назад

    Mke unamuamini ndiye anakuja kukuangamiza😢

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 Год назад

    ❤❤❤❤

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад

    Hatalisana walimwengu sijuitunaelekea wapi?

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Год назад +3

    Ni kweli ulikuwa huangalii watoto wewe mwenyewe umesema watoto walikuwa wanakaa na mama yao siku nyingine watoto siku wakija kwako wakikuomba pesa kama unayo unawapa na kama huna unawaambia sina. Sasa wewe km baba ukiwaambia sina manake nani anawapa km siyo mama yao?! Wanaume mnapenda kujipa haki za uongo

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 Год назад

      Kuna kupata na kukosa kama Hana akaibe

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Год назад

      @@michaelthobias9967 nyinyi ndo wale wale kwahiyo mwanamke atapata wapi anavyomtupia watoto unategemea awalishe nini? Si wakae wasaidiane kulea km walivyoshirikia a kutafuta watoto

  • @AishaSaidi-vv5do
    @AishaSaidi-vv5do Год назад

    Kaka kelvin mlete mkewe nae tumsikie maana Kila muamba Ngoma anavutia kwake

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Год назад

    Jini mahaba kazua mchepuko

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Год назад

    Dunia hii jamani dahh

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 Год назад

    Hii imenigusa sana jamani

  • @aloycetimoth6679
    @aloycetimoth6679 Год назад +1

    Sory zuri sana inafundisha kwa tunaosikiliza

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Год назад

    Mhh

    • @sophiamirambo9656
      @sophiamirambo9656 Год назад

      Kama marehemu mume ilivyotokea kamwite july ikawa kama hivi nilienda mimi nikakutana na mwanamke na mwanae ana wiki tatu mimi nina mimba ya miezi mitano nimetoka kufunga ndoa kanisani

  • @ireneburton4106
    @ireneburton4106 11 месяцев назад

    Wanaume wanaoongea Sana hivi huwa ni waongo Sana anaonekana hata watoto wake hajali eti nikiwa Sina basi mpaka uombwe usipo ombwa bas kimya hata uyo mtoto hujasomesha huyo Mama ye alijuaje Kama sio wewe ndie unae ongeaongea mtaani hakuna nililoamini labda mniletee na huyo Mama Ila huyu muongo

  • @christinakubanda3955
    @christinakubanda3955 Год назад

    Du

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Год назад +1

    Wanaume kama nyinyi msiojua kutunza wake zenu na watoto ndo unakuaga ugomvi wenu mara nyingi ni usiku unamtaka mwanamke kwa nguvu wakati mchana kutwa unakuwa mkali ukiombwa pesa za matumizi umemuacha na njaa na watoto ikifika usiku huna hela ya kuhonga wanawake wa nje ndo unamkumbuka mkeo wa bure

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 Год назад

      Umenena!

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Год назад

      @@basilisamsaka8469 🤣🤣

    • @lilianmbeyu
      @lilianmbeyu Год назад

      Mimi pia mwanamke lakini mwanamke mwenzangu matatizo kayasababisha mwenyewe alivuna alichokipanda.kwa nini hakutafuta kushinda hilo jini ila kalifuga?Angekuwa amebeba yeye hizo viti kwa gari huenda kingemkuta kibaya zaidi.

    • @AishaSaidi-vv5do
      @AishaSaidi-vv5do Год назад

      Kweli kabisa

    • @AishaSaidi-vv5do
      @AishaSaidi-vv5do Год назад

      Kweli kabisa

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Год назад

    Huna haya unamuacha mkeo na watoto wakahangaike kwenye chumba cha kupanga wewe ukae ustarehe kwenye nyumba ulojenga na mkeo unaona ni sawa?!

    • @kapalatu7322
      @kapalatu7322 Год назад

      We unaongea kihemko,huenda ulishafanyiziwa mahali Sasa unajaji haraka haraka. Km hapati haki yake ya ndoa ulitaka akabake afungwe? Usijaji haraka kwa kulinganisha na yaliyokukuta wewe

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Год назад

      @@kapalatu7322 akabake kivipi si ndio anataka wanawake wa bure km ni mtoaji wa pesa angetoa pesa za matumizi kwa mkewe hata wanawake wa kununua nje pia wapo!