Hongera mwandishi umegusa maswali yote niliyokuwa nayo moyoni, na uzur umempata Baba Kilaini anajua sana kujibu maswali Askofu wetu,, Mungu na azidi kukubariki sana Baba
Asante sana Mhashamu Baba Askofu M. KILAINI, kwa maelezo mazuri! Historia unaifahamu vivuri! Ninakukumbuka sana kule Ntungamo Fllosofia ukiwa mwalimu wetu wa Historia ya Kanisa! Tunakuombea afya njema!
Kwa sasa Dsm hatuna Askofu mkuu mwandamizi badala yake tunao maaskofu Wasaidizi wa Dsm.... + Henry Mchamungu na +Stephano Musomba. Sidhani kama iliwahisemwa yupo wa kuurithi ukardinali maana nafasi hiyo hairithiwi
Ukardinali hauna kurithi, ukipewa ni mpaka kufa, ni wadhifa anaopewa wa kuwa mshauri wa Papa. Ila Askofu ambaye ameteuliwa kuwa mwandamizi maana yake Mwandamizi ni Askofu mwenye haki ya moja kwa moja (yaani automatic successor) ya kurith uongozi wa jimbo husika siyo kurithi Ukardinali. Hivyo Papa anachagua yeyote atakayeona anafaa kuwa mshauri wake haijalishi Jimbo lipi (liwe Jimbo Kuu au Jimbo la kawaida).
Kwanza cheo Cha kardinali hakirithiwi. Aidha Cha kardinali hakina majumu katika Jimbo. Makardinali wapo kumshauri papa na kuchagua papa endapo aliye madarskani atafariki dunia. Hivyo,kijimbo mwenye mamlaka Ni askofu.
askofu kilaini ni mtaalam wa kuelezea hasa historia za kanisa na viongozi wa kanisa ni kipaji cha pekee. hongera sana Baba
Hongera sana Mwandishi kwa kazi nzuri na pia kwa kumpata Baba Askofu Kilaini, Msemaji mzuri mwenye kujua historia ya Kanisa
Kwa uwezo wa Mungu tunaweza kumpata Papa. Hata Rugambwa mwenyewe...Aminaaa
Hongera mwandishi umegusa maswali yote niliyokuwa nayo moyoni, na uzur umempata Baba Kilaini anajua sana kujibu maswali Askofu wetu,, Mungu na azidi kukubariki sana Baba
Tunashukuru sana kwa Historia na ufafanuzi kutoka kwa Baba Askofu Kilaini
Mungu ni mwema hongera
Mwenyezi mungu amjalie
Nineema kubwa Sana kwa jimbo labukoba na mkoa wa kagera kwaujumla kwa bahatihii
Tumshukuru Mungu kwa ajili yake
Omukana asimwe,hongera sana Baba Kwa kuteuliwa kuwa Rubani wa kiliongoza Kanisa letu
Lp l kl
Omukama asimwe Kwa kumteua Askofu P.Rugambwa kuwa Kardinali wetu
Lini anasimikwa kuwa askofu mkuu wa jimbo kuu la Tabora?
Jana memesema mme metudanganya kumbe mmepost leo
Umedanganywa vipi mpendwa..? Post ilikua inaonyesha itaruka July 11 saa 4 asubuhi.
Asante sana Mhashamu Baba Askofu M. KILAINI, kwa maelezo mazuri! Historia unaifahamu vivuri! Ninakukumbuka sana kule Ntungamo Fllosofia ukiwa mwalimu wetu wa Historia ya Kanisa! Tunakuombea afya njema!
Kanisa katoliki lina siri nyingi sana. Yupo yule askofu mkuu mwandamizi wa dsm ambaye tuliambiwa ana haki ya kurithi ukardinari itakuwaje?
Kwa sasa Dsm hatuna Askofu mkuu mwandamizi badala yake tunao maaskofu Wasaidizi wa Dsm.... + Henry Mchamungu na +Stephano Musomba.
Sidhani kama iliwahisemwa yupo wa kuurithi ukardinali maana nafasi hiyo hairithiwi
Ukardinali hauna kurithi, ukipewa ni mpaka kufa, ni wadhifa anaopewa wa kuwa mshauri wa Papa. Ila Askofu ambaye ameteuliwa kuwa mwandamizi maana yake Mwandamizi ni Askofu mwenye haki ya moja kwa moja (yaani automatic successor) ya kurith uongozi wa jimbo husika siyo kurithi Ukardinali. Hivyo Papa anachagua yeyote atakayeona anafaa kuwa mshauri wake haijalishi Jimbo lipi (liwe Jimbo Kuu au Jimbo la kawaida).
Kwanza cheo Cha kardinali hakirithiwi. Aidha Cha kardinali hakina majumu katika Jimbo. Makardinali wapo kumshauri papa na kuchagua papa endapo aliye madarskani atafariki dunia. Hivyo,kijimbo mwenye mamlaka Ni askofu.
Uliambiwa na nani? Hiyo haki ni ipi na inatolèwa na nani kwa sifa na masharti yapi? Usipendelee kuongelea hadithi za kuokoteza!
@@sylvestercameo6263 umejibu vizuri mno