Ama kweli tusilolijua. Mungu naomba unitengeneze mimi. Niendelee kiburi nizidishie hekina. Najifunza sana kupitia ww mtu wa Mungu. Baba Mungu akujaze sikup
Bola Mtumishi useme awa watu wanakera sana wanajali sana ela kuliko kumtumikia Mungu juzi kati nilkuwa naongea na Dogo mmoja aje kanisan kuimba alinikera sana ananipangia kiwango cha ela cha kumpa akija kuimba
NILIWAHI PEWA JUKUMU LA KUMTAFUTA BONFACE MWAITEGE MIAKA YA 2008 -2010 kati ya miaka Hiyo. MAJIBU Aliyojibu nikikumbuka leo huwa 🤣🤣🤣 tuu. Miaka hiyo nikiwa TUNDUMA, Cjajua huwa wanajiona ni KINA nani 🤣🤣..!! USHUHUDA HUU UMENIKUMBUSHA MBALI KIASI 🤣🤣 BARIKIWA SN PASTOR KIMARO
😂😂😂😂😂 Yani mm nilimpa makavu mmoja wao yani awa watu wanakera sana alafu wanajiona bila wao huduma haziendi nikamwambia ndyomana mnaanguka dhambi sababu ya viburi vyenu
Ama kweli tusilolijua. Mungu naomba unitengeneze mimi. Niendelee kiburi nizidishie hekina. Najifunza sana kupitia ww mtu wa Mungu. Baba Mungu akujaze sikup
Mungu azidi kukuweka baba ,,,mimi nibarikiwa na mahubili yako ,,
Nakupenda baba yangu Mungu azidi kukuinua na kukupa maarifa ya ki Mungu
Duu!!! Haya maisha bhna Mungu atusaidie Sana hiki kibur
Huyo ni bahati Bukuku. Kiburi
I Peter 5:5...God resists the proud but shows favor to the humble.
Mungu tupe neema ya unyenyekevu Kwa utumishi.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema utusaidie
Wengi wana viburi sana , huanza na Bwana lkn Mungu akimuinua kidogo tuu huwa ni shida! Hata ajulikane kijijini kwao tuu ..Mungu atusaidie sana..
Na mchungaj mungu akubariki hao ni waimbaj wa siku za mwisho
Pia mungu akubariki kwa uvumilivu mwingine angefukuza madhabahun hekima ijae ndan yako
Mungu atupe unyenyekevu kwakweli 🙏🙏
Nikweli baba mchungaji karibu hakimuweki mtukuwa salama
Amen barikiwa sana Baba Mchungaji.
Mungu wangu naomba unisaidie, ukisaidia wanao hitanji msaada.
Mungu atusaidie 😭😭
Mungu atusaidie
A very good advice to our gospel artist man of God.
Hakika mtumishi kila roho ya kiburi inaishia kwenye anguko tena anguko kubwa Mungu nisaidie kiburi kisiwe ndani yangu daima
Barikiwa Kuhani wa Bwana
I wish the choir members of my church could see this
Kweli kiburi kibaya Mungu tusaidie
Na sasa Mungu akupe Uvumilivu
Daaah ahsante kwa SoMo
Yan nimeumia sana.
Bola Mtumishi useme awa watu wanakera sana wanajali sana ela kuliko kumtumikia Mungu juzi kati nilkuwa naongea na Dogo mmoja aje kanisan kuimba alinikera sana ananipangia kiwango cha ela cha kumpa akija kuimba
Yaani hata hivyo mtumishi wa Mungu ana ujasiri wa kiroho..nimemsikiliza mpk naumia!! , cjui kama mimi ningeweza kumvumilia!
Kazi kweri
Rose muhando na Bahati bukuku ndio zilikuwa zao
Hahaha
Naisi atakuwa Bahati bukuku kwasb hizo miaka bahati bukuku alikuwa ana lead Gospel Musical in Tanzania 🇹🇿
@@trophywilson7211. Kichekesho sana 😅😅😅😅
Mungu aturehemu kanisa
Kiukweli inaumiza Sana
Jamani milion mbili kuimba tu tena kwa muda mfupi tu
NILIWAHI PEWA JUKUMU LA KUMTAFUTA BONFACE MWAITEGE MIAKA YA 2008 -2010 kati ya miaka Hiyo. MAJIBU Aliyojibu nikikumbuka leo huwa 🤣🤣🤣 tuu. Miaka hiyo nikiwa TUNDUMA, Cjajua huwa wanajiona ni KINA nani 🤣🤣..!! USHUHUDA HUU UMENIKUMBUSHA MBALI KIASI 🤣🤣 BARIKIWA SN PASTOR KIMARO
😂😂😂😂😂 Yani mm nilimpa makavu mmoja wao yani awa watu wanakera sana alafu wanajiona bila wao huduma haziendi nikamwambia ndyomana mnaanguka dhambi sababu ya viburi vyenu
ni kweli,waimbaji binafsi wengi tuna matatizo.
Ajikwezaye atashushwa
Upendo nkone amewahi onesha kiburi Mahal fulan ilinikera sana
Kawaida yake
Yani kwanamna wanavotukera awa waimbaji sizan kama wanambingu watafika jaman
Yule mama kumbe anatabia hiyo?
Baadhi ndivo wakogo hivo baba lakini wasamehe bure tu,nikujisahau
Duuuuu watu wana kiburi jamani
Asant pst
Kiburi ni adui mkubwa sana wa huduma.
Mtumishi imbeni wenyewe na tezi za roho
Kabsa inatosha sana tu
Mmmmh hela Kwanza ktk kuimba nyimbo za MUNGU UNATAKA HELA AAA
Rose mhando
Muhando huyo
Ndo huyo hata sisi kanisani alitupiga.hakuja kabisa
Mungu atusaidie