Pt1_MCHUNGAJI ALINIINGIZA KWENYE MTANDAO WA KICHAWI WA KUTAFUTA PESA|USHUHUDA WA ALBOGAST BITEGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 90

  • @swahilimagnet
    @swahilimagnet Год назад +7

    Asante kwa ushuhuda. Kwa ushauri wangu hayo makanisa mngekuwa mnayataja. Hao wachungaji mngekuwa mnawataja pia. Kwa Mungu hakuna siri. Mnaogopa nini. Tajeni kila kitu watu waokolewe kutoka kwenye hayo makanisa na wachungaji hao. Okoeni kondoo wa Bwana kwa ujasiri bila kuogopa mtu wala serikali.

  • @NaomiNyakisi
    @NaomiNyakisi Год назад +8

    Naomi from Kenya abarikiwe mungu aliye ileta promover tv tunakombolewa Kweli kweli

  • @SelestinaJoshua-pn4zv
    @SelestinaJoshua-pn4zv Год назад +5

    Kwa mtu atakae kumbuka ushuhuda wa Aston jamani yule baba ni mtumishi wa MUNGU kweli hallelujah

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 Год назад +4

    Barikiwa mtumishi kukitambuwa siri zao

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 10 месяцев назад +1

    Jacktan upo vizur huna maswali mengi

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 6 месяцев назад

    Natokea Kigoma. Hapo pote anapoelezea napafahamu vyema kabisa. Ashukuriwe Mungu mwenye nguvu anayefunua haya.

  • @JumaStanslaus-ds1qu
    @JumaStanslaus-ds1qu Год назад +2

    Amina

  • @HesboneMalangalila-ek6te
    @HesboneMalangalila-ek6te Год назад +1

    Mimi nimemwelewa hata mm gueen ya 1955 niliipeleka kuuza tukapata ila ni hatari

    • @jayjoe5160
      @jayjoe5160 Год назад

      kwanini kuna hatar brother

  • @HesboneMalangalila-ek6te
    @HesboneMalangalila-ek6te Год назад +2

    Naomba utaratibu wa kumsaport atoe shooting
    Na kama yupo wa kuungana nami mm namsaport kwa elfu hamsini
    Anitumie namba yake nimtumie sasa hivi
    Tumsaport Albogast zipo baraka nyingi

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo Год назад +4

    Tatizo Tamaa Hawamogppe Mungu Wao Wanajari Tu Hela Tuamke Jamani Makamisa Jamani Muogopeni Mungu.

  • @marycianasylvester
    @marycianasylvester Год назад +3

    Blessed promover tv

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 Год назад +3

    Blessed promover tv❤

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 Год назад +3

    Mtumish post sehm ya pili

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 Год назад +4

    Mi nangojea ushuhuda wa ule Mzee Ambae ulionyesha kidogo ukapotea

  • @nanyamasheilah5695
    @nanyamasheilah5695 Год назад +3

    SHEILLAH from KENYA nimebadilisha Sana njia zangu za kiroho Na Hizi shuhuda 🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 Год назад +8

    Shida kubwa Sana ya watumishi wengi wameingiwa na tamaa mbaya ya pesa hata wakiongea na washirika mawazo Yao ni vile washirika hao watawapa pesa

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 Год назад +8

    Glory to Jesus Christ,kwa ushuhuda huu mkubwa .

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 Год назад +14

    Mbona maswali mazuri tu jamani wapendwa? Asanteni Promover . Kazi nzuri

    • @MonicaNestory
      @MonicaNestory Год назад

      Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏 jina la BWANA YESU libalikiwe kwa kutuletea wateule kama Hawa Ili kututoa hatua 1 kwenda nyingine kupitia shuda

    • @helenamoshi602
      @helenamoshi602 Год назад

      @@MonicaNestory ok

    • @helenamoshi602
      @helenamoshi602 Год назад

      Pamojanawewe

    • @PeterMichael-y4o
      @PeterMichael-y4o Год назад

      ​@@helenamoshi602my cc

  • @AnyitikeMwangosi
    @AnyitikeMwangosi Год назад +3

    Jaman mungu atusaidie dunia inamazito

  • @bless-vn4gf
    @bless-vn4gf Год назад +3

    Hongera kwa kueleza watu yatawasaidia pindi wakikueleza

  • @SarifuKagande
    @SarifuKagande Год назад +1

    Good job

  • @viousa
    @viousa Год назад +3

    Vyakula vya misaada ni ibada aisee

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 Год назад +5

    Mungu atusaidie ili watumishi wasipoteze kanisa la Mungu

    • @CherieDeDieu
      @CherieDeDieu Год назад

      Kwa kweli! Mbona tumemuachia shetani mpenyo kanisani?! Bwana Yesu Kristo turehemu na utupe maarifa tuweze kumshinda shetani na kazi zake zote.

    • @rosendanshau2674
      @rosendanshau2674 Год назад

      Sasa havi ndo hi you wanapotosha neno mno na warming wengi huelekea huko

    • @nyamogafamily9549
      @nyamogafamily9549 Год назад

      Amina na tuzidi kuwaombea

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад +3

    Shetani kweli hana uruma anapenda vilivyo vizuri sasa ona huyu kaka alikua kwA njia sawa yakumtumikia Mungu sasa ona kakutana na shetani alie vaa nguo ya mchungaji

  • @georgevicent6849
    @georgevicent6849 Год назад +3

    Kazi mzuri, ila nashauri kama itawapendeza maswali mngeyaweka mwishoni mwa ushuhuda, maana tunashindwa kuwa na mtiririko mzuri, ahsante na samahani.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  Год назад +3

      Ahsante kwa ushauri mwenyewe ushuhuda hakuwa mzuri katika mtiririko wa kusema alitegemea maswali ndio maana unaona ushuhuda umekufikia.

    • @neemakillango4126
      @neemakillango4126 Год назад +2

      Kabisa.maswali katikati yanaboa

  • @fitinamarando
    @fitinamarando Год назад +2

    Daaah Mungu atusaidie, agitate hilo kanisa ili watu waelewe wajiepushe---Dsm

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 Год назад +1

    This must be an interesting country.

  • @fitinamarando
    @fitinamarando Год назад +4

    Naomba alitaje live

  • @sarafinamwandi2444
    @sarafinamwandi2444 Год назад +2

    Dar ni kisiwa Cha watumushi matapeli kuweni makini

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 Год назад +1

    Mungu aturehem

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад +2

    Naomi Bonface alisema mamake alizaa watoto wawili

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 Год назад +4

    Kwenye kutafuta hela za zamani hiyo ni kweli maana hata Mimi nilishawahi kukutana na mchungaji ambaye aliniambia nitafute hela za zamani hizo Rupia.

  • @AlexG-hl7en
    @AlexG-hl7en Год назад +2

    Kwanin usimtaje watu wapone

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 Год назад +2

    Ndio maana watu wanatafuta sana hizo hela

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +7

    Yaani jamani humu duniani kuna mambo mengi ya ajabu sana, wakati mwingine tunasikia kama hadithi tuu, kumbe ni kweli kabisa uchawi upo, na misukule pia ipo, mhhh inasikitisha sana.

  • @GroriminaVenancempua-fe1xi
    @GroriminaVenancempua-fe1xi Год назад +2

    Kaka tunaomba mwendelezo tafadhali

  • @marcelineshanga9811
    @marcelineshanga9811 Год назад +2

    Wadunguzangu

  • @YudasChondwa
    @YudasChondwa 5 месяцев назад

    Duuu natamani nisikie part3

  • @marywanjiru1831
    @marywanjiru1831 Год назад +2

    Naomba ..tuwe na muendlezo...andika maswali..uliza baadaye....tafadhali

  • @HappyJohn-kk1pr
    @HappyJohn-kk1pr 7 месяцев назад

    Mbna unamswali meng sana bs simulia ww😅

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 Год назад +4

    Mimi nimeshaibiwa dhahabu za watu kimiujiza hadi ni leo mwenyewe tumekuwa maadui anaamini nimemuibia nikajaibiwa tena pesa za watu hivyo hivyo kimiujiza uhusiano ulikufa kabisa na sasa sitaki kushika pesa kabisa

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Год назад +2

    Alitaje kanisa

  • @AinekishaGodwin-ru8bn
    @AinekishaGodwin-ru8bn Год назад +2

    Maswali mengi nimekosa kuelewa

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 Год назад +1

    Watu wanatafutz sana pesa ya queen Elizabeth na Huyu queen ni waanzilishi wa wajenzi huru

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 Год назад +1

    Kumbe kama kuna makanisa ya kiroho ! Una maanisha kuwa kuna na makanisa ya kimwiri??? Nyie ni mashetani na ubatizo wenu wa kishenzi

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Год назад +3

    Ila ngoja niulize kwanini watu wa kigoma ni wachawi Sana

    • @wardawarda6109
      @wardawarda6109 Год назад

      Hata mie hilo ni swali najiuliza sana.

    • @catherineangaufoo2530
      @catherineangaufoo2530 Год назад

      Kanda ya ziwa yote wanatisha.. mm nilikuwa najua Tanga ndio bingwa kumbe kuna mabingwa aiseee. Dunia hii ina mambo. Waaaah

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs Год назад

      Usiwaogope watu wa Kigoma ila miongoni mwa maeneo yemnye malango ya kuzimu katika ziwa Tanganyika ni huko Kigoma tena malango makubwa

  • @priscampanda7820
    @priscampanda7820 Год назад +2

    MUNGU TULINDE

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Год назад +1

    Mjumbe wa agano Duniani atafanya semina kwa Mathias Ujumbe UNABII WA MWISHO WA DUNIA. usikose tarehe 20/9 mpaka tarehe 30. Unakaribishwa.

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Год назад +3

    Achia tu mwenyewe aongee

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi Год назад

    Watu wa kigoma wanamambo mazito sana ndo maama ule mkoa ulibaki nyuma sana kimaendeleo daah wanasema sumbawanga haifii kigoma

  • @neemamassame8183
    @neemamassame8183 Год назад +2

    Je hao misukule wanapotumwa wanakuwa au wanaweza kuw kama panya au chochote kile ili kuiba?

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 Год назад +2

    Sasa kuna mtumishi anae aminika??

  • @RachelMlingwa
    @RachelMlingwa Год назад +2

    Hiyo password ni li jini anawekewa

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi Год назад +1

    Hivi hawa wanaopitia kwenye mambo mazito kama haya wanatubu na toba yao inakubalika mbele za Mungu mwenye haki!!?? Maana haya ni mambo yakutisha

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry Год назад

      Watatubu wapi wakati huko walikoamini ndiko wanakoamini. Labda waende kwenye dini ya Mohammad hapo ndipo wataokoka. Ashahadu ann laa ilaha ila Allah. Happy tu ndipo ataokoka kila aliyepotea.

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 Год назад +2

      ​@@MwanaishaShattrydini ya Mohamed..ndio nini .. sasa..kwaYesu ndio kila kitu

    • @happymvula
      @happymvula Год назад

      Hakuna dhambi isiyosamehewa maadamu umetubu, ukiwa hai,umegeuka na kuacha kabisa....

  • @myself4128
    @myself4128 Год назад +1

    First Born King Charles born 14/11 /1948,Second born Princess Anne was Born 15/08/1960! Queen Hakuwa na Mimba mwaka 1956 walikuongopea

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Год назад +1

    Naomba kuuliza swali huyo malkia wa uingereza ni yule halisi au ni kivuli chake

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j Год назад +2

    Muendelezo Mtumishi jactani