Roho Mtakatifu ndiyo tunda ukiwanae ndo anakupa hizo ladha ambazo ni upendo, furaha, amani, utu wema n.k...... hakuna matunda ya Roho mtakatifu ila kuna tunda la Roho Mtakatifu ambalo limebeba ladha mbalimbali Mungu atusaidie sana tuweze kuwa na tunda la Roho Mtakatifu na atusaidie tujazwe na ladha zote za tunda la Roho Mtakatifu 🙏🏼🙏🏼
Mwinjilisti mapendo Tumekushukuru saana kwakutimiza mzunguko wa USHUDA Hizi zenye picha 6 kwa wakristo, zinazotakiwa kila m'moja wetu aji ulize yupo wapi, Nani yupo ktk nyakati Gani kwa mukristo.
Mtangazaji, ni vzr unapohoji mtu muulize kwanza historia fupi ya maisha yake mf alizaliwa wapi, aliokoka lini anasali wapi nk ndipo unakuja kwenye ushuhuda
Mtu wa Rohoni sii Rahisi kudanganyika ,shuhuda za kweli hua Zina ishara ya nguvu ya Mungu inayoashiria kwa yule anae sikia ,ushuhuda mzuri ni kuokoka na kumpokea YESU KRISTO kua mwokozi ,mambo ya anasali wapi ,ametokea wapi hayo ni mapokeo ya Mila na dasturi ( Liturugia ) na hayana faida yoyote kwenye ufalme wa Mungu ,kwani Mungu aliagiza watu wasali wapi? Au kanisa Gani? Ni dhehebu lipi limetoka mbinguni ? Ni lipi Bora kuliko lingine ,nadhani mtu akiwa Mtakatifu na mnyenyekevu akaliishi Neno la Kristo kama linavyosema Kisha akampokea ROHO Mtakatifu na kubatizwa maji mengi ,Kisha akawa anahudumu popote ,Mfn: kushuhudia KRISTO,kutenda mema,kuonya,kukataza dhambi ,Kisha kuitangaza kurudi Kwa YESU kumekaribia ,uzima wa Milele na ya kua mwanadamu mwenye dhambi abasamehewa dhambi akitubu ,basi huyo atafanyika mteule na mwanafunzi wa YESU KRISTO.😊
Wambuti ni watu wanyekimo kifupi au mbilikimo wanaoishi kwenye misitu ya Kongo na Burudi mpakani na Kongo. Maisha yao ni kama Wahazabe wa Tanania laking wao ni wafupi
Barikiwa mtumishiwa Mungu, Asante kwa ushuda huu,mzito ,nimejifunza vitu vingi,hongera dada kwa ushuda,
Mzuri sana unautukufu Mungu,
Barikiwa mtumishi wa bwana ujumbe umenifikiya Na Umetufikiya ni kweli.
Mungu akubariki
Mungu unisamehe baba
Nashukuru kwaujumbe wako mwinjirisiti pendomwenyezi mungu akubariki kwa ujumbe
Ahsanteni Bwana Yesu asifiwe sana kwa ujumbe nzuri.ninajitaki nos ya Mutumshi wa Mungu kama ikiwezekana.
Asante Kwa ujumbe
Asante kwa picha sita hizi. Ni kweli na Mungu asamehe na kusahihisha watu wake.
Barikiwa sana mtumishi wa mngu mimi nimepokea ujumbe
Ameeen dadangu Mungu wambinguni akubariki sana kwa ujumbe huu
Ubarikiwe sana kw neno la uzima
Bwana Yesu unisaidie mjoli wako. Najiona nimebeba kabati, sina viganjwa na mengine mengi. Peke yangu siwezi Baba, ninaomba unisaidie.
Mungu akusahidie kweri
Nimeshukuru kwa ujumbe
Ee
Mungu nihurumie na asante sana Dada kutupa ujumbe
Merci kwaushuhunda muzuri.
Tunaomba mawasiliano ya mtumishi, nashukur Kwa ujumbe
+32 465 77 54 79 NAMBA YA MTUMISHI KUTOKA UBELGIJI
AMEN
dadangu. MUNGU. akubariki. Umenisaidia.
❤❤kweli Muñgu atusamehee sana
Ujumbe wako wanivitia mwinjiliste wa Mungu wetu Mkuu Yesu christo wa Nazareth aliye hai
Asante kwa ujumbe mtumishi
Ahsante sana.
Amen ujumbe nzuri sana.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen nimetaka yangu
Km mm
Mungu nisaidie mimi maana nahisi picha tano kama sio sita na zaidi nimo
Hiyo ndo hali halisi ya kanisa kwa sasa Mungu atusaidie sana hofu yake imepotea kabisa miongoni mwa wakristo
Amina, mkiristo anahitaji Roho Mtakatifu.
Mungu atusamehe
Amen Amen 🙏🙏
AMINA 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽umetubia maneno ya kujenga Ni kujiangalia amekwamia wapi!!!;je ni Zaka na sadaka au nikutokusamehe au kutokujali wengine?
Asante kwa ujumbe mtumishi wa Mungu
UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU
Amina Mtumishi Wa Mungu Aliye Hai
Amen 🙏
Ubarikiwe zaidi nazaidi Mama Mtumishi
Amina
Amen Amen Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Roho Mtakatifu ndiyo tunda ukiwanae ndo anakupa hizo ladha ambazo ni upendo, furaha, amani, utu wema n.k...... hakuna matunda ya Roho mtakatifu ila kuna tunda la Roho Mtakatifu ambalo limebeba ladha mbalimbali Mungu atusaidie sana tuweze kuwa na tunda la Roho Mtakatifu na atusaidie tujazwe na ladha zote za tunda la Roho Mtakatifu 🙏🏼🙏🏼
Mtumishi Mungu akubariki kwa juupe huyu
Ameni na MUNGU ATUSAIDIE HASA MM
AMEN MUNGU ATUSAIDIE SANA
Mungu mwenyewe utufunulie hata yale yaliyofichika
Asante kwa ujumbe lakini wengine hawaingii mitandaoni watapaje huu ujumbe?
Mwinjilisti mapendo Tumekushukuru saana kwakutimiza mzunguko wa USHUDA Hizi zenye picha 6 kwa wakristo, zinazotakiwa kila m'moja wetu aji ulize yupo wapi, Nani yupo ktk nyakati Gani kwa mukristo.
Mungu tusamehe utupe neema yako maana changamoto za makusudi NI nyingi sana za makwazo ya moyo
ASANTE MUNGU Akubariki
Amen ❤
Naomba namba yako
Ubarikiwe hayo yote yapo makanisani
Mimi ni sawa na yule mtoza ushulu hatakuinua uso language siwezi kuinia niko uchi
😅😅😅😅😅😅😅dah namm jmn
Mtangazaji, ni vzr unapohoji mtu muulize kwanza historia fupi ya maisha yake mf alizaliwa wapi, aliokoka lini anasali wapi nk ndipo unakuja kwenye ushuhuda
Amen
Mtu wa Rohoni sii Rahisi kudanganyika ,shuhuda za kweli hua Zina ishara ya nguvu ya Mungu inayoashiria kwa yule anae sikia ,ushuhuda mzuri ni kuokoka na kumpokea YESU KRISTO kua mwokozi ,mambo ya anasali wapi ,ametokea wapi hayo ni mapokeo ya Mila na dasturi ( Liturugia ) na hayana faida yoyote kwenye ufalme wa Mungu ,kwani Mungu aliagiza watu wasali wapi? Au kanisa Gani? Ni dhehebu lipi limetoka mbinguni ? Ni lipi Bora kuliko lingine ,nadhani mtu akiwa Mtakatifu na mnyenyekevu akaliishi Neno la Kristo kama linavyosema Kisha akampokea ROHO Mtakatifu na kubatizwa maji mengi ,Kisha akawa anahudumu popote ,Mfn: kushuhudia KRISTO,kutenda mema,kuonya,kukataza dhambi ,Kisha kuitangaza kurudi Kwa YESU kumekaribia ,uzima wa Milele na ya kua mwanadamu mwenye dhambi abasamehewa dhambi akitubu ,basi huyo atafanyika mteule na mwanafunzi wa YESU KRISTO.😊
🙏🙏🙏🙏🙏
Ameeeeeeeeeen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🤩😝
Ukweli kabisaaa
Mbona mkristu?😢😢
bjr nita hipataje hii?
Kiukweli kusamahe nikazi ila Kwa uwezo wa Roho mtakatifu tuna weza
Kwkweli huu ni ujumbe wa MUNGU maana ck iz shuhuda ni nyingi na kumbe nyingine c za MUNGU
Sasa kwani shetani unafikiri kwanini aliachwa hai na Mungu bado mbona biblia mbona kila kitu kipo wazi
Mama hizo tu, tu, mbona kama ni nyingi au wewe ni mnyakyusa
Wambuti ni Watu Gani??
wambuti ni wale wafupisana kama wa mbilikimwi
Wambuti ni watu wanyekimo kifupi au mbilikimo wanaoishi kwenye misitu ya Kongo na Burudi mpakani na Kongo. Maisha yao ni kama Wahazabe wa Tanania laking wao ni wafupi
Ndani ya nyumba ya Bw inafananishwa na vipo vitu vya samani na visivyo na usamani
Mwandishi mungu aliongea na Musa tu yeye labda wewe mungu ni bwana wa mabwa a bwana wa majeshi
Unajidanganya
Me nasamehe kila kitu na nasahau ,,,,,,,,je kutopata radha ya kuonana nae au kuwa na hamu ya kuonana nae ni dhambi??????
Naomba msaada😂maana mmmmmhhhh
Kweli na DHAMBI maana Bwana Yesu aliposamehe alitupenda zaidi Omba utakaso Ili uweze kesmehe
Amen.
Amen