KILICHONIKUTA USIKU: NAJUTA KUMLAZIMISHA MREMBO ALALE KWANGU SIWEZI TENA KU..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • KILICHONIKUTA USIKU: NAJUTA KUMLAZIMISHA MREMBO ALALE KWANGU SIWEZI TENA KU..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #KILICHONIKUTAUSIKU #NAJUTAKUMLAZIMISHAMREMBOALALEKWANGU #TIKITVKIAKILIZAIDI

Комментарии • 126

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад +3

    Pole sana.Mungu atakupa masikini mwenzio na mwenye upendo wa dhati.kuna jambo Mungu kakuepusha shukur Mungu. Siku zote masikini hathaminiwi.

  • @matthewjohn5108
    @matthewjohn5108 3 года назад +1

    Pole sana mdogo wangu, pambana na maisha achana na mambo ya mademu hawa wakwako atakuja tu we pambana kuinua uchumi wako kwanza.

  • @scollajohn2058
    @scollajohn2058 2 года назад +1

    Mtangazaj katulia sio mapepe safi

  • @petercosta1317
    @petercosta1317 3 года назад

    pole sana lkn ulishindwa kuchangamkia fursa ungemlisha at a miogo lkn azaee

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 3 года назад +2

    pole mdogo wangu Mushukuru MUNGU Ako Na sababu yawe ivio wakwako Ako

  • @zawadimfambo4019
    @zawadimfambo4019 3 года назад +1

    Pole kakaang huenda walimpata wamasaki.

  • @moseshaji1177
    @moseshaji1177 Год назад

    Daaaa hatari sana

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 3 года назад

    Na jifunze kuwa na kumbukumbu ya vtu vzr kumbukumbu Mbaya huumiza achana nazo,

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 3 года назад +4

    Interview moja muhimu sana kwa vijana hii wakiume na hata sisi wanawake,.

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 года назад +1

    Pôle kijana uko powa sana handsome boy . Mungu atakupatia mke mwema ishaallah

  • @rostalameck6640
    @rostalameck6640 3 года назад +1

    Pole Sana d utapata mwingine japo inauma haikua mpango wa mungu wew kuwa naye

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 года назад

      Mungu/MUNGU na sio mungu

  • @nipamdingi9440
    @nipamdingi9440 3 года назад +4

    Pole sana kwa yote ila naamini kuna jambo Mungu kakuepushia. Huyo sio mke mwema. Mungu kakufunulia madhifu yake mengi sana! Achana naye kabisa. Hata kwa kukutongoza tu hafai! Mshukuru sana Mungu.

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 3 года назад +2

    Am muna from tz leo umepata story inakufuhisha nzur unakenya tu muhandishi wet haihuzinish piga like zake kwa mwandishi🔥🤩👍👈

  • @halimamoshi4338
    @halimamoshi4338 3 года назад +2

    Ww shayo mbn hbr ya Yule kk mganga wa magomeni wa kigoma vp mbn haijaendelea

  • @marryg4235
    @marryg4235 3 года назад +1

    Pole,muombe mungu akupe aliesahihi kwako.

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 года назад

      Mungu/MUNGU na sio mungu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 года назад +1

    Kwangu Mimi ningechukulia kanisaliti nisingeweza kuoana naye tena kwa vile hana dhamana anaweza kunisaliti tena kwenda kwa Mpenzi wake Mwengine

  • @gottalentextra4703
    @gottalentextra4703 3 года назад +3

    Watching from USA kumekucha huku

  • @lelozaina8711
    @lelozaina8711 3 года назад

    Tiki tv auelezake sana vile neno iko maelezo kila mara haimbatanake na vichwa via maneno

    • @gallousgosbert4993
      @gallousgosbert4993 3 года назад

      Hiki siyo Kiswahili fasaha jifunze Kiswahili upya na kuandika pia.

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 3 года назад +2

    Pole sana brother, wanawake wengine huwaga ni zaidi ya shetani

  • @safinaabed7482
    @safinaabed7482 3 года назад +1

    Pole Sana kaka pt2 pls

  • @gottalentextra4703
    @gottalentextra4703 3 года назад +1

    Nmependa unajua sana kujielezea, iaonesha hii kwl inakuhisu na inakutesha, Tiki TV tunaomba part 2 plz,

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 3 года назад +4

    Subhannallah nimejifunza pole sana brother haikua ridhiki yako na sikua zote kisichokua ridhiki hua Allah hukuepushia sema alihamdulinllah Pole sana ndio changamoto za kidunia but one day yes atakukumbuka

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 3 года назад +2

    Mmmmh magumu hayo,shida ya kuanza mapenzi utotoni ndio hii inageuka kuwa madharau

  • @khalfanhemed945
    @khalfanhemed945 3 года назад +1

    Mmm mbona inanihusu pia duuh

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 3 года назад +1

    Duuuu pole sana kaka

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 3 года назад +1

    He pole

  • @geroldmwinuka6411
    @geroldmwinuka6411 3 года назад

    Ni dada zetu mama zetu na ni shangazi zetu Ila siyo watu wazuri

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 года назад +2

    pole sana kaka yngu

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 года назад +1

    Subhannahllah pole sana

  • @ashurankya1954
    @ashurankya1954 3 года назад +1

    Darasa la tano ! Hakuna watoto

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 года назад +2

    Pole San bro Doto mung atakup aliyekuwa sahihi kwako

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 года назад +1

      Mungu/MUNGU na sio mung

    • @amockkalinga1520
      @amockkalinga1520 3 года назад +1

      @@Zaburi- kweli kabisa haipaswi kulikatisha jina la MUNGU ubarikiwe Sana kwa kutuelimisha🙏

  • @paullwangili2235
    @paullwangili2235 3 года назад +1

    Achana nae huyo kijana hakufai

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 года назад

    Shayo Ana smilies. Ya came baby😋😋

  • @عائشةعيس
    @عائشةعيس 3 года назад

    Hatar sanaa wallah

  • @hidayajuma3068
    @hidayajuma3068 3 года назад +1

    Pole utapata mwimgine

  • @fatumamohamedy4725
    @fatumamohamedy4725 3 года назад +4

    Tuletee mama mkombozi part 3

  • @zamzamhassan2651
    @zamzamhassan2651 3 года назад

    We kaka changamka kua unaleta part 2,3,4

  • @alexismona8242
    @alexismona8242 3 года назад

    Bro mutihani wako mwepesi sana mbona mimi wangu ni marakuni wa huyo waking

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 3 года назад

    Mke mwema anatoka kwa Mungu, muombe Mungu atakupa wako

  • @lilyndanu6425
    @lilyndanu6425 3 года назад

    App imeiita whatsapp what?

  • @ashajumashaban6199
    @ashajumashaban6199 3 года назад

    😄🤣😂😆😄🤣ati namkumbuka jina sababu ni mume mwemza

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 3 года назад

    Jamani Mbona ule mkasa wa mama mkombozi Mbona mliukatisha hatukujua ilifikiaje

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 3 года назад

    Kwahyo ilikuwaje sasa hadi huwezi mambo? Woiye pole sana

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 года назад +1

    Weww mtoto mdongo unafanya mapenzi bado mapema tena mwislam mtihani huo kwa kweli

    • @lydiaokobi1702
      @lydiaokobi1702 3 года назад

      Mimi pia sijaelewa darasa la saba!!!!!wamejulia wapi hayoambo!!!!Mungu atusaidie watoto wetu

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 года назад

      @@lydiaokobi1702 tumuombe sana mungu atulindie vizazi vyetu.

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 3 года назад +2

    Mungu atafanya kitu kikubwa kwako pambana mdogo wangu

  • @shopalareen4303
    @shopalareen4303 3 года назад +2

    Shayo unavijineno hatari

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 3 года назад +1

    Mh so kwa pozi ilo mtangazaji

  • @راجيعواجي
    @راجيعواجي 3 года назад +1

    lahaula wakuatha illa billahi

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 года назад +3

    Atakuja kukumbuka hajui masela na hapo ujana ndio unaomsumbua, sasa wewe mkaushie tu kwani hawanaga mbio ndefu watu wa jinsi hiyo ngojea utaona tu 🤣

  • @fredrickdaudy6793
    @fredrickdaudy6793 3 года назад

    mhhhh

  • @bahatikinyata2041
    @bahatikinyata2041 3 года назад

    Inaederea au

  • @petercosta1317
    @petercosta1317 3 года назад

    Ungempiga mimba at a mahari wasinge kudai ulifelii sanaa

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 3 года назад

      Kwani mimba unapanga wewe kumpa kaka?

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 года назад +1

    ALLAH ATAKUPA MWENYE KHEIRY NAWEWE MUWACHE AOLEWE LAKINI ALJUWE NDOA INAHTAJI UPENDO WAKWELI NASIO MALI ATAKUKU MBUKA

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 3 года назад

    Sasa ww Kelvin huko kuzaliwa unataka nn leteni mkasa

  • @denicewkanary7385
    @denicewkanary7385 3 года назад

    Nisawa, wara upaswikulalamika, hatakidogo ,Kama mwanzo alikusaliti ukamsamee ulidhani Tabia ameiacha, yule alikuakwale awezikufugwa, na usishangae hata ariemuoa watachomoana, wewechakufanya pambana Mtafute MUNGU atakupa chako na utubu, na upambane kutafutapesa basi

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 3 года назад

    Ila sasa hata mama yako mzazi naye alichangia hata sijui utafanyaje..duh

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 года назад

    pole saaan ndogo

  • @apichitseso8435
    @apichitseso8435 3 года назад

    👍👍👍

    • @mujewireomary7143
      @mujewireomary7143 3 года назад

      7þþyyýtyþ66þtþþþþþþþþtþtþþtþttttþþþttþttþþtþŕþþtttþtþþþtþťŕŕþþþþþþyþþþþþtþtrtrŕþþtþttfŕfŕffffŕŕérrrrrřþþfffffŕfffffffďđfffďfffŕýup

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 3 года назад

    As takafirulahi..

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 года назад

    Sisi Tunataka Habar Kuzaliwa Ataje2 Anaitwa Fulani Bin Fulani Atoe Story Ayo Mengine Watajua Wao Na Familia Yao

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 3 года назад

    Dogo ana story tamu.

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 3 года назад +1

    Mtangazaji uwe unachana nywele ,🤣🤣

  • @saidally6140
    @saidally6140 3 года назад

    2

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 года назад

    Heee

  • @premgessa8084
    @premgessa8084 3 года назад

    Jo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 года назад

    Heee mtihani mtoto wa nje ya ndowa wewe hapo hamna ndowa kwa sheriya ya dini ya kislam mkristo na mwislam hamna ndowa hapo

  • @wilfrde95
    @wilfrde95 3 года назад +1

    😂🤗

  • @apichitseso8435
    @apichitseso8435 3 года назад

    Kila sekunde moja ina.................

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 года назад +6

    Upuuzi mtupu.
    Hakuna kuchezeana halafu kufunga ndoa. Kijana dini ya Kiislam inataratibu zake za ndoa. Kaa na mashekhe wakefunze.

    • @sophiemwanina5979
      @sophiemwanina5979 3 года назад +1

      We nae ushatomba wengi usijitoe ufahamu braza

    • @mimah0559
      @mimah0559 2 года назад

      @@sophiemwanina5979 😂😂😂😂😂😂

    • @sophiemwanina5979
      @sophiemwanina5979 2 года назад

      @@mimah0559 anajifanya hapo ndio anazini adi leo

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 3 года назад

    Ndoa ilifiy wap

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 года назад

    Moja, mbili, tatu 1 2 3 🙄🙄

  • @florianmujwahuzi9743
    @florianmujwahuzi9743 3 года назад +1

    Du

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 3 года назад

    Tafuta pesa

  • @lucymsumaly338
    @lucymsumaly338 3 года назад

    Usinge waambia wenzako kama yeye kakutongoz

  • @cpabk2433
    @cpabk2433 3 года назад

    Shida ni wewe ndugu kumskuma, umemrudisha kwao mara mbili?

  • @lelozaina8711
    @lelozaina8711 3 года назад

    gallous gosper wewe swahili gani umejua??laisse tombez votre swahili Tanzanienne nga ba kokoka te

  • @emmakariuki1510
    @emmakariuki1510 3 года назад

    00

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 3 года назад

    Kumbe wewe.mbakajim ukamatwe

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 3 года назад

    Hahahahahah.....

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад

    Pole sana.Mungu atakupa masikini mwenzio na mwenye upendo wa dhati.kuna jambo Mungu kakuepusha shukur Mungu. Siku zote masikini hathaminiwi.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      Hujambo wngu😘😘😘

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 года назад

      @@ayshamahariq6665 sijambo .pole na majukumi my dear.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад +1

      @@thumnathumna5946 Shkuran wngu😘😘😘😘😘

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      @@thumnathumna5946 waenda lin nyumban wngu😘😘

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 года назад

      @@ayshamahariq6665 bado.nipo na mpango wa kuongeza ongeza miezi😄😄😄😄.

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад

    Pole sana.Mungu atakupa masikini mwenzio na mwenye upendo wa dhati.kuna jambo Mungu kakuepusha shukur Mungu. Siku zote masikini hathaminiwi.